BUNGENI: Zitto, Ester Bulaya na Waitara kuhusu kauli za RC Makonda

  Рет қаралды 227,528

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

February 8 2017 bunge lilipitisha kwa pamoja azimio la kuwaita mbele ya kamati ya Haki, maadili na madaraka ya bunge Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti kwa madai ya kutoa lugha za kuzalilisha bunge.
Baadhi ya wabunge walisimama kutoa malalamiko yao huku wengi wakiongelea kauli inayodaiwa kutolewa na Makonda huku Mbunge wa Bunda mjini Ester Bulaya akidai kupigiwa simu kutoka kwa Makonda yenye kuashiria vitisho dhidi yake.

Пікірлер: 159
@rukiahussein9737
@rukiahussein9737 7 жыл бұрын
Duuuu kumekucha ukisikia ngoma ivyomayo hupasuka makonda makonda nakuonaa nakuonaa nakithembe chako live 💃💃💃#MillardTv# Astaaaante kaka
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 7 жыл бұрын
Rukia Hussein 😂😂😂
@ayoubrogath4297
@ayoubrogath4297 7 жыл бұрын
Mbona wabunge mmekuwa wakali sana anatumia madaraka vibaya kukomesha madawa ya kulevya.....fanya kazi yako paul makonda.....
@mhujoaloyce8766
@mhujoaloyce8766 7 жыл бұрын
Hatukatai afanye kazi but Kuna utaratibu wa kuwaita watu sio kukurupuka kama anavyofanya
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 7 жыл бұрын
Lisinema lipo Mlemle Hamtuachi Tulaleeee Noma sana....Mbona Mnafoka sana Mlikua wapi siku zote ndugu Zangu ila sio bure👀
@anisiamedard3775
@anisiamedard3775 7 жыл бұрын
Mungu wangu Makonda usimuache peke yake Mshike mkono, Yesu aliponya watu lakini mwisho binadamu walimlipa ubaya, Mungu ibariki Tz na viongozi wote
@athanaselisha1617
@athanaselisha1617 7 жыл бұрын
In the name of JESUS CHRIST I pray FOR YOU RC MAKONDA. be strong enough in this war....raia wema wengi tukonyuma yako hata kama hao wabunge watakuwa kinyume na wewe...kumbuka kundi kubwa zaidi liko nyuma yako likikutazama jemedari wa vita...malaika wa bwana na wakulinde wewe na familia yako na ndugu zako usiku na mchana.
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 7 жыл бұрын
athanas elisha as I do I personally pray for him
@marryhancy5987
@marryhancy5987 7 жыл бұрын
thanks ayo tv
@emmanuelaggery6877
@emmanuelaggery6877 7 жыл бұрын
aisee mh chenge anajua yaani uyu mzee alifaa kabisa kuwa speaker maana anajua kweli sheria na kuliongoza bunge
@masserimasseri3789
@masserimasseri3789 7 жыл бұрын
Brother Makonda piga kazi wanasiasa waweke(usiwasikilize) kapuni kwanza, vijana wanateketea wao wanaleta maneno. Hongera sana kwa hatua hii
@loisafelix373
@loisafelix373 7 жыл бұрын
Rodman Walker na agnes masogange ambae alishasota lupango south afrika mbona hakuhojiwa wala kuitwa au amehojiwa chumbani?
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Kazi ya mkundu wako akakufire huko
@jenniferkayoza9618
@jenniferkayoza9618 4 жыл бұрын
sema kamanda ester
@sifacycy_bby8827
@sifacycy_bby8827 7 жыл бұрын
Shukran san #Ayo tv kwa tarifa hii.
