Nakubaliana na Yusuf Manji kabisa... ipi njia ya kuwaita watu na kuwahoji,, na ipo tahasisi maalum ya kuwachunguza watu wanaohusika na mihadarati'' lkn alivofanya mkuu wa mkoa c vzr kabisa tena yeye pia achunguzwe na malaya wake wanauza unga... Anatafuta Kura za baadae na umaarufu mwingi kupitia migongo ya watu..
@athanaselisha16178 жыл бұрын
Jude Sammy wewe!!!mnawatetea kwa lipi hao???
@sudyreacts58898 жыл бұрын
athanas elisha wewe unaushaidi gani wakuwahukumu let your hard life ikufanye uwachukie watu
mi naona uko sawa lakini haya madawa yanaumiza hasa kama una ndugu ameathirika nayo
@marysiao16568 жыл бұрын
vyombo husika kama havitendi unayotaka we utafanyaje zaidi ya kuingilia kati
@rizikialmas48778 жыл бұрын
Asante millard ayo kwa taarifa muhimu kama hizi... Keep it up
@stellandoromi31418 жыл бұрын
tena anasifa uyo mkomeshe tu anaushaidi gani kwaza
@joycemichaellovelove22218 жыл бұрын
kama move vile part 2 sjui lin 😀😀😀 big up Makonda ita oteee bila kujar cheo yao ilimrad uwe unataarifa zao za kutosha hapa kaz tuuu
@bintirashidantybaby81468 жыл бұрын
joyce michael love love ama vipi muhimu tarfa za ukweli tu
@saidwilson65298 жыл бұрын
huyu makonda mshamba kama chobanga tuuu.....
@joshuakwelimoto64948 жыл бұрын
+said wilson huyu kiongozi wa mkoa simuelewi
@EmmanuelLupoja6 ай бұрын
Ishapita hiyo
@khamyszahor8568 жыл бұрын
Makonda kafikia mbali sasa,Na siku zote kupewa sifa nzuri tu hata kama na mabaya unafanya eti usiambiwe basi inajenga tabia mbaya.Makonda ajirekebishe
@brightvatta2844 жыл бұрын
Hii ni kutafuta masifa... this man! Mwenyezi Mungu akuweke hai
@shuwehaomar66588 жыл бұрын
Thanks Milad Ayo kwa habari ndefu kiasi chake
@allyhassani49788 жыл бұрын
ur right bloody....mana kila mtu anahadhiyake sasa kuitwa kwa kashifa kama hiyo sidhan kama kunabusara....ilaa neenda ijuma then utafufia hakiyako
@aminalyoba65208 жыл бұрын
makonda komaa na hao wauza unga maana wanaaribu ndugu zetu
@aminalyoba65208 жыл бұрын
ondoka hata leo kwani wewe ukiondoka yanga ndio yanga itakuwa imekufa
@bilalmatola26608 жыл бұрын
kuhusu kuwaita watu Na kuwahoji Makonda angewaita bila kutangaza kwenye vyombo vya habari alaf baada ya mahojiano Na wenye hatia kupatikana angetangaza lakin ivyo ni kutafuta Kiki kwa pombe unapomweka mtu mwenye carrier kubwa Na heshima Na kumtangaza kama suspect hata ukimkuta hana hatia tayar umeharibu carrier ya MTU wake up makonda work in silence success will make noise......
@ritchiexanti95878 жыл бұрын
Hahaaa.... Yusuph bna.... Kiswahil kinasumbua lakini naona kabisa kuwa jamaa ka mind kichiz... 😁😁✌. Usiwaze bruh... Yanga wako bega na ww.. 👏👏
@nayomikwambonayomi15088 жыл бұрын
SAFI SANA KAKA WAMEZOEA WALE WANAFKI TUU YEYE NA RAISI WAKE WAMESHAZOEA KUTUFANYA SISI WATANZANIA WAPUMBAVU ATUNA AKILI WANATAFUTA KIKI AMTAJE MASOGANGE BASI AMBAE NA USHAHIDI UPO KUHUSU YEYE MBONA HAMTAJI.
@hythamjamal89818 жыл бұрын
Manji yuko wrt kabisaVery gud
@hamiduchilumba23528 жыл бұрын
Mheshimiwa MAKONDA fanya kweli tupo nyuma yako sisi wapenda maendeleo mema,hata mungu pia yupo name,mkono wa mungu una nguvu kuliko.Hapa tunazungumzia maslahi ya taifa sio taasisi ya wachache.MUNGU BABA MTIE NGUVU MPE ULINZI WA JESHI LAKO,MHESHIMIWA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA.Mimi binafsi nimempa cheo changu cha MKUU WA WAKUUU WA MIKOA TANZANIA.
