NJOZI - Official Video - Tumaini Shangilieni Choir

  Рет қаралды 541,510

Tumaini Shangilieni Choir

Tumaini Shangilieni Choir

Күн бұрын

Пікірлер: 413
@elisantekitulo-ln8pl
@elisantekitulo-ln8pl Жыл бұрын
Huu wimbo umebadili maisha yangu
@emmanuelmungatta7928
@emmanuelmungatta7928 4 жыл бұрын
Mungu awabariki katika huduma ya kumtumikia...Njozi inahitaji uvumilivu....Bado ninakungoja Yesu..
@emmanuelmungatta7928
@emmanuelmungatta7928 4 жыл бұрын
Amen...
@happymwambungu2341
@happymwambungu2341 4 жыл бұрын
Nawakubari Sana mnanibariki
@rechosteven9244
@rechosteven9244 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sn kwa kazi nzuri msirudi nyuma Mungu azidi kuwainua utukufu hadi utukufu
@josephmgalula8332
@josephmgalula8332 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri saana
@Dmsiris5
@Dmsiris5 Жыл бұрын
Wale wa 2023 listening to this Powerful Song Hands Up🙌🇹🇿
@soplisjoachim5884
@soplisjoachim5884 3 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya kristo
@thadeosadock5112
@thadeosadock5112 3 жыл бұрын
Mungu wa mbingu na nchi azidi kuwakweza hatua kwa hatua Utukufu hadi utukufu Nawapenda namuona na mwalimu wa chadulu dodoma
@sophiarodgers7845
@sophiarodgers7845 4 жыл бұрын
Nipe uvumilivu moyoni, Hakika bado ninakungoja Yesu, wimbo mzuri sana mbarikiwe watu wa Mungu nawapenda sana
@estermwandiga1743
@estermwandiga1743 4 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 byimbo nzuri sana 🙏🙏😀😀
@rehemaissae
@rehemaissae 3 ай бұрын
Ninakungoja Yesu bado, NINAKUAMINI bado
@catherine9878
@catherine9878 2 жыл бұрын
2022 bado tunaendelea kubarikiwa
@noelmani685
@noelmani685 3 жыл бұрын
Management ya kwaya bado ipo vizuri
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 Жыл бұрын
Kwaya Bora, endeleeni kufanya kazi ya MUNGU, malipo yenu ni makubwa kuliko mnavyofikiri, Endeleeni kuvaa kwa stara ndipo heshima itabaki milele
@mutambukimusayohana3706
@mutambukimusayohana3706 3 жыл бұрын
Upako juu ya Upako, ❤️❤️❤️
@benardmwakisunga7464
@benardmwakisunga7464 4 жыл бұрын
Hiyo nyimbo mumenifanya niisikilize muda wote ofisini. Kwaya bado iko vizuri sana, mwenyezi Mungu awabariki sana.
@sarahyateri5799
@sarahyateri5799 10 күн бұрын
Mungu. awabaariki wimbo mzuri sana
@emanuelmoshi7414
@emanuelmoshi7414 4 жыл бұрын
Tumaini kwaya...sijui kama mnaelewa upako mliobeba... Mungu afungue macho yenu.. The song is so glorious...full upako.. Hamna mbwembwe za kurukaruka mpaka jasho lakini upako unatoa machozi wasikilizaji
@emanuelmoshi7414
@emanuelmoshi7414 4 жыл бұрын
Amina Mungu awape unyenyekevu sana na kuzidi pia...
@josephmwazonga8275
@josephmwazonga8275 4 ай бұрын
Hii nayo...🙆🙆 M barikiwe tu.. maono yangu hata yakikawia yatatimia tu.... Mwapatikana wapi?
@georgedinda7400
@georgedinda7400 3 жыл бұрын
M'BARIKIWE SANA WANA TUMAINI KWAYA.
