This is the best debate ever i have listened to, mature na iko na hoja on both sides. Kwa kweli najua na naamini kuwa mungu ni mmoja. Hilo fundisho la utatu kwa biblia haakuna.
@francismasha728610 ай бұрын
Andiko la utatu liko kwa biblia pengine useme haujaliona mtumishi
@TonnyEzekiel10 ай бұрын
@@francismasha7286 Hatujaona kaka, toa andiko mungu mmoja: baba,mwana na roho 😂😂!?
@ayengobenjamin8014 Жыл бұрын
@Benjamin ayeng'o: Mwl . Ndacha, Mungu aendelee kukutumia. Ninakusikiliza kutoka Dar es salaam,Tanzania
@fredrickgitonga1972 Жыл бұрын
Be blessed
@aliroro934410 ай бұрын
Mkrsto Anaejielewe naamni ashajua Mungu ni mmoja na yesu ni Mtume wake (messenger)
@kisoimunyithya389310 ай бұрын
Eric anasoma maandiko na yanamkanganya, yesu ni mungu mkuu, mwana wa Mungu,
@AbdallahIssaShekhan11 ай бұрын
Ndacha anaanza kuujua ukweli kuwa Yesu sio Mungu ila ni mtume wa Mungu how long it takes for all Christians to believe Ndachas transformation kila penye ukweli uongo ujitenga .
@theheraldbroadcastingnetwo48369 ай бұрын
Roho analia kwa jina la nani❓ Abba... FATHER. ......
@JohnMburu-o4z10 ай бұрын
Ndacha,this is a real confusion i have been following from beginning but very tricky debate
@francismasha7286 Жыл бұрын
Ndacha ninakutafuta sana nataka challenge nawewe
@PTLPMTV Жыл бұрын
Brother piga simu tu 0727741602
@TonnyEzekiel10 ай бұрын
Na huyu amewai piga kweli? naona ni two months now, ama leo Kwa mara ya Kwanza mtu amepiga simu mkamnyima nafasi ?
@RevLemisoJohn9 ай бұрын
Ndacha hapo kwa utatu hauna ufahamu Tisha. Unapotosha ijapokuwa nakushapikia Sana.
@PTLPMTV9 ай бұрын
Je uko tayari Kwa mjadala ili ueleze ukweli watu wasikie?wasiliana nasi
@elizabethsidi5574 Жыл бұрын
Mr Eric umeingia kwa uungu wa yesu badala ya trinity
@mojumali4000 Жыл бұрын
Ndacha you need to represent this debate to the union tuone kama tutaambiwa Nini wengine tuko njia panda😢
@kamauwauhoro8993 Жыл бұрын
Sasa union imejaa wanautatu itakua shida
@stevensadala10 ай бұрын
ukisoma utatu kaika mwili na historia hautaelewa ,utabaki njia panda tu@@kamauwauhoro8993
@elizabethsidi5574 Жыл бұрын
mr eric mungu mmoja ana nafsi tatu waah hii imechanganya wengi kweli 😢😢
@peteromondi2254 Жыл бұрын
Mko wapi nakuru
@TLUtonelauzima6750 Жыл бұрын
Yesu alipokuwa na wanafunzi chomboni. Mawimbi yalivuma Bahraini na chombo kikaanza kuyuumbayumba . Wanafunzi walijaribu kujiokoa ila yesu ndie aliye aliyeokoa chombo . Chombo ni mfano wa kanisa la Mungu.. yule atakeyotoka kanisani hana bahati... kaa ndani ya kanisa hata kama kuna mawimbi yesu ataokoa watu wake
@lydiakwamboka230810 ай бұрын
Utakaa aje mahali mafundisho hayaambatani na neno la mungu.
@EzekielMwamba Жыл бұрын
Mwalimu Eric mbona unashikanisha maandiko kama Muislam yaani unatoa maandiko lakini hayaoani.
@lucasharison2441 Жыл бұрын
Kwa utatu sikuelewi kabisa
@SamSuma-v5l Жыл бұрын
Erimu yakipagani hiyo wew uriyovasweta hoja huna
@DuncanMuriuki-q4y10 ай бұрын
Onyango anatoka moto buana ,analeta verse na angle ya kibingu
@francismasha7286 Жыл бұрын
Nataka challenge nawewe
@theheraldbroadcastingnetwo48369 ай бұрын
Roho anaomba kwa jina la nani
@elizabethsidi5574 Жыл бұрын
Sas hio ni mungu roho ama ni roho wa mungu
@stevensadala10 ай бұрын
we unachaganya kati ya utume wa MUNGU kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu na asili ya MUNGU,
@RevLemisoJohn9 ай бұрын
Ndacha unafundisha uongo
@eliyaedward9 ай бұрын
MUNGU aubariki mjadara huu amina
@benja-rl6in Жыл бұрын
Eric leo ametoa njasho
@kyalomusavi11 ай бұрын
The first person knows the scripture
@DaudIsengekela11 ай бұрын
Ndacha nakufuatilia sana ila kwa utatu umechemika kaa chini ujifunze. Maana utatu mtakatifu uko wazi
@samkabayiza621210 ай бұрын
tusaidie na andiko kakz
@evemunga379 Жыл бұрын
Mjadala poa sana
@SamSuma-v5l Жыл бұрын
Acha wongo wew
@stephenmaweu338210 ай бұрын
Old sda at what name you baptis people.
@theheraldbroadcastingnetwo48369 ай бұрын
People baptize in the lord.....
@stevensadala10 ай бұрын
biblia inaelezea baba kama nafsi inayojitegemea,mwana kama nafsi inayojitegemea, na roho kama nafsi inayojitegemea kabsa na huo ndo utatu wenyewe unaounda uungu
@stevensadala10 ай бұрын
japo haimanishi MUNGU ni watatu isipokua ni mmoja katika utatu
@JustusNyambane-g8t Жыл бұрын
Mbele pamoja Pst Ndacha
@kimathijames402 Жыл бұрын
Sasa nominal ni nn,I wonder also with old SDA,so ndacha,onyango and the other characters are now the professional of definitions,this is a real confusion,"babelism"....
@juliuswaitathu8995 Жыл бұрын
Ni wewe hukuelewa
@TLUtonelauzima6750 Жыл бұрын
Hawa watu wanadhikaki mungu saana. Ati old SDA
@GilesKhamis Жыл бұрын
Mungu Baba, Mungu mwana, Mungu roho hayupo ktk biblia
😂😂😂, jamaa ameboeka kuona hakuna points huko Haji ame jam sana😂😂😂, huko hadi kupasuka mtapasuka, eti kutetea utatu ndugu yangu, noma sana bana😅 hahahahaaaa!!!
@EzekielMwamba Жыл бұрын
Eric ukweli huelewi Yesu na Roho kabsaa
@oscarkipkemei8987 Жыл бұрын
Eric aelewei kapix anataka kuforce things kuhapana plz moo research
@stevensadala10 ай бұрын
kama unaweza kusema BABA anasifa ya uungu, MWANA anasifa ya kiungu kadhalika ROHO MTAKATIFU kama nafsi inayojitegemea yenye sifa za kiungu mbona usiseme kuna trinity
@MosesMomanyi-rf1kn Жыл бұрын
utatu umekufa
@samuelnyaachi7094 Жыл бұрын
Ndacha has a wrong definition of trinity.
@bensonmanyalape7802 Жыл бұрын
d
@oscarkipkemei8987 Жыл бұрын
Utatu akuna
@stevensadala10 ай бұрын
soma biblia vzuri pasipo kusikiliza maneno ya watu , mwenyewe utaona utatu upo waziwazi