@arafangalawa28608 жыл бұрын
hamidu chilumba ameeen
@Richgasule95918 жыл бұрын
Aiseee ishakua ishuu nzito hii shukrani bro Millard
@ruthshayo13058 жыл бұрын
kwani mapovu ya mini manji usikatae wito kataa maneno ndio ww mwenyekiti wa yanga hatukatai kwa hiyo ikibainika unamakosa usiulizwe au kushtakiwa kisa mwenyekiti rudi nyuma kwenye kauli ya mh Rais amesema asiangaliwe nani na ana cheo gani .so makonda yupo sawa tunajua anawakati mgumu kwa sasa matusi yote ni take lkn anapambania nguvu kazi za badae .....alutaaaà continue baba makonda.
@AnzuDimpo8 жыл бұрын
Muheshimiwa Yusufu Manji yupo Sawa👏👏👏
@abelmirwatu198 жыл бұрын
Ninavyo helewa mimi duniani kote wauza unga siyo watu maarufu, kwa sababu wakijulikana ni rahisi kukamatwa siyo watu wamitandao nikama kaka kuona vile maisha yao jinsi walivyo..Mna mjua mwana music wa rap duniani Curtis jackson or 50 cen't alikua muuza unga mzuri sanaa alipo toka ktk lile genge walitaka kumuua na walimpiga risasi 9, lakini akapona kipindi hicho alikuwa siyo maarufu alipo pona ndiyo akaanza biashara ya music dunia nzima leo ina mjua. Kwaiyo hili swala si jepesi tushilikiane na raisi wetu kutokomeza madawa ya kulevya ndg zangu.
@providencentibakazi50318 жыл бұрын
salute to Makonda Dsm bila madawa ya kulevya inawezekana
@tareqhilal67503 жыл бұрын
Leo umejua kuwa ulikuwa hujui
@shuwehaomar66588 жыл бұрын
makonda anataka sifa tu au amechanganyikia baada ya watu kusema anakamata watumiaji anaacha wasambazaji sasa anataja tu had I manji hadi mbowe kweli makonda anataka ajiweke sehem nzuri ajeagombee urais sio bure unachafuachafua tu watu
jamaa angalia maneno hayo hawakawii kukutafutia kosa
@jamesmtangi80258 жыл бұрын
akili butu naww....fikiria vizur bhana,,,
@moodybite8 жыл бұрын
umzani aye siye usiemzania ndiye
@msemalufunga38768 жыл бұрын
watanzania bwana mbona mnachekeshaaaaa!!? mwanzoni ooooh anataja vidagaaa Leo mapapa hayooo ooh zipo njia mbona vigeugeu jamani???? mwacheni makonda afanye kazi yakeee!!!
@arafangalawa28608 жыл бұрын
MSEMA LUFUNGA nashangaaa na mm jmn duh wa tz hawana mcmamo walizani atawaogopa wakubwa matajir ss kawataja washeanza oooh makonda kaingia choo cha kikee waache kutapatapaa na yule mbunge alokua anaropoka bungen aropoke tenaaa tumckie walisemakina wema wameonewa wameachwa wahuska wametajwa wahucka tena bado lawama mh makonda fanya kaz ucckize figisu figisu za wafa majiiiiii
@MM-pb7fw8 жыл бұрын
wabongo wanashida kwenye ufahamu aisee
@moodybite8 жыл бұрын
ndio kaka
@TM.Sullusi8 жыл бұрын
Asante ndugu, uko sawa
@raphaelraphael45578 жыл бұрын
MSEMA LUFUNGA waite wote hata haibu kwa watu ni tiba
@iddiewazeer93008 жыл бұрын
watanzania wengi hatuna elimu na hatujaelimika white pipo wapo makini sana wanasoma katiba kujua haki zao ktk jamii ila black pipo humu tunashabikia tu wakat haki zetu kisheria hatuzijui hata katiba yetu hatujaipitia ila tuna mcriticiz mtu anaetetea haki yke kwa mujib wa katiba...shame on us
@Ishengoma18 жыл бұрын
Jamani hapa patamu sana. Na kule umekosea jina la kwanza la mbowe sijui ni mbowe gani ataenda central Ijumaa. Huu mwaka umeanza bila pesa lakini mziki ndo unachezwa sasa hivi. Huku Makonda kashasema part 3 inakuja, uwiii huu mwaka ni filamu tu
@ramadhanurassa24108 жыл бұрын
hapa ndio nilipokua napataka
@ummyissa46228 жыл бұрын
Ramadhan Urassa 😂😂😂🙌🙌😅😅
@bertharobert88418 жыл бұрын
😁😁😁😁
@winieramadan98578 жыл бұрын
Ramadhan Urassa mm pia nilikua napataka
@gabrielrobert71498 жыл бұрын
haha
@hassankayla40768 жыл бұрын
Intermission yaan kama movie la kihindi hahahahhaha #MANJI we nenda tu mkuu kama hakuna ushaidi wa kutosha basi dai haki yako ila #PAULMAKONDA mwacheni afanye kazi yake. Ahsante Millard kwa taarifa. #AYOTV
@kpetres28723 жыл бұрын
Pole Manji Ni changamoto. Nimerudi kuona mlivyoumizwa🙏
@shakirarashid91818 жыл бұрын
mm sikuzote waga na sema watu waupe sio kwenda ukachekiwe akuna cha yanga wala simba Hapa hatuko ki team tuko kikutokomeza madawa ya kulevya munajifanya wasafi wa nguo wachafu moyo
