Unapaswa kupewa mauwa yaco kamanda wetu,,, mwenyenzi mungu akulinde sana utakapo na uingiapo,,, sababu ulicho kisema nicha kwell,,, japo kuwa wapo watakayo chukia ila usijall,, bigabu kwaco kamanda wetu,,,
@allarnmwarome452514 күн бұрын
Nay always on top mtetezi wa haki nyimbo zake zagusa mpka incha jirani , congo, randwa, Kenya, Burundi etc big up
@Michaelagni4 күн бұрын
Nay eeeeeeehhh Nakuja uko brother Hao wa sanii wengine Ni mashoga tuuuuuuu Toboa jipu brother
@happysanga684611 күн бұрын
Rais wetu sema wananchi tunakusikiliza🙏
@SilajHussein13 күн бұрын
Kidume simama mungu yupo na wewe
@MaryfaustineMichael13 күн бұрын
Hatina cha kukulipa kaka
@OllytozzOfficial-v8r14 күн бұрын
Mungu atakulipa kwa ukweli wako sana bwa mkubwa
@zamalisaide320911 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@RizikiMlela15 күн бұрын
Nay nimwanaharakati tofauti na hao machawa wa mama
@noelkameta924111 күн бұрын
Wengi wao wanawaza mapenzi, lakini Ney yuko tofauti, huyu ni mwanaharskati haswa
@JoshuaCosmas-u2m14 күн бұрын
ney nakukubar can
@malkavoice257014 күн бұрын
Huyu ni Zaidi ya Samia kwa Raia wa Nchi hii. Wasanii wote waduanzi tu. Huyu anastahili kuwa mwanasiasa ataweza kutupa mafanikio kama Taifa.
@Godfreycharlesm15 күн бұрын
Nay ni hatar xan akun msanii mwgne zaid y huy brother
@MponjolMwambola13 күн бұрын
Kwa hiyo kama wameiskia ko lengo lako wew waifungie??