Mbarikiwe sana watu wa Mungu tunaosikiliza huu wimbo 2024 tujuane
@christermlewa84718 ай бұрын
Gonga like kama unaisikiliza 2024 Hadi raha yaani
@danielmutinda83117 ай бұрын
Its now 2024 listening 😢 Piga likes tukisonga This is an amazing ❤ blessings
@TumainiShangilieniChoir7 ай бұрын
Amen, Be Blessed
@albertwayne15905 жыл бұрын
Kuna ambae anasikiza huu wimbo mwaka was 2019?Ebu wacha like.
@maphieemanuel13645 жыл бұрын
The song is memorable that you can not dare not listen to.
@icon78294 жыл бұрын
BWANA MUNGU ASIFIWE NDUGU WAPENDWA MIMI NAITWA ZADOCK OKUMU OMBURA KUTOKA NAIROBI KENYA WIMBO HUU WA NUHU NI WIMBO MZURI SANA ENDELEENI VIVYO HIVYO MBARIKIWE
@geofreysolomon59544 жыл бұрын
2020
@priscaanthony10672 жыл бұрын
Mimi 2022 🥰
@erickodorick95232 жыл бұрын
2022
@yvonneirakiza39905 жыл бұрын
Kama kuna mtu kamuona Beatrice muhone enzi hizo gonga like
@NoahLugano-ij8co8 ай бұрын
Alikuwa mbichiii
@dorcemrutu5683 Жыл бұрын
Tunao angalia huu wimbo hadi leo 2023 tujuane😊
@advocatechillongozi2221 Жыл бұрын
2023 na bado nabarikiwa na Huu wimbo ❤
@asteriamallya10873 жыл бұрын
Hii casseti baba ilikuwa inarudiwa na baba yanguu.imenikumbusha mbali. Asante Yesu kwa zawadi ya uhai
@TumainiShangilieniChoir3 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwajalia uhai na kufanikiwa kwingi Rohoni na Mwilini.
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Mungu akujalie pia kufanikiwa sana pamoja na huo uhai.
@josephatmwanga11 ай бұрын
J s mwanga mungu awabariki wote mnaosikiliza nyimbo za zaman
@johnmophat53006 ай бұрын
Mungu azidi kutupa umri mrefu 😢rest in peace big dady sareh Mophat niliijua hii nyimbo na kwaya kwa ujumla kupitia kwa baba yetu mkubwa japo alikuwa islamic
@arnoldneema69772 жыл бұрын
I am still listening to it in 2022. It's always blessing
@davidmuke8377Ай бұрын
my dad always enjoys listening to this song, every time I miss him i have to listen to it 😔😔
@ayubumwailugula48433 жыл бұрын
Ivi hawa waimbaji wapo kweli kama wapo MUNGU awabariki sana tunawapenda
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Tupo, karibu sana Arusha ndugu Ayubu
@NoahLugano-ij8co8 ай бұрын
Sichoki kuwatazama nyimbo zenu,yaani mlikuwa Bora sana wakiwemo na majirani zenu wale wa FURAHA GANI
@AgnessNjeri7 ай бұрын
Wapo
@wannaproducts6 ай бұрын
Nimemuona Beatrice Muhone
@africa19904 ай бұрын
Kuna siku ntakuja kutembea ….. kuja kuwaona maana nawapenda toka nikiwa Mdogo… nilijitahidi nikapata namba ya Kaka Mmoja anaitwa Mtongoo kama sijakosea…. Naamini wapo waliotangulia mbele ya haki na wapo Walionaki, Mungu awarinde sana
@queenbianky1751 Жыл бұрын
12 Nov 2023 but still here❤❤❤ Nyimbo ina nikumbusha marehemu babangu
@kinywimwarabu20872 жыл бұрын
Back in the days when Gospel songs were Gospel. God bless you
@YusraSelemani4 ай бұрын
Naipenda sana hii song hakika na barikiwa sana 🙏🙏♥️
@ElishaMahelelaАй бұрын
Neema za bwana zinatawala tuiio hai weka lake jamani tuiiobaki tukisikiiiza nyimbo zakipindi kizuri chakumpendeza muumba wetu🙏💯
@GodsonVicent2 күн бұрын
Nikimalizaga hii nakuja ile habari ya mwana mpotevu halafu shangilieni yamwisho❤
@margarethmwampondele78582 жыл бұрын
Wimbo unanipa kujitafakari sana. Mungu awabariki sana Tumaini Choir
@raphaelmwamakimbula96424 ай бұрын
Shangilieni original mpo original kweli♥️🎶👏
@juliusmoshi3172 Жыл бұрын
01 Sept 23 hakika nakumbuka mbali sana sana. Mungu ni Mwema kwetu
@roymosirigwa45143 жыл бұрын
This songs make me see myself at Heaven and feel so spiritual
@ZawadiSamy10 ай бұрын
Mungu wambinguni awaongezee siku atamuweze kuzidi nakumwimbia kilasiku katika maishamwenu amina
@devidpanja1154 жыл бұрын
Nakumbka mbali sana kipnd nipo mtoto nafrah kuziona hiz nyimbo sasa asante Mungu
@bhatimhobingi Жыл бұрын
Tufungulieeee
@sabinatsaxara67362 жыл бұрын
Mi naangali 2022 inanibarika sana,
@godwinbenedict41462 жыл бұрын
Hizi nyimbo nakumbuka nyumbani Wazazi walikua wanazipiga/cheza kwenye radio cassette, Mbarikiwe sana St James
@kingslyrics5193 Жыл бұрын
I am still listening to this song 2023
@mamyqt70562 жыл бұрын
Asante Mungu kwajili ya watumishi wako hawa
@DanielTsheko-official2 ай бұрын
This song I love since childhood
@stevenjulius5152 жыл бұрын
Ntasikiliza Sana hii ngoma naona uwepo wa mungu nikisikiza hiki kilikuwa kizaz Cha dhahabu kipndi icho mpaka leo hamjapa mpinzan
@violetkemuma2231Ай бұрын
THE LOVE I HAVE FOR THIS SINCE SINCE MY CHILDHOOD ❤❤❤❤❤❤
@roychiwanga37303 жыл бұрын
Bado mko juu 2021 safi sana mbarikiwe sana.
@EliaMdingi7 ай бұрын
Jamani nabarikiwa sana na wimbo huu hivi huyu Dada yupo wapi jamani nimemic sana
@lulanjamd38866 ай бұрын
Amen mbarikiwe sana ndugu zangu katika Kristo 🙏
@TumainiShangilieniChoir6 ай бұрын
Amen Amen, Mtumishi
@henrychaula11745 жыл бұрын
Album hii umaarufu wake hautakaa upitwe na wakati hata miaka mia moja ijayo. Nafarijika sana nisikiapo na kuangalia video zenu hasa kwenye album hii nabarikiwa sana. Mungu awabariki sana waimbaji wote walioshiriki kwenye album hii, wapiga vyombo, mafundi mitambo na wengine wote.
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Amen Amen Mungu andelee kukubariki zaidi na zaidi
@devisshirima6780 Жыл бұрын
Ni 2023 bado mpya hii
@rizikitwiga21242 жыл бұрын
Miaka ya zamani sana nikiwa Sunday school tunaona wanakwaya wanaimba huu,,,,na bado ujumbe unishi na ka uzito mkumbwa Mungu azidi kutukuzwa Milele na Milele
@johnthadayo954 Жыл бұрын
Mungu wabariki watumishi wako
@lordorcas9344 Жыл бұрын
🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏❤️🙏❤️🙏❤️❤Acsenti Acsenti asente ba Pendwa
@petershirima2463 Жыл бұрын
Nyimbo tamu sana hiii, nilikuwa darasa la tatu wakati nyimbo hii inatoka
@erickyahaya6784 Жыл бұрын
mi pia
@LivingstoneShuma-xn9in Жыл бұрын
Hakika wimbo huu Huwa unanibariki sana,naamini akina Mtangoo bado mpo mnamtumikia Mungu Kwa njia hii ya uimbaji, MUNGU awabariki waimbaji wote wa Shangilieni
@georgenathanael Жыл бұрын
My home choir back to time at St James Anglican Church Arusha 👏👏👏👏
@justinlyuvale-kv9sk Жыл бұрын
Wachache wanaojua habari za mungu tumshukuru mungu tulie kuwepo na bado Mungu anazidi kutupa afya SEMA ameen
@peterhayo86202 жыл бұрын
This choir has drawn many to Christ. As most of them must be aged by now, may God raise others to carry the mantle and continue blessing the current generation.
@dostovan51428 ай бұрын
Tumeipokea injili ya Mungu wa kweli
@TumainiShangilieniChoir7 ай бұрын
Amen, Sifa na utukufu ni kwa Bwana
@TumainiMivuba7 ай бұрын
Nimefurahi sana na huu wimbo mubarikew watumishi wa mungu memenikubusha bari
@TumainiShangilieniChoir7 ай бұрын
Amen, Endelea kubarikiwa Mtumishi
@yonamrutu94602 жыл бұрын
nabarikiwaa sanaa na hizii nyimboo 2/6/2022❤💯🔥🔥🔥🔥
@elviskoech62715 жыл бұрын
Naskiliza 2020
@African5112 жыл бұрын
Nafarijika sana kusikia nyimbo hizi,binafsi najisikia kua mpya kiimani mpaka sasa 2022.
@alexspencer64993 жыл бұрын
Every time I listen to this song it reminds of my late dad men he loved the whole album.
@josephinemlimbila52823 жыл бұрын
same here, it reminds me of my Dad
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
May he rest in eternal peace
@kossakantinga40942 жыл бұрын
inanifanya niwe nawaza kufanya mema hii zoruba ya nuhu hatari ongereni waimbaji
@queenbianky1751 Жыл бұрын
Same here it reminds me of my late Dad.....may he keep on Resting in Perfect Peace
@boscongaruko7454 Жыл бұрын
Nyimbo nzuli sana,nayikumbuka mwaka wa 1998,balikiwa
@newtongabriel85293 жыл бұрын
Tujihadhari na dunia maana imechafuka na yaliyotabiriwa yamekwishatimia
@Godfreyeliaskulwa Жыл бұрын
Mungu ni mwema Sna kwa maish ya binadamu
@johnndunguru6974 Жыл бұрын
nazifuraia sana nyimbo za zamani zina ujumbe mzuri sana. safi sana
@WemaMgale5 ай бұрын
Yaani inakubusha mbali mungu awabariki sana
@lordorcas93447 ай бұрын
Hosanna Hallelujah ❤💕
@stevenmfumbilwa21092 жыл бұрын
Kazi yenu NJEMA SANA NA BWANA awe upande wenu na kuzidi
@NuruDunianiFM-TV2 жыл бұрын
Mungu awabariki sana natamani waje kuimba mahali nipo
@maphieemanuel13645 жыл бұрын
Kazi ya injili iliyofanywa na hii kwaya kwa njia ya uimbaji ni kubwa sana. Nmeisikiliza nikiwa mdogo na sasa ni mzee bado naisikiliza.
@richardmlingi27463 жыл бұрын
Nihaka walikua Naupakohaswa nyimbo unaiskiliza inakuongezea imani rohoni
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza rafiki.
@billyrique7 жыл бұрын
Kama nakumbuka niliponunua album hii mwaka 1993 niliinunua kwa sababu haswaaaaa ya huu wimbo. Naupenda saana hata leo hii!!
@simonkaleshu11936 жыл бұрын
Hii sio ilitoka mwaka 1999
@humphreymwihambi43305 жыл бұрын
Album hii ni ya mwaka 1997. Siyo mwaka 1999 au 1993.
@obedlwunga79647 жыл бұрын
Enyi wapendwa wa Kristo Mungu baba wa mbinguni kweli awabariki sanaaa awazidishie uzima awatie nguvu katika Huduma yenu hatimaye awafikishe mbinguni maana huko ndiko talaji letu amen
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Amen Amen; Mungu akusaidie uvipige vita vizuri, ili tuirithi pamoja ile taji ya ushindi.
@Mombasa-gz7rd5 ай бұрын
This is altimate I can't get any better song than this one.Congratulations
@idothemoneydance Жыл бұрын
Mwaka 2023 bado inatubarikiii...
@rehemahusseinndulani55422 жыл бұрын
Wimbo huu umenitoa mbaali,, Tufungulieee tufungulie
@dukeobara78905 жыл бұрын
Hallelujah... nice song. Early 2000. Gone are days
@kingmwaxoh64202 жыл бұрын
hakika vya kale ni dhahabu, mbarikiwe sana. you are the people that made our childhood awersome
@obedimunguachiza8434 Жыл бұрын
Machozi yananitoka nakumbuka nilipokuwa bado mtoto mdogo mama akinipeleka Sunday school! Nyimbo hizi nilizipenda saaaaana jameni Mungu azidi kuwatunza hata hapo tutakapo umaliza mwendo huu salama mubarikiwe wapendwa.
@allenmjindo85546 жыл бұрын
Yaani huu wimbo wa Nuhu huwa unanibariki sana,mwili hunusisimuka nikiusikiliza,naupenda sana. Mbarikiwe sana Tumaini choir
@innocentnnko21466 жыл бұрын
innocent nnko wa Dodoma Tanzania.huu wimbo nimeanza nao mbali sana siku sina nauli Niko katikati ya Arusha Mjini natembea kwa mguu toka levolosi hadi tengeru Nina walkman inakanda yenye wimbo huu wimbo ukiisha Nina bomba la kalamu narudisha revers.nikiusikilizaga napata picha ya mwaka ule na huyu bwana aliesolo(Mtangoo) natamani sana nikutane nae Nina l kumuomba aniambie habari hizi kwa karibu naomba ukipata ujumbe huu mtangoo ninaomba reply 0682221496
@stanlyntenga870128 күн бұрын
Watu wa mungu hawa mungu awabariki sana 2024 tunasikiliza bado
@alphayomogunde7828 Жыл бұрын
Mimi sina budhi ila kuwapongeza kwa uimbaji supavu! From Nairobi Kenya.
@amosmchiwa56324 жыл бұрын
October 03.2020 nakumbuka huduma ya watumishi hawa wa st James, sijabahatika kuwaona live nataman siku niwaone hasa mtumishi Beatrice Muhone kweli nawapenda mno
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Karibu sana Arusha, Amos. Mungu akubariki sana.
@mamayde80067 жыл бұрын
Asanteni sana tumaini choir, mmerudisha shangilieni 1-videos hapa you tube. hii album yote huwa naskia kubarikiwa sana.
@naimaothman32037 жыл бұрын
Chao Rose Amen. Kwa kweli wabarikiwe sana kuirudisha hata mm inanibariki sana sana.
@barakakipkemoi82784 жыл бұрын
I watched this for the first time in 1999 when I was in class 8 back at home in Kenya. They r a blessing
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
We are humbled.
@johnjames72107 жыл бұрын
Dada yangu Beatrice Muhone mungu akubariki sana leo na hata milele
@francisluganga50585 жыл бұрын
Katoka mbali sana
@stephanmallya28865 жыл бұрын
Aaah asante sana ndugu namm nlivyona nikahisi ni yeye ila sikua na uhakika
@Danie2024 Жыл бұрын
What a great song! I listen to it time and again.
@mwitasamwel79726 жыл бұрын
Album bora ya nyimbo za injili. Shangilieni, ilikuwa alfajir na nakulilia yehova nazipenda sana. Mbarikiwe sana popote mlipo kwa sasa
@vincentnyangena78666 жыл бұрын
Hata ingawa wengine wenu ni wazee msikubali kutopeana kipawa cha bure mliopewa na Mola .Mbarikiwe old is Gold jameni peana bure pia, kwa kumtukuza Muumba wetu.
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi na zaidi rafiki
@mmuruericka3702 Жыл бұрын
mbarkiwe sana watumishi wa Bwana aliye hai
@jacksonkikwai70332 жыл бұрын
Huu wimbo wanikumbusha mbali sana nikiwa nachapa kibarua mchini kisumu mwaka ni 1998
@danielpyuza41277 жыл бұрын
Hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana. Mbarikiwe sana St James choir.
@catherineaugustinenhemati95917 жыл бұрын
TUMAINI SHANGILIENI CHOIR ST. JAMES AC ARUSHA mb
@estatamushi58837 жыл бұрын
jamani hii nyimbo naipenda sana,kwaya hii naipenda sana hua naifuatilia sana,mbarikiwe sana
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi rafiki
@danielkikove978 ай бұрын
Jamani nabarikiwasana na nyimbo za zamani
@TumainiShangilieniChoir7 ай бұрын
Ameen Ameen
@rechomlay5420 Жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana .nasi tukutwe tumejiandaa. Mungu awabariki sana tumaini
@obillaezra62053 жыл бұрын
Kati ya Nyimbo zilizoimbwa kwa umakini wa Hali ya juu sana” Na ule wa Mwana mpotevu Prodigal Son, sadly I heard the Prodigal Son has already passed away” But He will be remembered a lot
@TumainiShangilieniChoir2 жыл бұрын
Yes, he's departed; May his soul rest in eternal peace.
@asukenyemahenge8082 жыл бұрын
Nabarikiwa na kwaya hii nyimbo zote zimejaa utukufu
@rayjosephine1909 Жыл бұрын
2023, still vibing
@aronrobertmazengo75814 жыл бұрын
Ilikuwa 1998 zilipovuma,acha tu jina la bwana ni kuu kwa kweli
@ephraimkipomela8122 Жыл бұрын
Mungu awabariki,wimbo huu unanibariki sana,
@Luccierick6 ай бұрын
Kwaya ilikua na akina Mtangoo wapiga vyombo na waimbaji wazuri almost familia nzima