@arafangalawa28608 жыл бұрын
Shakira Rashid mpumbavu uyo anaongea nn uyo mbona hana lakuongea yang ooh msaada ooh alf anajipangiaje mda wa kwenda polis yule Melinda ni mheshimiwa kwako ata km umemzid kiuchumi kwendaaaaa pyeeeeee folen eti awez kupangaa looh
@wallacelussingu58208 жыл бұрын
Shakira Rashid y
@nassorsaid23318 жыл бұрын
Arafa Ngalawa wabomgo mnamatatizo na mnakalili sana kwa hiyo kama kiongozi ndo afanye anachojiskia.. the point point ni sheria siyo pesa,au uongozi
@maverickcreativesolutions82858 жыл бұрын
we ndo kilaza wa mwisho yani
@mrsmrshassan74738 жыл бұрын
Shakira Rashid
@salimatuyahhaya57728 жыл бұрын
😂😂😂😂😂manji sitaki sikia kelele mingi Mimi kutoka kwako. Ukifika kituo Cha polic ndo Tutajua mbivu na mbichi
@randymontana15218 жыл бұрын
Salimatu yahhaya kituoni watamfanya nini huyu? Unamjua nani kwanza huyu mtu? Hiyo serikali yenu ya ccm inaendeshwa na watu kama hawa! So they can't touch him! Huyo Makonda anataka kiki tu na kuwadhalilisha
@ronaldomwacha60988 жыл бұрын
+Randy Montana ameonewa
@salimatuyahhaya57728 жыл бұрын
Randy Montana Swali la watamfanini.....sheria itafuata kama Kwel anahatia Au makonda kakosea Njia Tutajua Napia SIWEZI kusema chochote Kile kuhukumu MTU Sipendi kudhani Nidhambi kubwa. Na pia Manji simjui na mfahamu2
@ronaldomwacha60988 жыл бұрын
Achunguzwe
@asharajabu888 жыл бұрын
tumia akili mdada huyo makonda atafuta kik 2 n keshaipata wakubwa hawataj ataja wat ambao hawapat kiuchum
@reganzawadi49653 жыл бұрын
Tumekuelewaaa Boss,, Ilitaka sifa yakijingaaa
@sifacycy_bby88278 жыл бұрын
Mh! poleni san walio tajwa ila nadhani #Makonda angefanya kuita umoja umoja kwa sim eti ju mnajuana asinge wamaliza Ila kupitia kitangaz hiv sio vibaya ww unafika tu ukikutwa huna kosa unarudi home ukikutwa unakosa unalijua moja. .....😷😎. shukran #Ayo tv.
@ashahaji49368 жыл бұрын
Hafidhi uko xawa my broo mm sesoma ila naona mapya ila hii list lazima ipo muda ila xaxa imepata msemaji ok Allah bless Tanzania
@samirymickdady81318 жыл бұрын
sizon sasa imefikia patam episode ya 3 sijui itakuwaje 😁😁😁😁😁 MA 🚌🚌🚌 kayakanyaga kwa watengeneza 💰 💰 💰
@imamumponda2768 жыл бұрын
makonda muacheni afanye kazi yake kwani jmn tulikua hatuoni watu walivyokuwa wanakula unga mpaka vituo vya daladala but katazame asa hivi mateja wamefyata na hao maboss wao ndio nawaombea muheshimiwa makonda aendelee kuwataja hivo hivo tuwajue tiwe na tahadhari nao maana haina maana wee kwa faida za watu wachache wengi wanaharibikiwa ndio nini !!!! makonda watajeeeeeeeeeee
@mariamjuma80388 жыл бұрын
manji uko sawa hebu tutafakari hivi vyombo vya habari kabla ya ushahid na uhakika utamtangazaje MTU pia anasema aende kutoa msaada msaada gani huo wakutangazana vyombo vya habari hebu serikali iliangalie hili swala na utafiti wa kuwakamata hawa watu
@joycemichaellovelove22218 жыл бұрын
Asanteee Ayo Tv 😀😀😀tunasubir part 2 ya kesho alaf kuna mwingne nae nasubir na alivyombish sipat jibu nn itakuwa😂😂😂
@mutuwetu89748 жыл бұрын
joyce michael love love yule ndio kichaa atamtaja had yeye kama alikuwa anauza halafu akaacha
@joycemichaellovelove22218 жыл бұрын
#Mutu Wetu 😂😂😂😂😂
@renaldakamugishazeramulake9408 жыл бұрын
joyce michael love love GWjima huyo ndo mbishi yuko anakemea akifika polisi wote wataanza kuimba kesi kwisha.hapana chezea MUNGU wa Gwajima
@joycemichaellovelove22218 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rashidiwaiti66863 жыл бұрын
Waliendeshaa nchii hii kwa visasi na ubabee munguu kafanya yakee hukuu somoo big up aallllaah
@alfanmuruwa56018 жыл бұрын
veve manji acha kelele bana kama nausa unga makonda asiseme makonda iko na evdence bana tafungia veve jela bana au nausa unga original hata ulaya uwezi pata kabisa
@arafangalawa28608 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@renaldakamugishazeramulake9408 жыл бұрын
Mr.manji basi yaishe.kesho nenda msamehe baba.
