Mitandao ya kijamii ndoinatakiwa itumike hivi nifaida tupu Asanteni kwakwel ❤
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
Ahsante WOMEN MATTERS Hakika nimejifunza mengi Babysky naomba mawasiliano ya Dr samahan kwa usumbufu my
@silverman69305 жыл бұрын
Genius ... very intelligent Dr I’m so impressed 🙏🏿
@kipolaina5 жыл бұрын
john silver man yes in deed Anajua
@khadijasalum23025 жыл бұрын
Thanks group lote kwa kutuelimisha nimefaidika 👍👍👍
@priscillaamossen82495 жыл бұрын
Jamani, Tanzania mnahitaji elimu toka darasa la 4; huku Europe watoto, wanafundishwa na healthcare nurse mapema.. yaani wanafundishwa soma la Afya miili Yao kuijua (Anatomy).. watoto hawazai hovyo , wakianza mapenzi wanaenda kuwaona madaktari au healthcare nurses.. hicho kitu muwafundishe vijana huko, kuwaona madaktari Mara kwa mara.
@aminamakala78764 жыл бұрын
Hongera kwa kipindi kizuri mpenzi. Ahsante sana kwa elimu dr. Vumilia naomba msaada wa mawasiliano ya dr. Plz.
@سبحانالله-ح7د5 жыл бұрын
THANKS DOCTOR UNATUPA FAIDA KUBWA.
@fatmakombo75844 жыл бұрын
Docktar uko vizur sana umesoma sana tunajivunia WATANZANIA mungu akubariki
@petersevere62724 жыл бұрын
Dawa ya uzazi wa mpango ni htr sana
@sarahmunani38924 жыл бұрын
Uyu doctor nimempenda bure tuu,OK kwaza mafudisho yake ni mazuri yaani anaeleweka,alafu cha mwisho doctor ako so so handsome
@nabintukadende23885 жыл бұрын
Nime jifuza vingi njameni, Asante Sana. Courage tearm wa Maman 😍😍
@rosekimwaga86735 жыл бұрын
Aisee nawapenda mnoo....Liliani uko vzr mnooo..nakupendaa...iyo sauti sasaa...
@winniepriyanca38535 жыл бұрын
Hamjampa muda wa kutosha...njia zaid ya kuzuia mimba itumik ipi ambayo iko atlist good kuliko zngine
@hashkhantantrasiraji118 Жыл бұрын
Kabsa wanadandia kinoma kwa mbele hawa madada 😂
@upendowakwelinaamani10605 жыл бұрын
Dr, wa ukweli yuko vzr tunamshukuru kwa ushauri.
@RabekaCharles8 ай бұрын
Dah Hadi nimeogopa kutumia uzaz wampango jamani MUNGU anisaidie kujua kakalenda😮😮
@lindasophia12885 жыл бұрын
Wow i love this 😍 thanks so much SNS
@victorpoemarotawcb70755 жыл бұрын
doctor no kuficha weka wazi baba nakufata hapa congo kinshasa weka wazi kbe
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
MashaAllah kipindi kizuri sana. Ahsanteni wote
@cherilydavid30665 жыл бұрын
Hello Dr ungetuelimisha pia aina za cervical na pros and cos zake.
@jrlamar89255 жыл бұрын
AISEE WANAWAKE WANAWAKATI MGUMU KWENYE SUALA LA MAUMBILE YAO. POLENI AISEE
@fatmasemfuko63835 жыл бұрын
Asante
@maggymm73025 жыл бұрын
Yaani its crazy n alot of things
@lucyjohn79045 жыл бұрын
Wala sio Pole,tunamshkuru Mungu Kwa hv tulivo
@mwaminindayishimiye44345 жыл бұрын
Niatari akuna kizuri hadi woga 😌😌😌😌😌 ila nawafatiliya sn from UK in Newcastle
@jessymalembeka61815 жыл бұрын
Thanks. Nimejifunza mengi
@dainessgeorge48265 жыл бұрын
Nimejifunza mengi thanks doctor na waandaaji wa kipindi piah
@DrSanai5 жыл бұрын
Hongera dakitari, ila kwenye family planning, shule umetoa ndogo sana. Uzazi wa mpango umegawanyika sehemu mbili -njia za asili na njia za kisasa. Njia za asili - mama kunyonyesha, njia ya kalenda, mwanaume kumwaga nje mbegu zake.... Pia kuna njia za kisasa (medical)ambazo pia zimegawanyika. -ziko za mda mfupi, muda mrefu na njia za maisha Za muda mfupi ni kama vidonge, condom, sindano Na za muda mrefu kuna njiti za miaka miwili hadi mitano pia kuna kitanzi hadi miaka 10. Pia kuna njia ya maisha ambayo ni kufunga kabisa kizazi. Njia zote zina madhara/maudhi yake. Kwa ushauri fika kituo cha afya karibu nawe
@kettyym9859 Жыл бұрын
Kama mtu amejifungua Cs na anataka kuzaàa baada ya mwaka mmoja na miezi sita atumie njia gani nzuri angalau
@PeterLimoi2 ай бұрын
Asante naomba namba ya dokta
@a.8565 жыл бұрын
Bora muzungumze kiswahili ili watu wazid kuelewa mnachokijadili apo....sio wengi wanafaham fibroids ni nini.
@teddygabriel56624 жыл бұрын
Uvimbe kwenye kizaz
@gracekitema-cq3gv Жыл бұрын
@@teddygabriel5662 thank you 🥰🥰
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Wow l 💕 this thanks 🙏🏾 so much for help 😄 l will happy 😊😁😁
Oooh thank you doctor...what a nice program...kudos bby hiki kipindi kina mafundisho haswa wa mama😍😍😘😘😘😗😗😗
@faidavictoria Жыл бұрын
Jamani Babysky alienda wapi ?
@deboramlay5 жыл бұрын
That’s so much work vidonge kila siku 🙌🏾
@limodone49405 жыл бұрын
Mambo nipo UK naweza tukafamiana
@soamesphares5 жыл бұрын
Mnahitaji maandalizi kwa kweli; huyu Doctor hamjamtendea haki maana ana elimu ya kutosha lakini mpangilio wenu mmeruka ruka mada sana. Ni vizuri mngekuwa na mada moja kwa kipindi kimoja. Otherwise mnajitahidi sana na Watanzania wanahitaji huduma yenu. Kila la kheri
@boniphaceorest90885 жыл бұрын
Mtaalamu ana madini ya kutosha ila hao wadada miyeyusho
@paschazialusana12875 жыл бұрын
Wanamkatisha sana huyu docta ama mawazo na elimu nzuri, ila wanamkatishakatisha sana, wanarukia mada nyingine docta bado anaelezea kitanzi, shida wanaongea sana. Tunashida kujifunza
@evancekaganda12505 ай бұрын
Lily Maada ni nzuri ila umeibania muda saana umetaka ku cover vitu vingi kwa muda mchache, nimegundua ungekuwa na maada nyingi. Eg.Njia za kuzuia Mimba , njia za kupata ujauzito, uvimbe tumboni etc Tuingezee muda, please
@bichaujuma80655 жыл бұрын
Dr yupo tatizo lipo kwa wauliza maswali mngepanga nn mada ya kuongea kwa cku hadi tungezidi kuelewa lkn kwa mpango huu tunafika hatujui kipi tuache
@Itstropicoboy8 ай бұрын
Niko ku sikiya 1:52 ,♥️
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Mnapo angauka kukusadia kutupa elimu huku nje kazi yao kutumia dawa ili kutupa magonjwa na kupunguza kuzazi tusizaliane wapate hela
@faaali2445 жыл бұрын
Asante docta
@husnazehen6912 ай бұрын
Yaani ndio nimetoka kuweka lupu halafu nakutana na hii video jmn mbona naogopa
@faeshanoor41293 жыл бұрын
Bila ya kusahau tatizo la (ectopic pregnancy) mimba zinazotungwa nnje ya fuko la uzazi.
