Mbariwe waimbaji wema nyimbo nzuri Sana Kila siku nimeendelea kusikia nyimbo hi 😘❤👍👋
@Chalavevo5 жыл бұрын
+Paul Mwati ok
@paulmwati4485 жыл бұрын
Ongera Dada unasauti nzuri Sana ya kuvutia Tena wewe nimwimbaji mzuri unajua kuimba ingelikuwa tuzo tu ungeliipata lakina tuzo lako Ni mbinguni usipozimia moyo 👍😘😘
@Chalavevo5 жыл бұрын
+Paul Mwati Asante
@nsimireshokano61985 жыл бұрын
Mubarikiwe sana na nyimbo zinanifariji sana mungu awabariki
@officialsuzzy95405 жыл бұрын
Amen amen, Mungu wangu nipe mwisho muzuri 😥😢😢😢
@ZambeNanga7 жыл бұрын
Napenda saana how natural they are. Kweli mkristo anapsha kuonekana kupitia mavazi, tabia, na kucheza pia. I really love this choir. Sauti ya lead singer is soo beautiful full of the Holy SPIRIT
@anzurunikabunga45226 жыл бұрын
Nzambe Nangai
@divinekahindo92776 жыл бұрын
Amen! Amen! Iyi nyimbo inanijengaka sana, mubarikiwe sana watumishi Mungu. Bwana Yesu asifiwe sana👏👏❤
@isaacvtv5477 жыл бұрын
Asante watoto wa Yesu. Ni kweli mmejitahidi kuyavuwa mengi ya duniyani ambayo yanawakumba waimbaji wengi. Big up and God bless you all.
@nsengakanebrown13327 жыл бұрын
God bless you all l like da songs this is nsenga Kane brown i live in Dallas Texas I really really your song touching our souls and god keep bringing peaceful in nyarugusu camp choir I appreciate what your doing
@leleyomari71576 жыл бұрын
kwa bwana ni furaha na raha,kweli ninapo sikia nyimbo hizi nakua na nguvu nafuraha sana.Mungu wetu wambingu na nchi awabariki.
@thereseuwezo46087 жыл бұрын
Mbariliwe sana kwa kazi jema iyo imenibariki sanaaaaa amen.
@muganzababingwa24346 жыл бұрын
Wangapi bado wanasikiliza hii wimbo 2018;2019 gonga like
@uzierimteumbe18137 жыл бұрын
Mungu awabariki ,nikama vile tumefika nyarugusu.
@emedikatayapatrice44967 жыл бұрын
Uzieri Mteumbe yohana
@rajosking63016 жыл бұрын
Good job nice song mungu azindi kuwa juu yenu amen
@Chalavevo6 жыл бұрын
+innocenti sumahili Thanks
@dorexnashimiyu16387 жыл бұрын
Amen Amua kutembea na Yesu. Kazi nyuri mafanikio mema
@Chalavevo7 жыл бұрын
usisahahu kusubscribe channel yetu please
@chantalshimi96197 жыл бұрын
Huu wimbo siwezi kuuchoka. Naupendaga saana. Bwana awabariki sana wapendwa
@jumaitembe64187 жыл бұрын
GOD BLESS THIS BEND FOREVER AND I CAN'T NOT FORGET THiS CHURCH.... MUNGU AWA BARIKI SANA MIMi Ni MTOTO wa JoHN MKUNINWA...
@jeannettejacob42797 жыл бұрын
mubarikiwe sana wana wa Mungu, nice song
@lukafrancois75047 жыл бұрын
kwa kweli wimbo huu unastahili kupewa pongezi wimbo uko na theme nzuri sana HELEWEKA ( HELEWEKA DUNIANI NA MBUNGUNI WEWE AMBAYE UKO UWAMISHONI UNAPASHWA ULEWEKE NYUMBANI KWENU KAMA HUYU NI MTU FULANI (FANYA KITU KIDOGO KWENYU ILI UHELEWEKE NA WATU , MBINGUNI PIA TUNAPASHWA TUELEWEKE MBINGUNI KWA BABA YETU . WIMBO NI WAUPAKO UKIWA UNAUFUATA NA KUTAFARI , WIMBO IKO KWA UTARATIBU PAMOJA DANSE INATULIA . HELEWEKA NA KUAMUWA. MTUMAJI WA WIMBO HUU MUNGU AMBARIKI SANA. NITUMIE ANANUAI YA KANISA HILI NA JINA LA MCHUNGAJI WAO PAMOJA NA JILA MTUMAJI IKIWA ANAOLEWA NITUMIE JILA LA MMEWAKE NA NAMBA ZAO. KWENYE E-MAIL HII.
@obedibabuj62927 жыл бұрын
Hii nyimbo inanipa moyo wa kuhendelea kumutumikia mungu.
@beazabibu91085 жыл бұрын
Mungu awabari sana katika nyibohizi zinazidi kutukomaza kiima.
@byoseasolokoci39747 жыл бұрын
mungu awe nanyi Sikh zote za maisha yenu.nyimbo hizo,zinatukumbusha mbali.
@amosmchiwa56325 жыл бұрын
Huu ndiyo uimbaji tunaobarikiwa nao na kuvutiwa kuusogelea msalaba, waimbaji hawaangalii zaidi mwili
@PRINCESSALICEM6 жыл бұрын
Omg l love this song from USA God bless u all
@Chalavevo6 жыл бұрын
+Princess Ivonne Alice Penelope. Thanks a lot princess ivonne alice penelope for yah comment i preciate but don't forget to subscribe our channel Thanks @ChalaVevo
@emelianabalebino14647 жыл бұрын
mubarikiwe sana watoto wa mungu.
@bilombelemlasi34407 жыл бұрын
Mubarikiwe sana
@karungikunihira19247 жыл бұрын
ongereni kwakazi nzuri
@seelelajuma67687 жыл бұрын
Mungu abariki bend yenu
@maombiisaac85647 жыл бұрын
mubarikiwe nipenda sana
@rusiaesembe90117 жыл бұрын
ubarikiwe sana nawimbo umenijega sana kutabua duniyani tunapita nikweli
@anzurunikabunga45226 жыл бұрын
Rusia Esembe you f MN
@georgettemanga10107 жыл бұрын
mungu awasahidiye katika nyimbo zenu zote
@nahinahi6196 жыл бұрын
Nice song I like it God blesses you for your job🙏🙏🙏
@fainermarco64845 жыл бұрын
Mung aw bariki sana
@fainermarco64845 жыл бұрын
Ume nibarik u wimb
@joelmakeci7 жыл бұрын
Baraka tele kwenu.Mungu awatangulie katika kazi hii.
@luleleonard52667 жыл бұрын
Endeleeni nyarugusu maana wimbo zenu zinahelimisha vijana asanteni Sana.
@Chalavevo7 жыл бұрын
usisahahu kusubscribe channel
@ConcordeMusaProduction5 жыл бұрын
We are happy our song has reached this many views thank you to our viewers and good bless you ❤️
@ababelemialano45877 жыл бұрын
ohhhhh this my church Mungu awabariki kwakazi mzuri
@fanuelntirampeba53266 жыл бұрын
Kabisa!!! Kwenda Mbinguni ni maamzi yangi!
@Chalavevo6 жыл бұрын
+Fanuel NTIRAMPEBA Asante sana
@fatumajohn20197 жыл бұрын
Amen mubarikiwe sana
@ezekielidanielimkwizumkwiz35077 жыл бұрын
kazi zuri kuitangaza injili kupitia uimbaji amina Sana ijengeni nyumba ya bwana
@gisellechamulunguvuxenutbi92197 жыл бұрын
mubarikiwe na mungu aongeze vipaji zaidi sana ongerani mubarikiwe kama mimi