Ee yesu ulisema Mimi ndimi ufufuo wa uzima yeye aniaminiye asipokufu atakuwa na nuru ya uzima wa milele tunakuomba uwapokee watumishi wako awa wapumuzike kwa amani amina
@proudtobecatholic56934 жыл бұрын
Patrick Mukambilwa Amina 🙏🏾🙏🏾
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Amen
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
@alexshauri48994 жыл бұрын
Umenikumbusha nyumbani,Mungu atulinde ktk njia iyi tuliomo kiukweli.
@wcb4life8754 жыл бұрын
Amina 🙏🏾 😭😭😭😭
@proudtobecatholic56934 жыл бұрын
Amina 😢🙏🏾
@margueritamfaume54304 жыл бұрын
Always nikisia yizi nyimbo uwa na mkumbuka my grandma😭😭
@proudtobecatholic56934 жыл бұрын
Sorry 😔
@wcb4life8753 жыл бұрын
Pole dadaangu na Mimi mdogo wangu alifariki 2007 😭
@wilsonfbipolice9113 жыл бұрын
😭😭😭nikisikiaga hizi nyimbo zenu naliaga namkumbuka jirani yangu😭😭Mungu awatie nguvu
@masemase73294 жыл бұрын
Amen
@kbdk30654 жыл бұрын
Amina mbarikiwe sana!
@kbdk30654 жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki Milele
@proudtobecatholic56934 жыл бұрын
Bikyeombe Wilonja Amina ❤️🙏🏾
@joyjilien54324 жыл бұрын
Jivunie kuwa na yesu sio dini
@kbdk30654 жыл бұрын
@@joyjilien5432 Yesu anapatikana ndani ya katoliki yake kwengineko ni UCHAWI,uchu wa madaraka,masengenyo nk
@joyjilien54324 жыл бұрын
@@kbdk3065 mmmmm umevurugwa ww
@rehemamasumbuko8994 Жыл бұрын
Eeh mwenyezi Mungu ulituhumba kwa udongo na ndio maana tunarudi mavumbini naomba uwapumzishe kwa amani ndugu zangu rafiki zangu Binti Masumbuko. Vicent Masumbuko. Moise achildri. Saidi remy. Eliza kitungano etc…😢😢😢 nawakumbuka sana tu 😢
@machoziasa69364 жыл бұрын
Amina san
@patrickmkambilwa99324 жыл бұрын
Amina
@romanoarmando1544 жыл бұрын
Mazishi?
@wcb4life8754 жыл бұрын
Yes iyo ni nyimbo za mazishi ambazo wa catholic wanaibaga