'Nitawataja Wabunge wanaouza dawa za kulevya nikiruhusiwa' -Mlinga

  Рет қаралды 233,391

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Headlines za Watuhumiwa wa biashara na watumiaji wa dawa za kulevya umeendelea kuchukua nafasi baada ya kuibuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Mjadala huo umefika mpaka Bungeni Dodoma na baadhi ya Wabunge waliosikika wakichangia ni pamoja na Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyesema yupo tayari hata kuwataja baadhi ya wabunge wanaohusika na bishara hiyo.

Пікірлер: 147
@mukhusinmbagwa
@mukhusinmbagwa 7 жыл бұрын
Safi sana we ni mbunge imara wote wangekuwa kama wewe wananchi tungekuwa imara.
@edgarmwaniti51
@edgarmwaniti51 7 жыл бұрын
Gracious jerry n mmoja kat ya watanzania ambao ubongo wao umelala mpk leo ila sio shida coz ndio hulka za binadam.
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
pongez kwako kwa🙌🙌🙌 kujiamin Mh. usiogope ya Amina chifupa ninachoamin kila nafsi itaonja maut hata awe nan piga kazi Mungu akutangulie
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
we jitie kiherehere cha kutaja vinara wa unga! kama hawajakusahau malinyi siku mbili tu!! yaan hii inchi ya kuiangalia tu inavoenda!! ukijitia msemaj hawakawii kukuswitch off! legendary Amina na jitihada zake zote siku ya kutaja watu na ndo siku ya kuondoka kwake dunian! r.i.p my hero Amina
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Hehehehehe^ badae sasa mtaingia mpaka kwenye nyumba za ibada/Siri hadharani sasa
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
Mama tuishi- mama tuondoke best sikuwezi
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
mara م‏/Hahahaha kwa nini
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
Mama tuishi- mama tuondoke nilikuwa napita2 nikakuona
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 жыл бұрын
Mama tuishi- mama tuondoke nikaamua nisimame nisikilize kilichojili
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 7 жыл бұрын
Nilimmiss Goodluck sanaa!!
@kamangaally3518
@kamangaally3518 7 жыл бұрын
Respect to yu brother, we n jembe kam rais wetu
@rashidijulius6511
@rashidijulius6511 7 жыл бұрын
good luck ww ni KIONGOZ mkweli.
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
ni CCM hawawezi kukakamata.ila awamu ya pili watakatafutia sababu sijui km katapata ubunge.
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 7 жыл бұрын
Wabunge kama hawa wanao jiamini wakipatikana kumi nchi iko mbali Sana kimaendeleo nimekupenda bule baba
@mariagodwin9581
@mariagodwin9581 7 жыл бұрын
maria Mungu awaongoze wote kwani mmegusa mahali pabaya kwa wenye pesa ambazo zimetokana na madawa hayo.Washushwe kama shetani .Unashangaa mtu unamjua ghafla anamagari ya kifahar ,ananyumba nzuuriii kazi anayofanya haujui.Kamata wootee .Mungu awabariki.kazi njema Tanzania bila madawa inawezekana tunaomba stika mabango vinywaji matangazo yooote yaandikwe.
@rukiahussein9737
@rukiahussein9737 7 жыл бұрын
Haya vilaza mmje hapa mtajane waonee sura zao leo mmechambwa huko bungeni 👇👇👇👇haya makonda anza namarafiki zakoo
@sebprincemalunde9536
@sebprincemalunde9536 7 жыл бұрын
Umesikika Good luck
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 7 жыл бұрын
youre real good luck
@zawadilibory8116
@zawadilibory8116 7 жыл бұрын
nimeipenda hiyo swafi sana
@michaelsanga3841
@michaelsanga3841 7 жыл бұрын
Safi sana.......2017
@hassankayla4076
@hassankayla4076 7 жыл бұрын
Safi saaaana huwa nafurahi sana ukisimama bungeni watu wanacheka na ujumbe unafika
@marychacha825
@marychacha825 7 жыл бұрын
kaka hongera meseji kwa ndalichako kiukweli waache private au waige kutoka kwao sio Kuzikandamiza, hela tunatoa wazazi iweje serikali ingilie , waingilie kayumba nazo zisimame kuwe na ushindani wazazi wataamua shule bora, umenigusa good luck!
@Souverai__Premier
@Souverai__Premier 6 жыл бұрын
We have a hero, he is right...🍹🌍🌍 Is yours man to help... I really appreciate your work...
@naftalichacha5393
@naftalichacha5393 7 жыл бұрын
daa the man angekuwa upinzani yawezekana angetisha san maana yaonekana ana mengi mazito kichwani mwake
@billtheadviser894
@billtheadviser894 7 жыл бұрын
safi kiongozi, wataje tuu
@centmichael4814
@centmichael4814 7 жыл бұрын
great
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
Good lipiganieni hiloswala nikubwa na athari yake nikubwa kitaifa sasa watu wanaleta utimu ccm na pinzani vby safii jembee
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 жыл бұрын
Ni kweli haya mambo si mageni kikubwa mungu aweke mkono wake hili zoezi lishinde tusichukuliane unafki hili jambo si geni masikioni ila uongozi ukithubu tu basi utasikia mengi sana tu mungu wabariki viongozi wetu mungu ibariki Tanzania
@happyabdallah8379
@happyabdallah8379 7 жыл бұрын
wakristo wasema kweli bwana yesu waongoze na kuwalinda
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
Happy Abdallah kwan yesu ndio alitumba ndio atulinda ooooh plz
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Happy Abdallah Kwaiyou baba yako jina lake abdalah apo muislam inamana baba yako sio msema kwel?
@andrewsailen7628
@andrewsailen7628 7 жыл бұрын
Huyuu hajakamatwa mpk sasa ila angekuaa wa upinzaniii angeshasafirishwaa hadii Dar achaaa moviee iendeleee
@martinanjiku2250
@martinanjiku2250 7 жыл бұрын
safi sana
@aishamohd9852
@aishamohd9852 7 жыл бұрын
yn we baba umeniosha bila sabuni walah km kungekuwa na watu kumi tu km ww nchi ingenyooka tumechoka na hao wauwaji wa watoto wetu... mungu akulinde mheshiwa .
@rosehillary8742
@rosehillary8742 7 жыл бұрын
Goodluck ww hapo umejilipu..Love it
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
Mpangilio tatizo kubwa
@rashidseif6786
@rashidseif6786 7 жыл бұрын
Watajeni ili muokoe jamii
@superlevy9389
@superlevy9389 7 жыл бұрын
saafi sana goodluck wabunge woote wa ccm wangekuwa kama wewe ingekuwa vzr saaana
@rajabumtawa4906
@rajabumtawa4906 7 жыл бұрын
ongeleni sana viongozi watanzania kwa kutufanya tunasahau kama Ali imekua ngumu pesa akuna na vitu vinazidi kupanda bei sasaivi imekua makonda na madawa mbaka bungeni akuna yakujadili zidi ya makonda na madawa
@babyfaa7677
@babyfaa7677 7 жыл бұрын
👏👏👏👏SEMA BABA SEMA BABAAA
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 7 жыл бұрын
😂😂😂😂Wewe komesha duuh
@marynjeri8500
@marynjeri8500 7 жыл бұрын
Huyu ndiyo mbuge anayetakiwa.watajwe wote.
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
mary njeri ni vigumu kumkamata n.a. kumfunga mtu bila ushahidi. wakitaka zoezi lifanikiwe kamata mtumiaji akapimwe ikabainika ahukumiwe yeye. ikiwa watatoa mwanya wa kutaka waliowauzia wataonewa wengi. kamata mtumiaji jela kwisha kazi mnaumiza vichwa bule njia rahisi ni hiyo. ni vigumu saana kumkamata muingizaji na. muuzaji kwa kiasi fulani
@kinggreatthinker9504
@kinggreatthinker9504 7 жыл бұрын
+Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe duh,,hili nalo kwa nchi yetu kizazi kipya tutaiga nn,,watoeni mapema hao ili nchi yetu izid kuwa safi ing!are
@faudhiasaid93
@faudhiasaid93 7 жыл бұрын
wewe ndo hujui na wauzaji sasa
@stellandoromi3141
@stellandoromi3141 7 жыл бұрын
yani Shule zaserekar akuna kitu
@tulalumbashaibu8475
@tulalumbashaibu8475 7 жыл бұрын
nice work Millard ayo
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 7 жыл бұрын
Ha ha huyu jamaa ni hatari safiii sana
@alexanderkwaslema4706
@alexanderkwaslema4706 7 жыл бұрын
Waambie brother mlinga
@Souverai__Premier
@Souverai__Premier 6 жыл бұрын
Mbona namuelewa arakasana, uyu ndo katili kwawa bunge.. namkubali Sana anahongeha ukweli mtupu...
@bakarimohamed6150
@bakarimohamed6150 7 жыл бұрын
ww G nimpotof kwann hujui kama kufa kupo kwani asipo sema ndio hatutamsahau nakwann hunahof na muumba wako kumbuka kila kaz kwamungu inamajibu
@faridamwaje7804
@faridamwaje7804 7 жыл бұрын
hadi rahaaa wallah si mpeni ruhusa tu🙄🙄🙄
@bahatikyomo1399
@bahatikyomo1399 7 жыл бұрын
Huyu jamaa anajitahid kdg kusema ukweli japo hapangilii vzur hoja , kias kwamba hoja nyingi zinasemwa kwa wakati mmoja.... but big up!
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 7 жыл бұрын
waaah nomaa kweli
@sharondivine2797
@sharondivine2797 7 жыл бұрын
ubarikiwe
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
Ni mtazamo wangu mimi na uwezo wangu wa kufikir ndo umeishia hapo! naona mmekazana sana wengne naona mnatamani mngeniona ili mnipige makofi! msaidien na nyi mlinga kuwataja kwan na nyie hamuwajui
@LyonWalker_
@LyonWalker_ 7 жыл бұрын
fantastic
@masungaherith2044
@masungaherith2044 6 жыл бұрын
I love mlinga jamani ....
@happymarkernest4098
@happymarkernest4098 7 жыл бұрын
wewe umeongea vitu pont nice
@shaabanmusa5127
@shaabanmusa5127 7 жыл бұрын
wakichukua ila bira umeme povu Goodluck
@aishamohd9852
@aishamohd9852 7 жыл бұрын
watanzani ifike wakati Jmn tuseme basi khaaaa...yn hatumuogopi mungu kabisa.....pesa ni pambo tu laduniani shetani katutawala mpk kumtaja mbaya wako unaogopa...walah! muheshimiwa km unawajua hao wauzaji pls wataje na mungu yuko pamoja nawe hata km kitatokea chakutokea
@patrickbihemo6349
@patrickbihemo6349 7 жыл бұрын
dah huyu jamaa kanena kweli!
@langadimbani9797
@langadimbani9797 7 жыл бұрын
Wabunge jadilini mambo ya msingi kweli haki ime lala kwa matajiri usi fanye pesa fimbo kwa wasojiweza ndamana wengi wana sepa marekani, uwingereza mana hali ikinesa Sisi ndo wano tupoteza.
@leonardjeremia1525
@leonardjeremia1525 7 жыл бұрын
amina
@janethjoseph923
@janethjoseph923 7 жыл бұрын
hii komesha
@hassanmbwambo2210
@hassanmbwambo2210 7 жыл бұрын
Wafichue kiongoz usisikilize wanaokukatisha tamaa maana nguvu ya taifa inadhoofika kwa sababu ya madawa yakulevya atakae bainika sheria itachukua nafac yake . (HAKUNA NAMNA WATAJWE HII NCHI INATARATIBU ZAKE ATAKAYEKIUKA TARATIBU SHERIA IFUATWE HAKUNA KUMUONEA MTU)
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
😃😃😃😃 et ada tunalipa sisi wazaz nyie serikal kinin kinawakereketa
@mamarama6360
@mamarama6360 7 жыл бұрын
hapo sasa enhe watajeeee sante wamesikia wahusika hapo wajipeleke wenyewe mahakaman namadawa yao
@duniasiombayailamwanadamnd1960
@duniasiombayailamwanadamnd1960 7 жыл бұрын
mbuge hajui kapanga hoja
@julianpeter7165
@julianpeter7165 6 жыл бұрын
ndio stail yake ya kuongea .kama trump na tweter au kwa sababu mwafrika?
@masungaherith2044
@masungaherith2044 6 жыл бұрын
What he says it is true...
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
aisee aibu kwaiyo Mh umesema Kati ya watu wa 5 wanaomzuka makonda watatu ni walaguz wa dawa za kulevyaa
@geofbeka1669
@geofbeka1669 7 жыл бұрын
huyu jamaa akili yake anaijua mwenyewe
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
geof beka kwamba ni mbaya au nzuri? anakela ukweli.
@eliaskana8513
@eliaskana8513 7 жыл бұрын
aiseee good izo ndo mada
@msafirizesafari2077
@msafirizesafari2077 7 жыл бұрын
msema kweli ni mpenzi wa Mungu japo wanadamu wengi hawataki kuambiwa ukweli;
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
Msafiri Zesafari mwenyewe
@Souverai__Premier
@Souverai__Premier 6 жыл бұрын
Uyu Ange kuwa rais ingekuwa vizuri... Sio domo Kama wengine.....
@famionlineapdates9371
@famionlineapdates9371 7 жыл бұрын
Nawaona nawaona mnatumbua tu majibu
@babyfaa7677
@babyfaa7677 7 жыл бұрын
Fami Said duh huyu katishaaa
@amoserasto352
@amoserasto352 7 жыл бұрын
madawa noma sana
@mbeyadigitalsound
@mbeyadigitalsound 7 жыл бұрын
haya mambo ni mazito
@consolathasaimon2545
@consolathasaimon2545 7 жыл бұрын
Safi sana baba yk
@leonardmandago9554
@leonardmandago9554 7 жыл бұрын
Consolatha Saimon raising wa Philippine mbona yeye wabuza unga aliwafyeka waote sasa amehamia kwa wanasiasa ni kudhubutu utaacha chata hapa duniani hata kama utaondoka
@karinjuma3165
@karinjuma3165 7 жыл бұрын
mmmh kz ipo
@innocentsteven2563
@innocentsteven2563 7 жыл бұрын
sema baba kweli kwenye maendeleo ya taifa 2clete ukada
@jicksonnkulikwa3047
@jicksonnkulikwa3047 7 жыл бұрын
kwenye mikopo hapo Nakuunga mkono,kwann Diploma wameondolewa kwny mikopo ya elimu ya juu?Pasua na hili Goodluck!
@hkmayala414
@hkmayala414 7 жыл бұрын
nmeupenda huu mstari kwamba kama ukinichukia mwanaccm rudisha kwanza card,jamaa huyu cjui huwaga mshairi nn maana vimaneno yake du .
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 6 жыл бұрын
Huo mtambo
@augusti5689
@augusti5689 7 жыл бұрын
Kwa kweli huyu Mlinga jembe!
