Nafurahiya sana mafundisho yako mama na nakupenda sana tena mafundisho yako yananijenga moyo sana.ubarikiwe mama
@neemanyagawa947910 ай бұрын
NAMPENDA MNO mimi Mama Bishop. Kutoka moyoni . Ushuhuda wà Mbinguni huwa nikiusikiliza Natetemeka mnooo
@MerryMussa-y2v3 ай бұрын
Ooo haleluya mungu akibarki sans nakufwatilia nikiwa manyara
@lovenesswalter66509 ай бұрын
Kwakwel nimeajiriwa na mbingu nlkuwa napata maswali hapa umenifungua sana..... Barikiwa mama mzuri nimekushtukiza tokea mwaka 2005 nlipoona ushuhuda wako wa mwaka 1991 Bwana Yesu akazid kukutumia ipo siku nitakutana nawe.
@blessingfavour319810 ай бұрын
I had missed you so much mum, love you so much ❤. From Kenya.
@MarthalukasHerman10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi tangu nikufahamu huku mtandaoni sijawai kujuta zaidi nakuwa kiroho
@umwizaclaudette68422 ай бұрын
Napenda ushujaa wako na Mungu akuongezee nguvu safari ingali ndefu hapa Uganda tunahitaji tukuone
@nyisakechaula94332 ай бұрын
@@umwizaclaudette6842 Amen
@giselemwenge622510 ай бұрын
Nakupenda sana mama nafata mahubiri yako nikiwa congo goma, mahubiri yako yana niimarisha zaidi, Mungu akutiye nguvu .
@christinephilip504310 ай бұрын
Hallelujah ninamtukuza MUNGU sana kwaajiri yako mama ninajifunza mambo mengi sana kupitia wewe Bwana azidi kukutumia ninakupend mno❤❤❤
@tausimwinuka9 ай бұрын
Hakika Nauona Wema wa Mungu🎉 Ubarikiwe sana Bishop...
@andrewmaziku467110 ай бұрын
Amen mama na askofu nazidi kujifunza Mengi kwako ,Yesu aendelee kukutetea ,nakuombea kwa Mungu
@lydiabenjaminmgalula61894 ай бұрын
Mungu akutunze mamayetu🙏🤝🤝
@NjagiJohn-rd9vb4 ай бұрын
Naomba niulize...haya maono ulionyeshwa mwaka gani...sababu mm niliyaona kwenye mkanda mwaka 2019
@FilimenaMbilinyi-rh5om10 ай бұрын
Kwa kweli tumemuona Mungu kupitia wewe mtumishi ubarikiwe sana.
@marymwapiya127410 ай бұрын
Amen Mungu kwa kweli ni mwema pia kuna mtumishi Rachel Mushala na yeye alipewa maono na mdogo wake kama yako,anasema yeye alikuwa ndiyo mchanga kiroho akaenda kuwaambi wale walio kaa kwa mda mrefu kile ameona anasema huyo mchungaji akamwambia hilo ni pepo siyo Mungu anasema walimvunja sana moyo anasema akaamua kufunga kumuuliza Mungu kama kweli ni yeye huku akilia sana anasema akiwa kwenye benji akiomba Bwana Yesu alishuka na kumthibiti kuwa ni yeye na akamkubatia akamtia moyo anasema hapo ndipo nilipata nguvu . Pia kuhusu mavazi sasa wao walikuwa wanavaa vinguo vifupi na kujipamba Bwana Yesu aliwaambia waache kabisa na kusuka wanasema chuoni walitengwa na marafiki wakawa wanawaambia wanavaa kama wazee kwa kweli ukiitwa na Mungu utapitia kipindi kigumu kwa muda mpaka wakuzoe .Mungu akutunze uwe na mwisho mwema .
@imakimaro696 ай бұрын
Dunia nzima aliyeona hayo maono ni nyisake chaula hamna mwingine
@sekelamwasipaja-ue3zl5 ай бұрын
Usiseme hivyo hata wewe pia Mungu aweza sema nawe@@imakimaro69
@protasluambano3 ай бұрын
Hope and blessed tv wishing all you the best. Go on don't give up Be blessed sister. Amen
@ChescoMartin-ni3ql10 ай бұрын
Yesu akuzidishie neema mama kwa utumishi mwema
@paulinemutuku28678 ай бұрын
I get encouraged when i listen to you servant of God. Mimi ni mkenya,pole kwa yaliyokupata ulipokuwa Nairobi. Tusamehe tafadhali naomba kama mkenya.Mungu akubariki.
