Amani kwenu wapendwa katika Kristu... nime miss sana huu uwimbaji, mwenyezi Mungu awalinde nyote ❤️🙏🏽. Wenu Furaha Beatrice kutoka kwaya ya Kizito (Petits Chanteur) toka 2009-2014 😘🎶
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Ongereni sana watumishi wa Bwana Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@BenjaminHERI Жыл бұрын
Hii kanisa ndo Imani yangu, naipenda sana. Ninaposikiliza nyimbo ivi, nafarijika ikiwa hata Nina matatizo kiasi gani.
@josephinebiringanine71134 жыл бұрын
Amen, Mubarikiwe sana Waimbaji. Munafanya kazi zuri sana ya Kitume mungu abariki vipaji vyenu... na Miss vitu vingi jamani sijuwi niseme nn 🙏😩
@audaceleroi13703 жыл бұрын
Rudi kambini 😀😀😀
@Kingdon87653 жыл бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@aureliebeatrice59524 жыл бұрын
So much blessings asante sana kwaku post tume barikiwa
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
@BenjaminHERI Жыл бұрын
Huu wimbo wa matoleo wakati wa noeli unavutiya sana, njoni wakristu wote tumtoleye. Dah! Mungu asifiwe sana