Рет қаралды 716
VITASA NJE YA ULINGO: Kwenye kona nyekundu ni master Aidan Mlimila na kwenye Kona ya bluu ni bondia Abeid Zugo ambaye ameelezea kitaalamu jinsi alivyoweza kuiga aina ya upiganaji wa bondia Mike Tyson kutoka Marekeni.
Mbali na hilo, yamezungumzwa mengi kuhusu maisha yake ya ngumi na kuelekea pambano lake mwisho wa mwezi Mei, 2024.
Hii hapa #VitasaNjeYaUlingo na #AidanMlimila kila Jumanne saa 1:30 jioni #AzamSports3HD