Ntemi Omabala _ Harusi ya Paulo Official Video HD

  Рет қаралды 268,572

Ng'wana Kang'wa

Ng'wana Kang'wa

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 ай бұрын
Yaani huu wimbo na ule wa igunga wa harusi ya ngolo hizi nyimbo nazipenda saana kwangu ni the best one big up kwako bro 🫡
@dottoherman
@dottoherman Жыл бұрын
Daaaah hap kk ulifanya yako tone kali sana naipata BTM Afrika nikiwa ndala wilaya ndogo kk kaz nzuri Mungu atupe nn wasukuma ntemi 2nae Mungu akulinde kk
@NEEMAJOHN-r7j
@NEEMAJOHN-r7j 2 ай бұрын
Iko poa sana
@jEANBOSCOMBONIMPA-fu5ni
@jEANBOSCOMBONIMPA-fu5ni Жыл бұрын
Ndowa NI mpango wa MUNGU WETU YEHOVA,iheshimiwe sasa,ubarikiwe muimbaji WETU,uendereee MBERE...
@SindoleCharles-n6d
@SindoleCharles-n6d 2 ай бұрын
Sawa kang'wa by masii kutoka mkuranga pwani nazikubali sana ngoma zako kwenye biti ziko juu sana mungu akupiganie kwa kila hatua unayo pita 🙏🙏👊👊👊
@NeemaDenja
@NeemaDenja 5 ай бұрын
Nakukubali sana kaka angu mzuri mpole mkalimu ♥️♥️♥️🥰🥰🥰🫶🫶🫶
@annadotto2429
@annadotto2429 Жыл бұрын
Nyanda ndododo hujawahi niangusha nyimbo zako ni nzur sana, hongera sana kaka angu
@MwigaKatumpula-mi3zt
@MwigaKatumpula-mi3zt Жыл бұрын
Maisha ya ndoa ni safari ndefu ili mfike yahitaji kuvumiliana.good message kwa jamii 👏👏🙏🙏🙏🙏
@LovelyTz
@LovelyTz 3 жыл бұрын
Jamani kila nikiweka bando siwezi acha kukuangalia boy wangu daaaah love you so much brother 😘😘😘😘❤️❤️👌👌
@JescaKisinza
@JescaKisinza 4 ай бұрын
Hongera sana kaka angu , nafurahiaga sana nyimbo zako zote, mungu akubariki sana ❤❤
@EmmanuelKasambale
@EmmanuelKasambale 3 ай бұрын
Asante sana unatufurahisha wasukuma Ng,wanakamywa uk wapi? nakupenda sana myimbo zako obheja ngalu
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 2 жыл бұрын
Nakubali Sana ntemi omabala, hangamaga bhabha.
@mboygilya1090
@mboygilya1090 Жыл бұрын
Hii beet utanitungiaga wimbo kabisa ipo siku
@kautharkayu6326
@kautharkayu6326 2 жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa msukuma ❤️🌹
@rwandaafrika6173
@rwandaafrika6173 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Maisha ya Ndoa ni kuvumiliyana ubarikiwe kwakweli ♥️🌹♥️👌💪✈
@emmanuelbayona-ie3zl
@emmanuelbayona-ie3zl Жыл бұрын
Mm peter mtoto diwani kata ya budekwa ester NG'HOLONGO nakubali Sana kazi yako chapa kazi tupo pamoja🎉
@mayungativ222
@mayungativ222 3 жыл бұрын
Nachek 2021 kutoka ureno mimi ni mnyamwezi wa nzega jamaa unajuwa sana hongera sana
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa 3 жыл бұрын
Asante sana ndugu!!
@RestutaWilbert
@RestutaWilbert 10 ай бұрын
Hongera jaman napenda hii nyimbo
@jafalyishengoma7587
@jafalyishengoma7587 3 жыл бұрын
Huwa nakuelewa sana simamia hapohapo usije ukapotoshwa kama saida ushauri wangu endelea kuima kwa lugha hiyohiyo.
