Upete nkukubari sana kwauchambuz napenda kukufatiria sana
@DanielChaula3 күн бұрын
Why ufikiri na wakati game umeitazama inakuaje ❤❤❤❤
@DanielChaula3 күн бұрын
Ubaya ubwela kama wote tmekubali
@albartfuluge84342 күн бұрын
Upete we ni yanga usipindishe SBC ndo walikamia sana
@KassimNtara3 күн бұрын
Nakubaliana nawe upete kocha Fadlu sub zake hazijadiliwi sana kwa vile TU timu inapata matokeo lkn aaaah tumwachie yeye na wale wanaodhani kutoa mtizamao wako ni kumwingilia.mfano Jana Ahoua na mkwala walistahili kutoka dk 30 au zaidi lkn mpaka Ahoua kwa busara kajivunja,wakati nje Kuna Chasambi,Awesu,Ateba mavambo samahani kwa nitaowakera
@AlcherausMalinzi3 күн бұрын
Wewe unajua kuliko kocha.Hongera.
@MnyiheriMbaruku4 күн бұрын
Upete mbona km unaumia hivi.
@AlcherausMalinzi3 күн бұрын
Huyu kila siku anasema simba na kocha hawajui.Lakini Simba ndo ina magoli mengi,clean sheet nyingi na point nyingi.Sijui anataka wacheze vipi? Nafikiri apewe ukocha yeye.Mpuuzi kweli.