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
yaan ninyi wabunge msiniaminishe kuwa wanaotajwa na Makonda ni watumiaji kweli na inavyoonekana inakuja kwa baadhi ya wabunge ndyo mana mikeleleee
@mhujoaloyce8766
@mhujoaloyce8766 7 жыл бұрын
Nawaunga mkono bunge fanyeni kazi yenu
@marthaokwisa541
@marthaokwisa541 7 жыл бұрын
kamata wote wote makonda mbona povu unajua mtu akiguswa kwenye kidonda aruka
@zuwenasalim38
@zuwenasalim38 7 жыл бұрын
hata km akili hatuna macho yanaona makonda anapigana kuzuia madawa lkn hata bunge hawampi ushirikiano hii ni picha kuwa kweli anaowataja wanahusika ndomana wanamchukia wanataka wampeleke kwenye kamati ya maadili ili zoezi lake lisiendelee ila mungu akusaidie makonda pambana wenye akili tumekuelewa
@athanaselisha1617
@athanaselisha1617 7 жыл бұрын
zainb imadrasat hidaya safi sana.
@mariamissa2224
@mariamissa2224 7 жыл бұрын
zainb imadrasat hidaya safi sana hawajielewi lakni kweli kwa wenye akili kama cc wamesha2patia majibu ndio haohao wabunge wanao fanya mtandao wa madawa yaendelee
@athanaselisha1617
@athanaselisha1617 7 жыл бұрын
zainb imadrasat hidaya yaani hata mtu ambae hajaenda shule anajua nini hawa wabunge wanakilinda!!!!shem to them....watanzania wasitufanye kama hatuna akili....2020 nagombe ubunge nikawapinge live hawa....bora nibaki peke yangu juu nikipinga juu ya suala la msingi.
@tumtumkhan3115
@tumtumkhan3115 7 жыл бұрын
zainb imadrasat hidaya Mungu hamfichi mnafiki watajulikana tu, siku za mwizi........
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 7 жыл бұрын
hapana #zainab sio unavofikir thnk twice>>>nxt
@mariamhadija7236
@mariamhadija7236 7 жыл бұрын
Ahsante #Ayo
@dr.effesokaguo2195
@dr.effesokaguo2195 7 жыл бұрын
zito kabwe is genius
@athanaselisha1617
@athanaselisha1617 7 жыл бұрын
EFFESO BRASTON kwa lip huyo nae?
@gulwetv8801
@gulwetv8801 7 жыл бұрын
makonda fanya kazi achana na bla bla yaani kazi juu kazi bamba tu bamba, hata uwe Peke yako jamii inakuona
@zayomari9008
@zayomari9008 7 жыл бұрын
umefanya la maana kufupisha tangazo ,asante kwa habari motomoto
@BernardLegembo1
@BernardLegembo1 7 жыл бұрын
povu la nn wabunge, makonda anakamata wauza na watumia dawa mnalalamika utadhani amekamata wakulima wa mahindi. hivi kuna nini hapa. wabunge mnatutia shaka.
@ramadhanirashidy3643
@ramadhanirashidy3643 7 жыл бұрын
hadhi ya bunge hadhi ya bunge wakati mnawaua vijana na madawa ya kulevya
@ngamiangamia4750
@ngamiangamia4750 7 жыл бұрын
Kube., umenidondosha saana bro.,
@saidsalmin1248
@saidsalmin1248 7 жыл бұрын
hoja za wabunge ni nzuri lakini wakumbuke madawa ya kulevya ni janga kubwa katika jamii zao
@michaelmejah2466
@michaelmejah2466 7 жыл бұрын
nashindwa kuwaelewa watz haya mambo hata mtoto wa form two anafundishwa darasani, jamani kuna mipaka ya kuongoza wote mkiwa chini ya sheria na ktk mihimili hii mitatu hakuna mhimili hata mmoja unaopaswa unaopaswa kumuingilia mwenzie sasa kama bunge linachofanya ni kutetea hadhi yake
@juliusnyonyi9616
@juliusnyonyi9616 7 жыл бұрын
na sheria zenyewe zinatungwa na wabunge kwahyo tuwaheshimu pia kwa hzo sheria waliozitunga sio kuwadharau
@elizageorge2414
@elizageorge2414 Ай бұрын
Hakuna kizuri duniani. Watu wamezurumika mpo kimya makonda kaja ndo hayo tena kizuri kipi
@akidasalim3859
@akidasalim3859 4 жыл бұрын
Huyo Makonda ni shida sana
@geraldyona8289
@geraldyona8289 7 жыл бұрын
Main issue ni Hadhi ya bunge c issue ya madawa ya kulevya jaribun kuelewa
@mwanahella9650
@mwanahella9650 7 жыл бұрын
Subhannallah haya tunapoambiwa ongea bakiza maneno ya akiba ndio haya yanatokea leo. twende kz makonda baba. nangoja awamu ya 3🤔🤔
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
makonda chumvi ya tz
@mwanahella9650
@mwanahella9650 7 жыл бұрын
Mama tuishi- mama tuondoke ukiona kifaranga kipo juu ya chungu ujue ndani ya chungu kuna mama yake.😔😔
@asherynjovu9775
@asherynjovu9775 7 жыл бұрын
Mwanahamisi Hella
@mwanahella9650
@mwanahella9650 7 жыл бұрын
Ashery Njovu Naaam🏃🏃🏃🏃
@emmanuelaggery6877
@emmanuelaggery6877 7 жыл бұрын
na hamna mbunge aliepinga jitihada za madawa ya kulevya ila taratbu za kiutawala zifwate....leo wabnge wakianza kudharaulika kesho wakipeleka matatizo yetu ya jimboni wasiposikilizwa kwa sababu ya hadhi yao kushuka tutamlaumu nani......sasa makonda nilazim ajitathmini madawa sio hoja pekee ya nchi hii,.
