Dahhhh naskitika sina uwezo wa kuwawezesha ili mukapata nguvu ikawa munafanya kz hiyo t ila namuomba Allah awafanyie wepes ktk kila mambo yenu nawapenda sana kwa ajili ya Allah karbun Pemba.
@salimdaawah1239 күн бұрын
Aameen ameen ameen tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@Noorein-ws8wk14 күн бұрын
Allah awafanyie wepes I masheikh wetu muzidi kuwaelimisha ndugu zetu waliopotea wakae ktk njia ilio sawa
@salimdaawah1239 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@estherwamaitha100615 күн бұрын
Waleikum salaam warahmatullah wabarakatuh
@Noorein-ws8wk15 күн бұрын
Alhamdulillah wa mwanzo leo Allah atujaalie afya njema na Mwisho mwema Aamiin
@salimdaawah1239 күн бұрын
Aamiin amiin amiin
@aishahazary409715 күн бұрын
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
@MwangiMuhammad-q8r13 күн бұрын
Mazbut ndani ya field Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu
@salimdaawah12311 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@Nora-v1m3p15 күн бұрын
Allah amjaze kheir waislam wote apa n kesho akhera
@salimdaawah1239 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@allyabdallah435715 күн бұрын
daa kweli hawa jamaa kweli mungu awaongoze
@Noorein-ws8wk14 күн бұрын
Amiin
@swafiirbulbul81915 күн бұрын
Sheikh Salim na Timu yako .. ALLAH AWABAARIK NYOTE
@salimdaawah1239 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@hamisiwesonga249615 күн бұрын
masheikh wetu allah awajaze kheri nyingi sana,alafuu tunahitaji kujua amiri wetu yusuf wambogo hali yake.
@hamzayesu201715 күн бұрын
Shukran kwa du'a zako Allah atufanyie wepesi sote yarabi yusuf angali yuaumwa lakin Alhamdulillah anapata nafuu kwa rehma yake Allah...!!
@salimdaawah1239 күн бұрын
Ako sawa anaendelea na matibabu
@faridbashuu15 күн бұрын
Toa Ndugu toa dada ulicho nacho na Hakuna Change 😂😂 Barakallahu feekum (nyote).
Mashaallah, malipo yenu yako kwa Allah, nafikiri neno fitri linamaanisha kula ama kufungua,, kama kuna mjuzi hapa tafadhali tusaidie
@salimdaawah1239 күн бұрын
Aameen ameen ameen yeah
@alhadajjmohammedsmith904213 күн бұрын
Yesu Alihisi Njaa akakula Chakula na alienda Chooni/Mariwatoni alipokuwa Alihisi Kupa Haja Kubwa/Ndogo na Wakristo Wanahisi Njaa Wanakula Chakula na Wanaenda Chooni/Mariwato wakihisi Kupata haja Kubwa/Ndogo 🙌😂😂😂
@hamisikassimmwatamu794914 күн бұрын
MashAllah MashAllah Raha kweli uisilamu ndio dini ya haki mbele ya mwenyeziMungu
@salimdaawah1239 күн бұрын
Kabisa alhamdulillah
@hassansharif571615 күн бұрын
Mansha Allah brothers
@KhamisJuma-ni1vk14 күн бұрын
Walahykum Salahm warahmatullah Wabarakatuh.. Sheikh Salim Na Walimu Wengine. Allahy Azidi Kuwapatia Nguvu Zaidi Kwa Mahana Tunajifunza Mambo Mengi Sana
@salimdaawah1239 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@HamzaAkilimali5 күн бұрын
Tena mfahamishe, wanahimizwa kusherehekea IDD, imo na ktk Biblia
@salimdaawah1234 күн бұрын
Kabisa tena sana
@adrisshagi125514 күн бұрын
Allahu Akbar . Sheikh Salim Asalamu aleykum. Wenzatu kenyan wa kiristo akili Yao. Ina ingia ubayatu na iji uliza. Vipi Una weza ku sema mwezi. Na wana abudu tena.
@salimdaawah1239 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@abdallahdoka917314 күн бұрын
Waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatu
@ZakiyaAnwar-w1r14 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki sana nawapenda sana kwa ajili ya Allah ❤❤
@salimdaawah1239 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda pia sana kwa ajili ya Allah
@zaidiissa371415 күн бұрын
Tunawashukuru sana masheikh wetu ila sheikh Salim jitahidi kwenye kiswahili maana hakieleweki pia unaongea mbiombio sana nivigumu mtu kukuelewa mbarikiwe sana Assalamualaikum wabilahi taufiq 🙏🇹🇿🇹🇿
@suleimanmosooud940515 күн бұрын
Nafikiri Kiswahili chake kina faida Kwa anao.wahibiria. Kwani wegi anao.wa hibiri ndio wanafamu Kiswahili wanavo tumia
@hamzayesu201714 күн бұрын
😂😂😂😂nilikuambia hapa cha kubadilisha ndicho kiasi chetu hatubadilishi bora kieleweke😂😂
@mahmudmugarura217514 күн бұрын
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@MustafaKarama-k3q14 күн бұрын
Assalamu Alykum ndugu wote wa Salim Dawaa. Ndugu Salim wallahi naomba ujaribu kutoa Clip yako ya My Journey to Islam. Tunaomba tafadhali tutafurahi sana. Allah awahifadhi nyote Ameen
@salimdaawah1239 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah atatoa
@jawadimwalim363414 күн бұрын
🤣🤣🤣 Sheikh Suleiman bana eti Yesu alikuwa Sheikh Mkubwa Sana 🤣🤣
@salimdaawah1239 күн бұрын
Yeah ndio hivyo
@SaidMgeni15 күн бұрын
بآرك الله فيكم
@linetkikin402314 күн бұрын
Mashaallah
@sharifcali420315 күн бұрын
Ethiopian orthodox calendar 8 years behind Gregory
@salimdaawah1239 күн бұрын
Masha Allah for the reminder
@kassimabdilatif180214 күн бұрын
Fitr simply means feast. Idd ul Fitr means festival of feasting. You are breaking the fast of Ramadhan and stating to feast or eat.