Pastor Maina Vs Mwalimu Ndacha..Mada: Trinity!

  Рет қаралды 32,780

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

Күн бұрын

Пікірлер: 413
@johnkinyua9175
@johnkinyua9175 Жыл бұрын
ukiwa na kiburi Cha elimu ya kidunia hutafundishwa na Mungu.Psalms25:9
@Johnzion97
@Johnzion97 8 ай бұрын
😅apo sawa, hao ni wazuzu tu
@SamuelngugiNjeri
@SamuelngugiNjeri 11 ай бұрын
Please ndacha before usafiri kwa mada na watu proof kama watawezana juu hao mapasta ata kama ni mimi ningewashida asubui ..Ndacha ❤ Na siku moja tutapatana niko na swali motomoto
@DavidBarasa-jo9kt
@DavidBarasa-jo9kt 3 ай бұрын
mwalimu ndacha mm nakubali sana, mungu baba,mwana na roho mtakatifu. hakuna Cha mungu mwana hapo tunakosea sana. Ni mungu baba, mwana na roho mtakatifu.
@kenkinyua143
@kenkinyua143 11 ай бұрын
Asante bwana dacha awa wachungaji ni mishahara wanakula tu pale kanisani ata biblia hawatoi fungi ata Moja...
@bonfacewakokha9793
@bonfacewakokha9793 Жыл бұрын
Hawa pastors wanatupotosha kwa kweli hawana maandiko kwa kweli kazi kutapatapa tu mungu aendelee kumfungulia Imani hiyo
@SamuelngugiNjeri
@SamuelngugiNjeri 11 ай бұрын
Congratulations Ndacha... Hao mapasta hawana maadiko ...the second pasta alisema ati mungu ni mkubwa kuliko neno .. hence bible says that God has exalted his word above his name
@Johnzion97
@Johnzion97 8 ай бұрын
Huyo mchungaji maina kiburi na haelewi mada Anaongelea ukweli 🤔 wa Dunia , history shule😢,mwalimu ndacha respect, Mungu akusaidie kueneza injiri ya kweli✨
@GodfreyMuhanji-m5q
@GodfreyMuhanji-m5q 11 ай бұрын
I wonder the pastors we Adventist have. They can't even quote a verse from the Bible. Thanks pastor Ndacha.
@JosephDadu
@JosephDadu Жыл бұрын
Ukweli ,mungu n mmoja , si watatu kwa mmoja
@khalidabu5259
@khalidabu5259 2 жыл бұрын
Thanks dacha nakupata vizuri sana
@zacharynganga2124
@zacharynganga2124 2 жыл бұрын
Am leaning on dachas side...... blessed be the name of the lord the almighty.
@shirikaniyonkuru6560
@shirikaniyonkuru6560 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 don’t lie
@thefountainsofhopeministry2023
@thefountainsofhopeministry2023 2 жыл бұрын
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Ndacha eleza tofauti ya mungu ni roho na roho wa mungu,na Roho ni mungu
@powersetmentors8833
@powersetmentors8833 2 жыл бұрын
God exists in a visible physical level on the throne and a spiritual invisible level as The Spirit - the means by which He is omnipresent
@petersulle1937
@petersulle1937 2 жыл бұрын
Ndugu zangu wa SDA naomba tuelewe kuwa sisi hatuwezi kumuelezea Mungu kuliko yeye anavyojielezea na tusijidanganye kuwa sisi tunamjua Mungu kuliko Mungu anavyojijua, tutapoteza watu na tutaacha kufundisha mambo ya msingi tunabishana wenyewe kitu tusichojua, Kumbukmbu la torati 29:29. kama jambo haijafunuliwa kaa kimya, elewa hii (1)Tomaso anamwambi Yesu BWANA wangu na Mungu wangu, Yesu hajasena usiniite hivyo mimi siyo Mungu, ( 2) Yohana anasema wako watatu washihudiao mbingu Baba, Neno na Roho, lakini tujue Mungu anazo sifa zake (1) Ni wa milele hana mwanzo wala mwisho, (2) ni Muumbaji (3) Yupo mahali pote, nimeandika hayo machache nyie ni wachungaji mnajua mengine zaidi, naomba tuache kulumbana. Mungu awasaidie.
@morinyoparks8073
@morinyoparks8073 2 жыл бұрын
truth is 1 and trinity doctrine is no where to be seen in the Bibble......i advise mjadala kama mnajiamini
@frankmaoro4287
@frankmaoro4287 Жыл бұрын
@@morinyoparks8073 God speaks for Himself through Bible texts and the spirit of prophect by Ellen G White, which point to the Godhead as composed of three heavenly holy beings. It is by denying and rejecting some of those truths by trying to make their aithenticity void (not by abstract evidence of lies) that you put yourself in a corner of disbelief and now require to try to explain everything logically with a finite mind about an infinite God who without faith cannot be pleased.