@halimambwego82878 жыл бұрын
Hahaha
@fahmisalum60367 жыл бұрын
+Halima Mbwego،،،،،،،،
@henrystanley40773 жыл бұрын
Hahahaha kweli maisha ubadili aiseee...makonda alitakiwa asaidiwe na watu hawa sasa kawatukana sijui atasaidiwa na nani na sasa yupo chini...safi sana Manji...walikua hawajui kama kuna maisha baada ya madaraka
@mariamjuma80388 жыл бұрын
in kweli makonda anafanya kazi nzur ila tusio ngee kwa sababu tunamidomo na sauti ila kisheria hata huyu manji yuko sawa maana kuitwa polis kwa kutumia vyombo vya habar bila ushahidi na akikutwa hana atakua kamshushia heshima yake inatakiwA mtu atangazwe akiwa kapatikana na ushahidi fikirien kwanza
@nestoryvumbama76267 жыл бұрын
mariam Juma
@hawawezidianakukushusha7568 жыл бұрын
kwenye makosa hakuangalii wewe ni nani kwanza binadamu wt ni sawa kwani we man hi nani au kwakua tajili ila tambua kwa mungu hakuna matabaka wewe ni raia kama wengne acha kujikweza na kujiona wewe ni mbora nenda baba itikia wito acha porojo
@hildakaaya69248 жыл бұрын
ukimsikiliza manji utamuelewa sanaaaa kweli walotangazwa hadharani kusaidia kwenye hilo si sahihi walipaswa wawaite private and wakishapata ushahidi wa kutosha ndo wangetangaza; binafsi sijapenda
@mjakajuma55744 жыл бұрын
Pole sn kak mungu atakulipia
@godlema61043 жыл бұрын
tulioangalia video 2021 tujuane
@halimasali.80818 жыл бұрын
narusha jiwe gizani atakae sema yalaaaaaaaaaa limempataa!!nimekuelwa yusuph iko njia kweli yakuita watu na kuwahoji lakini sikutangaza watu public na huna uhakika nao......niko hapa lawyer wako....tukutane ijumaa police station
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Hekima hekima hekima. Mungu tubariki Watoto wa Tz
@latifahissa11148 жыл бұрын
Mmh!! mungu wangu hii vita hii isije ikapelekea pabaya nchi yetu mana binafsi naona chachandu imepaaliwa makaa 😨😨😨
@hadjbori77338 жыл бұрын
Makonda amemtaja Manji ili aende akafanyiwe mahojiano kuhusu ili swala la madawa hakumtaja kuwa ni dealer wa hii ishu kama huko akibainika ndio msala kwake kama yuko safi ataendelea na shughuli zake.Baadhi ya watanzania hwaeleweki wakikamatwa vijana wa mitaani wanasema wanakamatwa vidagaa,wakitajwa wenye majina makubwa hoo mnawaharibia brand zao acheni watu wafanye kazi zao
@kibibifaraji84408 жыл бұрын
kweli manji alivyosema njia aliyotumia sio sahii yakuwataja watu kwenye tv bila ushaidi wowte ul kam vanessa amemwalibia mtoto wa watu jina kwakweli bila kithibitosho choche yani manji amnyooshe uyu Mr misifa
@athanaselisha16178 жыл бұрын
Kibibi Faraji hizo njia za kimnya kimnya zilifeli ngoja watajwe tu na liwalo na liwe sasa.
@estherwangare97598 жыл бұрын
Kibibi Faraji yeah hata nchi zingine zitakataa kufanya kazi nao...wema anavutia wengi na movie na shepu yake...V money katoto kazuri na venye kanaleta heshima tz juu ya mzikii saizi amerudishwa nyuma
@kibibifaraji84408 жыл бұрын
athanas elisha my dear angewaita tu unavyomtaja mtu kwenye video all Word wanangalia kwa sabb anakithibitisho ambacho amewakuta nacho anafanya vitu kam ameishia lasaba
@fafi90928 жыл бұрын
Kibibi Faraji Ushahid upo wanaukamatwa zaid ya kumi wanataja manji mbona awakutaja diamond achen kutete ujinga bn
@jecktonenashon95558 жыл бұрын
mmmh
@hactivist90768 жыл бұрын
This guy yupo sahihi kupigania public image yake maana if you want to summon someone then use the official means sio kutangaza kwennye media, kama mtu asipo showup utamlaumu kwa lipi maana anaweza sema kuwa hafatilii news wala nini na hatrust unofficial means. Wapo Tanzanians ambao hawatosupport the means liyotumia ila sio makosa yao ni kosa la kutojua law, na ndo maana haki itakuwa ngumu kuipata in this country, tusome kisha tutetee point kwa hoja na si kwa mkumbo, wake up people.
@hafidhsuleiman8048 жыл бұрын
Hactivist 90 uko sahihi mkuu! kuna mtu alinambia maisha ni kucheka kidogo na kulia sana...usifurahie kudhalilishwa kwa mwenzako, leo analia yeye...kesho utalia wewe! Huu utaratibu wake ni kinyume na sheria...
@sammymchuma35798 жыл бұрын
Hactivist 90 umesema kweli
@abbiecox18 жыл бұрын
WANUFAIKA MKO WENGI SANA
@abbiecox18 жыл бұрын
UMELALA PEKE YAKO KWA KUNUFAIKA NA UCHAFU WA UNGA UKITETEA UKO SAHIHI! KIPO UNACHOPEWA SI BURE
@masudikingwiti54258 жыл бұрын
Masudi
@aminayasin29068 жыл бұрын
fanya baba ametuchosha huyu ghabia asieelewa maana ya kaz yake kwnza yy ni mwndishi wa habar anaekaa kwnyw vyombo vya habar kuwadharirsha watu atumie cheo chake vizr na kwanza hii kaz c yake ni IGP yy kaz yk kuwapa muongozo mbona wengine anawachuku bila kuwatangaza acha zko we makonda fnya kaz ili uinufaishe nchi sio we upate ujiko
@halimambwego82878 жыл бұрын
Eee mungu kuwa kiongozi kwa hili zoezi maana ni mtihani kwa kweli
@mariamk14888 жыл бұрын
Halima Mbwego AMEEN HASBIN ALLAH WANEMAL WAKILI........
@halimambwego82878 жыл бұрын
🙇🙇
@renaldakamugishazeramulake9408 жыл бұрын
Halima Mbwego hakuna cha mtihahani wala weekly test makonda anakurupuka sijui kalishwa nyama ya kasuku! ukiambiwa mmeo au mkeo anatembea n.a. fulani. chunguza upate ukweli. muite chumbani mueleze.ndio uite wazee kisha tangaza hadharani. anapotangaza majina.tayari kaharibu upelelezi.wataficha.hutowakamatamakonda sijui wamekulea vp. huyu mungu wako ni mungu wa lema n.a. mungu wa tundu lisu mdomo umewapeleka pabaya taratibu kakangu familia n.a. wazazi wanakutegemea ACHA KUWA UNAKURUPUKA UMELISHWA NINI?
@mutenyoshadia60938 жыл бұрын
+Renalda Kamugisha Zeramula Kemil yaan majanga me napita tu
@raphaelraphael45578 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe kumbe kuleta dawa au dawa za kulevya sio bali kuwaita ndo kosa,pili makonda lengo lake ni zuri ni kumaliza dawa za kulevya sio kujaza gereza
@abelmirwatu198 жыл бұрын
Manji na Mbowe wameitwa si kama ni watumiaji sijui mme elewa vzr hotuba ya mkuu wa mkoa, hawa jamaa wanazo taarifa za wafanya biashara wa unga kwaiyo ili kuisaidia polisi ktk upelelezi wake lazima uwaite watu kama wale. Na baada ya hao mtakuja kupigwa butwaa wakisha toa maelezo nani wana fuata.
@alexkalonga53233 жыл бұрын
Anaeangalia hii clip 2021 anipe like yake apa
@jumaalhamid52423 жыл бұрын
so much pain hata kama mtu anauza hapa ni kulidhalilisha jeshi kama limeshindw kaz alafu huyu mtoto ujuwe alikuw anafata upepo sasa kmbuga kwsha kaz yake jamani tusome watanzania elimu hatuna wengi wao tumeishia primary tumeingia kwenye maskani za ccm elimu hatuna huyu mbele anafungw licha ya hapa hapa kw nyerere tuu kama kuna ustawi wa jamii haki sawa anaenda jela huyu
mashehe mpaka leo wako ndani wanatseka tena niwashtakiwa Wa kesi iso naushahidi nataka nimuone nahuyo gwajima akiwekwa ndani kama kweli kuna haki lkn naamini hata kama watamkuta nahatia wahayo madawa bc patapita figisufigisu nawala hatofanywa chochote
@marymayeye79478 жыл бұрын
hatukatai madawa yakulevi ni mapoya, lakini njia wanao itumia ni mboya. nikama hawakwanda shule .poleni wa tanzania.poleni kisomo kina saindia.
@pascaljulias60088 жыл бұрын
Manji anajua kujitetea histoshe ana refers kwenye katiba katiba ya nchi inavyosema jinsi na taratibu za kufatilia mambo l...kuna haki hinabidwi zifuatwe.kwa mnyonge ningumu kufanya hvyo....
@suzanasubira29738 жыл бұрын
Ujatajwa na Makonda..Ujatajwa na wenzio..maneno mengi ya nini..baba wewe nenda tu...Anaaibishwa mungu kila siku na watu wake mwenyewe...sembuse wewe.
@kebo21558 жыл бұрын
huna heshima yoyote.... na wala usijaribu kuitisha serikali.... kwanza hana adabu anataka kuleta zarau... lazima awekwe ndani...
@stephenbarnaba50618 жыл бұрын
Acha afanye kazi Rc bhn.....
@kfastak8 жыл бұрын
Manji Kwanza hataki ukaka na Mh.Makonda kabisaa. kuda da da daaa dekii
@aishachokai53348 жыл бұрын
jamani kweli hapa kazi tu ,tusubiri mapapa wengine ,maana walianza kuvua dagaa ,Tuckose part 2 ,part 1 ishapita
@rizikialmas48778 жыл бұрын
Kwani ye nani???????
@onesmongenzi34718 жыл бұрын
Manji Makonda sio Rais wa TFF wala sio Katibu wa Yanga yeye in Mkuu wa Mkoa yaani anamwakisha mkuu wa nchi ambae ni mheshimiwa Rais ndani ya Mkoa. Wewe ni raia kama mimi na unaishi Dar es salaam inayoongozwa na Makonda, huna jeuri kwa Makonda labda uhame mkoa. Wewe anaekujua ni Jamali Malinzi Rais wa TFF
@shuwehaomar66588 жыл бұрын
kweli makonda unataka kujiaminisha kwa rais upewe uwazir umeijia kwa pupa mjomba au kwavile umetoka kwenye familia ya kimasikini sana sasa unaparamia tu
@moredevidi14708 жыл бұрын
Hapa issue ni manji na tuhuma za mihadarati na si yanga na mihadarati..acha hasira au amekuchoma patamu...hapa kazi tu!
@arafangalawa28608 жыл бұрын
Shuweha Omar acha povu ilo kuwen na akili co kisa manji anapesa ndo asiwe na kosa kwa sababu ya pesa zake wakitajwa wanyonge mnalalamikaa wakitajwa hao badonaongeaa watanzania tutaishia kuabudu matajir mpaka kiyama kitukutee
Kwa hiyo utafanyaje ..Basi hutumii daws za kulevya lakini usimtuhumu Makonda uwalaumu walokutaja..
@officialmologa8 жыл бұрын
nasomaga comment za watanzania wenzangu baadhi zinasikitisha sana. Najua hatuna elimu na mfumo bora basi angalau tusome sana akili zifunguke kupitia kiwango cha elim tuliyo nayo,watu wanacomment hoja za ajabu ajabu kwenye masuala makini ,naombeni tusome kama hatujapata nafasi kusoma basi tuhimize watoto wetu kusoma ili angalau fikra zifunguke katika kujenga hoja
@khadijachembela59463 жыл бұрын
Achana nae kk tunakuhitaj
@frankmakolele79728 жыл бұрын
wamemsifu kukimbia amepapita hadi kwao...viongoz wa inchi hii hawajui kama kila kitu kimeainishwa kisheria sasa wao wanafanya maamuz kama vile wao ndio sheria..manji dont push back go and craim for justice....
@BarakaWaya8 жыл бұрын
Manji anaongea point Sana,nimpuuzi tu atakaye kurupuka kumbeza Manji.
