Dokta naomba kuuliza swal je hiyo tangawiz pamoja na pilipil manga nitachemsha au nachanganya kwenye maj barid2
@SoudShuraim5 ай бұрын
Calendar hii sio nzuri kwsbb zinabadilika badilika
@MikaKavАй бұрын
Asante dkt
@JokhakhelefRashid3 ай бұрын
A alykum shkh nina suali ivi iyo njia yakutumia tanga wizi na pili pl manga nikijiko kimoja kwa kila ivo vifaa au nikijiko kimoja mchananyiko? Nahalafu hio glass moja unukunywa mwanzo wa tendo na mwisho unakoroga nyengne ya mwanzo?au unabakisha nusu ile glass ya mara
@JumaaliJuma-uo7zuАй бұрын
Asalam alaikum swali langu iyo ulivyosema kama ukwepes maana yake nn au utoe njee
@evaristotave51032 ай бұрын
Mke wangu huenda siku 2 tu hedhi inakatta jee nisahihi au kuna shida
@mpondamedia24162 ай бұрын
ni sahihi hakuna shida hapo
@BraitonyYohana6 ай бұрын
Samahani naomba kujua dawa ya kuimalisha uume wangu maana umekosa nguvu
@mpondamedia24165 ай бұрын
nitafute 0652286323
@SoudShuraim5 ай бұрын
Wacha punyeto
@SaraphinaKidoti-qe7gi4 ай бұрын
😂😂😂😂😂@@SoudShuraim
@EditaMalaki3 ай бұрын
Lakini mbona siku zinabadilika badilika
@HajiMbene5 ай бұрын
Nimependa mafunzo yenu
@Abla_habiba025 ай бұрын
Vijiko vikubwa vya chakula kwa kila kimoja au Vijiko vya Chai kwa kila kimoja?