@kyandokinyoka1471
@kyandokinyoka1471 Жыл бұрын
SHabiki wenu namba MOJA love you guys❤️❤️❤️
@ErickJames-e9s
@ErickJames-e9s Ай бұрын
Tumaini shangilieni the proud of Anglican church Mungu awabariki sana
@rosemranja1123
@rosemranja1123 4 жыл бұрын
Mungu aibariki huduma yenu 🙏
@sabunichristy8877
@sabunichristy8877 4 жыл бұрын
Mungu awabariki huwa nabarikiwa na tungo za nyimbo zenu maaana nimekuwa mdau nyimbo zenu tangu nilipo wafahamu mwaka 1999 nilipo kuwa Moshi na nilipokuwa chuoni Arusha nilikuwa sikosi kila mlipokuwa mkiimba kanisani hata matamsha ya ukwata Mungu awabariki,Mtumishi Samwel kusamba na familia ya akina John wapigaji vyombo kinanda,bass gita 🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
@agnessanga9228
@agnessanga9228 Жыл бұрын
Nawapenda mno mno ,Bado nakungoja YESU ❤️❤️💯💯💯💯
@lilianathanasius9774
@lilianathanasius9774 2 жыл бұрын
Baaadooooo ninakungoja Yesu Nipe uvumilivu moyoniiiii Ijapokawia itatimiaaaa tuuuu
@issakasanguti2727
@issakasanguti2727 Жыл бұрын
Mbarikiwe Wapendwa Mungu Awatie Nguvu,uwa nanunua bando Kwa ajir ya huu wimbo
@braitonmaiko9094
@braitonmaiko9094 2 жыл бұрын
me naitwa maiko kutoka dodom tanzania nimeaza kuwafatilia mda sana napenda sana nyimbo zenu na pia nawapenda na nyie pia MUNGU awabariki sana tumain kwaya ya arusha MUNGU awajaze ubunifu mwingine tena
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 2 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa maombi yako Maiko; Nasi tunakuombea Mungu aendelee kukubariki sana.
@flanomambo8539
@flanomambo8539 4 жыл бұрын
Ninyi ni kwaya bora katika kumwabudu Mungu na kupeleka injili kwa njia ya uimbaji. Siku zote nimeona mkidhabiti ubora wa uimbaji wenu tangu album ya Duniani shangilieni 94 jama sijakosea. Mnastaajabisha kuona wanawake wote mnasolo,wanaume wengi wanasolo, wacheza vyombo wengi mno yaani mmeondokana na kiburi cha utegemezi kwa mtu mmoja. Hakika mmebarikiwa na Kwaya hii itafikisha hata karne kadhaa
@emanuelndembeka6959
@emanuelndembeka6959 3 жыл бұрын
Dunia shangilieni ilikuwa kabla ya mwaka 1994
@iamlujo898
@iamlujo898 4 жыл бұрын
Mungu awabariki nyimbo zenu muimbe kutukuza mungu tumaini shagilieni choir
@StephanoMwakalinga
@StephanoMwakalinga Жыл бұрын
Ninajambolangu kwa Mungu bado nangaoja asanteni watumish kunitia moyo
@victoriasanga1647
@victoriasanga1647 4 жыл бұрын
Nmefarijika kuwaona tena wote nami nasema bado nakungoja yesu nawapenda Sana tumaini kwaya
@sarahyateri5799
@sarahyateri5799 10 күн бұрын
Nawapenda sana wapendwa wa mungu nitakuja kuwasabahi hapo Arusha mungu akkipenda
@hawamsabaha5356
@hawamsabaha5356 4 жыл бұрын
Toka nikiwa Mdogo sana nawasikia mnaimba katika utukufu uliotukuka sana mbarikiwe
@daudimhoha5050
@daudimhoha5050 4 жыл бұрын
Mbarikiwe. Kwawimbo. Huu.mzuri
@neemasarwatt1030
@neemasarwatt1030 Жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo, karibuni tena KKKT Kimara
@rehemaissae
@rehemaissae 3 ай бұрын
Yaani nimewamiss kama waje tena Kimara
@HellenKaaya-mk6yd
@HellenKaaya-mk6yd 5 ай бұрын
Me Ata muimbee kilugha sisahau nyimbonza Hii kwaya
@HellenKaaya-mk6yd
@HellenKaaya-mk6yd 5 ай бұрын
Nawapenda Mungu awatunze 🙏🏽❤️🙌🏽
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 5 ай бұрын
Amen Amen
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sanaaaa, mavazi ya stara. Hii ndio kuilinda Imani.
@rozymichael7609
@rozymichael7609 3 жыл бұрын
Nawapenda sana
@mdubashella2913
@mdubashella2913 3 жыл бұрын
Nimekuwa mateka wa Tumaini shangilieni, nawapenda sana Mungu mwenyewe anajua. Muendelee kubarikiwa maana moyo wangu unabarikiwa sana na nyimbo zenu
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Mungu akutunze na kukuonekania sana ndugu na rafiki yetu.