@janethkabigi78955 жыл бұрын
nimejifunza mengi sana
@selinamatiko-iq6ww6 ай бұрын
naomba namba ya dokita
@salmaruth34655 жыл бұрын
Thanks doc for your advice matters
@jackmacha60572 жыл бұрын
Hii midada inaongea sana Dr akiwa kwenye ponti wanamtoa
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Hapo penye maumivu ni bora hata uende hospitali kwa uchunguzi zaidi mana STD, fibroids, PID, mimba ikitunga nje, vaginal infections, menopause yote hayo pia yanasababisha ujisikie maumivu unapofanya tendo au hata baada ya tendo la ndoa.
@neemaremmy34715 жыл бұрын
Love Mummy
@fredricknkole54815 жыл бұрын
Samahani sana ndugu sms kwamimi binafsi sijakubaliana na hili sali ijapo kuwa hii ni channel naokubari jamani tukubali ma bilionea walishaa tuuza hawataki tuendelee kujaa. Samahani kwa gazeti ila 😍🧢🧢
@kitonekantasha16875 жыл бұрын
mwamuhoji dr bila maji 🙄 nikosa la jinai inabidi mule faini kubwa la Basata 😊 Lipwe fidia ya maji 🤝 Dr nakuunga mkono wanakuhoji maswali mazito alafu wao hawana majibu kuwaelezea mpaka kuelewa ningum sana 🤪
@rehemaaithumani30765 жыл бұрын
Asante Doctor unapatikana wapi maana wengine wako na shida ya watoto pls tuwekeeni namba🙏🙏
@agnesymkimbilile53955 жыл бұрын
Minaomba ushauli doctor amenipma nkaamua kutumia sindano sasa nilipofka sikuya saba toka nichome sindano nabridi mfururizo je nawezaje kuiharib sindano nirud haliya kawaida maana nabridi bila kupymzka
@ashorass44315 жыл бұрын
Kupitia kipindi hiki nimejifunza mengi, asanteni sana wana sns na dr
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
nimejifunz mengi san, hasanten kwa kipindi hiki
@felistermaximillian27934 жыл бұрын
Dr Mimi Nina watoto 3 na nilijifungua kwa operation wote, Dr wangu akasema kubeba mimba ya nne ni hatari kwa afya yangu hivyo nikafunga kizazi BTL, nikiwa na miaka 32, watu wengi wanaaema ntapata matatizo eti mayai yatanisumbua yaani Hadi naogopa nifanyeje?
@aishaamohamed4535 жыл бұрын
Shukuran sana kwa elimu hii ila tuwekeeni maswali muwe mwayakusanya nitauliza mutaita Dr anatujbu 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@binashunu4634 жыл бұрын
Sasa mbona hamjaongelea suala zima la mzunguko kwa wanawake, kuhusu 28 day ?
@zawadianagabriel97685 жыл бұрын
Tuambieni jamani jinsi ya kupata mtoto wa kiume
@RachelMussa-m7m7 ай бұрын
Mbona namalizaga mb zangu kipuuzi tu kumbe kuna mambo maziri hivi
@nabutv65245 жыл бұрын
Jamani naomba mnielekeze huyo doctor anapatikana hospital gani?
@andysam69215 жыл бұрын
Hawajibu,hata,mimi,namtafuta,huyu,dr
@mariamm27243 жыл бұрын
Inakuwaje jaman mtu kupata mapacha ,niambieni ninahamu sana ya mapacha ,kama vipi doctor atoe contact tujifunze
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Hili nalo lilinipita, ila nahitaji sana hii Mada ya uzazi wa mpango.