@EmilyAkinyi-cg2cu10 ай бұрын
Amen mtushi wa mungu nakupenda sana kutoka kenya
@SalomeRenatusi9 ай бұрын
Asante mtumishi wa MUNGU nilikuw nahitaji kufahamu juu ya sisi wanawake kulihubiri neno la Mungu Asante sana nimeelew barikiwa sana
@stephenmwanza69059 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi ushuhuda wako unitia machozi nikikubuka vile nami nilijaribu kukwepa kuwa mchugaji nilipeda uijilisti kama wewe lakini sasa ivi niko na kanisa toka 2020,nilikua kwa mkutano wako Nairobi 2016,cd zako nilizitoa you tube nikabariki watu nazo sana bila kulipisha wasikie kuhusu kuzimu na Yerusalemu mpya
@MelanieNyota-qx4ru7 ай бұрын
Âmen mungu akubariki sana umenijenga sana mutumishi wa mungu uongezewe mufuta ya kiroho mimi ni mujakazi Nyota kutoka kongo province ya Kivu ubarikiwe
@JosehMkudeАй бұрын
Mungu akubariki
@esthermliga487510 ай бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu, nimebarikiwa sana na ushuhuda wako
@neemasanga533310 ай бұрын
MIMI NILIMUONA MWAKA 97 ISANGA KWENYE MKUTANO WA YULE MZUNGU ANAYESHI ARUSHA NIMEASAHAU JINA LAKE NA MIMI NILIKUWA MDOGO NA NIMEOKOKA, TANGU NA HAPO NIKAWA NA HOFU YA MUNGU SITA KUSAHAU, USHUDA WAKO ULINIBADISHA SANA KWA MUDA🙏.
@EpheloMwaweza-f1c10 ай бұрын
Mungu nimwema sana ushuuda wako umenitia nguvu Mungu azidi kukuinua samahani naomba mawasiliano yako Mtumishi
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Ubarikiwe
@hadasafesto611110 ай бұрын
Ubarikiwe sana mama. Nabarikiwa sana.
@samwelibenson180210 ай бұрын
Ameni ubalikiwe sana bishop history inajenga sana.
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Amen
@GraceOtieno-vo3sj6 ай бұрын
Surely Our God is a destiny keeper
@beatricegerald725310 ай бұрын
Amen mama ubarikiwe sana nimejifunza sanaa
@christeternallifetv595910 ай бұрын
Ubarikiwe mama nimejifunza jambo
@lovenesswalter66509 ай бұрын
Nmepata kitu cha kunivusha kwakwel.... Ubarikiwe sana
@pastoreskakachaula468410 ай бұрын
Kwa kweli uchungaji ni KAZI...
@juddexoloro588110 ай бұрын
SHALOM MUM, HAKIKA MINAE MUNGU ANIKUMBUKE TAWI MOJA LIWE KENYA KUPITIA NADIRI YANGU NA MUNGU KWA UPANDE WANGU KUTOA KIWANJA NIKIJA KENYA, IN JESUS'S NAME AMEN
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Amen amen mtumishi wa Bwana
@juddexoloro588110 ай бұрын
@@nyisakechaula9433 mum natamai hiyo jina kwa kweli wacha Neema itoshe ipo siku moja itatendeka kwa kibali kutoka kwa Mungu, Shalom
@fredericinteyiteka42345 ай бұрын
Mungu niwaajabu
@graceken329510 ай бұрын
Amen..mungu akubariki Sana umekuwa msaanda katika maisha yangu😢
@oscanyakunga10 ай бұрын
Niombee kwa Mungu wako namiminiwe imara kamawewe
@sikitugeorgette8 ай бұрын
Amen Amen 🙏 ❤
@annapeter128010 ай бұрын
Nakupenda mama mm nipo Arusha nimekujua uku kwenye mitandao
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Asante ssna
@sikitugeorgette8 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@AgnessIbrahim-nt1kr10 ай бұрын
Mungu akubariki sana Bishop, kiukweli nimekupenda sana
@godsfavour160310 ай бұрын
I love this woman of God,her preaching are very powerful and you would feel the presence of God around..kwa wale wanapenda kusema mwanake astahili kuhubiri please Mungu anatumia pia wanawake kuhubiri neno lake.. Barikiwa sana mummy watching from Saudi Arabia
@nyisakechaula943310 ай бұрын
YOEL 2::28-29 .ANASEMA WATUMISHI WANGU WANAUME KWA WANAWAKE
@pastoreskakachaula468410 ай бұрын
Asante mama kwa kazi njema... Heri ulikubali wito mama... Tunajifunza mama...
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Mungu ni mwema ubarikiwe sana
@protasluambano3 ай бұрын
MUNGU AKUJALIE NEEMA ZAIDI USONGE MBELE.
@happydaud363910 ай бұрын
Jamani naomba mnisaidie kunijibu kanisa la mtumishi wa Mungu huyu lipo sehemu gani
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Lipo Mbeya mji wa Uyole karibu
@happydaud363910 ай бұрын
Asante mama nashukia wapi
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Wewe upo eneo gani
@nyisakechaula943310 ай бұрын
0755157120
@EdomMwaihojo4 ай бұрын
Nakumbuka nikiwa nasoma chuo cha uwalimu TUKUYU TTC 1995 alikuja kushuhudi habari za kuzimu na Yerusalem mpya. Naam kuanzia hapo sijasahau na MUNGU amekuwa akitenda kitu kwangu.
@RimbeMakuru-j3c11 күн бұрын
na mm ujumbe wake nimeusikia kwa mara ya kwanza nikiwa tukuyu tc
@gidionmheni316510 ай бұрын
Woow Groly to God, Safari yako mama etu Ina tutianguvu na kutupa hamasa ya kumtumikia Mungu zaidi🔥🔥🔥🔥🙏
@remynemerimana77918 ай бұрын
Fika Burundi napo Nyisake.
@rebeccamabala-buildingthek67459 ай бұрын
Mama niliokoka kwa maono yako..wewe ni mama kwangu
@nyisakechaula94335 ай бұрын
Ubarikiwe
@MichaelChanya10 ай бұрын
Mchungaji Mungu azidi kikutia nguvu. Samahani nawezaje kupata kitabu chako Cha ushuhuda wa maono ya Jehenam na yerusalemu mpya???Mi nipo mafinga iringa.
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Kitabu kipo ila kinapatikana Mbeya
@MichaelChanya10 ай бұрын
@@nyisakechaula9433 naweza kutuma pesa afu nikatumiwa kwa njia ya gari kikanifikia hapa mafinga.
@MichaelChanya10 ай бұрын
@@nyisakechaula9433 kama Kuna uwezekano nitaomba mawasiliano ya simu ili niweze kutuma pesa.
@flm153010 ай бұрын
Ameen mtumishi mbona mm niliomb ujazo wa ROHO ila kuna siku nikiwa mlimani ilinijia hali ya kunena nikazuia haijaja tena mpk leo sijui ndo nmejazwa ROHO au bado
@nyisakechaula943310 ай бұрын
Ulikuwa unaomba ujazwe halafu ukaizuia ilipokuja?
@flm153010 ай бұрын
@@nyisakechaula9433 nilikuw naomb km siku zote ila sikuwa naomba ujazo wa ROHO MTAKATIFU siku hiyo ndo wakat nnaomba nikakamatwa kinywa nikaona km kun mtu anaongea ndan yangu maneno nisiyoyaelew nikawa na furah lkn nikajizuia nisiendelee kuomba tangu siku hiyo haijaja tena ni miaka sita sasa nilifunga siku tano kumsihi MUNGU anijaze lkn ht hivyo haikuja tena mpak leo
@EdwinMbwilo-fj6bf10 ай бұрын
Naomba mawasiliano
@nyisakechaula943310 ай бұрын
0755157120
@diabae-qp1oq8 ай бұрын
Mama ni nikombeya hapa natamani nijekanisani kwako nipo hapa ccm
@nyisakechaula94338 ай бұрын
Nipo uyole unapanda daladal za uyole Nsalaga unashukia stendi ya usangu utakuta bajaji panda zinazoenda machinjioni waambie wakushushe kanisa la Shalom
@diabae-qp1oq8 ай бұрын
@@nyisakechaula9433 amina
@NjagiJohn-rd9vb4 ай бұрын
Naomba niulize...haya maono ulionyeshwa mwaka gani...sababu mm niliyaona kwenye mkanda mwaka 2019