Naupenda Hashwa kwenye sherehe za kichagga aise tunakunywa bia hadi zinaisha. Sielewi lakini napenda mdundo. Africa is good but East Africa is beautiful. Peace and love
@prosistabasili14422 жыл бұрын
Raha tupu ngoma zetu tunacheza tunainama tunanyanyuka basi weeeeeeeeee
@adinanirashird11233 жыл бұрын
Jmn nalipenda San kabila langu la wachaga
@judithjohn1824 жыл бұрын
Aikaa Mangii....vibe la homu kama loteeee ni mwendo wa kushikana mikono tusichomoleane noti....kurong'
@judithjohn1823 жыл бұрын
Aikaa mangi
@ombenimalaki67495 жыл бұрын
Asee umenikumbusha mbali Sana..Shukrani sana
@DayanaMally3 ай бұрын
Wandu wa mowo anyien ruwa lanye yewomi kapenyi mroro😅😅😅😅😅😅
@blasiusmalisa30346 жыл бұрын
Very nice song congratulations to the author.
@gloriankya91782 жыл бұрын
Machame kwetu❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@tompatel8495 жыл бұрын
Ha ha ha 😂😂 thanx bro vibe la home hili. Much love ❤️ and respectful from Mbokomu.
@innocenthope69342 ай бұрын
Jina LA huu wimbo tafadhali
@michaelmacha41322 ай бұрын
@@innocenthope6934 Ezron macha kichaga
@DayanaMally3 ай бұрын
Yewoomi hanyien ruwa😅😅😅😅😅😅
@philemonmachange18535 жыл бұрын
Mambo ya kichagga haya daah hatari Sana🤣🤣🤣
@nichommany50906 жыл бұрын
Safiii sanaa inanikumbusha mbalii sanaaa
@ms_immaculate2 жыл бұрын
Wachaga oyeeeee, hapana chezea
@bartholomeongowi62216 жыл бұрын
Nice, Aika Mangi
@judinolisajohn42164 жыл бұрын
Wooi yewomi,,na wasore
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Maneno hayasikiki
@michaelmacha41326 жыл бұрын
Mungu Awabariki
@nicekimaro91716 жыл бұрын
Wachagg wako juu !!!!
@MagnusWoisso7 ай бұрын
chamecheni wosee!!
@abisairobert50983 жыл бұрын
Aika mbe
@isacklyimo60693 жыл бұрын
Lupare sohoo😂😂
@robertshadrack67316 жыл бұрын
Wachagga na lugha zao ni wagumu kueleweka hata kati yao wenyewe . Kielul anaimba kimochi maneno ya kibiashara zaidi kwa kutunga kutunga, Ameichukua sauti lakini kimameno wimbo huu huimbwa tofauti na asili yake ni Vunjo. Mimi ni Mmamba wa Vunjo "Mwaanjo halisi. Tunaimba wimbo kiasili kabisa la. Wimbo huu huimbwa "Kinatsi kilenguruma....Ote ote kinatsi kilengiruma, halafu huendelea "Papa kacha mbiye chamecha... Kacha na kipata mbiye chamecha..... Hii ndiyo halisi ya wimbo huu... Hauna "Anenyi Ruwa.... au vitu kama hivyo
@janehussein16846 жыл бұрын
Aika mbe
@siaramaengo34046 жыл бұрын
Robert Shadrack lakini tunatuofautiana anaweza akawa ni muoldi moshi huyo ama mwika...
@ombenimalaki67495 жыл бұрын
Hichi ni kimochi
@winniendosa2574 жыл бұрын
Aika mbe
@sophiamlanga80303 жыл бұрын
Seken lyanyo kinatsi kilenguruma.
@alfredytemba17444 жыл бұрын
kiruuuuuuuuuuuu aika orah
@michaelmrema52332 жыл бұрын
Jembe nakukubali sana ila kuna ule wimbo wa ukimwi umetubania utubu hatuuoni