@mariamnamwa1885 жыл бұрын
Dcrt uko vizuri b blsd.babysky anataka kucheka tu😁😁
@felistermaximillian27934 жыл бұрын
Naomba namba ya Dr plz
@binashunu4634 жыл бұрын
Hapo kwenye kupandikiza ndio vipi, ili kupata mapacha
@juliethmakaya58415 жыл бұрын
Jamn napataj namba ya uyo docter
@iddysaidy25065 жыл бұрын
sitaki utani na mwili wangu na hayo madawa ya uzazi wa mpango
Dr nimejifunza vingi kama ingewezekana nikapata no ya Dr jmn
@sashababy13215 жыл бұрын
Tunaomba mumlete uyu doctar tena@woman matters
@marthapeter2055 жыл бұрын
jamani nashida na mtoto jamani na mzungu ko wangu unavurugika kira mwezi sasa miezi3
@aishakatigili81535 жыл бұрын
Nzur Allah akujalie doctor
@bichaujuma80655 жыл бұрын
Lkn nilikuwa na hamu sn kusikia vp mtu anapata mtt wa jinsi anayoitaka jamani twaomba ilo
@theonlyonebeautiful37265 жыл бұрын
Yeah nilisikia ukikojoa right away na kunywa maji ya baridi eti hutapata mimba🤔🤗
@gracemathias62325 жыл бұрын
Baby sky hzo nywele ni natural au?mbona zmenoga hvo
@queentz83145 жыл бұрын
Ndiyo maana me situmii chochote zaidi ya kondom Thank you Lord hayo madawa huwa nayaogopa tangia nikute ocean road utitiri wa wa wamama wenye kansa ya kizazi nikiwa 20's nikamuuliza Dr why na inatokana na nini? Moja wapo aliniambia ni dawa za kuzuuiya mimbaaa 😨😨😨😨😨
@blessingbagio48575 жыл бұрын
Hata condom zna madhara. Mie pia situmii chochote zaidi ya kukwepa majukum lol
@husnauthman76095 жыл бұрын
Kaz
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
@@blessingbagio4857, ni kweli
@alhamdulillah57965 жыл бұрын
Calender (natural planning) peke yake ndio njia salama kila doctor na kila midwife muaminifu atakwambia hio.
@platnumtanya28805 жыл бұрын
Queen Tz mmh kumbe ni hatari sana??mmh hua natumia p2 nayo ni mbaya??
@chainbre2755 жыл бұрын
Just following hatari 🔥🔥🔥💯
@mnzavachris54235 жыл бұрын
ww sentimeta 3 tu..huhuhu!
@chainbre2755 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 😝😋
@mnzavachris54235 жыл бұрын
@@chainbre275 ndomn ukanikataa!
@nasmahatibu95845 жыл бұрын
Jaman hiki kipindi nmekipenda
@wacundirangu16615 жыл бұрын
*#TheBestOfSNS* Big up
@victoriamwambungu68765 жыл бұрын
Ok nimekupata doct
@wemakalamu35385 жыл бұрын
Mubarikiwe kwa kweli hii elimu tosha
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Nice
@kibabemuhidine85275 жыл бұрын
Dah! Dr. Uko fit
@ZawadGift-fq6ln7 ай бұрын
nina shida na uyu dr jamani
@umifauz3845 жыл бұрын
asante dr, tumekuelewa saana
@hawahussein37515 жыл бұрын
I love the page
@rukiyahussan41905 жыл бұрын
Doctor asant sana nimepata kujua
@dianamalingumu45165 жыл бұрын
huyu doctor inabidi aletwe tena
@neemakilomoni42585 жыл бұрын
Thank you Dr nime kuelewa sana upande wa vibrad
@manyaramrema65315 жыл бұрын
We neema mwambie baba yako atoe hati ya simba
@ramadhaniassenga56025 жыл бұрын
@@manyaramrema6531 😁😁
@najmarushda43905 жыл бұрын
Duuu wapendwa hamjatundendea haki mmemkatisha dokt kujibu kuhusu maswali ya uzazi wa mpango duuu
@fatumanyopa28485 жыл бұрын
0
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Doctor yote hayo unayo yaelezea yani ni mimi kabsa Nina miaka 26 lakini dam hsitoki nyingi napia inapitaga hata miez 3 nlivyo skiliza nimekosa amani Yamoyo kwakweli 😭😭😭
@sifachanda82253 жыл бұрын
Docta samahan nnashida kubwa naomba namba yako nijieleze
@kettyym9859 Жыл бұрын
Lilian una haraka tuliaa
@ahmedalghailani5035 жыл бұрын
ivi wale wanawake Ambao wanakaa mda mlefu bila kuwa na mausiano nini Athara zake,unakuta mtu anakaa ata miaka 4 adi 5, alafu ikifikia atua ya kujisikia kufanya ilo tendo anajifanyia yeye mwenyewe.Je,kuna madhara gani?
