Inabidi utuambie una weka video ngapi labda Kwa siku au wiki au mwezi Kwa ufupi tupe ratiba huku kwenye KZbin, mwalimu tunanjaa ya vitu tunaomba uwe una vileta chap chap , teknolojia ni gharama tusaidie mwalimu
@nk-computertrainingАй бұрын
Asantee. Kwa wiki ni moja ila inaweza kuzidi kutokana na muda wangu.