Hahaha 😂 ,i never got narrator like you brow, you're the best, kazi nzur sana.
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana sana sana
@markokulanga5503Ай бұрын
Aisee yaani kuna vitu duniani utafikiri umeshajua daaah tunahitaji kujifuza sana na kuyajua mambo mengi zaidi Asante sana kwa Elimu zuri
@I.C.U2423 күн бұрын
Mwamba we noma sana
@maximilianludovick5407Ай бұрын
You have made my day katika upande wa story telling. You've earned my subscription brother.
@IdrissaBakar-x5r2 ай бұрын
Dah we acha tu part 2 ni nomaaaaaaaaaaaaaaa
@nk-computertraining2 ай бұрын
Walihenya kweli 😃
@EmmanuelTsuma-e2f2 күн бұрын
Interested from Mombasa Kenya 🇰🇪 ❤
@richmatelephonigsm41103 ай бұрын
mimi nimoja naependa sana mitandao ya giza kwa asilimia 100%naweza kutumia vizuli kabisa tangia na mwaka 19 ko nipo na intarest kwa mwaka kalibuni saba 7 intanet ya kiza imejumuisha mambo mengi lakini mitandao hiii ipo kibiashala japo kuna bahazi ina saidia pia kupata vitu vingi nya bule au elimu ios mbalimbali
@danielyramadhani3052 ай бұрын
Samahani ndugu unaweza nipa darasa adi kujua kuitumia internet vizur mana sisi wengine nikuwasha data nakuingia youtube
@barakamotta28552 ай бұрын
Tumekutana mkuu hata Mimi natumia tunaweza kushare.
@kilanjatv2 ай бұрын
Na mimi nifanyie mchakato huo nijue site hiyo
@nk-computertraining2 ай бұрын
Ooh hongera 👏🏾 sana ndugu
@richmatelephonigsm41102 ай бұрын
kwa kupata link soon nita kuja na link unayo jiunga kwa sasa una tumia dscode pamoja na teregram kila pahali utanipata tukutane
@TatuCharles-f5m2 ай бұрын
Jaman wakali wa hizi kazi tusaidiane jmn watu huishi kwa kutegemeana jmn,jmn nisaidieni humu ndani najua kuna professionals naomba tushikane mkono jamn wenye hizi fani nisaidieni maji shingoni 😢😢😢
Nime soma channel nying lkn nk. Pongez kwa sir.wa nk❤🎉
@Kaka_Rambo2 ай бұрын
Interesting
@goodluckLugeze27 күн бұрын
Mwalimu nkakubali sana aisee
@Mrbudaman-l6lАй бұрын
Jamaa unajua saana nimekukubari
@amodetygaАй бұрын
IT apa najifunza 😮😮😮 naombeni msaada
@officialfantasystudioz23 күн бұрын
really i like your videos, keep it up broo. respect😐
@habohimo13685 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ibrahkartel9778Ай бұрын
Kuna kitu nilikua sikijui ila umenifungua 👏 Shukran sana ila uongo mbaya wew ni Genius 👀
@DayyanSaid23 күн бұрын
😂umetisha bro.. wale wa 2025 tujuane hap
@estermgoma74512 ай бұрын
Hongera sana nakukubali rafiki yangu wa KENYA ndo kanipata link ❤🎉🎉🎉
@nk-computertraining2 ай бұрын
Vizuri sana, karibu NK Computer Training
@MeshackStephano-q6u3 күн бұрын
Kaka unajuwa kusimuliá 😁😁
@johnsonproductions2542 ай бұрын
Yes
@ChrisantJohn-d3l2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 daaah ni fantastic sana huyo ni kichwa
@nk-computertraining2 ай бұрын
Hahaaha
@BARAKA-ns3jv3 ай бұрын
Mbali na mafunzo uwe unatuachia madude kamaa haya tuondee stress
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sawa ujumbe umefika ndo yameanza hayoo.
@PENTESTING1222 ай бұрын
bro kuna technology duniani ambazo hata Africa hazipo Mimi nimetumia Kali Linux for more than 16 years
@BARAKA-ns3jv2 ай бұрын
@@PENTESTING122 kama uneipata afrika na ujatoka hata nje ya Africa basi ipo hiyo na kali Linux mbona kawaida watu kutumia hiyo
@huntemruketv91792 ай бұрын
❤❤❤
@WolfW-ip6jlАй бұрын
🎉
@Dellylubunga2 ай бұрын
Mimi ni congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 na somea computer science
@nk-computertraining2 ай бұрын
Ok bienvenu mon.
