Рет қаралды 95,801
NITAINGIA LANGO LAKE
1. Wakati nitajikuta, mbinguni kwa Baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Haleluya nitasifu, kufika mbinguni | -2
Coras 1- Hosana! nitaingia kwa shangwe
Coras: Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni | -2
2. Nchi nzuri nchi safi, kwa Baba yangu
Kuna amani kuna furaha, huko ni kusifu
Tutakaa na Mungu wetu, nchi ya amani | -2
Coras 2A- Hosana! nitaingia kwa shangwe
Coras: Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni
3. Nitawaona watakatifu, manabii wote
Hata mitume nchi hiyo, nitawaona
Tutakula meza moja, nchi ya amani | -2
Coras 3A- Hosana! nitaingia kwa shangwe
Coras: Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni | -2