Nyisake Chaula_umuhimu wa kuomba rehema
1:23:41
Nyisake Chaula_Nguvu ya ufunuo
45:32
Nyisake Chaula_ukombozi wa nafsi
1:01:49
Nyisake Chaula_Meza ya Bwana
45:52
Nyisake Chaula_Roho mtakatifu
1:47:56
Nyisake chaula_Shauku ya Mungu
1:37:09
Nyisake Chaula_ukombozi wa akili
1:15:28
Nyisake Chaula_Nguvu ya kusikia
47:12
Nyisake Chaula_Roho wa ubora
31:08
Gidion Mheni_Mwaka wa ubora mp4
51:05
Nyisake Chaula_Historia 3
15:57
6 ай бұрын
Nyisake Chaula_Historia 2
19:19
6 ай бұрын
Nyisake Chaula_Historia
47:51
7 ай бұрын
Nyisake Chaula_Roho ya ubora
37:05
Пікірлер
@user-el9bd4yz2h
@user-el9bd4yz2h Күн бұрын
Jamani tumrudue mora yesu ni njia ya kweli na uzima
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 2 күн бұрын
Nilikuwa naumwa ila nime pona kwa izi nguvu za Bwana Uesu🇺🇲🇺🇲
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 Күн бұрын
@@salimajosephine1673 ubarikiwe sana
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 2 күн бұрын
Barikiwa Mama
@mariekaluya6496
@mariekaluya6496 2 күн бұрын
Sifakwamungu Baba yetu
@mariekaluya6496
@mariekaluya6496 2 күн бұрын
Amen Amennnnnnnnnnnnnnnn
@mariekaluya6496
@mariekaluya6496 2 күн бұрын
Amen Amen
@mariekaluya6496
@mariekaluya6496 2 күн бұрын
Alleluia Alleluia sifakwamungu wetu anaweze
@mariekaluya6496
@mariekaluya6496 2 күн бұрын
Amen dada asante akufatilia nikiwa Australia.
@mariekaluya6496
@mariekaluya6496 2 күн бұрын
Amen Amen maman ubarikiwe sana kwaushauri mkubwa.
@MerryMussa-y2v
@MerryMussa-y2v 2 күн бұрын
Ameeen
@MerryMussa-y2v
@MerryMussa-y2v 2 күн бұрын
Amina mtumishi wa Mungu nimebarikiwa na neno lako❤
@MerryMussa-y2v
@MerryMussa-y2v 3 күн бұрын
Ameeeeeeni ubarkiwe
@CostansiaIsdory
@CostansiaIsdory 4 күн бұрын
Napata ujasiri Sana juu ya maisha yangu yalivyo kupitia ww ujasiri wangu unazd
@CostansiaIsdory
@CostansiaIsdory 4 күн бұрын
Ameni mama
@AtilyoLazarus
@AtilyoLazarus 4 күн бұрын
Mama Mungu akubariki , nakupenda Bure
@leandayikengurukiye506
@leandayikengurukiye506 6 күн бұрын
Aman 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@MerryMussa-y2v
@MerryMussa-y2v 7 күн бұрын
Mahubiri ya huyu mama yaani yananibarki narudia rudia sishibi
@ArchimedeRhulame-z2n
@ArchimedeRhulame-z2n 7 күн бұрын
Ameeeen mama yangu na pendaka sana mahubiri yako
@ArchimedeRhulame-z2n
@ArchimedeRhulame-z2n 7 күн бұрын
Mungu ni mukubwa🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@MerryMussa-y2v
@MerryMussa-y2v 7 күн бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeni damu ya yesu inene mema Kila niendapo ameni unanibariki mungu akutunze wewe ni tunu ya Dunia yote
@MaggieG276
@MaggieG276 9 күн бұрын
Asanti kwa kuwa baraka.
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 9 күн бұрын
Yesu wetu ana weza yote
@senzialushino8604
@senzialushino8604 10 күн бұрын
Eee dunia sikia sauti ya Mungu, huyu mama anaongea ukweli mana haiwezekani toka 1991 mpaka leo aongee kitu kimoja kilekile, alafu sio huyu tu kuna mama mmoja ni mchina anaongea the same thingi Mungu atusaidie tusiingie jehanam
@ArchimedeRhulame-z2n
@ArchimedeRhulame-z2n 7 күн бұрын
na mwengine wa Nigeria Ali ongeya hivio hivio
@rahellubandila1928
@rahellubandila1928 10 күн бұрын
Nimebarikiwa sana sana mtumishi wa Mungu, nasikitika wanaojiita watumishi wakiwekea sumu watumishi wa Mungu
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 11 күн бұрын
Kweli mama nyisaki ubarikiwe kutufunguwa
@Julius77722
@Julius77722 12 күн бұрын
Amina ubarikiwe sana mtumishi, hakika Mungu yu pamoja nawe, pia waimbaji hongereni sana, yaani kupitia uimbaji watu wanafunguliwa hata mimi nimefarijika sana waimbaji mmeimba vizuri sana Mungu awe pamoja nanyi nyote.
@MerryMussa-y2v
@MerryMussa-y2v 12 күн бұрын
Ooo haleluya mungu akibarki sans nakufwatilia nikiwa manyara
@failaningejua3486
@failaningejua3486 12 күн бұрын
Amen 🙏
@EZRA-b1c
@EZRA-b1c 12 күн бұрын
AMEEEEEN UTUKUFU KWA YESU
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 13 күн бұрын
Ubarikiwe Napokeya nguvu mpya, siyo kesho ni sahii kwajina la yesu kristo
@monicamongelwa8082
@monicamongelwa8082 13 күн бұрын
Amen 🙏
@salimajosephine1673
@salimajosephine1673 13 күн бұрын
Shetani aachiliye vyetu alivyo teka kwa Damu ya Yesu kristo
@MaggieG276
@MaggieG276 13 күн бұрын
Mchungaji unanifundisha imani.Asante Mungu wangu
@LylianeBauma
@LylianeBauma 13 күн бұрын
Amen ubarikiwe Sanaa mama nyisaki
@aimerinamugisho5182
@aimerinamugisho5182 13 күн бұрын
Amen Mungu akubariki sana Mutumishi wa Bwana
@kahindobashanga1443
@kahindobashanga1443 13 күн бұрын
Halelluya ndiyo mama. Mungu atukumbuke.
@kahindobashanga1443
@kahindobashanga1443 13 күн бұрын
Amen amen chombo cha Bwana.Mungu akutie utukufu zaidi
@kahindobashanga1443
@kahindobashanga1443 13 күн бұрын
Amen amen. Ni sherti shetani arudishe vyote alivyo iba kwetu. Damu ya Yesu ina nguvu.
@HadasaGallant
@HadasaGallant 13 күн бұрын
Mmmmmh sijui ila nimejikuta nasimama pia this is soooo deep aseee hallelujah hallelujah hongera kwa tumbo lililokuzaa
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 13 күн бұрын
Atukuzwe Yesu sana ni zao langu la pili Bwana anitunzie
@HadasaGallant
@HadasaGallant 13 күн бұрын
Eeh mama Mimi namtukuza Mungu kwa ajili yakoo tena ndio nimepata nguvu zaidi mama ya Kulea watoto jamani me bado wadogo lkn niko hapo magotini kila siku mama tena nalile somo ulifundisha Congo nimeliskiliza jana moyo wangu umeinuka sanaaa nilielewa sanaaa wewe ni shujaaa mnoo sio vyepesi ila umenipa njia ya kupita mama niko Mwanza Tanzania
@nyisakechaula9433
@nyisakechaula9433 13 күн бұрын
@@HadasaGallant Bwana akuinue ufike viwango vyake
@HadasaGallant
@HadasaGallant 13 күн бұрын
Hongera sana mama Matunda bora sana haya yametoka kwenye mti bora mnooo wewe ni hodari shujaaa sana nainuka kwa ajili ya wanangu
@HadasaGallant
@HadasaGallant 13 күн бұрын
Ameeen
@MaggieG276
@MaggieG276 13 күн бұрын
Amen
@Julius77722
@Julius77722 15 күн бұрын
Ubarikiwe na BWANA
@janemoraa7964
@janemoraa7964 15 күн бұрын
Barikiwa sana mtu mishi wa mungu
@NANCYOBURA-co5ph
@NANCYOBURA-co5ph 15 күн бұрын
Am following you from Kenya and I feel so blessed by Ur testimony....may GOD help me so that I be among those that I make it to heaven.....kindly clarify upande WA wanawake kushuka nywelee....is it also a sin MTU akishuka na uzii ama akishuka tu nywele yake.
@user-kx6ig2cf8j
@user-kx6ig2cf8j 15 күн бұрын
Asante sana ku fika kwetu jamani
@yustinalegembo901
@yustinalegembo901 15 күн бұрын
Amen, mtumishi
@JANETMWENIZANA-pi4ro
@JANETMWENIZANA-pi4ro 16 күн бұрын
Amina,ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@Elizabeth-l1t9k
@Elizabeth-l1t9k 16 күн бұрын
Barikiwa mama umevaa kiutumishi kweli Mungu nisaidie niweze kuyahepuka mambo ya Dunia hii maana hayana maana Bali niutafute ufalme wa mbinguni
@Elizabeth-l1t9k
@Elizabeth-l1t9k 16 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu ili uendelee kusema huo ushuhuda kwakweli najisikia faraja ninapo sikiliza ushuhuda kumbe Kuna tumaini huko tunakoenda barikia
@MaggieG276
@MaggieG276 16 күн бұрын
Your preachings are so enlightening. More grace woman of God.
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 17 күн бұрын
Amina mama yangu Mtumishi wa Mungu