⚡SLL⚡Kitendo cha kuwa na aibu ya kuongea na watu kimekuletea athari gani gani /kupoteza nini katika maisha.
@Hpclassic5 жыл бұрын
G Online nilimpoteza mchumba wangu
@GOnlinepositivity5 жыл бұрын
Pole sana husiruhusu next time ikutokee tena. Aibu inaharibu mambo mengi. Asante kwa comment yako
@Hpclassic5 жыл бұрын
Na chengine mi Nina wasiwasi na siwezi ku control mawazo yangu
@GOnlinepositivity5 жыл бұрын
Nina video ya hiyo soon. Ila kuwa na wasi wasi na mawazo yako hiyo inamaanisha unadoubt kichounachofikiri train akili kujiamini kwenye kila wazo lako na utaweza fanikisha kila unalowaza. Kila unaloona limefanikiwa lilianza kama wazo au mawazo.Jaribu kutuliza akili yako na jiamini
@jemairisparick75415 жыл бұрын
Being shy it has affected me for more than two years n for sure it has kept me away from even those who could help me alot expecially in my studies bt those who understand me they have been standing with me until I realized that I have lost very important pple bt right know it's like two weeks I can't believe my eyes I can't be stopped 💃💃 I opened up my mouth speak out confidently 👏👏👏 I appreciate your good work brother God bless you 😇
@tidythom99304 жыл бұрын
am so inspired ...i also escaped to give a morning speech when i was at school .....but thanks to u
@jenifamato-uc1jz Жыл бұрын
Kwanzia sasa nitajifunza kijiamini na kuongea vizur na watu bila aibu nakuangalia watu usoni Amen
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Amen
@filvobrowbrown62384 жыл бұрын
masomo yako yanahelemisha na kufudisha watu🙏🙏🙏🙏🤲🙏🙏
@silasjoseph92205 жыл бұрын
Iko vizur sana be blessed keep it up kutuelimsha bro
@kingstonendawa86714 жыл бұрын
Duh nashukuru sana kwayote umeongea ni sahihi kabsa.Mimi ni mfanyabyashara tatizo la aibu li menitesa kiukweli nimekuwa na tatizo la kushindwa kukutanisha macho nawatu hata wafanyakazi wangu wamekuwa wakiniaribia kuniibia na mengi maovu nimekuwa nikijihami kwa kuwafukuza ila hata nikileta wengine na wao wanakuja na yaleyale.kiukweli aibu yaweza kukupa karaha bada yaraha.Mungu akupe umri murefu afya njema mafundisho yako huwa yanatupa kujuwa muelekeo bola na sahihi
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Asante sana, ndugu ubarikiwe.
@mhinamngoya58894 жыл бұрын
Vp kaka
@mhinamngoya58894 жыл бұрын
Unatatizo Kama langu nitumie nambako tubadilishane mawazo kaka
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
0746-674596
@nusralilobwa47525 жыл бұрын
Mungu akutangulie uzid kutuelimisha hakika inapendeza sana.
@GOnlinepositivity5 жыл бұрын
Asante sana
@malimaabeid77794 жыл бұрын
Asante sana nimeongeza kitu katika maisha yangu
@mbelemmunga-ps4df7 ай бұрын
aibu imenifanya nikose vitu vingi katika maisha yangu shulen nafel nikiwa nawatu najitenga yani imenifanya nisiwe bora kwasababu nilikua na shindwa ata kuuliza kitu nilikua sijuw ruga yaapa nilipo ivo sababu ya aibu imenifanya nichelewe kujua vitu vingi ila kwasa abu ya ushauri wako I hope nita badilika🙏🙏 ahsante
@ngendakumanasalumdiki48855 жыл бұрын
Iyo kweli. Songa mbele kijana.
@NeemaRange-r6g3 ай бұрын
Asante san maana maana aibu ni kitu kinacho notesa san lakin naamini kuanzia leo nitakuwa wa tofaut
@JoanitaFrance2 ай бұрын
Mwenzako adi mm Nina AI u atasijui nifanyaje
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Ngoja nifanye mazoezi maana naibu sana Ahsante sana
@mohamedissaak92034 жыл бұрын
Shukran my brother mungu akujazie killa laa kheeri. Maana umetu nnufaisha na elimu ulio nayo thank you very much broooo👌👏
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Karibu sana broo
@footballskillsunited62502 жыл бұрын
imenikosesha kazi nyingi sana
@judithkidiwa79734 жыл бұрын
Mungu akubariki . Uzidi kutuelimisha
@ixtaronizoboyixtaronizoboy214 жыл бұрын
Mungu akubaliki uzidi kutuelimisha
@katemajr93745 жыл бұрын
Shukrani Sana Kaka🙏🏾
@salmasaidi28754 жыл бұрын
Nikweli kabisaaa Shukran
@fatmaaliy78554 жыл бұрын
Thank you so much
@abdulyrajabu63023 жыл бұрын
Nimepta somo zuli sana Jins ya kutokuwa na aibu
@RashidJuma-e9d6 ай бұрын
Aibubimenifanya nifeli Sana katika masomo yangu,maranying ntakua muoga wa kuliza pale sipo elewa na kujipa usahihi wa jambo nililofanya Mimi mwenyewe.
@kavamaangandengeaa23765 жыл бұрын
Ninzuri sana
@NgaduNambajin5 ай бұрын
naaibu sana nashindwa kuongea na watu najikuta mpweke
@ebenezerymetta3584 жыл бұрын
Shukrani sana kaka
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Asante karibu
@jemairisparick75415 жыл бұрын
🙈🙈 That was my problem thanks brother l
@GOnlinepositivity5 жыл бұрын
I appreciate thank you too for being here. God bless you
@gabrielmauki11715 жыл бұрын
Asante sana kaka
@salumsaid8515 Жыл бұрын
Nimekuwa nikishindwa hata kuuliza maswali ninapokuwa chuo baada ya mwalimu kumaliza kusomesha au pale anapotoa nafasi ya kuchangia kitu pia nimekuwa nikishindwa kumfundisha mwenzangu kile tulichosomeshwa hata kama nimefahamu vizuri sana hasa hasa mwanamke
@NgaduNambajin5 ай бұрын
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana
@rickjoseph62743 жыл бұрын
Bro nikama ulikuwa unanizungumzia mm et sema maneno haya yame kuwa na impact kwangu nahs nisha pona. Thkxfuly
@jenniferkanuya20293 жыл бұрын
Thank you so much brother nimejifunza kitu so i have to change my life style now
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Good
@leonardelias36363 жыл бұрын
Aibu imenifanya niwe mtu mpweke na mtu mwenye uoga wa hali ya juu yaan imefkia sehemu na namuongopa mtu nimpendaye mpaka najihisi labda mimi nikimwongelesha huyu dem nahisi nitatukanwa
@devotavomela36043 жыл бұрын
Nice brother god bless u💥
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Thanks ✌️
@franciscamoshi76716 ай бұрын
Thank u.
@misspinadavid63204 жыл бұрын
Ahsantee Sana umenipa ujasir mungu hakujlie kwani napenda kuimba kwaya kanisani ila nahofu aibu imenijaa
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Safi sana, endelea kuwa jasiri.