@jamalsamma5602 ай бұрын
Somo zuri sana😂😂😂
@gfvh72822 ай бұрын
Daa amaizing we jamaa😂😅😅😅😅❤
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee🤓
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee🤓
@abdallahhussein59972 ай бұрын
Fanya utafiti vizuri mmiliki wa silk road alikamatwaje na wala sio kwa udhaifu wa mfumo wake wa malipo ya kibank
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana.
@FrankmafweleАй бұрын
Nataka muniunge kwenye guroup lenu
@is-hakaame3 ай бұрын
Safi sana mwalim
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee
@amirisimba56292 ай бұрын
😅nmekubali. Nmepata elim uku naburudika😅. Na nmeelewa concept vzur. Nlkuwa napitapita tu. Apa nimenasa. Mwamba unajua 🙌🏿
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee 😃😃
@I.C.U2423 күн бұрын
Niunge kwenye group
@BETTOWORKS2 ай бұрын
his ni noma😂
@habaritvtanzania55622 ай бұрын
OYA MWANANGU NA KUELEWA SANA
@kassimbayuu3 ай бұрын
Hizi huwa nazipenda sana yaan, shukrani
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana Mr. Kassim.
@AlufacksadNkowela-g3i2 ай бұрын
Uko vizuli sana
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana.
@masomo34462 ай бұрын
Uko vzuri
@nk-computertrainingАй бұрын
Asantee
@AdilOmary3 ай бұрын
😂😂😂 dah I atar
@nk-computertraining2 ай бұрын
😃
@Francis-w8pАй бұрын
Unajua kaka 😅
@williamcismas609824 күн бұрын
Jinsi ya kuingia kwenye iyo alphabay wakuuu
@cbcpracticals2 ай бұрын
Busy making Clean Web....
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sahihii
@gudaguda21702 ай бұрын
5:17 We jamaa fanya research zaidi kujua ni nani alianzisha Bitcoin.Hauwezi kuzungumzia Bitcoin bila kumtaja Satoshi Nakamoto, huyu ndiye aliye publish paper iliyoanzisha Bitcoin na mpaka sasa anaitwa The Godfather of Bitcoin. Mwanzoni ilikuwa ni illegal kwa nchi zote duniani kutumia Bitcoin, lakini muda ulipokuwa unasonga watu wengi wali adopt mfumo huo na ukawa unakubalika nchi kadhaa na mpaka sasa unakubalika katika nchi zilizoendelea
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana, somo la Bitcoin linakuja kaa mkao wa kula.
@zakayodismas251Ай бұрын
Mwanyaa wala mavii ya mwayaaa😅😅😅😅
@chrispinmgina88512 ай бұрын
😂😂😂mwanangu nimekufahamu leo...nimecheck video ya kwanza...ikabidi niku follow tuuu... nikajikuta nafungua ya pili...napenda sana hizi mambo za computers
@nk-computertrainingАй бұрын
Asante sana sana, na Karibu NK hujapoteza kutufoloo
@nk-computertrainingАй бұрын
Asante sana sana, na Karibu NK hujapoteza kutufoloo
@StanleyGeorge-yj4uhАй бұрын
Fomu inajaziwa wapi
@ibrahimgamba80532 ай бұрын
Balaaaa
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asanteee
@FrankmafweleАй бұрын
Oky niunge sasa
@goodluckLugeze27 күн бұрын
So masomo tu uwek na v2 kam hiv
@kenethmutta82082 ай бұрын
yaan hadi imebidi niache kazi nisikilize huu swahili, ila umetisha.
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee
@ibrahdagreat2 ай бұрын
Sema napenda sana venye unajitoa akili katikati ya adithi ukiwa unathimulia😂😂😂
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee
@dawatul-salafi1293 ай бұрын
Mwalimu Upo kimya SANA😢
@nk-computertraining2 ай бұрын
Kweli ila tutajitahidi kutopotea sana.
@Kakh-c9r2 ай бұрын
Iyendeleeee episode nyengine
@nk-computertraining2 ай бұрын
Inakujaaaa
@makopamusic2 ай бұрын
Napendag unavyo adithia kaka😂😂
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asanteeeee🤓
@MoBytelive2 ай бұрын
Wanajuwana hao
@nk-computertraining2 ай бұрын
Huendaa
@HancMtuya12 күн бұрын
Nikupe shingapi ya sod ili unavyo tangaza unywe nipo siliazi yaani😂
@HekimaLameck6 күн бұрын
Mniunge kwenye group
@kassimbayuu3 ай бұрын
Ulikuwa umeadimika sana mwalim
@nk-computertraining2 ай бұрын
Kweli, tumerudi alhamdulillah. Asante sana.