@merianhalibunyoha26295 жыл бұрын
Wauliza maswali ni ziro hawajui kupangilia kabisaa
@mwasitiiddy74254 жыл бұрын
Hawajapangilia maswal kabisa
@ntulimwambambale75655 жыл бұрын
Jaman dokta nampataje huyu wengine tunashida
@borasalum6045 жыл бұрын
Ntuli Mwambambale &tumaini hosptl upanga,au tmj
@borasalum6045 жыл бұрын
Ntuli Mwambambale &anaitwa Dr.amri
@ntulimwambambale75655 жыл бұрын
Asante sana
@wahidawahida66755 жыл бұрын
Kikukweli sisi wanawake ndo tunaotumia ila njia za uzazi zote ni mbaya huo ndo ukweli zintupa shida sana tena sna mr damu za mr kwa mar maji maji harufu uvimbe uchafu mhhh nimetumia nikakoma
@fatmazullu49335 жыл бұрын
Si mzae tuu jamanii!!
@faidhangaga47575 жыл бұрын
Fatma Zullu utazaa kila siku???afu utaleaje.....too much is harmful hata watoto wengi nao ni kero sio sifa tena
@faithwambua81155 жыл бұрын
Is there nor plant ya 1yr
@raymondndaizele88015 жыл бұрын
Babysky hii mada kama kajaa woga vitu hivi vinatishaaa asee.
@rahmarahma9204 жыл бұрын
mwanamke anakoma siku Akiwa na miaka mingapi
@mrs29185 жыл бұрын
huyo mwenye remba apunguze kuchonga ampe DR nafasi ya kuongea, anajibu kama anajua vile
@hawahussein37515 жыл бұрын
Lilian Mwasha😂😂
@fatmazullu49335 жыл бұрын
Ni kawaida yake
@jacquelinejackson61245 жыл бұрын
Muacheni yuko kwenye kipindi chake
@mrs29185 жыл бұрын
@@jacquelinejackson6124 kwa hiyo kikiwa kipindi chake kakaribisha watu wa nini
@mwasitiiddy74254 жыл бұрын
Yaan aachag mtu amalizie swali
@arafaomari18325 жыл бұрын
ASANTE DOCTAR KWA KIPINDI KIZURI
@mangofish90795 жыл бұрын
kwa hiyo basi wale wanaoganda ndani ya uke sio uchawi ni contraction ya muscles ndio sababu
@beatricejoseph35375 жыл бұрын
Huyu dakttar kama anafanana na yule doctor mwingine
@neemaremmy34715 жыл бұрын
BEATRICE JOSEPH
@emuthree5 жыл бұрын
Kuna swali hapo...mlitafutie jibu mkimleta huyo docta...je na hao wanawake ambao hawasikii raha kabisa kwenye tendo la ndoa. ...kabisa, tokea wazaliwe, sababu ni nini?