@iddyhassan7666
@iddyhassan7666 2 жыл бұрын
Barikiwa mwalimu sisi hatufati watu bali tunafata iliyo kweli penye makosa tuseme kwa maana hii dunia ni uwanja wa vita kwaiy kuna mengi yatatokea ili kuharibu imani yetu ila tukijua tutasema kwel God bless you
@jescaodingo9564
@jescaodingo9564 2 жыл бұрын
My brother Ndacha fanya kazi ya Mungu muda wa kukaa hapa duniani umekwisha pls hata kama hawakitaki shikili Imani coz si wote watakubali ukweli
@evansnguhi3098
@evansnguhi3098 2 жыл бұрын
I found this quote existing:*What was the strength of those who in the past have suffered persecution for Christ’s sake? It was union with God, union with the Holy Spirit, union with Christ. AA 84.3*
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 жыл бұрын
Kanisa letu la Sda halitakubali kurudia UKWELI Mungu aliowafunulia pioneers kuhusu Mungu mmoja
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 жыл бұрын
"THE ETERNAL Father, the unchangeable one, gave His only begotten Son, TORE from His bosom, He whom was made in the express image of His person, and sent Him down to earth to reveal how greatly He loved mankind" (TH, JULY 9, 1895, Par. 13; JOHN 1: 18). " God's love for the world was not manifest because He sent His Son, but because He loved the world He sent His Son into the world that divinity clothed with humanity might touch humanity while divinity lay hold of infinity. Though sin produced a gulf between man and his God, divine benevolence provided a plan to bridge that gulf. AND WHAT MATERIAL DID HE USE? A PART OF HIMSELF". The brightness of the Father's glory come to a works all seared and marred with the curse, and in his own character, in his own body, bridged the gulf and opened a channel of communication between God and man..." (6MsLt 36a, 1890. Par. 11).
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 жыл бұрын
Top quoted SoP document is REVIEW AND HERALD (RH), JULY 9, 2895,PAR. 13
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206Note that rejecting any of John's epistle in the Bible is rejecting the whole Bible. For me as a Christian all Bible writers were inspired / directed by the Holy Spirit of God. To me the Bible is an inspired bòok, written by inspired people of God. The same apostle John was inspired to write PART of the Bible called REVELATION.
@ChimiwaSaccosLimited
@ChimiwaSaccosLimited 23 күн бұрын
Kuhusu Mungu baba 1wakorintho 15:24 na Galatia 1:1 na mstr wa 3 kuhusu Mungu mwana yohana1:18 na Biblia inamtabulisha roho kuwa Mungu ni roho Yohana 4:24
@Footballer-1992
@Footballer-1992 2 жыл бұрын
Mwenye alikufa msalaba ni Mwana Wa Mungu, Siyo Mungu Mwana. Pastor unachanganya watu…!!!!!
@nimrodfredinand351
@nimrodfredinand351 5 ай бұрын
Anakuchanganya wewe
@HENRYAmongo-s2g
@HENRYAmongo-s2g 2 ай бұрын
Mungu mumbaji munana wa mungu naroho ya mungu.
@machariawangechi4509
@machariawangechi4509 2 жыл бұрын
Asante sana mwalimu Ndacha funza hata wachungaji kwa maana hawajielewi vizuri
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 жыл бұрын
Hawa Wachungaji waseme wazi iwapo sda pioneers WALIKOSEA Kukataa TRINITY bali Kanisa la Sda la sasa ndilo lina ukweli kukubali TRINITY.
@atanhela7103
@atanhela7103 Жыл бұрын
Obrigado Deus te abençoe, pastor Ndacha
@carolyneelijah6911
@carolyneelijah6911 Жыл бұрын
Wah. Nimewai sikia mafuzo but hawa pastors wamezidi...yaani hana point kabisa.....May God have mercy upon us
@JacksonNainyeye-do9yj
@JacksonNainyeye-do9yj Жыл бұрын
Nyie watheologia duuu
@cheyosamwel5466
@cheyosamwel5466 Жыл бұрын
Wachungaji mmeonesha kwamba ninyi niwanatheolojia Mungu awabariki Sana! Hamjatuangusha Mungu kabisa! Wasio wanatheolojia wanafikiri kwamba Mungu unaweza kumuelewa kwa kuchukua mafungu hapa na pale tu! Hata tutakapookolewa hatutafika mahali tumese Leo tumemwelewa Mungu kabisa! Kila siku tutajifunza tu kuhusu Mungu, tutajifunza milele na milele bila kummaliza Mungu! Nafurahia Sana theology!