@emmanuelmmbaga5209Ай бұрын
we failed😢🙏
@allymfaume6432 ай бұрын
😅😅😅😅😅😂 unajua
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee 🤓
@MeshackStephano-q6u2 ай бұрын
Hackers ni process kubwa sana
@gudaguda21702 ай бұрын
Ninakubuli mawazo yako. Sio kitu rahisi kama watu wanavyo angalia kwenye movie, au hapa youtube
@ahmedmiraji8772 ай бұрын
Kwa mtazamo wangu alio kamatwa ni mfanya biashara mdogo tuh na kachomwa kwa ile email, ili kuwauza wamarekani na kweli wakaifunga kumbe jamaa ana copy nyigine yani DRS, distart recover site nyingine baada muda kujiaminisha wameshinda kaliamsha dude 😅
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sio wewe tu bali kuna watu wengi duniani wanahisi hivyo pia. Asantee
@YussufAlly-li3ti2 ай бұрын
Hem ongea vizuri bana weee aghh
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sawa ila viungo ni muhimu hata katika maongezi yako ili kuchangamsha kijiwe🤠🤓
@LutfiaRashid2 ай бұрын
@@nk-computertrainingbwana usibadilishe kuongea mi hvi ndo napendaga
@abdulwahidhaji3245Ай бұрын
@@LutfiaRashidHahahahaha
@fardoshnassor78472 ай бұрын
🥺
@inearclassictz12332 ай бұрын
Black market
@EREVUKATV3 ай бұрын
ILA WE JAMAAA NI HATARI SANA
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee
@LyonWalker_2 ай бұрын
unaweza tupatia story ya hacker sikumbuki vizuri alikuwa antokea kenya au SA ila alijifungulia account kwenye bank na akawa akichukua shilingi moja kwa kila account ila aim yake ilikuwa ni kupata kazi jamaa wakasanuka na kugoma kumpa kazi akaifilisi bank kwa soft copy translaction
@nk-computertraining2 ай бұрын
Ok acha niitafute tutaileta hapa. Asantee
@RashidiMdee-s3p2 ай бұрын
Hio story ni kweli Alphabay Moja ya lililokuwa soko kubwa sana uko Darkweb...!! La Madawa ya kulevya na vingne vingi
@msamgunda76843 ай бұрын
Habar.mimi ninasubiria hio coz ya electronics.nipo tayar kusomeshwa,inshaallah
@nk-computertraining2 ай бұрын
Vizuri sana kwa kukata tiketi yako mapema masomo yanakuja
@nk-computertraining2 ай бұрын
Vizuri sana kwa kukata tiketi yako mapema masomo yanakuja
@actuainternas3 ай бұрын
Internet= interconnection network
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee
@atukuzweluhanga74012 ай бұрын
Unaweza hata kununua ATM machine wakakuletea
@hamzaforogo2 ай бұрын
Haha haha mwalimu unachekesha haha haha nafurahi sana
@nk-computertrainingАй бұрын
hahahaah
@Stanley-mtihani2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@reubenalfred97072 ай бұрын
Internet- interconnected networks or interconnection of networks
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu.
@aishakhalid50322 ай бұрын
Mwalimu naomba ufundishe jinsi ya kutumia scientific calculater kuanzia sifuri
@nk-computertraining2 ай бұрын
Okee sawa tutajitahidi.
@ETT32 ай бұрын
Utuletee historia ya Silk Road
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sawa, Ila Nadhani tumeigusia hapo
@gfvh72822 ай бұрын
Daaa we jamaa unamadini kichwani ngoja ni- subscriber sasa hivi😂😂😂😂😅😅😅
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee hahaaha na karibu sana
@CHOD-x4p2 ай бұрын
Napataje fomu mkuu
@nk-computertrainingАй бұрын
Tazama chini ya hiyo video
@msamgunda76843 ай бұрын
Habar.naomba historia kamili ya mtandao wa internet.asante sana.
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sawaa
@Meddy3603 ай бұрын
N.K hii ni Channel yangu pendwa
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu.
@Meddy3602 ай бұрын
@@nk-computertraining hivi vitu kaka unatufungua saana
@bahatiluck86402 ай бұрын
Natamani siku moja niwe hivi ila nisewe muovu. Hakika NK ni baba lao MUNGU Akubariki mwl. Kwakutuletea mavintuzi kama haya.
Nimetoka nje ya script etii! ndo vizuri picha linoge wanasema Masta hafuati script 😃😃
@baluhyajr.9132 ай бұрын
@@nk-computertraining Upo vizuri sana chief, nafuatilia content zako. Ki ukweli unautambulisha vema ulimwengu wa TEHAMA. Cheers.