@josephinemagadula1920
@josephinemagadula1920 4 жыл бұрын
Hakika Mungu awabariki sana na ninabarikiwa sana na nyimbo zenu
@noellema9144
@noellema9144 4 жыл бұрын
Jina lenu linasadifu mnayoimba hakika...since end of 90's.....TUMAINI SHANGILIENI... Nyimbo zenu zinatukumbusha Tumaini letu ni Kristo Yesu kila wakati hata tupitiapo magumu. Mungu aendelea kuwainulia vipawa na karama utunzi wenu uwe bora zaidi.
@samwelferdinand5958
@samwelferdinand5958 4 жыл бұрын
huu wimbo unanihudumia sana
@daudimhoha894
@daudimhoha894 3 жыл бұрын
Mbarikiwe.watumishi.wa.Bwana.yesu.kazi.ni.nzuri♥️
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Amen Amen, Mungu akubariki pia.
@favouropande1065
@favouropande1065 4 жыл бұрын
My song for the week. Nimeona mama soloist kwa row ya pili. I love this timely song basi tuisukumee na kuisikiza hii nyimbo kabisa wapendwa.....Mungu awazidishie marudufu. Bado nakungoja Yesu...Huchelewi wala hubahatishi...Nakungoja Yesu wangu
@favouropande1065
@favouropande1065 4 жыл бұрын
who is still listening to this on 11th May 2020? Bado nikungoja Yesu... wala sita choka
@lukindohiza6456
@lukindohiza6456 4 жыл бұрын
Ni raha sana kuwa na njozi na hasa Bwana Mungu anapoifanya real katika ulimwengu wa Nyama na damu. No words that can qualify the beauty of this song. Habakuki 2:2-3
@aiyasageo2572
@aiyasageo2572 4 жыл бұрын
MMMM wana Tumaini Shinyanga Mungu awabariki kwa wimbo huu mtamu ulio pangwa ukapangika.
@eliazephania7633
@eliazephania7633 4 жыл бұрын
Watumishi ikimpendeza mungu nitakuja kusali nanyi Apo kanisani kwenu mwezi wa 9 Mara ya mwisho kuona kazi yenu mwaka 1999 Niko mwanza
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Ninawapenda sana,Tumaini choir nyimbo zenu ni baraka kwangu,mbarikiwe
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 4 жыл бұрын
nidhamu, unyenyekevu, upendo, kiu na hamu ya kumtumikia Mungu kwa hakika naione kwenu tumaini kwaya ( Mungu aendelee kuwainua zaidi na zaidi na kuwafungulia milango iliyo mbele ) nawapenda sana.
@liberatasimon
@liberatasimon 3 жыл бұрын
Leo nmeanza na huu wimbo ase since morning nmeusikiliza kama mara 4 hiv asubuhi hiii tu ..Mungu awabariki sana kwa kuimba nyimbo zenye nguvu. BADO NINAKUNGOJA BWANA njozi yangu lazima itimie..Mungu si mwanadamu aseme uongo ahadi zake ni za kweli ...
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Mungu aemdelee kukugusa na kukusogeza zaidi rafiki na moendwa wetu. Blessings
@GilesJacksonNyavula
@GilesJacksonNyavula 3 ай бұрын
uSHUHUDA NI MENGI KUHUSU NJONZI... MBARIKIWE
@allanaugustine303
@allanaugustine303 4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana Tumaini Choir.... Nimekuwa nikikua na kuishi Kiimani tangu Enzi za Shangilieni. MUNGU awabariki...
