Nyisake Chaula_Historia 3

  Рет қаралды 3,465

Nyisake Yuda  Chaula

Nyisake Yuda Chaula

Күн бұрын

Karibu katika kipindi chetu cha Historia

Пікірлер: 32
@GidionKasenene-cz1jf
@GidionKasenene-cz1jf 3 ай бұрын
Aminaaaa sana mungu azidi kukupigania
@lydiabenjaminmgalula6189
@lydiabenjaminmgalula6189 Ай бұрын
Mungu azidi kukutumia kwaajir ya utukufu wake 🙌😔natiwa moyo wa kusonga mbele nisikiapo shuhuda zako mamaangu🙏🤝🤝
@ernesterkasumba974
@ernesterkasumba974 3 ай бұрын
Kwenye mkutano wa Runzewe mama na mimi nilikuwepo nimeumia sana ila Mungu atakuzidishie na hilo kanisa nalijua sana yaani mama anasema kweli😊
@irenemapenzi7338
@irenemapenzi7338 2 күн бұрын
Umweli kabisa,watumishi wenginwalo anza kiroho wameshindwa kumtetea yewamejaza mabenki na majimba mazuri kuembe nyuma kuna ngvunza giza
@ceciliakarimi1470
@ceciliakarimi1470 7 ай бұрын
Ni kweli ushuhunda huo hubadirisha sababu niliuskiriza 2019 mara ya kwanza na ulifanya nibadirishe mienendo yangu nikaokoka hadi leo. Mungu akubariki sana Bishop Nyisake kwa huo msimamo.
@theresiagisberth6197
@theresiagisberth6197 7 ай бұрын
Ahsante Mtumishi wa Mungu maana Mwenyeezi Mungu anajitukuza juu Yako, nimejifunza kuwa na msimamo kutokuwa na tamaa, hakika Azidi kukutunza🙏 Nipo Njombe.
@flm1530
@flm1530 7 ай бұрын
Nimeukumbuk huu ushuhuda Mtumishi uliutoa kwa Mackenzie kenya ulinijenga sana
@happymbilinyi7564
@happymbilinyi7564 7 ай бұрын
Mungu atuimarishe Imani tuwe na Imani iliyothabiti hakika hii Dunia usipo simama vzur na maombi shetani anakumeza mzimamzima Mungu azidi kukutumie dada yangu nyisaki wengi wapone
@user-jb3yt4nl9h
@user-jb3yt4nl9h 7 ай бұрын
Asante kwa hushuhuda huo wa nguvu tuwe na musimamo wetu ambao ni dhabiti tusitoke kwa msingi wa Mungu, barikiwa sana Mtumishi wa Mungu,
@DAISY-k2z
@DAISY-k2z 4 ай бұрын
Pamoja sana Mungu atuongoze
@AgnessIbrahim-nt1kr
@AgnessIbrahim-nt1kr 7 ай бұрын
Kiukweli Mungu anajivunia kuwa Mtumishi wake
@MarthalukasHerman
@MarthalukasHerman 7 ай бұрын
Kila nikisikilizaga mahubiri yako nathamani niwe kama WW lakini uliko pita Yesu alie hai zaidi kukibeba ili kuzidi kupata maarifa ambayo Mungu ameweka ndani yako Amina
@christinephilip5043
@christinephilip5043 7 ай бұрын
Hata mm nataman kuwa kama Bishop nyisaki lakin nikisikia Mapito aliyopitia hapana kwakweli nitamtumikia Mungu Kwakuleta watu kwa YESU😢😢😢
@eunicekithome1205
@eunicekithome1205 7 ай бұрын
Washindwe mfulilizo.pia YESU KRISTO akulinde tuingie mbinguni siku moja
@christinephilip5043
@christinephilip5043 7 ай бұрын
Bwana azidi kukutunza mama❤
@elleng5227
@elleng5227 7 ай бұрын
Ni kweli wapo wengi sana walionunuliwa, sharti la kwanza wanalopewa wasiongelee kuhusu dhambi wala mambo ya hukumu sjui mbinguni ,bali waongelee sana katika mafanikio ya ulimwengu huu na injili ya Neema bila matendo, wasigusie toba
@ZubedaVicent
@ZubedaVicent 7 ай бұрын
MAMAA MTUMISHI WA MUNGU HAKIKA NIEMEGUSWA NAKUMUIGOPA MUNGU, KUSUDI LA MUNGU HALIPNGWI, ACHENI MUNGU AITWE MUNGU KWA MAANA YY NDIVYO ALIVYO,MAMA MUNGU AKUVISHE NGUVU YA UTUKUFU WAKE
@luciekima6698
@luciekima6698 7 ай бұрын
Amen. Asante sana kwa ushuhuda muzuri wa kutunufaisha. Mungu azidi kukubariki na kukulinda katika kazi yake mutumishi wa bwana❤
@godsfavour1603
@godsfavour1603 7 ай бұрын
Powerful testimony
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 7 ай бұрын
Nmejifunza sana mama mzuri
@user-po2fw5yu7o
@user-po2fw5yu7o 7 ай бұрын
Waoo MUNGU AKUBARIKI SANA
@MarthalukasHerman
@MarthalukasHerman 7 ай бұрын
Amina mama kwa kweli Mungu aendelee kukutunza ❤❤❤❤
@neemasanga5333
@neemasanga5333 7 ай бұрын
AMEEN MY LOVE DADA UBARIKIWE.
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 7 ай бұрын
Ubarikiwe mnoo
@MarthalukasHerman
@MarthalukasHerman 7 ай бұрын
Maana umepita kwenye mapitio pamoja na Mungu
@claraelengabulunda6750
@claraelengabulunda6750 7 ай бұрын
Nimebarikiwa sana
@lyn254
@lyn254 7 ай бұрын
Amen amen 🙏
@ngalilijoseph733
@ngalilijoseph733 7 ай бұрын
Amen Mama
@lovenesswalter6650
@lovenesswalter6650 7 ай бұрын
Chooni wanaenda kuongezea nguvu
@ZubedaVicent
@ZubedaVicent 7 ай бұрын
Kumbe hivyo vitu vipo MUNGU atucmamie
@flm1530
@flm1530 7 ай бұрын
Ameeeenn
@ernesterkasumba974
@ernesterkasumba974 3 ай бұрын
Kwenye mkutano wa Runzewe mama na mimi nilikuwepo nimeumia sana ila Mungu atakuzidishie na hilo kanisa nalijua sana yaani mama anasema kweli😊
Nyisake Chaula_Nguvu ya kusikia
47:12
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 4,2 М.
Nyisake Chaula_Historia
47:51
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 9 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 866 М.
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 125 МЛН
Nyisake Chaula_Mambo unayotakiwa kuyajua tunapoelekea mwisho
35:45
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 7 М.
Rev. Abiudi Misholi
41:20
Rev. Pascal Linus Mjili
Рет қаралды 2 М.
Nyisake Chaula_Historia 2
19:19
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 3,1 М.
Nyisake Chaula_Gharama ya kuwa wanafnzi wa Yesu
36:11
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 8 М.
Nyisake Chaula_Sadaka kama kipimo
50:05
Nyisake Yuda Chaula
Рет қаралды 5 М.