@innocentabae1118
@innocentabae1118 2 жыл бұрын
Thank you Ndacha. God bless you so much.
@simionkimani7669
@simionkimani7669 Жыл бұрын
Ndacha God bless you. I like the way God is expressing himself.
@MakholoBabá
@MakholoBabá 6 ай бұрын
Hakuna utatu, sasa ukisema ni lazima tuingize utatu kwa sababu ya wokovu ni makosa kwa sababu imeandikwa kwamba yule atakae ongeza neno lolote katika ukweli wa Mungu ataondolewa katika mti wa uzima
@kisoimunyithya3893
@kisoimunyithya3893 Жыл бұрын
I have this feeling that the trinity is the mark of the beast. Remember the scripture about the two roads ( narrow and wide), very few people are against the trinity doctrine, many are taking the wide road, which leads to destruction
@wowclipskanairokenya2406
@wowclipskanairokenya2406 Жыл бұрын
Very logical
@KanenoMuhindo-fs4ty
@KanenoMuhindo-fs4ty Жыл бұрын
Kuna mungu baba mungu mwana na roho mutakatifu Amen
@mwoso
@mwoso 2 жыл бұрын
Fundisho la utatu sio la kibibilia.
@onderivincent9244
@onderivincent9244 2 жыл бұрын
Furaha yangu ni tumekaa kujadiliana, sisi wote ni wana wa Mungu na penya utata, Mungu anapenda hivyo wapendwa.
@jescaodingo9564
@jescaodingo9564 2 жыл бұрын
Sana tunafaidi Mungu awabariki sana team Bible nuru ya dunia
@saulyulaya5170
@saulyulaya5170 2 жыл бұрын
Hao washungaji noma sana kweli niwachungaji wa mshahara hawajali roho yamtu at wakonaroho huyoroho nikonawasiwasi naye MPAKA DAKIKA HII WACHUNGAJI WANA DANDADANDATU USHAHIDI HAWANA MANENO MEENGI YABILA MAANDIKO KWELI NDACHA NI MWALIM👍🙏
@jamesmuriithi7929
@jamesmuriithi7929 2 жыл бұрын
Isa 8:20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi. Wachungaji tufuate hadithi ama tufuate neno la Mungu?
@funakoshtadash6163
@funakoshtadash6163 6 ай бұрын
Hawana jipya zaidi ya kutetea m8shahara yao
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 2 жыл бұрын
1st jn 5:6-8 there are three that bare witness (in heaven)The father The word and The Holy Spirit and these three are one.
@wow-wj1yn
@wow-wj1yn 6 ай бұрын
Wako na umoja
@mosesuwimana6647
@mosesuwimana6647 2 жыл бұрын
Mchungaji Maina umeeleza vizuru ubalikiwe
@issackabdi7001
@issackabdi7001 2 жыл бұрын
Leo umesema ukweli ...neno bibilia hakuna kwa kitabu cha bibibilia.....👍👍👍 always spread the truth ....oness of God tody u are spreading something sens
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 2 жыл бұрын
Sasa nikumanisha hatufai kutaja biblia sababu hakuna jina lake???
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 2 жыл бұрын
Kwani yeye anaiita biblia????
@jamesombaso9493
@jamesombaso9493 Жыл бұрын
Huyu ni muislamu alafutilia akipingakila post za ndacha lakini atafutilia Hadi haokoke
@amanimabano8856
@amanimabano8856 2 жыл бұрын
Ndacha ni msiba mkubwa kwako. Unashindwa kujitetea kuusu utatu. Niliwayi kukuelezea uendeleye kufundisha waislamu. Imani zabiti kulingana na neno la Kristo Yesu. Umekufa kama mashaidi wa Jehova na wahabranamiste. Umeacha kweli na unafata matamaniyo yako. Unapokataa utatu unamupoteza Mungu aliye hai.
@YonaKasinziro
@YonaKasinziro Ай бұрын
Mungu akubaliki ndasha Ila unaongea kwa haraka Sana majina za vitabu
@HENRYAmongo-s2g
@HENRYAmongo-s2g 2 ай бұрын
Naomba obare kutoka kisii askiye Enos faklin jeru wa mathare na wengine.
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 2 жыл бұрын
Kuna kitu nimeelewa, dhana ya ndacha ndio mbaya lkn mtazamo ni mzuri .He's very genuine ijapokuwa naeza shindwa kuona ndani yake kuhusu Kansas lake, hiyo ndio inanitia shaka.