@neemamabele8451
@neemamabele8451 4 жыл бұрын
Ahadi zake ni kweli na amini kwa kweli neno lake halirudi bure mpaka litimizwe
@gracephilemon7472
@gracephilemon7472 Жыл бұрын
Wow❤ nmefurah kuwaona na wale waimbaj wa shangilieni ya zaman kuna mama ana dimpos kwny maiki apo doooh 😊you guys made my day❤❤❤❤❤
@emmanuelsamson4749
@emmanuelsamson4749 4 жыл бұрын
Moja ya Kwaya bora Afrika Mashariki na kati... hamjawahi kuniangusha ktk nyimbo zenu toka album ya Mwana Mpotevu, Unishike,
@floramalosha2925
@floramalosha2925 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana uimbaji wenu ni mzuri na msg mnayoitoa inasikika vizuri
@JanethElifuraha
@JanethElifuraha Ай бұрын
Napenda sana nyimbo zenubarikiwe
@dorcaslor2166
@dorcaslor2166 3 жыл бұрын
Hallelujah amen amen
@mwambantwa187
@mwambantwa187 4 жыл бұрын
sasa naona amani kuendelea kumngoja YESU KRISTO kwa kutokuchoka kuomba, mmenipa haja ya moyo wapendwa wana wa JEHOVA. Nawapenda bureeeeeee, mbarikiwe na familia zenu
@jacklineogoye8305
@jacklineogoye8305 4 жыл бұрын
Mungu nimwema unatiya faraja sana akika niujumbe mzur sana
@mwambantwa187
@mwambantwa187 4 жыл бұрын
@@TumainiShangilieniChoir amen
@walawioutreach4055
@walawioutreach4055 4 жыл бұрын
big up.
@jeddyaudio7358
@jeddyaudio7358 4 жыл бұрын
Kwaya festival hhaha kumbe mliunga safi
@blandinachitallah6311
@blandinachitallah6311 4 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana,vyombo vimetulia na mmpendeza sana..Mungu awabariki sana.
@sarahyateri6794
@sarahyateri6794 4 жыл бұрын
Mmependeza Sana Na muziki uko vizuri pia sauti zimetulia vizuri mbarikiwe sana
@nicholouskuyava8440
@nicholouskuyava8440 Жыл бұрын
Aaaah! Sio mchezo songi hili linakonga moyo. Ninaenda Church huku naamini BWANA ANA AHADI ZA KWELI NA AMIN. ATANISAIDIA. YEYE SI MWANADAMU. HONGERENI WAIMBAJI
@SwebeMwanyilu
@SwebeMwanyilu 3 ай бұрын
Wazeee wakutokupoa ahahahaaà ongereni Sana miamba ya uimbaji mko vzr Sana ongggereni
@EDDAKALUWA-dd2nl
@EDDAKALUWA-dd2nl Жыл бұрын
Ninabarikiwa ninaposikiliza nyimbo za Tumani-Shangilieni Choir. Mungu azidi kuwabariki mnapoendelea kubariki watu wake na kuokoa wengine kwa nyimbo.
@faithmbise9388
@faithmbise9388 2 жыл бұрын
Nipe uvumilie moyoni Mungu wangu ninapokungojea nisikukose Mungu Wangu
@patrickmwangi47
@patrickmwangi47 4 жыл бұрын
Nyimbo zeno wana Shangilia zatubariki kweli. Naskiza nikiwa Nairobi, Kenya.
@TumainiShangilieniChoir
@TumainiShangilieniChoir 3 жыл бұрын
Much love to you brethren
@agneshassan4712
@agneshassan4712 2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@gracejulius5000
@gracejulius5000 4 жыл бұрын
Ahadi za MUNGU ni kweli na Amin,mbarikiwe
@ombeninassary7428
@ombeninassary7428 4 жыл бұрын
Sauti za kuvutia ninakungoja Yesu
@davidmoyo3593
@davidmoyo3593 3 жыл бұрын
Tunangoja hizo nyimbo zingine
@ipyanakabuje9429
@ipyanakabuje9429 3 жыл бұрын
Amina,,!bado namgoja YESU
@lilianlaizer9067
@lilianlaizer9067 4 жыл бұрын
Sijawai kuacha kuwapenda 😘😘😘😘
@agnesmwangama2553
@agnesmwangama2553 4 жыл бұрын
Uimbaji wenu unanibariki mno.