@mussaameir8715
@mussaameir8715 7 жыл бұрын
tangazo kubwa mno millard
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 жыл бұрын
bungen akuna kazi hta kupika ugali pia ni kazi kaa ukijuwa we mama unaye jitia kijana wte n mzee hpa kazi htutak kujuwa lazima muwajibike huu c wakit wa siasa muliomba kura mchana na mambo hfanyika mchana
@mariamissa2224
@mariamissa2224 7 жыл бұрын
fanya kazi makonda achana nao hao wanatapatapa maji yamewafika shingoni hawana lolote 2angalie nn 2napambana nacho ndio je wanalalaga hata kipindi kile 2likuwa 2kiona hawana lolote wanajaribu kufuta nn kinafanyika ovyoooo wabunge
@edsonsign9441
@edsonsign9441 6 жыл бұрын
Zitto mkijiheshimu tutawaheshimu lakin msipojiheshimu tutawadharau tu.
@jacklinembishi4816
@jacklinembishi4816 7 жыл бұрын
yaaani yaani yaani hawa wabunge cjui natamani niwafanyaje jaman nyie mna furaha na haya madawa kpnd cha kikwete mlisema anafumbia macho haya huyu anaetaja live tena kwa kitu kinachojulikana kinachowatesa vijana bado mnapiga nyie ni watu gani kwa nn mnawachagua jaman
@dulaisalim617
@dulaisalim617 7 жыл бұрын
kwaiyo kumuita dickiteta apo je
@edwardyusto5767
@edwardyusto5767 7 жыл бұрын
Makonda fanya kazi achana nao
@methnoah2892
@methnoah2892 4 жыл бұрын
walioanza kulichafua bunge,ni wabunge wenyewe hasa mbn leo povu linawatoka,au wanahisi watanzania ni wasahurifu
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
iki kiesta kiongo saaan tusikie iyo sauti ya RC makonda ,,,,,
@geoogeoo7731
@geoogeoo7731 4 жыл бұрын
Na mwaka huu binge mtalisikia tuuu bata nyinyi
@dicksongideon9431
@dicksongideon9431 7 жыл бұрын
wanazingua
@bennymgaya2277
@bennymgaya2277 7 жыл бұрын
Hivi wapinzani huwa siwaelewi siku zote kwasababu wakati wa awamu ya nne mlikuwa mnasema hana meno lakini sasa huyu anafanya kweli manalalamika nini je mnahitaji nchi iliyojaa mateja mbona mnatoka povo sana.
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
Wewe fala tu hujui nini wabunge waongeavyo
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
saf sana
@josephlugome5845
@josephlugome5845 7 жыл бұрын
Hivi Bunge TZ lina kazi gani? Mbona naona kama sielewi? Au ubunge kwa TZ ni nini? Leo wabunge wameunite kwa ajili ya kupiga stop Kampeni ya sembe?? Naona kuna Kuku kashikwa chini ya mabawa, Sasa vita ya unga inamnufaisha vipi Makonda? Si waliwahi sema wanasiasa ni waongo, na siasa ni uongo!! Je Tuamini lipi??
@mwidausaid5701
@mwidausaid5701 4 жыл бұрын
Bunge hili hamna kitu kuna watu wana kauli kuliko bunge
@gracejaphet7962
@gracejaphet7962 7 жыл бұрын
mtashughulikiwa kwel kweli
@mhujoaloyce8766
@mhujoaloyce8766 7 жыл бұрын
Makonda anakurupuka Bila kufuata utaratibu wa kuwaita watu kwa mahojiano na sio ku pronounced in public without having a evidence.
@ladslausmishonga7406
@ladslausmishonga7406 7 жыл бұрын
sawa hawa wabunge mbona siwaelewi. mbona wameanza kutoa mapovu. kwa iyo wanatetea mapapa wa dawa za kulevya .kumbe nimegundua ndyo maana tatizo la dawa ni la mda mrefu coz watu kama hawa wanakwamisha jitihada.
@BernardLegembo1
@BernardLegembo1 7 жыл бұрын
Mheshimiwa Raisi na Mheshimiwa Makonda inyosheni Nchi hii inaonyesha imeoza kabisaaaa. Sikutegemea kama watu hawa (wabunge) wangesimama kwa nguvu kupinga vita dhidi ya madawa. nilidhani watapropozi a proper methodology badala ya critisize the whole campaign
@amanihans5367
@amanihans5367 6 жыл бұрын
Hayo mapete vp
@Manshyne
@Manshyne 7 жыл бұрын
wapiganeeee tuuuuu/wala madawaaa
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
hili povu la sabun gan jaman 😂😂😂😂😂 anaejua anifahamishe😛😀😀😀😀
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 5 жыл бұрын
bunge hata halina adabu hata shulen wanafunzi wana adabu. we mwingine anaongea lkn kelele ka watoto
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 7 жыл бұрын
kijana Wa bosi na yeye anakuwa boss
@sharomosses5516
@sharomosses5516 7 жыл бұрын
😅😅😅 hawa inainekana hii kampeni ya madawa inawachoma, maana c kwa povu hili, Makonda fanya kz cc tunataka kz sio debe
@monicakilaziwe625
@monicakilaziwe625 6 жыл бұрын
lejea devid kafulira aliitwa tumbili kwa kuibua pesa za eskroo,hivyo usione majabu kuitwa nyani.uko vizuli kabwe.
@davidlucas5445
@davidlucas5445 4 жыл бұрын
Mbona atawewe hauna akiba ya maneno.
@klausschmidt9288
@klausschmidt9288 7 жыл бұрын
Wahalalishe msuba bac maana wanavyomshangila huyo ngosha 😅😅😅
@user-de7nf8pp3w
@user-de7nf8pp3w 7 жыл бұрын
alaf alowataja wote wapinzan jmn hyu makonda sas amekuwa too much no duh hatar
@gulwetv8801
@gulwetv8801 7 жыл бұрын
taja wapinzani alowataja acha kubaka habar
@janethcrusus1168
@janethcrusus1168 6 жыл бұрын
kazi
@janethcrusus1168
@janethcrusus1168 6 жыл бұрын
bungeni
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 7 жыл бұрын
cha pili wabunge wangu naomba msisahau kilicho wapeleka dodoma #hiyo hoja ya makonda ni mkoa wa dar tu huku mtwara haituhusu
@gosberthangelo
@gosberthangelo 7 жыл бұрын
acha ujinga kijana.. usiiaibishe mtwara issue ya bunge kuzalilishwa ni issue ya nchi nzima. Kwanza umeishia la ngapi ?
@justinnoderosa9
@justinnoderosa9 7 жыл бұрын
Gosberth Angelo ........hahaha wewe kwakusema ukweli
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 7 жыл бұрын
Gosberth Angelo You may have ur own opinion just write urs ...stay away from my comments unauliza elimu kwani nimekuja kuomba ajira kwako
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
hakuna kulinda hadhi na nilzima mdharaulike coz mnahusika na madawa
@elizageorge2414
@elizageorge2414 Ай бұрын
Makonda nyota inangaaa
@mariamissa2224
@mariamissa2224 7 жыл бұрын
MUNGU MBALIKI MH MAKONDA NA HASAMA ZA WA2 WACOMPENDA
@anastanciamalema9406
@anastanciamalema9406 7 жыл бұрын
itawasaidia nn nyie kupata heshima badala ya kutendea kazi ishu zenye manufaa eti mtu unasimama kabisa kuongea hbr za loudspeaker mbn ishu ndogo Hizo ebu fanyeni mambo ya maana mtahesabiwa kwa mwenyezi Mungu
@rinovarthiliwi1314
@rinovarthiliwi1314 4 жыл бұрын
CCM wanaigawa nchi. Hawana kauli nzuri za maendeleo wakati wanajua kabisa hata vyama vya upinzani na wanachama wao wanalipa kodi. CCM kufanya mambo ya kuendeleza nchi ni wajibu wao kwani wao ndio wanaokusanya kodi na walipa kodi ni Watanzania wote vikiwemo vyama vya upinzani. Sasa nashangaa RC makonda anazunguka majimbo ya wapinzani kuwapiga vita ili Watanzania wwaliopo upinzani wawachague wabunge wa CCM. Hivi Watanzania kama bunge litakosa Wabunge wa upinzani mnategemea nchi iweje. Yani bunge lisiwe na watu wa kohoji Bunge. Watanzania mumesoma shule kura mpeni Rais Magufuli lakini wabunge lazima watoke pande zote kuwe na watu wa kuhoji bunge kwa vile wenyewe mumeona Wabunge wa CCM wasivyo na maswali ya kulihoji bunge.
@ladslausmishonga7406
@ladslausmishonga7406 7 жыл бұрын
ayo ndyo tumewatuma bungeni? ni mada gani mnaongea izo? me nilitaraji kuona mkisimama kidete na kushrikiana pamoja na makonda ili mtuleteee list nyngne ya wavuta unga. tunawasubiri 2020 mtatwambia vizuri.
@sagengesamike8424
@sagengesamike8424 7 жыл бұрын
umeelewa mada inayo ongelewa au unakurupuka2 hujaelewa
@ladslausmishonga7406
@ladslausmishonga7406 7 жыл бұрын
Sagenge Samike mapovu yanawatoka yanini? . ni mbinu za kuwatetea mapapa
@sagengesamike8424
@sagengesamike8424 7 жыл бұрын
ladslaus mishonga Hapo hayaongelewi madawa ya kulevya rudia kusikiliza hiyo video uelewe vizuri kinachojadiliwa
@dearchobis8012
@dearchobis8012 7 жыл бұрын
duh, kazi IPO kweli tukiambiwa Nazi ya madawa no mtandao tukubali mana mi nadhani wange muunga mkono mana zimetumika njia nyingi lakini zimeshindikana hivyo njia aliyobaini no kuwataja ili wajulikane washirika wao mapapa sasa tumeona kuwa vita ni ngumu, mana kama njia ya itaratibu imegoma je mnadhani itumike njia gani sasa,mbona kazi IPO,yangu kacho
@lwiticomwalukumba4148
@lwiticomwalukumba4148 7 жыл бұрын
Acha uongo iyo simu ulipigiwa lini
@mariamhadija7236
@mariamhadija7236 7 жыл бұрын
mnatuchanganya bwana
@winsleymwasha1103
@winsleymwasha1103 7 жыл бұрын
Jmn marium uschanganyikiwe ndo siasa hizo
@jerryalfredngailo6106
@jerryalfredngailo6106 7 жыл бұрын
Paul haya maneno ni ya kupita usiogope fanya kazi mbona wewe umejaribu wakati waliopita hawakufanya lolote.Songa mbele
@stellandoromi3141
@stellandoromi3141 7 жыл бұрын
akamshike masogange kwaz tz mzima wanajua agne muuza unga mpka jera amewah kukaa south
@williamjulius8648
@williamjulius8648 4 жыл бұрын
Uoga tu
@elizageorge2414
@elizageorge2414 Ай бұрын
MMMMMMM
@edsonsign9441
@edsonsign9441 7 жыл бұрын
wote wakina bulaya ni wauza unga ndy maana u atoa povu. ndy walichowatuma wananchi hayo?
@aikaurassa5039
@aikaurassa5039 7 жыл бұрын
makondaaaaaa
@thomasmusa7297
@thomasmusa7297 4 жыл бұрын
Ewe makonda waache2 kwasababu wanajua hawajui maana ya uongozi maana wanaeda enda2
@edwardyusto5767
@edwardyusto5767 7 жыл бұрын
Tokeni zenu vijana wanakufa kwaajili ya dawa za kulevya alafu nyie mnaongea vitu vyenu. Nyie hamtufai mnatetea uhalifu
@ngamiangamia4750
@ngamiangamia4750 7 жыл бұрын
Hahahaha waache mchezo na maisha ya watu.., drugs' HATARI SANA.,mh.Makonda piga kazi bro. Eti leo nape bora kuliko makonda.., kube umenidosha saaana hahahhahahah.
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 7 жыл бұрын
HIVI WAWAKILISHI WETU WANA AKILI KWELI HAWA!!! HOJA YA MAKONDA INACHUKUAJE MUDA WETU? HIVI HAWAKUA NA AGENDA MPAKA WANGOJEE KUJADILI MAKONDA????
@johnmkyui6777
@johnmkyui6777 4 жыл бұрын
Hembu achen mambo ya hivyo binge ni mhimiri mkubwa sana si la kuzaririshwa na mtu yeyote mwenye akili timam kama mnachaingia changien mambo ya kujenga huo sio mpira wa janga vs simba kama mtu kakosea mkosoen na si kusapot ujinga uliwahi kuona rais yeyote analisema binge vibaya popote pale hata mh.rais maguful hajawah kulisema bunge vibaya
@fredyjulius6933
@fredyjulius6933 7 жыл бұрын
nyinyi wote niwauza unga tu
@saidikibiki6603
@saidikibiki6603 7 жыл бұрын
daaaa inauma sana ivi wabunge mnayaongea ni kweri
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
muhongo mkubwa ikichunguzwa ikaonekana hakukupigia kumbuka kuna kumbukumbu kwenye mitandao.wahongo wakubwa mnatunga. mkijiheshimu mtaheshimika.
@stellandoromi3141
@stellandoromi3141 7 жыл бұрын
sas unabisha ulipigiw wew roh
@abelmathias3437
@abelmathias3437 7 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe
@jamilacheyo8910
@jamilacheyo8910 7 жыл бұрын
+Stella Ndoromi ,ha ha ha
@oyay2821
@oyay2821 7 жыл бұрын
hii kujinaki kwa makonda kutakuja mtia pabaya. kiburi ni dhambi kubwa mbele ya mola
@sibawayhisalum2707
@sibawayhisalum2707 7 жыл бұрын
Hahahahaaaa kimenuka bungeni
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 жыл бұрын
mapap wanahaha uwiiiii list3 sasa ndomnaihofia hahahaa
@abelmshanga7519
@abelmshanga7519 4 жыл бұрын
Mwaka huu ester bungeni mtapaona kwenye tv
@visualservices8897
@visualservices8897 7 жыл бұрын
milard Tangazo limekuwa too much bana
@santodelove4351
@santodelove4351 7 жыл бұрын
Mamuu Visual Services sasa kaka unakereka na tangazo wakati hao ni wazamini wanampa hela millard
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
Bulaya muongo....hamna hata RC mmoja aliyesema Bunge si lolote.....uongo mtupu
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
wabunge povu kubwaaa.....mnatumia nn au....mtaisoma number
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 4 жыл бұрын
Makonda chafua baba
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Sw
@khamismussa6321
@khamismussa6321 7 жыл бұрын
Cku zote mlikua wap nyny pampaf
@robertkalolo1296
@robertkalolo1296 7 жыл бұрын
Khamis Mussa xawe
@geoogeoo7731
@geoogeoo7731 4 жыл бұрын
Sijaiona point aliyo iongea uyu mnamuta esta
@ayoubrogath4297
@ayoubrogath4297 7 жыл бұрын
Maza anatafta kiki😩
@juliuskalumbete5697
@juliuskalumbete5697 7 жыл бұрын
Ukweli unauma wabunge Hamna lolote badala ya kumsaidia kiongozi mwenzenu mnampinga!
@luganoamosi6416
@luganoamosi6416 4 жыл бұрын
Badala ya bunge kujadili namna gani watatuletea maendeleo sisi wanainchi ,yaani eti wanamjadili makonda du
@allysimon3561
@allysimon3561 7 жыл бұрын
Mnaogopa makonda ataawoosha na bado
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
umu bungen kun ki2 kun kuttean au wapo wanao husika na huu mtandao
@geoogeoo7731
@geoogeoo7731 4 жыл бұрын
Wabunge wa chadema mamae2 hamna lolote mbulu nyie mnakimbia bunge. Ningekua makonda walai msingetoka ndan nyoko nyie
@mainguburemo6186
@mainguburemo6186 4 жыл бұрын
Uongo wewe. Toa povu lako. Hatukuhitaji ccm we we umeshatukana mheshimiwa spika na hukupikwa ungepikwa usingekuwa na lugha mbaya mpaka kuvamia magereza. Koma we we. Makonda unamuingizia maneno. Wol
@ghindi9765
@ghindi9765 4 жыл бұрын
Maalimusefuvipi
@issaabuu2335
@issaabuu2335 7 жыл бұрын
Makonda muacheni jaman
@robertkalolo1296
@robertkalolo1296 7 жыл бұрын
issa abuu23 xawa
@Manshyne
@Manshyne 7 жыл бұрын
wapiganeeee tuuuuu/wala madawaaa
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
hili povu la sabun gan jaman 😂😂😂😂😂 anaejua anifahamishe😛😀😀😀😀
@abeid713
@abeid713 7 жыл бұрын
povu la gwanji
@jacobleonard2129
@jacobleonard2129 7 жыл бұрын
kukulupka VP sasa kisa watu maalufu..hamna kitu kma hcho kamata weka ndan kma hawana kosa weka uraian ndo ilvyo...ukicheka na nyan utavuna mabua
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 7 жыл бұрын
Nchi inaongozwa na MIHIMILI mitatu tu(3) 1.SHERIA 2.MAHAKAMA 3...........(cjui ) mihimili hii haiingiliwi na mtu yyte wala ynywe haiingilian (ipo huru) ZPO KAMATI ZA MAADILI WAWAJIBISHENI
@benjaminjulius8021
@benjaminjulius8021 7 жыл бұрын
Sadick Mponyamilly
@sadickmponyamilly
@sadickmponyamilly 7 жыл бұрын
vp #benja
@cindykris9320
@cindykris9320 7 жыл бұрын
Sadick Mponyamilly mihimili mitatu ni 1.executive (rais na mawaziri wake) 2.bunge(legislature) 3.mahakama( judiciary) kwa mujibu wa sheria kila kimoja hakitakiwi kuingilia mamlaka ya kingine but kwa sheria na kanuni za TZ inaonesha mahakama inamezwa na serikali haiko huru.
@gulwetv8801
@gulwetv8801 7 жыл бұрын
Sadick Mponyamilly mahakama bunge na serikali
@victorsomba867
@victorsomba867 7 жыл бұрын
3 ni bunge
Kauli ya Manji kwenye Mkutano Mkuu wa Yanga SC
1:40
Azam TV
Рет қаралды 219 М.
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 39 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Miongozo iliyoombwa na Wabunge Peter Msigwa na Sugu Bungeni leo
10:08
NEEMA YA MUNGU
5:22
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 18 МЛН
Zitto Kabwe VS Dk Tulia Ackson, Full package
19:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 320 М.
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
Raila, Orengo arrive in Siaya for the burial of Engineer Joel Mudhune
8:12
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 3,2 М.
'Nitawataja Wabunge wanaouza dawa za kulevya nikiruhusiwa' -Mlinga
5:00
Sikiliza Hekima na Busara za Riziki Shahari na Zitto Kabwe Bungeni
15:31
Global TV Online
Рет қаралды 359 М.
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН