Рет қаралды 13,028
1. Njoo, Roho Mtukufu uoshe moyo wangu,
Utakase nia yangu, njoo, nijaze sasa.
Roho Mtukufu, njoo, nijaze sasa;
Utakase nia yangu, njoo, nijaze sasa.
2. Ujalize moyo wangu ijapo sikuoni,
Nami ninakuhitaji, njoo, nijaze sasa.
3. Nimejaa udhaifu, nainamia kwako;
Roho Mtukufu sasa, nitilie na nguvu.
4. Unioshe, nifariji, niponye, nibariki,
Unijaze moyo wangu: ndiwe mwenye uwezo.
Subscribe / @7t7ministryenglish24 ili upate kubarikiwa na nyimbo za kiingereza