@kennyrogers47343 жыл бұрын
Kweli kbs alafu kinachowatia vibuli makonda na baba ake makali walioshika ndo kinachowapa vibuli ila mungu nae ametenda maajabu yake
@kissatuagusto22467 жыл бұрын
... . .manji boss wangu wa yanga,kwanza tumekumic, ulikosea mkuu...!!!iombe serikali radhii,serikali plz tunaomba wanayanga mumusamehe mtu jamani, plz Magufuli tunakuomba.
@zephaniahkasonka47618 жыл бұрын
Ni kweli bn makonda afanyi vzr kabisa busara atumie la sivyo akumbuke uongozi dhamana jmn
@haidarimsigwa18338 жыл бұрын
Everything has its way of handling. If you think ur above the law since ur a leader then ur wrong and u r not feet to be a leader. Even if what ur doing is right and has good benefit to the community umless u do it rihgt then its not right it is wrong as what ur trying to correct. Lets learn how to respect people and there rights and by respecting the rull of law.
@mcharomcharo34128 жыл бұрын
kila jambo ni kwa taratibu na sheria. lakini pia levels za watu ni tofauti huwezi kumuhoji mtu mkubwa hivyo kama kapuku wengine ambao hawana status kwenye jamii
@charitythegolden7298 жыл бұрын
Makonda doesn't know that intelligence overloads intelligent to the downfall
@Allyhujjat5 ай бұрын
Tatizo si nn manji ama wakonda wamesema tatizo ni jinsi gani wote walivo sema
@officialdullastar10708 жыл бұрын
Jamaa kasoma sio mjinga kupelekwa pelekwa tu. Anajua haki yake akuna ubabe
@sumaritvonline46746 жыл бұрын
This man what is saying is automatically truth, you can't publicize someone's summon its very unfair
@SamwelNyangala8 жыл бұрын
kama napata hisia za huyu tajiri..... atavunja mtu taya........SHubaaamiti
@saimonimloka42218 жыл бұрын
Samwel Nyangala 😂😂😂😂😂🔥
@samwell81168 жыл бұрын
Mh Manji unachotakiwa kufanya ni kwenda kuitikia wito, maana haujaambiwa kama unatumia au kuuza lengo la Mh mkuu wa mkoa ni kuokoa nguvu kazi ya Taifa, kwahiyo wewe sio wa kwanza kwenye hili, tambua kuwa baadhi ya walioathirika kwa matumizi hayo ni wanachama au mashabiki wa timu yako ya Yanga.
@abdulabeid9068 жыл бұрын
tuwe tuna angalia angalia habari,,,,yawezekana,,,,nawewe kweny list upo,,,,
@filbertabdallahmdee26763 жыл бұрын
Walikuonea tu rudi home tunakusubir mungu atakusimamia na mungu yana ubaguziii na yupo na ww mda wowote kwe haki yako rudi tunakupenda
@jacobleonard21298 жыл бұрын
yy nan bhana hamna MTU maarufu hapa...hii ni fomular ya magufur wametajwa sana na kutimliwa kaz...PGA kazi makonda
@aikajuma68558 жыл бұрын
kweli makonda kakosea asingemtangaza angalau kumuita tu aweze fika na kumuhoji pole sana manji msamehe tu
@loner_wolf3 жыл бұрын
Mm sina chakusema, lkn harakati za kukomesha hizo biashara ni zetu sote, wwe kama umetajwa toa ushirikiano kwanza kisha ndio ulalamike kwamba umedhalilishwa maana hata sisi hatutaki hilo la kutajana isipokuwa kama ni kweli basi sio dhambi japo ni kosa.
@issasuleiman91988 жыл бұрын
Huyo Makonda kashaishiwa nausishangae ikawa niyeye ndo muingizaji mkubwa wahayo madawa mana uaweza ukamuona mtu anapiga sana kelele mwisho kumbe mchawi ni yeye
@xyzhabari33218 жыл бұрын
Ukweli ukijifichua uongo hujificha, hii vita ni kubwa sana wananchi tukae kuitazama Makonda ana akili zake na Manji pia kaahidi kwenda nae sambamba tusubiri tuone
@chiefandrewkidulile30288 жыл бұрын
Manji kanigusa sana na maneno yake hakika yamenitoa chozi nikiwa kama shabiki wa Yanga naomba apewe heshima yake nje na nafasi aliyo nayo. Naomba RC makonda umplease Manji cause kaumia sana na tunapoteza wawekezaji wa mpira kwa hali hii
@arafangalawa28608 жыл бұрын
Andrea Kidulile wee ndoo hakuna kitu kabisa kichwan mwakl ebu funga domo lako yanga na madawa vinahusu nn ovyooo makonda fanya kaz yako babes huuuhhhh patam hapo tajir nyng pekee yake acheni kuabudu binaadam wenzenuu.pyeeeeee
@sibawayhisalum27078 жыл бұрын
utajua ijumaa manjii utajielezea vizur kaka
@ephremmtuya30948 жыл бұрын
kama umewahi kuona vijana walio adhilika na madawa ya kulevya huna sababu ya kuwa na kigugumizi, toa ushirikiana tu. haya maneno ndiyo yanayo washushia heshima. RC Makonda kanyaga twende umepewa rungu.
@melkizedeckelsonmbise44246 ай бұрын
Shida ya Manji ilianzia hapa😢..mtu safi
@mwanabori28308 жыл бұрын
daaah hii vita hakimu mungu tu mwenyezimungu niwekeee nione the end
@joyceasheri35828 жыл бұрын
pia watanzania tusiwe wanafiki tulitaka majina ya vigogo wametajwa mnalaumu tuu mlisema jk anawalinda wauza unga leo wametajwa bado mnasemaaaa makonda yupo sahihi
@dianaahdarlingkenya76168 жыл бұрын
thus great @Millard Ayo great Job
@AliAli-mj9tj8 жыл бұрын
Dianaah Darling بةAyako ww kila sehemu upo
@dianaahdarlingkenya76168 жыл бұрын
one love one ppl pliz
@charlesmagere90208 жыл бұрын
wew ongea weee lakn ijumaa unahitajika .... wew usitajwe umekuwa nani kwnye hii nchi....unatukana tukana tu hata aibu huoni ....kama huhusiki blabla za nn
@charlesmagere90208 жыл бұрын
kama hutumii itajulikana.....wew huna uwezo kabisa wa kubishana na Makonda mana Makonda ni tasisi kubwa siyo mtu mmoja
@charlesmagere90208 жыл бұрын
yanga inahusikaje na dawa za kulevya....chombo cha polisi ndyo kinahusika na mahojiano ....wew ulitaka ukahijiwe wap....na brand iyo huna Manji
@Musa-wr8vk8 жыл бұрын
sijawahi kuona kiongozi mpumbavu kama makonda !
@alphonseisumba63268 жыл бұрын
je vigogo wa chama hawapo au mizengwe?
@salehemkala77758 жыл бұрын
Musa Msira wewe naona alija kugusa ndio mana unamlaumu makonda mimi naona sawa wawo wanasambaza sumu kwa watoto wa wenzao wanaona uzuri wacha waumbuke
@renaldakamugishazeramulake9408 жыл бұрын
Musa Msira bora ukuu wa mkoa apewe Harmolapa mpaka home atakuwa anafagia barabara as kariakoo so umeona anavomsaidia mpenzi wake home. MAKONDA NI HARMOLAPA KABISA
@goldendesertmrgolden59768 жыл бұрын
Salehe Mkala he? wewe ukitajwa kuwa umeiba Itakuwa? au kunautaratibu wakufwatwa eliejulikane kama kweri ww umeiba au laah kwahiyo huwezi kumtaja mtu kama anahusika nakitu furani wakati huna ushahidi watazania amukeni kuweni na akiri msipendekuamini kila kitu mnachosikia kunasheria na utaratibu
@sabrinamohammed13718 жыл бұрын
hii manji iko uza madawa bhana ,haki kaombe india unatutesa na na ma mall yako ya bei kubwa kisa wewe muuza unga kafanye iyoo kazi india siyo hapa ukitaka kutokukubali utarudi india kwa miguu tena umeniuzi alafu unaleta jeuli kama hii nchi ulikuwepo enzi za nyerere kama unauza madawa utaitwa tu polis
@merinamasawa11808 жыл бұрын
Sabrina Mohammed we ulikuwepo enzi za Nyerere??
@hilalhilal71988 жыл бұрын
Merina Masawa mulize vizuri atujibu yy alikuwepo wakati huo
@sabrinamohammed13718 жыл бұрын
Merina Masawa hapa kazi tu
@sabrinamohammed13718 жыл бұрын
Merina Masawa hapa kazi tuuu
@mkude8 жыл бұрын
sabrina jina lako zuri lakini haluendani na tabia yako,manji ameitwa akahojiwe,wewe unamtuhumu moja kwa moja,halafu na ubaguzi juu,ubaguzi ni mbaya dadaangu
@augastineboma5088 жыл бұрын
u spoke well mzee big up
@jacquelinemaritim86748 жыл бұрын
I was more like waiting to see someone like you brother, to stand tall concerning this BS going on in Dar er salam. This government is probably growing rapidly with crooks forcing for attention from people in the name of being senior!!! What is senior by the way? We all deserve the respect Makonda...get rid of that bro!
@tareqhilal67503 жыл бұрын
Leo nimekuelewa
@obillaezra62053 жыл бұрын
Duh” Kwa nini usiombe Msaada eti unaagiza Msaada very interesting term”