@JovinJackson-mg1py
@JovinJackson-mg1py Жыл бұрын
Hapn jamn b,harus kapendaza mno😍
@rosejoely4518
@rosejoely4518 3 жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥wasukuma wezangu mleho tulagi lupundu😋
@catherinefabian5014
@catherinefabian5014 2 жыл бұрын
🔥
@SelinaWilliam-tw1nn
@SelinaWilliam-tw1nn 6 ай бұрын
Jaman nyimbo nzuli sana ila bihalusi walimuonea 😢😢😢😢hata wigi la 5000 jaman😂😂😂😂alafu mahali wamechukua ng,ombe 14😢
@mariamuchimma4241
@mariamuchimma4241 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, hongera sana
@jumastephano2688
@jumastephano2688 4 ай бұрын
Wimbo mzur sana ❤
@mariamuchimma4241
@mariamuchimma4241 2 жыл бұрын
Harusi yangu nitakutafuta unitengenezee wimbo wa harusi yangu 😂😂😂
@joycegabriel4770
@joycegabriel4770 3 жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi
@renadachaguchagu2596
@renadachaguchagu2596 3 жыл бұрын
Nakuelewaga sana kaka Angu big up kijana
@catherinefabian5014
@catherinefabian5014 2 жыл бұрын
Sawa Nkyi
@mavangasaidi7625
@mavangasaidi7625 3 жыл бұрын
Upo vzr san
@mipandakali8236
@mipandakali8236 4 жыл бұрын
Iko poa sana hii nyimbo naikubali mno isenengeja, pamoja sana##team btm##
@NeemaBonphace-r9z
@NeemaBonphace-r9z 7 ай бұрын
Mwenye nayo anitumie
@barnabamasigani221
@barnabamasigani221 3 жыл бұрын
Nyimbo saf kabisa
@someke_tz
@someke_tz 4 жыл бұрын
Hongera sana Ntemi kwa kazi nzuri,always I trust your ways those you passes!!!
@dalaliadamu2239
@dalaliadamu2239 4 жыл бұрын
Hongera Sana nasubria ya kwangu kwa hamu
@jumajumapilinyansagaya7204
@jumajumapilinyansagaya7204 2 жыл бұрын
Ahene aha ntemi omabala okanina bhoyegi
@fadhilikyandofadhilikyando5666
@fadhilikyandofadhilikyando5666 9 ай бұрын
Huyuuu jamaaa hawaii feriiii huyuui saruti kwako kaka
@catherinenyaa5796
@catherinenyaa5796 2 жыл бұрын
Zinanifuraisha san
@RackeR31
@RackeR31 4 жыл бұрын
Upo Katoro Kaka Naomba Tuonane Mie Kama Msambazaji Wa Nyimbo zako Nakukubali Sanaaa Nipo KATORO SWEET CORNER
@sittaanatory2699
@sittaanatory2699 3 жыл бұрын
Oya ktro napaelewa hap swet.
@sittaanatory2699
@sittaanatory2699 3 жыл бұрын
Mi nip hap sitamko
@dadapechi
@dadapechi 3 жыл бұрын
Kama wewe nimsambazaji. Naomba tuwasiliane ili kufanya utaratibu wa malipo niko nje ya nchi uniletee
@dadapechi
@dadapechi 3 жыл бұрын
Tuwasiliane
@RackeR31
@RackeR31 3 жыл бұрын
@@dadapechi Ongea Na Ntemi
@dionispeter7942
@dionispeter7942 2 жыл бұрын
Mwana kangwa 2001
@christopherjumanne4689
@christopherjumanne4689 7 ай бұрын
Mwenga kanuna balaaaa😂
@SelinaWilliam-tw1nn
@SelinaWilliam-tw1nn 6 ай бұрын
We ungefrai kuvalishwa ivo jaman😂😂😂😂😂
@abdallahkisaka6188
@abdallahkisaka6188 4 жыл бұрын
Nipo dar ila nakufatiria sana hom kahama
@jafalyishengoma7587
@jafalyishengoma7587 3 жыл бұрын
Hii vide nikuwa nimeisubiri sana
@HuseinMatajiri
@HuseinMatajiri Ай бұрын
Nakuku bari
@marthadeogratius7913
@marthadeogratius7913 3 жыл бұрын
Kawimbo katramuuu hatarii
@BahathijumaNungula-eb9lq
@BahathijumaNungula-eb9lq Жыл бұрын
Vip
@simontindika2220
@simontindika2220 3 жыл бұрын
Lya ntemiiii🔥🔥🔥omabalaaa
@isaacmgiye1439
@isaacmgiye1439 3 жыл бұрын
Shida kamela hapo kiongoz
@salomeandrew4148
@salomeandrew4148 3 жыл бұрын
Isenegeja one penda sana ng'wana kang'wa
@frankphilimon2914
@frankphilimon2914 4 жыл бұрын
Toa vtu toa vtu safisha stoo mwaka unaoanza kesho uje kivngne ulete mapinduz katka Tasnia ya nyimbo za kisukuma
@brandonfau5326
@brandonfau5326 3 жыл бұрын
Kaka angu nyimbo zako nazikubar sana
@happynessjohn6248
@happynessjohn6248 2 жыл бұрын
💕💕💋🔥🔥💪💪🙏🙏
@BahathijumaNungula-eb9lq
@BahathijumaNungula-eb9lq Жыл бұрын
Hongera
@EvaZumala-p7c
@EvaZumala-p7c Жыл бұрын
,jmn bbi harus ana Kanda mbil 😂😢
@NEEMAJOHN-r7j
@NEEMAJOHN-r7j 2 ай бұрын
safi sana
@marckevarist2003
@marckevarist2003 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@jafalyishengoma7587
@jafalyishengoma7587 3 жыл бұрын
Koma hapo napo usije ukayumbishwa Kama saida mi mshabiki wako sana
@bundalajilala1182
@bundalajilala1182 2 жыл бұрын
Ntemi 🙏
@JohnLwinga-m8t
@JohnLwinga-m8t 9 ай бұрын
Arikiba
@stephanjaphet1792
@stephanjaphet1792 3 жыл бұрын
Good song
@BakariMwango
@BakariMwango Ай бұрын
Nakubar
@EmmanuelKasambale
@EmmanuelKasambale Ай бұрын
Naomba namba Yako ya sim
@ngwanakangwa
@ngwanakangwa Ай бұрын
0753853523
@reginandege7196
@reginandege7196 3 жыл бұрын
Sana kaka angu
@jafalyishengoma7587
@jafalyishengoma7587 3 жыл бұрын
Nakuelewanga sana
@entrepreneurprovidertech3209
@entrepreneurprovidertech3209 4 жыл бұрын
Love this guy ✅
@kishimbamusic5116
@kishimbamusic5116 4 жыл бұрын
Piga kazi ndg!
@paschalymajizo702
@paschalymajizo702 4 жыл бұрын
mwamba unatisha nitakutafuta tuyajenge
@batholomeodonatus3274
@batholomeodonatus3274 Жыл бұрын
🎤🎺🎺✌✌
@dadapechi
@dadapechi 3 жыл бұрын
Naomba usb stiki. ya huu wimbo
@kidboybrown832
@kidboybrown832 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@joycegabriel4770
@joycegabriel4770 3 жыл бұрын
Hongera xana
@SelinaWilliam-tw1nn
@SelinaWilliam-tw1nn 6 ай бұрын
Alafu wanahasila😂😂😂😂😂😂
@WalesStudio
@WalesStudio 4 жыл бұрын
Esenengeja hio
@reginampigachai8537
@reginampigachai8537 3 жыл бұрын
Hongera kak
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 8 ай бұрын
@jumakajoro6778
@jumakajoro6778 4 жыл бұрын
Ngoma iko poa sna
@JohnLwinga-m8t
@JohnLwinga-m8t 9 ай бұрын
Kisima
@MwajumaMathiac
@MwajumaMathiac Жыл бұрын
💋🥰🥰
@MwasiHamidu-ox1gc
@MwasiHamidu-ox1gc Жыл бұрын
@HusseinMatajiri
@HusseinMatajiri Ай бұрын
Mmmmm
@pogbabundala8758
@pogbabundala8758 4 жыл бұрын
Kaz nzuur ila unacheleweshaga sana kutoa vdeo ila nnakuaminia kwa maana nyimb zako znaish miaka zaid 1000
@jackmkama7996
@jackmkama7996 3 жыл бұрын
Appreciated ntemi omabala
@jackmkama7996
@jackmkama7996 3 жыл бұрын
Appreciated ntemi omabala
@KisesaMahenge
@KisesaMahenge 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉😂😂
@jafalyishengoma7587
@jafalyishengoma7587 3 жыл бұрын
Wqql
@kalundegodfrey9450
@kalundegodfrey9450 3 жыл бұрын
Penda San hyo nyimbo
@mashakakulwa1649
@mashakakulwa1649 3 жыл бұрын
P
@bahatimtani3964
@bahatimtani3964 3 жыл бұрын
Good song
@JacksonMayila
@JacksonMayila 16 күн бұрын
❤❤
Ng'wana Kang'wa _ Kisima Official Video HD.
10:57
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 397 М.
Ng'wana Kang'wa _ Harusi ya Ngolo Official Video
14:01
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 441 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 17 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 10 МЛН
Ng'wana kan'gwa ufunguzi wa makula guest b by jA60
11:47
JA60 Kadonya
Рет қаралды 825 М.
shagembe _ ufunguzi wa nyumba ya gapi by mala recordz
21:50
Mala Recordz
Рет қаралды 236
Ntemi_Samaki Samaki Official  Video (Full Hd.)
11:17
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 283 М.
Paulo Makonda - Viki |official video
15:20
Makula Studios
Рет қаралды 12 М.
Ntemi Omabala_Acha Tudange Official Video HD.
9:42
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 1 МЛН
Ng'wana Kang'wa -Harusi kwa Ng'wana George Video
11:11
BTM AFRICA BRAND
Рет қаралды 20 М.
Ng'wana Kang'wa - Harusi ya Anna Official video.
10:16
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 990 М.
Ng'wana Kang'wa - Eliza Maliganya Official Video
18:22
BTM AFRICA BRAND
Рет қаралды 11 М.
Ng'wana Kang'wa -Harusi ya Paul Masende Manyada
13:00
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 36 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 17 МЛН