@AdolfKitawa2 ай бұрын
Kozi inakosti bei gani na kwa muda gani
@nk-computertrainingАй бұрын
Kutokana na kozi unayoitaka, jaza fomu
@nk-computertrainingАй бұрын
Kutokana na kozi unayoitaka, jaza fomu
@steveonline6662 ай бұрын
Hii ni zaidi ya movie babake. SASA NALITAKA HILI SOMO LA DEEP NA DARK WEB KUANZIA A 2 Z. nifanyeje?
@nk-computertraining2 ай бұрын
Ok jaza fomu.
@steveonline6662 ай бұрын
@@nk-computertraining i wapi fomu?
@mozyofficial00182 ай бұрын
Kk fomu tunazipataje
@Deadskytz2 ай бұрын
Ma hacker miyeyusho sana me Sina hamu nao 😂
@BakariKombo-cj5iu2 ай бұрын
😂😂😂😂😂what have we done
@nk-computertrainingАй бұрын
Duuh
@mrdominik75332 ай бұрын
Mwalimu me nimekufatilia kw kwa umakini sana lkn nani alisuka Browser ya Tor??
@Makongorojr2 ай бұрын
Swali Zuri San mwenyewe nasubiria majibu
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sawa Mr. Dominic majibu yanakuja.
@jamalsamma5602 ай бұрын
Tuchimbe pi kwa nguvu
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sahihi
@stevenkiswaga65042 ай бұрын
Ila sijaelewaa akitaka kutoa hela iwe yakawaida anafanyejee
@nk-computertraining2 ай бұрын
Anafanya Exchange ni kama wewe tu unapokuwa na dola na unataka kununua kitu Tanzania lazima uibadilishe kwanza na wao wana vituo vyao vya kufanyia exchange pesa zao. Karibu NK Uwe More Than Professional.
@mozyofficial00182 ай бұрын
@@nk-computertrainingkk niekeze bas io ishu
@surekingu57192 ай бұрын
Kaka somo la network mbona haliendeleii.?
@nk-computertraining2 ай бұрын
Litaendelea usijali
@shukutech2 ай бұрын
Maskin wa Mungu wenzang na mie tunatumia FaceWeb alaf tunajidai Anonymous 😂Nimecheka, Kaka nna mashaka ww ni Alpha market reloader😂,maua yako🎉
@nk-computertraining2 ай бұрын
Aku, mi simoo🤠. Asante sana kwa maua.
@Glorymoviesswahili12 ай бұрын
😂😂😂 bwana wewe
@nk-computertrainingАй бұрын
hhahaa
@anonymoussaid59862 ай бұрын
Sheikhe tupe story ya LAZARUS BANGLADESH BANK HEIST 🔥🔥
@nk-computertraining2 ай бұрын
Sawaa
@gmai4462 ай бұрын
Kaka Nina hitaji MASOMO YA IT NAOMBA CONTACT ZAKO
@nk-computertraining2 ай бұрын
Tazama chini ya hii video.
@samwelshepa84432 ай бұрын
Mawasiliano yenu napataje?
@nk-computertraining2 ай бұрын
Tazama description (chini ya video)
@nk-computertraining2 ай бұрын
Tazama description (chini ya video)
@mozyofficial00182 ай бұрын
Bro tupe namba zako
@nk-computertraining2 ай бұрын
Tazama description kuna fomu yetu kule kuna namba yangu. Karibu ndugu.
@Norrisnoriega2 ай бұрын
Kama masihala vile tunapata dalasa
@nk-computertraining2 ай бұрын
Yeah kweli
@introverthustler2 ай бұрын
mwl hii ni video kali kuliko zote
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asantee kweli na naona watu wengi wanaendelea kuitazama mpaka sasa.
@GsmXr-c1l2 ай бұрын
Mbona unachohadisia ni cha zaman sana na umetafsiri tu tupe vitu kama jamal april wa wasafi hii hadithi miaka zaid ya mitatu
@nk-computertraining2 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu kwa rai yako, ila usisahau kuwa Titanic ilizama mwaka 1912 lakini movie yake ilitolewa baada ya miaka kibao kupita. Hata huyo Jamal katika mada zake kaongelea dark web ilioanza mwaka 2009 wakati Wasafi yenyewe imeanza 2018 utamwambia Dark Web ni ya zamani tupe mpya?! No Kinachoangaliwa kwenye matukio ni je wewe unalijua, na hata vitabu vya historia vimeandikwa hivyo kwa lengo la kujifunza. Bilashaka matukio yanayotokea tukiyawahi tutayaleta Mungu akipenda hivyo Asante kwa rai yako.
@prince7832 ай бұрын
Haha yn mi hata iyo dark web yenyew ciijui ipoje na unaipata wap... dunia pana sana