@ecabelmwai3474
@ecabelmwai3474 4 жыл бұрын
Sauti zinasikika vzr yaani best live recording ever nasikia ya 1 mpka ya4 vyomba maridhawa sio kama madebe endeleeni kumtumikia Jehova me shabiki yenu toka nikiwa mdg naomba mrudie zile nyimbo kwa vyombo hvi zitabamba mnooooooooooo🔥🔥🔥
@benardkisangi1496
@benardkisangi1496 4 жыл бұрын
@@TumainiShangilieniChoir Jesus is Lord
@اهلاوسهلا-ص3ف
@اهلاوسهلا-ص3ف 4 жыл бұрын
Annet
@اهلاوسهلا-ص3ف
@اهلاوسهلا-ص3ف 4 жыл бұрын
@@TumainiShangilieniChoir annet
@اهلاوسهلا-ص3ف
@اهلاوسهلا-ص3ف 4 жыл бұрын
@@TumainiShangilieniChoir rehema
@hmphrymz2356
@hmphrymz2356 4 жыл бұрын
N Cs
@justinleveran6137
@justinleveran6137 3 жыл бұрын
Wonderful song ....natamani kumtumikia Mungu nanyi katika uimbaji
@fredrickmtangoo5071
@fredrickmtangoo5071 3 жыл бұрын
Karibu sana
@vickymgonja1792
@vickymgonja1792 3 жыл бұрын
Mmebarikiwa sansana ..nabarikiwa na nyimbo zenuu
@neemamabele8451
@neemamabele8451 4 жыл бұрын
Hatimaye yaani duh nahisi kuwepo hapo karibu 🤣🤣🤣🤣Hallelulay
@faithmbise9388
@faithmbise9388 2 жыл бұрын
Bado ninakungoja Yesu
@salamafuraha7821
@salamafuraha7821 4 жыл бұрын
Hakikaaa nabarikiwa Sana na pia ninainuliwa Sana kiimani kila ninapousikiliza huu wimbo Barikiweni mnooo waimbaji, Mungu wa mbinguni asiwaache Amina
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 4 жыл бұрын
Bado ninakungoja Yesu !!!!!
@neemasarwatt1030
@neemasarwatt1030 4 жыл бұрын
Hongerani sana,mmetubariki mno KKKT Kimara, asantee sana kwa ujio wenu,baraka za Mungu ziwe juu ya maisha yenu,mwimbo mzuri sana.
@abrahammatahayo5917
@abrahammatahayo5917 4 жыл бұрын
Ndugu zangu kweli mnajua kuimba nawafuatilia toka mwaka 1992 album ya shangilieni kazeni buti Yesu Yu karibu
@BerthaSambwe
@BerthaSambwe Жыл бұрын
Bado ninakungoja yesu asante sana
@doctorzero-dj5xg
@doctorzero-dj5xg 4 жыл бұрын
Bwana awape neema tele ,na barikiwa nanyi
@imanijoshua5277
@imanijoshua5277 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana sana.. Sjui ntapataje huu wimbo jamani
@ephraimwaiton1164
@ephraimwaiton1164 4 жыл бұрын
My best choir of all time you are the best Endeleeni kumtumikia Kristo Yesu kwa huduma yenu mnawavuta wengi kwa mwokozi wetu Yesu Kristo
@happycharles3153
@happycharles3153 4 жыл бұрын
Wimbo wang wa kunipa nguvu kipindi majaribu ninayopitia baaadooo ninakusubiri yesu amen
@kiangoneema2979
@kiangoneema2979 4 жыл бұрын
AMEN!!! Haleluya bado ninakungoja YESU
@Nyamubi61
@Nyamubi61 4 жыл бұрын
Naisubiri kwa hamu USB flash yangu!!!!!! Mbarikiwe sana Shangilieni Tumaini Choir.
@Nyamubi61
@Nyamubi61 4 жыл бұрын
Mimi na familia yangu tunawaombea Tumaini Shangilieni Choir safari njema. Mwenyezi Mungu awatangulie na awe ndiye Kiongozi wa safari.
@patriciahussein2291
@patriciahussein2291 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa ujumbe huu mnaoutoa kwa nyimbo
@queenalex5069
@queenalex5069 4 жыл бұрын
Old is Gold..Mungu awabariki zaidi
@petersugilo1645
@petersugilo1645 4 жыл бұрын
Baraka za Mungu ziwe pamoja nanyi katika huduma ya Bwana popote mliko mbarikiwe.