@elikomsuya96674 жыл бұрын
Nakubali Kaka nmekuelewa
@stefanojoseph41354 жыл бұрын
Good job bro
@joseefaidabutu72945 жыл бұрын
Asante
@faidaeliza32743 жыл бұрын
love you video for us 🇺🇸🇺🇸😘
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Thank you
@emanuelbernard65212 жыл бұрын
Kuchekwa
@thaniyanassoro97834 жыл бұрын
asante sana kwan mm hiyo tabia nilikuwa nay aso now nitajifunza
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Keep going
@NancyBernard-h2k Жыл бұрын
Thanks
@jassyjesca65433 жыл бұрын
Daah kinani Fanya nionekane shaif mbele za watu
@laralara36604 жыл бұрын
Asante sana
@yazidulunda46494 жыл бұрын
Very story
@bakarimwasenga17075 жыл бұрын
#umeeleweka kaka
@mohammadahmer48183 жыл бұрын
Asante san bro
@crisantz29442 жыл бұрын
Asante kaka
@anethMakoe3 ай бұрын
nimekosa mengi sana kwa kweli aibu ni mbaya imenifanya nimeshindwa kuongea na watu inanifanya nakuwa mpweke sana kweli elimu unayotoa imenifuraisha yani aibu ni kitu kibaya siipendi ata kidogo nilikuwa natafuta mbinu ya kuondokana nayo ivo asante sana kweli imeniasi li pia akili mana nakosa ata kufikilia vitu nashindwa kutoa maoni mbele ya wenzangu aiseee naichukia sana aibu kwenye maisha yangu
@sylviacornely46882 жыл бұрын
kitendo Cha kuona aibu kimenifanya niishie peke peke, bila marafiki hata nakosa mtu wa kushare naye changamoto za maisha
@loycerobson86392 жыл бұрын
Tatizo langu kubwa ni uoga Mimi ni muoga huta kudai Haki yangu naogopa nifanyeje
@peterwafula1522 Жыл бұрын
Kwanzia Leo niteza kuongea na watu bila uwoga nakuangaliana uso Kwa uso
@vicentgeorgekindeketa7168 Жыл бұрын
Kutokujiami kumenikosesha mambo mengi Sana kielimu na kimaisha ki ujumla ninaomba nikushirikishe jambo langu kama utaweza kunisaidia
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Sawa nichek tu 0629-718385
@floraemeeelias78402 жыл бұрын
Aibu imeniletea kuto kupiga hatua kwenye maisha kwa mfano napenda kufanya biashara ila naona kuongea watu kabsa
@GOnlinepositivity2 жыл бұрын
Pole sana jitahidi kuishinda hiyo.
@floraemeeelias78402 жыл бұрын
@@GOnlinepositivity ndo ivo cjui chakufanya brother
@Madam2556 ай бұрын
Naanza haya mazoezi sasa
@faizsalim20023 жыл бұрын
Siwezi kujitoaa mbele za watu
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Inakupasa ufanye hivyo sasa, unless utakosa connections nyingi na watu ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza kukusaidia.
@annajaydenjayden35173 жыл бұрын
Nna tatizo kubwa Sana kisaikology na inanipelekea kufel katika kufikia malengo yangu tatizo kubwa n aibu nashindwa kumface hata mtu mmoja napochangamana na watu nahisi kuwa uncomfortable na nnashikwa na uoga saana ata nashindwa kutoka kukutana na watu tofaut muda mwingi nakuwa pekeangu ndan nahisi hili tatizo linaendelea kukua na umri wangu unazidi kwenda kabla nitimize ndogo muda mwingne nashinda nikilia nikihisi nmerogwa nahitaji msaada nahitaji mtu wa kunijenga kiakili na kunfunza mbo mengi nisiyoyajua nataman kuishi Kama watu wengne Ila nmeshndwa🙏
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Nakuelewa sana, naandaa video kwaajili yako.Pole sana, actually hilo sio tatizo la kisaikology unahitaji counselling tu.
@chinatanzaniabusiness12623 жыл бұрын
Dear,. You're not alone
@ZainabuSeifu-g7q Жыл бұрын
Kitendo cha kutwakujiamin kimenisababishia bishara yang kufaa
@HalfaniJuma-tj4jr11 ай бұрын
Aibu
@vickykurey92683 жыл бұрын
Imesaidia naqbal
@GOnlinepositivity2 жыл бұрын
Asante hilo ndo lengo letu
@neozoran2447 ай бұрын
👊
@salumsaid8515 Жыл бұрын
Niko na swali naomba nisaidie Je kitu gani kinaweza kuondosha kujiamini kwa mtu baada ya kuwa anajiamini mwanzo
@GOnlinepositivity8 ай бұрын
Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuchangia mmomonyoko wa hali ya kujiamini kwa mtu, hata baada ya kujiamini mwanzoni. Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na: Maoni Hasi au Ukosoaji: Maoni hasi yasiyobadilika au ukosoaji, iwe kutoka kwa wengine au kutoka kwa kujikosoa, kunaweza kuondoa hali ya kujiamini ya mtu hatua kwa hatua. Hii inaweza kutoka kwa wenzao, watu wenye mamlaka, au hata mazungumzo ya ndani ya mtu mwenyewe. Kufeli au Vikwazo: Kukabiliwa na kushindwa au vikwazo kunaweza kuwa pigo kwa kujiamini kwa mtu, hasa ikiwa mtu huyo anachukua vikwazo hivi kama kushindwa binafsi badala ya fursa za kujifunza. Kushindwa mara kwa mara au vikwazo vikubwa vinaweza kusababisha kupoteza kujiamini kwa muda. Kujilinganisha na Wengine: Kujilinganisha kila mara na wengine, haswa inapoonekana kuwa wengine wamefanikiwa zaidi au wana talanta, kunaweza kusababisha hisia za kutostahili na kupungua kwa kujiamini. Ukosefu wa Usaidizi: Kutokuwa na mazingira ya kuunga mkono au mfumo wa usaidizi kunaweza pia kuchangia kupungua kwa kujiamini. Kuhisi kutengwa au kutoungwa mkono kunaweza kufanya iwe vigumu kwa watu kujiamini na uwezo wao.
@rashidsaid83654 жыл бұрын
aibu ilinikosesha pisi kali nyingi tu 😑
@rahelchaula5132 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@mhelelaedward97284 жыл бұрын
Na kwann mtu anatetemeka akiwa mbele ya watu
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Ni kukosa kijiamini mbele za watu.Tips hizo zitasaidia , kama kuna mtu na tatizo hilo share naye hii video.Asante
@shazmakhamis4991 Жыл бұрын
Kitendo chaaibu kimenipa hasara kubwa kwenye biashara yangu ya netwek kuongea Nawatu naona kama atanikosoa kiufup nakosa komfidens
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Pole jitahidi kutengeneza confidence yako
@LadoIdris6 ай бұрын
Na mm pia ningeomba urafik ili tuwe tunafahamishana mambo
@Soccer_Life23 жыл бұрын
Alafu sisi wenye atujui kigerenza ndio atari nifanyeje? Brother
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Nitashughulikia hilo
@saidimkubwa51584 жыл бұрын
Mm ninahaya kwl na sijajuwa tatzo nini
@GOnlinepositivity4 жыл бұрын
Haujiamini ndo maana. Tengeneza KUJIAMINI kwanz then unaweza kumface yoyote bila haya.
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Yaan ni mm kabisa niko na aibu so poa 😆😆😆
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Fanyia kazi hilo
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Ahsante
@daudsilvan55212 жыл бұрын
namba zako za Whatsapp naomba
@GOnlinepositivity2 жыл бұрын
0629718385
@rosemarymussa94534 жыл бұрын
Asante bro...
@francisnkina57038 ай бұрын
Ukovizuri bro andika kitabu tununue
@husnaiiyas2489 Жыл бұрын
Asante sana
@NgaduNambajin5 ай бұрын
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana
@mathameshac1194 жыл бұрын
Asante
@NgaduNambajin5 ай бұрын
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana
@HildaJuma-c4z7 ай бұрын
Asante xn
@mchmwal...z.a.ndelwa78383 жыл бұрын
Asante
@GOnlinepositivity3 жыл бұрын
Karibu
@NgaduNambajin5 ай бұрын
na aibu sana nashindwa kuongea na watu najiisi mpweke sana