@mussamorgan1560
@mussamorgan1560 7 жыл бұрын
daaah hii atar
@rajabuabdallah3840
@rajabuabdallah3840 7 жыл бұрын
godlack kk
@aishamohd9852
@aishamohd9852 7 жыл бұрын
maana kuna watu humu washaanza kusema usubiri kifo.. kifo kila mtu atakufa hakuna atakaebaki duniani kwa ivo taja baba usiogope kufa
@Mwl_Sanga
@Mwl_Sanga 7 жыл бұрын
Jamani Broo kuhusu elimu kama umeingia kwa tumbo langu siku zote nilikuwa nawaza hivyo, shule za private ni hiyari za bure zipo hutaki Gharama nenda za bure pili mikopo daa mbunge unaakili wewe!! Popote ulipo mbunge agiza Pepsi ntalipa
@ikrammanana4634
@ikrammanana4634 7 жыл бұрын
Na wanaouza madawa wengi ni viongozi na matajiri bnafsi.....wataje wafungwe wote
@piranha5105
@piranha5105 7 жыл бұрын
serikali yetu sasa inaelekea pabaya jamani nchi yetu inaongozwa kwa katiba sheria zipo zifatwe
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
he he he inaonekan dhahili kweli Bingen wapo arafu wankaa kimyaa jamni CI mumpe ruksa awataje
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 7 жыл бұрын
ha ha ha ha haaaaa yaaan huyu milinga hamnaga! et sifuri tupu!
@husseinmtiva8039
@husseinmtiva8039 7 жыл бұрын
kweli hajaja kugombana na wanafunzi
@rigansarkozir-gtv605
@rigansarkozir-gtv605 7 жыл бұрын
jamaa kaongea kweli 😂😂
@clarencechigoda8191
@clarencechigoda8191 6 жыл бұрын
nimekuelewa mbunge
@joshuawerema5799
@joshuawerema5799 7 жыл бұрын
haya bwana
@fredrickmdima6207
@fredrickmdima6207 7 жыл бұрын
my
@faidhomary3675
@faidhomary3675 7 жыл бұрын
mbona mnawahi kumkatisha kwann,kaongea point
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 жыл бұрын
leo umeongea ya maana walijidai inakuaje mkopo unachelewa? saa hizi Hamna kabisa
@bdbsbhssbbs9616
@bdbsbhssbbs9616 6 жыл бұрын
chama cha mapinduz oyeeee...mafisadi wote wamekwishaaa...!!!
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
ivi kwqn hamna kipimio cha kuinesha mtumiaj wa dawa za kulevya
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
Rosemary Benjamin kipimo kipo ila kwa vile ni biashara za wakubwa hawawezi kukitumia.
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe 😂balaaa
@miskiaayallah7668
@miskiaayallah7668 7 жыл бұрын
Wacha bhan!!
@nicholausraphaelkijanampol7186
@nicholausraphaelkijanampol7186 7 жыл бұрын
Unga mtamu jamani hasa ukila na majani ya maboga
@michaelelad5784
@michaelelad5784 7 жыл бұрын
duh! we jamaa akili zako unazijua mwenyew
@andrewnyambega5590
@andrewnyambega5590 7 жыл бұрын
huyu jamaa makini sana
@immanuelswai6679
@immanuelswai6679 7 жыл бұрын
huyu m2 vipi anaisifia serikali. hapo hapo anawapondea.
@frabomdemu4767
@frabomdemu4767 7 жыл бұрын
huna lolote usha jaribu mlinga
@allymwema8862
@allymwema8862 7 жыл бұрын
kweli kka we mbunge jembe
@jacksongido95
@jacksongido95 7 жыл бұрын
taja tu kk usiwaogope
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 7 жыл бұрын
Huyu jamaa sio mnafiki kabisa
@magesamagesa1990
@magesamagesa1990 7 жыл бұрын
Mbona hajawataja?
@alialle6441
@alialle6441 7 жыл бұрын
Me huyu mbunge hapana
@dekhdalnurio989
@dekhdalnurio989 7 жыл бұрын
huyu mbunge nimempenda kama nn vile
BUNGENI: Zitto, Ester Bulaya na Waitara kuhusu kauli za RC Makonda
12:46
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,4 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 199 МЛН
Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake
10:27
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,4 МЛН