@ibrahimumcharo1850
@ibrahimumcharo1850 4 жыл бұрын
Powerful powerful, Mungu azidi kuwainua Tumaini shangilieni choir, hakika mumeubariki moyo wangu 💖
@philipnjavike2659
@philipnjavike2659 4 жыл бұрын
Aisee mnajuwa kuimba ,mpo wengi mmependeza ,mnaonyesha ushirikiano wa kiuimbaji ,mnanibariki sanaa Tumaini nina miaka 55sijaona kwaya kama hiii.tupeni siri ya mafanikio
@pettymgabo6234
@pettymgabo6234 4 жыл бұрын
Yesu wa mbingun awabark
@joycebaraka7132
@joycebaraka7132 4 жыл бұрын
Yaan amna mbwembwe hadi rahaaa barikiwa sanaaaaa
@faithchibululu1892
@faithchibululu1892 4 жыл бұрын
Hatari wimbo mzuri saaana,bado nakungoja Yesu,Mungu awabariki
@brightngoyi128
@brightngoyi128 2 жыл бұрын
Merci avec ce chason
@solomonkibona3045
@solomonkibona3045 3 жыл бұрын
Amina. Nawaombea Mungu azidi kuwaweka pamoja na kuwainua kwenye huduma hii njema sana.
@sarahsamwely108
@sarahsamwely108 4 жыл бұрын
Bado nakungoja Yesu nice song
@maranathaanglicanchoirkoro2271
@maranathaanglicanchoirkoro2271 4 жыл бұрын
Hata sisi kwaya ya Maranatha- Korogwe TTC- TANGA(Anglikana), tunamngoja bwana, Pokeeni salamu zetu za upendo kutoka kwa Marafiki zenu, Tunawapenda sana
@samilandoo
@samilandoo 4 жыл бұрын
Asanteni sana
@maranathaanglicanchoirkoro2271
@maranathaanglicanchoirkoro2271 4 жыл бұрын
@@samilandoo Amen, karibu utembele ukurasa wetu usisahau kusubscribe
@soomoche
@soomoche 4 жыл бұрын
Tumaini kwaya, wimbo wenu huu toka kitabu cha nabii Habakuki 2:3 huwa unanipa tumaini kila mara niusikilizapo. Mbarikiwe sana na atukuzwe Mungu kwa ajili ya utume huo aliouweka ndani yenu.
@lucylesilwa5136
@lucylesilwa5136 4 жыл бұрын
Nymbo nzr jmn
@robertmodestmushema1297
@robertmodestmushema1297 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Vyombo vimepangiliwa vizuri vinapeana nafasi na waimbaji wamejaa vilivyo. uchezaji wa kistaarabu na sare zimewakaa vizuri. Hongereni sana kwa kazi hii kubwa.
@montekilamlya2347
@montekilamlya2347 4 жыл бұрын
Nipe uvumilivu ninapoingojea njozi hii!!sichoki kurudia nyimbo hii Mbarikiwe watumishi Mzee wangu anaishi Mufindi alipokuja Arusha alitafuta kanisa mpk akaabu awaone tu Mbarikiwe Gari yake audio n za Tumaini tu🔥🔥🔥
@aicdaressalaamchoir
@aicdaressalaamchoir 4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi..kazi njema Jehova azidi kutukuzwa..
@aicdaressalaamchoir
@aicdaressalaamchoir 4 жыл бұрын
Amen..Asifiwe Yesu
@manjekaboniphace7293
@manjekaboniphace7293 4 жыл бұрын
My favorite choir hamjawai kukosea . Mzidi kubarikiwa . This one is lit 🔥
@manjekaboniphace7293
@manjekaboniphace7293 4 жыл бұрын
Amen 🙏🏽 watu wa Mungu
NISAMEHE - Tumaini Shangilieni Choir
7:40
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 282 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 5 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,8 МЛН
TUMAINI SHANGILIENI - YESU EEH (Live Music Video)
11:46
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 10 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 5 МЛН
Kijitonyama Evangelical Choir - Naburudika.
10:39
mlekys
Рет қаралды 298 М.
MAJIBU YA MAOMBI
5:43
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 301 М.
KIJITONYAMA UINJILISTI CHOIR | ASIFIWE | SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA S01
10:18
Uinjilisti Kijitonyama Choir
Рет қаралды 266 М.
Nakulilia Yehova
5:13
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 581 М.
Paul Mwangosi - Unatawala Milele (Official Music Video)
11:30
Paul Mwangosi
Рет қаралды 392 М.
FUTA MACHOZI Official Video - Tumaini Shangilieni Choir
6:44
Tumaini Shangilieni Choir
Рет қаралды 187 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 29 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН