Hakika pastor mungu atuhurumie saan maaana wengi wetu tumekuwa waigizeji badala ya kuwa wakristo wa kweli ni wajibu wetu sisi wote kuombeana hallelujah
@VivianElias-ki1wf Жыл бұрын
Nakuombea sana Mchungaji wangu nafurahi unahubiri kwa uwazii na kujiamini natamani siku moja nikuone nisipo bahatika kukuona Duniani bac mbinguni nakuombea mchungaji wangu Ubarikiwe sana na uwe na afya njema
@PeterKunju-gr4ie Жыл бұрын
Asante sana mtumishi nakusikiliza kutoka nchi ya kameroun
@shaniachanceline2751 Жыл бұрын
Amen Mungu asifiwe🙏🙏🙏❤😍🥰
@rashidielocho4914 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi ninakusikiliza kutoka Australia.
@SamsoniKazungu7 ай бұрын
Kwahy wew ulikijuaje kiswahili
@SamsoniKazungu7 ай бұрын
Who direct you to speak Swahili
@piuslugata4931 Жыл бұрын
Emeni ubarikiwe sana mjoli wa Mungu
@lusajokamundu1459 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na mafundisho haya mtumishi wa Mungu Mungu azidi kukutumia
@FanuelLabani Жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
Ameeen in the name of JESUS Christ 🙏
@omaka721 Жыл бұрын
Namshukuru MUNGU kwa somo hili nzuri na mengine mengi; MUNGU akuweke imara kila wakati
@tumaininestory4037 Жыл бұрын
Ninabarikiwa sana kupitia kwenu..... Natokea Dsm
@Ashasaimonpaulo-cj4fy Жыл бұрын
Tspokuwa waaminifu tuna Cha kujibu
@ahabuzacharia5273 Жыл бұрын
Saut tafadhal
@magrethsindabaha1851 Жыл бұрын
Mungu ambariki sana
@EzekielMbwambo-te9fd Жыл бұрын
Ubarikiwe na kusikiliza ni kiwa Kilimanjaro Moshi.