@davidwainaina3471
@davidwainaina3471 6 ай бұрын
Kwa hivyo according to the pastor Maina,ufunuo unaendelea kuhusu TRINITY. ... I'M FOLLOWING...
@teresiahndungu5146
@teresiahndungu5146 2 жыл бұрын
Amen Kwa Mungu wa yesu aliye baba Kwa kumzaa
@jamesmuriithi7929
@jamesmuriithi7929 2 жыл бұрын
Daniel 12:3 [3]And they that be wise shall shine as the brightness of the firmament; and they that turn many to righteousness as the stars for ever and ever. Na walio na hekima watang’aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang’aa kama nyota milele na milele.
@sabathdaychannel2985
@sabathdaychannel2985 Жыл бұрын
Pastor Maina ubarikiwe sana mtumishi umefafanua vizuri kweli Mungu bado akaendelea kujifunua kupitia watu vile Mungu aweza tumia mtu yeyote na kazi ya Mungu bado inaendelea
@bonfacewakokha9793
@bonfacewakokha9793 Жыл бұрын
I like the way moderator is enjoying the word 😅😅 anawalima hao mapasta kinjaro tu 😀 nae anajua ukweli kwenye unatoka
@MakholoBabá
@MakholoBabá 6 ай бұрын
Roho kashuka kutueza hayo mambo ambae YESU alisema kwamba kuna nengine hamutaelewa sasa
@EdsonFanuel-zw5vu
@EdsonFanuel-zw5vu Жыл бұрын
Nawao ea huruma hao wachungaji maana hawaamini neno la Mungu,wanakataa biblia na roho ya unabii Kwa Saba u ya mafundisho ya wanadamu.Mungu awafumbue macho ya kiroho wapate kuona ubaya wa fundisho hili ambapo ni la shetani na limewatenga waadventista na Mungu na Kristo Yesu.
@Johnzion97
@Johnzion97 8 ай бұрын
Waulizao roho wa mungu ni nani,"mungu pamoja na Yesu wakiwa ndani yetu hiyo ndio roho ya mungu
@JacobMulli
@JacobMulli Жыл бұрын
Our God is One. He is seen as father/ Creator, son/ Redeemer, and the Holy Spirit / miracle worker / Healer, etc. Just like I'm Not three people but can be a FATHER, SON AND IT PROFESSIONAL. Those aren't three separate * " me's "* , those are simply roles I play in life Proof that Our God is one; Deuteronomy 6:4 KJV - Hear, O Israel: The LORD our God is one LORD: Mark 12:29 KJV - And Jesus answered him, The first of all the commandments is, Hear, O Israel; The Lord our God is one Lord: John 14:9 KJV - Jesus saith unto him, Have I been so long time with you, and yet hast thou not known me, Philip? he that hath seen me hath seen the Father; and how sayest thou then, Shew us the Father? 1 Timothy 3:16 KJV - And without controversy great is the mystery of godliness: God was manifest in the flesh, justified in the Spirit, seen of angels, preached unto the Gentiles, believed on in the world, received up into glory. 1 John 5:7 KJV - For there are three that bear record in heaven, the Father, the Word, and the Holy Ghost: and these three are one. Lastly, Let's ask God for wisdom through his son , who is the truth , way and the life so that things may not be precept, upon precept, upon pecept and Devil snares us to deceive us. For it is written that ; Isaiah 28:12-13 KJV - To whom he said, This is the rest wherewith ye may cause the weary to rest; and this is the refreshing: yet they would not hear. But the word of the LORD was unto them precept upon precept, precept upon precept; line upon line, line upon line; here a little, and there a little; that they might go, and fall backward, and be broken, and snared, and taken. ####Note ******Snared, and Taken away by who??? please brethren, God it's not author of confusion and if this Gospel is hid its hid to those the god of this world has blinded. 2nd; We cannot quote books that go against the scripture. No, it's wrong. Be blessed ***
@essyessy2827
@essyessy2827 2 жыл бұрын
To the law and the testimony if they speak not according to this word it is because there is no light in them. Isaiah 8:20 New revelations must be founded in the Bible and the Bible alone. You also have a sure word of prophesy...
@essyessy2827
@essyessy2827 2 жыл бұрын
@@ezralesiamon8455 scholars?!!!
@Andrew-oe3fs
@Andrew-oe3fs 2 жыл бұрын
@@ezralesiamon8455 we need to hear from God through his holy book not scholars experience
@fredouma359
@fredouma359 9 ай бұрын
God is a mystery, no man can search His understanding or know His status. We have eternity to explore and learn from Him. For now, give much attention to preparation for the second advent.
@kisoimunyithya3893
@kisoimunyithya3893 Жыл бұрын
Jesus said that kipimo upimiacho wengine ndicho utapimiwa
@powersetmentors8833
@powersetmentors8833 2 жыл бұрын
"Now God said to his Son, *Let us make man in our own image*....….."1SP 24, 25. Pastor Maina did not read that and denies what is clearly found in their bookd
@mwoso
@mwoso 2 жыл бұрын
Yesu anaposema ni alfa na omega, anamanisha alikuweko mwanzoni wa uumbaji wa vitu na atakuweko mwishoni au siku ya kiyama! yaani, mwana wa mungu alikua pamoja na baba yake katika uumabaji.
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 Жыл бұрын
Methali 8:22-31
@eunicebukokhe6805
@eunicebukokhe6805 2 жыл бұрын
Watu wengi wa mepotoshwa na mafundisho ya Kirumi karibu madhehebu mingi,kila mtu atakaye taka kumfuata Yesu na aache dhambi afate maandiko
@Pr.Anania76
@Pr.Anania76 2 жыл бұрын
fro, dodoma - tanzania lazima kieleweke hakuna fundisho la utatu kwa biblia
@hirammbugua7593
@hirammbugua7593 2 жыл бұрын
Verse???
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 Жыл бұрын
yeeeeees from zanzibar
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 Жыл бұрын
Ndacha ana point sana big up Ndacha
@clakbiz3331
@clakbiz3331 Жыл бұрын
Mada hii ni nzuri but nakuomba uite mjadara na mch semba hili tujengane
@jilardinbenamurihassan1764
@jilardinbenamurihassan1764 2 жыл бұрын
Wachungaji hao wamrudie Mungu haraka iwezekanavyo, vinginevyo wanapoteza mda wao bure hivyo watakua kuni za jikoni
@Jonas-t9h
@Jonas-t9h 3 ай бұрын
Ndacha kawakamua kweli wenzie hawana jipya
@kipkemoigablin5464
@kipkemoigablin5464 2 жыл бұрын
Na vile tunachanga pesa kanisani ati waende further studies Theology na hawana content kabisa hivi.. so sad for the two pastors.. Ndacha on point with scriptures.
@wowclipskanairokenya2406
@wowclipskanairokenya2406 Жыл бұрын
Hallelujah! Wakisema Sunday Law, lakini wakiambiwa trinity ni fake, iyo hawataki
@johnnandemu5605
@johnnandemu5605 Жыл бұрын
Genesis 1:1in the beginning ,the earth was formless.....and the *spirit* of God' was hovering on waters and God said...let ther be,...so ukisema hakuna mungu roho na mungu si mwili huoni kama unajichanganya mchungaji? Pili ,kama mwana wa mungu ni mungu,je roho wa mungu ni? ...dhana Yako ni kweli ila kumtenga mungu na roho inamaanisha yeye SI hai,yeye amekufa.sasa kama anatupea roho wake ,je yeye huyo roho kwetu ni nn? Angalia mafundisho ya yesu juu ya dhambi isiyo sameheka..alafu utuambie Sasa huyo roho ni nani
@Johnzion97
@Johnzion97 8 ай бұрын
Mungu hapendi zuzu😢unauliza aje, ulisKia hiyo na nani juu huelewi Hadi swali lako
@johnnandemu5605
@johnnandemu5605 8 ай бұрын
@@Johnzion97 nimekuuliza wewe kweli? Na kama swali linakuhusu au halikuhusu matusi niya? ...usamehewe tu
@Johnzion97
@Johnzion97 8 ай бұрын
Unashiriki SDA za hao mapasta ama vipi😢imani yako ndogo banae
@johnnandemu5605
@johnnandemu5605 8 ай бұрын
@@Johnzion97 Matthew 17:20 [20]. Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu....nashukuru Kwa Imani yangu ndogo.najivunia
@andersongitonga
@andersongitonga 3 ай бұрын
Mungu ni mmoja sasa '? hakuna Mungu roho'
@wasaficlassicshoes
@wasaficlassicshoes Жыл бұрын
Ndacha nlikuw namkubali lkn kumbe ndo anaamini kituchaajabu hivi
@estermbogo7172
@estermbogo7172 2 жыл бұрын
Mungu atukuzwa ujumbe unaendelea t tena wenye hatungetalajia wafikiwe na ujumbe wamefikiwa sasa wachungaji sasa kibarua ni kwenu rudini makanisani mwenu muhubirie watoto wa Mungu ukweli ...wacheni uongo mwingi ambao mwishowe mtakuja kulipia....wabieni washirika ukweli hakuna UTATU ni wagatoleki ...watoke babeli.
@thefountainsofhopeministry2023
@thefountainsofhopeministry2023 2 жыл бұрын
ts Add a comment... The fountains of Hope ministries 1 second ago Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli. Ndacha eleza tofauti ya mungu ni roho na roho wa mungu,na Roho ni mungu The fountains of Hope ministries 0 seconds ago Ndacha toa hoja wacha kulialia The fountains of Hope ministries 9 minutes ago The Father, Son, and Holy GhostBTS March 1, 1906EGW The Father can not be described by the things of earth. The Father is all the fullness of the Godhead bodily, and is invisible to mortal sight. The Son is all the fullness of the Godhead manifested. The word of God declares Him to be "the express image of His person." "God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whosoever believeth in Him should not perish, but have everlasting life." Here is shown the personality of the Father. The Comforter that Christ promised to send after He ascended to heaven, is the Spirit in all the fullness of the Godhead, making manifest the power of divine grace to all who receive and believe in Christ as a personal Saviour. There are three living persons of the heavenly trio. In the name of these three powers,-the Father, the Son, and the Holy Ghost, those who receive Christ by living faith are baptized, and these powers will cooperate with the obedient subjects of heaven in their efforts to live the new life in Christ.
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
KIMEUMANA.....wenyewe kwa wenyewe...!
@siganipeter456
@siganipeter456 2 жыл бұрын
Naomba MAWASILIANO YA MWINJILIST NDACHA TAFADHALI
@jamesombaso9493
@jamesombaso9493 Жыл бұрын
Hawa wachungaji wanatetea dini badala watetea neno la mungu lisiaribiwe
@thefountainsofhopeministry2023
@thefountainsofhopeministry2023 2 жыл бұрын
The Comforter that Christ promised to send after He ascended to heaven, is the Spirit in all the fullness of the Godhead, making manifest the power of divine grace to all who receive and believe in Christ as a personal Saviour. There are three living persons of the heavenly trio. In the name of these three powers,-the Father, the Son, and the Holy Ghost, those who receive Christ by living faith are baptized, and these powers will cooperate with the obedient subjects of heaven in their efforts to live the new life in Christ.
@thefountainsofhopeministry2023
@thefountainsofhopeministry2023 2 жыл бұрын
Can ndacha explain what does the phrase" heavenly Trio" mean in the above extract from the Spirit of prophecy The Father, Son, and Holy GhostBTS March 1, 1906EGW The Father can not be described by the things of earth. The Father is all the fullness of the Godhead bodily, and is invisible to mortal sight. The Son is all the fullness of the Godhead manifested. The word of God declares Him to be "the express image of His person." "God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whosoever believeth in Him should not perish, but have everlasting life." Here is shown the personality of the Father. The Comforter that Christ promised to send after He ascended to heaven, is the Spirit in all the fullness of the Godhead, making manifest the power of divine grace to all who receive and believe in Christ as a personal Saviour. There are three living persons of the heavenly trio. In the name of these three powers,-the Father, the Son, and the Holy Ghost, those who receive Christ by living faith are baptized, and these powers will cooperate with the obedient subjects of heaven in their efforts to live the new life in Christ.
@baya7067
@baya7067 2 жыл бұрын
@@alyaqdhan5206 ww hujielewi kabisa manake hujui unachoongea hata sijui huwa unafanya nn hapa
@muceedaniel5036
@muceedaniel5036 2 жыл бұрын
Mwalimu ndacha anaongea ukweli.Hakuna kitu kama MUNGU ROHO Bali kuna ROHO wa MUNGU. Mchungaji Maina na aweke NO.yake ya simu hewani tumswali na sisi kwani bibilia inaseme tuwajaribu katika roho na kweli. Isaiah 8:20.
@danielkilonzo-bw9zk
@danielkilonzo-bw9zk Жыл бұрын
Naungana nawe broo...
@levimakaliakaphenacolletta5076
@levimakaliakaphenacolletta5076 9 ай бұрын
In John 14:15-18, Jesus promises another comforter. Mwalimu Ndacha explain according to you wen Jesus refers to the Holy Spirit as another comforter. Doest it another means there is and another is coming. Please be my guest
@Johnzion97
@Johnzion97 8 ай бұрын
When God and the son Jesus Christ are in you , that's the Holy spirit
@SelinaOgamba-jw5ig
@SelinaOgamba-jw5ig Жыл бұрын
Pr. Muhoro surely
@fredsichangi3521
@fredsichangi3521 2 жыл бұрын
Hao wachungaji wachunguzwe ni adui wa bibilia hawataki kosoma bibilia.
@jescaodingo9564
@jescaodingo9564 2 жыл бұрын
Kweli ukweli mpya hapingani na wa kitambo eg old testament haipingani na new testament
@wilfrednyaosi5186
@wilfrednyaosi5186 2 жыл бұрын
Kindly Ndacha, discus Mathew 28:18,19, mbona jina la baba, mwana, roho
@lileoh3893
@lileoh3893 2 жыл бұрын
Ndacha kuruani umesoma ukwer umeuona ivo ni chaguo lako moto au maisha ya milele
@teresiahndungu5146
@teresiahndungu5146 2 жыл бұрын
I want to ask those pastors,Mungu anasema alimzaa,nyinyi mnasema ati ni lugha ilitumika,ok, tuambieni Mungu angeandika aje aondoe hii jina kuzaa?
@MakholoBabá
@MakholoBabá 6 ай бұрын
Nawe mchungaji wa mwisho kuongea usitudanganhe kwa sababu ikiwa kwamba wanateologia wanaruusiwa kuongeza neno lolote ni unafki kuwa mwana teogia ni kujifunza yaliyo yamungu na kuwafundisha wengine tu basi, kwasababu hata mwanzilishi wa utatu jinalake ni TATORIA lina onesha wazi kwamba ilo neno utatu ni linaendana na jina la huyo mtu ambae ni tatoria
@JacksonNainyeye-do9yj
@JacksonNainyeye-do9yj Жыл бұрын
Elezea muktadha ya hayo maandiko ya Ndacha tukuelewe,usiongee tuu kwa maneno matupu,elezea hayo maneno
@aloycekayanja1756
@aloycekayanja1756 Жыл бұрын
Fact in issue hapo utatu na siio yesu ameumbwa au kuzaliwa lini kwa yesu ! Mchungaji stick kwenye fact.
@JacksonNainyeye-do9yj
@JacksonNainyeye-do9yj Жыл бұрын
Elezea maneno,toa maelezo ya hayo maneno ya Ndacha, usiongee maelezo yako
@johnmuturigithinji3581
@johnmuturigithinji3581 10 ай бұрын
Pastor, GCS wana thiorogia wanatetea kitu haiko kwa Biblia, hai wezi ingia na utatu ,mungu watatu hakuna, ndacha ako sawa Biblia yasema, mungu ni mmonja nafusi moja
@jescaodingo9564
@jescaodingo9564 2 жыл бұрын
Kwakweli pastor maina hakuna Mungu roho kuna roho wa Mungu that's why anaitwa msaidizi coz ni roho wa Mungu
@MakholoBabá
@MakholoBabá 6 ай бұрын
Hao awana maandiko kutoka ndani ya mwongozo wa wa kristo ambae ni bibilia, sasa hu ni mchungaji gani ambae hana swali katika mjadala sasa ulikuja kufanha nini hapo? Lakini umemsikia mchungaji mwenzako alivio uliza? Ajapokua amekosea kuuliza lakini ameuliza na mwalimu anamweka sawa katika maandiko, yani ni tunavio taka sisi tunao waangalia huku Mozambique 🇲🇿
@mwoso
@mwoso 2 жыл бұрын
Tena hata ubatizo wa kikatholiki ni kinyume na ubatizo wa Bibilia.
@puretv8742
@puretv8742 Жыл бұрын
Naam naam hao wachungaji wako sahihi sana nawaunga mkono katika mafunzo yao, ndacha ni mjehova witness kafiri mshenzi kabisa hafai kwa kila tendo jema
@cititechsolutions3269
@cititechsolutions3269 Жыл бұрын
Kama hii ndio fundisho la theologia. Then binadamu kwisha kaeni chini ndacha awafunze tafadhali juu munajiaibisha
@SamuelngugiNjeri
@SamuelngugiNjeri 11 ай бұрын
Ndacha ❤ hizi ni Ngombe
@jeremybett655
@jeremybett655 2 жыл бұрын
God is not mysterious yeye amejifunua kwetu kikamilifu.
@tarimowakweli
@tarimowakweli 2 жыл бұрын
Hawa wachungaji wanamihemko siyo Roho wa Mungu, wanajikanyaga wenyewe
@Jonas-t9h
@Jonas-t9h 3 ай бұрын
Daah aisee huyu ndacha ni shida hata mi nimeanza kumuelewa
@aloycekayanja1756
@aloycekayanja1756 Жыл бұрын
Ndacha Yuko sawa kabisa! hao wachungaji HIV niwasabato kweli?
@MakholoBabá
@MakholoBabá 6 ай бұрын
Ndacha Ni lazima uwaubirie hao wachungaji hawana maarifa kabisa
@charlesmerrill771
@charlesmerrill771 2 жыл бұрын
These two good Pastors (with all due respect) did not come prepared for a debate. They are giving information in bits and pieces as if it is going to be a one week seminar. One hour in to their presentation, I still don't know what their position is on trinity. They have not even defined what it is. Sad state of affairs
@jonesmutiso6183
@jonesmutiso6183 2 жыл бұрын
Most of these pastors do not know what they believe that is why they couldn't explain what the trinity is and because it is not supported by the scriptures. simply put, it is a mirage,in other words it's a false doctrine!!.
@BoazKipkemei-f8e
@BoazKipkemei-f8e Жыл бұрын
Pastors for pay
@MakholoBabá
@MakholoBabá 6 ай бұрын
Hamana lolote hao wachungaji
@MakholoBabá
@MakholoBabá 6 ай бұрын
Kwanini hao wachungaji wawili awafungui bibilia ili kutuakikishia wanacho kiamini?
@KanenoMuhindo-fs4ty
@KanenoMuhindo-fs4ty Жыл бұрын
Mafundicho ya kanisa catholike ni ma fundicho ya kweli
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 жыл бұрын
Wachungaji wa Kisabato, karma ndivyo mlivyo kwa kutokubaliana na Maandiko ya wazi, na kusema kuwa ukweli wa sasa ( uliofunuliwa na Roho Mtakatifu wa Mungu) unaweza kufutwa/kupingwa na Roho Mtakatifu wa Mungu yule yule, ni KUMKUFURU Mungu wa Biblia, Mgeukieni Yesu mumnyekee badala ya Uongozi wa Kanisa uliotulisha fundisho la UPAGANI la TRINITY
@ayengobenjamin8014
@ayengobenjamin8014 2 жыл бұрын
Mfungu ya Bibilia na nukuu za SoP yaliyosomwa na Ndacha siyo "proverbs" au "figures" (siyo mithali au mifano). We take them as they read. Acheni kujaribu kutumia "cunning" world philosophies to refute Bible truth! NINAWAOMBEA ROHO WA KRISTO AWAGUSE, MWONE MTEGO ULIOWANASA.
@issackabdi7001
@issackabdi7001 2 жыл бұрын
God is one and has no partnership
@zacharynganga2124
@zacharynganga2124 2 жыл бұрын
Mbona mwanzo akasema na tuumbe
@cheyosamwel5466
@cheyosamwel5466 Жыл бұрын
Shida ya ndacha hajaandikiwa kwenye Biblia neno Mungu mwana! Hana shida ya fundisho ila neno Mungu mwana haoni kwenye Biblia! Hebu sikia hii tujenge hoja hapa! Anakubali Yesu ni Mungu na vile vile anakubali Yesu ni mwana wa Mungu. Kama Yesu ni Mungu na ni mwana wa Mungu Kuna utafauti gani na anayesema Yesu Ni Mungu Mwana? Ili fundisho lake liwe sawa Ni lazima akatae kabisa Yesu siyo Mungu si vile anavyojichanganya
@kisoimunyithya3893
@kisoimunyithya3893 Жыл бұрын
Jesus is God coz of attributes he takes / inherited from his Father, he is also everlasting since resurrection, Jesus himself says the father gave him everything, he tells us to pray to the father in heaven through Jesus,
@HENRYAmongo-s2g
@HENRYAmongo-s2g 2 ай бұрын
Wewe akukuwa hiyosiku na uwe muaminifu na ujimbe wa malahka watatu.
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 Жыл бұрын
Ndacha kawacha mbali sana wenzie hao, story nyingi bila mandiko. Wote hao alio wasema kwamba hawakumjua Yesu lkn walijua habari zake na ukuu wake.
Vidio hii iwafikie washiliki wa kanisa la SDA POPOTE WANAELEWA KISWAHILI
48:00
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 33 М.
USTADHI SHAFII USO KWA USO NA MCH. NDACHA KISA SABATO NA MAJINI
35:59
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 15 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 31 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 88 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 6 МЛН
Mwalimu Dancha Amefika
51:58
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 37 М.
WAFU WAKO WAPI ? KASARANI DAY 4 BY FRANCIS NDACHA
57:16
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 6 М.
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 3,7 М.
Mtu Wa Uwour Kwa Mhadhara
1:11:49
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 70 М.
Je Mungu BABA ni nani?
2:07:10
Testimony Tv
Рет қаралды 7 М.
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
NAJIBU KWA MCHUNGAJI PAUL SEMBA KWA MADA YA UUNGU
2:45:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 14 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47