TABIA 7 ZITAKAZO HARIBU MAISHA YAKO/ACHA SASA

  Рет қаралды 5,864

G Online

G Online

Жыл бұрын

Tabia 7 zitakazo haribu maisha yako, ziache sasa. Rafiki tabia ni kitu ambacho kinaweza kukufanya ufikie malengo au kufeli .Inategemea na wewe ni tabia za aina gani ulizonazo.
Kama- OG MANDINO - alivyosema “ Tabia nzuri ndo ufunguo wa maisha. Na tabia mbaya ni mlango wa kufeli”. Kwanhiyo leo nashare na wewe Tabia 7 zitazokuharibia Maisha Yako. Kama hautoziacha kwa haraka then zinaweza kuharibu maisha kabisa. Kama moja ya tabia hizi ni yako, so ni hatari kwa maisha yako. Kwahiyo ni bora ukireplace na tabia nzuri na kuokoa maisha yako.
Asante kwa kuangalia , usisahau Kulike video hii, share na rafiki na Subscribe kwa video mpya kila wiki (Jumapili na alhamisi)!!
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako.
🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa
Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385
..............................................................................................................
#Tabia #Maishayako2023#Tabiambaya

Пікірлер: 9
@soccerupdates5
@soccerupdates5 Жыл бұрын
Kwanza kabisa Kaka mkubwa Mungu Akubariki Sana na channel yako iweze kuwafikia watu wengi Kiufupi umenifungua Akili yangu Katika vitu vingi Brother 🙏🙏🙏
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 2 ай бұрын
Asante sana ...Namii naungana nawe
@Neemaa098-yf9os
@Neemaa098-yf9os 4 күн бұрын
Asante
@zuberikhalifa6703
@zuberikhalifa6703 Жыл бұрын
❤❤❤
@EdsonJohn-og7cm
@EdsonJohn-og7cm Жыл бұрын
Nasubilia SoMo Hilo kwa hamu kubwa Sana brother
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity Жыл бұрын
Asante
@zuberikhalifa6703
@zuberikhalifa6703 Жыл бұрын
That's true brother
@angelmollel2002
@angelmollel2002 Жыл бұрын
Great Thanks
@simonrwiza9553
@simonrwiza9553 Жыл бұрын
Kiukweli nilikuwa miongon mwa watu walioflkufatilia Sana lakin nilipoteza simu nikawa nimesahau akaunt yko lakin. Nashauri usiwe unaweka maongeza yakingereza tumia lugha nyepesi kueleweka nasi tutakuwa wateja wako chukua mfano kwa Joel nanauka. Kinachonivutia kwako nikuweka video yamifano juu ya unachokiongelea
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 68 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 113 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Kosa Kubwa Unalofanya ni Kufikiria Una Muda-ANGALIA HII!
4:34
tabia za kuacha ili uheshimiwe
2:36
darasa la biashara na ujasiriamali
Рет қаралды 2,7 М.
Hichi Ndo Kinaua Furaha Na Maisha Ya Wengi!!
8:16
G Online
Рет қаралды 1,4 М.
FIKRA/MAWAZO YA WATU WALIOFANIKIWA
9:46
G Online
Рет қаралды 55 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 378 М.
KUTANA NA VALENTINE BINTI ANAYEKIMBIZA BIASHARA YA NAFAKA DSM
29:22
Gangana Info Channel
Рет қаралды 10 М.