Am from Kenya but this guy Millard Ayo inspired me so much I wish all African people can help each other like this...live long Brother...am your real fun.
@petermwantole94336 жыл бұрын
For sure bro ,,, but selifishness ni mbaya sana aisee,,tuna spend mamilioni kwenye harusi ya siku moja ,upande mwingine wanalala njaa,,, inauma sana..
@prettyakoth43066 жыл бұрын
True
@nyahehethomas80866 жыл бұрын
Kennedy N. Mwango actually
@dodoshavu4886 жыл бұрын
Jaman hivi kweli kama mimi nikisema maisha magumu natumia elf5au 3 kwa siku nikisema maisha magumu si namkufuru Mungu kabisa Jaman Mungu nisamehe ee baba sijui nitendalo Jaman ndugu zangu kama unaweza pata basic needs tuu hata kama siyo zote mshukru Mungu 😣😣😣😣😣😣😣
@sulleyboy8276 жыл бұрын
Dodo Shavu siyo kufuru ndogo Ni kubwa Mungu atupe mioyo ya kuridhika jamani
@ashminaabdullah56266 жыл бұрын
kweli my
@kamchizfabian29226 жыл бұрын
Kwakwel tunamkufuru
@twahajsalim79136 жыл бұрын
kwa hakika ni kama unatumia elfu3 au 5 kwa siku maisha sio magumu, najiona mi maskiiini akati natumia 3 had 4 pa day !!!!???? asante mungu
@piarajaneth60306 жыл бұрын
Kwakweli Mungu atusamehe ni mapungufu ya kibinadamu
@irenegudluck12146 жыл бұрын
Nimelia jamani 😭😭 Hassan utakuja kufanikiwa na haya maisha uliyoishi yatakuwa historia usiachoke kupambana one day inshallah 🙏🏻
@fredysamwely59094 жыл бұрын
millard ayo bro umetisha big bless
@emmanuelimaxxaka7546 жыл бұрын
sharapuu sana millard Ayooo kwa moyo uliwo nawo mungu aendelee kukupa moyo huwo huwo 👏👏👏👏👏👏👏👏
@robertmhikwa81746 жыл бұрын
Asante kama yote brother Millard,we ni mfano wa kuigwa
@ashaally69936 жыл бұрын
Dah! Machozi yamenitoka jamani Mungu akupe furaha Millard zaidi ya hiyo aliyo nayo Hassan!! Unaambiwa ukifurahisha nafsi ya mwengine mungu atafurahisha na yako zaidi 😍😢 Nitampigia Hassan na nitampa nitakachojaaliwa...
@tonydas60586 жыл бұрын
Nimejikuta nalia tu aisee Mungu Anisamehe kwakweli maana hua nasema nna maisha magumu.
@samwelmurro34986 жыл бұрын
@@tonydas6058 Kweli aisee, tusikufuru
@samwelmurro34986 жыл бұрын
Usiache kufanya ulilo azimia, utabarikiwa dada
@ashaally69936 жыл бұрын
@@samwelmurro3498 Yani siwezi kuacha amenigusa sana huwezi amini jana usiku nilimpigia nafikiri alikuwa kashalala kutokana na tumepishana masaa kadhaa na simu ilikuwa imezimwa
@ashaally69936 жыл бұрын
@@tonydas6058 Dah yani acha tuu mwenyewe nimejiuliza hivi maisha niliyo nayo na kipato ninachopata na bado naona kama haitoshi kwa kweli ninakufuru mungu anisamehe.. . Na ndiyo maana tunaambiwa angalia wa chini yako!
@rajabmbogo81966 жыл бұрын
Very Touching story, good narration.. Inaskitisha lakini haya ni maisha halisi ya vijana wengi sana
@morama7jr5596 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki nchi yangu, Mungu mbalikiki kila mtu anayetafuta riziki zake kwa halali, tutie nguvu ya Allah, tufungulie njia za baraka na tuishi kwa kupendana. Ameen ya Arab
@mwapisanga5316 жыл бұрын
Morama 7jr j
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Aamiin
@salmasaidi28756 жыл бұрын
Alhamdulillah Kheri ukiona mwenye shida msaidie kiasi uwezavyo Shukran waliojitolea kuwasaidia.
@emmanuelngalayo87256 жыл бұрын
Dah kweli kutoa ni moyo sio utajir big up sana Millard mungu akujaze palipo pungua
@bahatihamissi11618 ай бұрын
Daah life is not fair Africa usipo stuka unaweza kuzikwa ukiwa hai Big up Millard ayo Allah akubless
@mashakalugome69886 жыл бұрын
MWENYEZI MUNGU akujaalie na amjaalie Hassan na wenzake awafungulie milango ya ridhiki Ameen ya Rab Ameen. IJUMAA KAREEM.
@fallymetoo1916 жыл бұрын
Akufaae kwa dhiki ndie rafiki Hassan !! .M.mungu akunyanyue na wewe Salute kwako milad Ayo na Crouw yako mubarikiwe sana..... Hayo ndio yatakiwayo mitandaoni kuibua issues zenye kufundisha Au kuelimisha mema kwa watanzania......Mungu wabariki Watanzania na nchi Yao pia
@noelimun70816 жыл бұрын
Millard Mungu anaona ulichokifanya wallahi nakuhakikishia hii ni akiba ya wema umeumeka kwa mungu
@baptistpendelea28096 жыл бұрын
Noeli Mun y
@michaelsimon99535 жыл бұрын
Noeli Mun Millard hongera sana kwa hicho ulicho kifanya
@kessy90666 жыл бұрын
Dah bro I am a christian but you practice the real religion Mungu anakuandikia yote hayo safisana una tu inspire watu wengi sana asee UBARIKIWE
@muniraahmed6246 жыл бұрын
Inshaallah mwenyez mungu akufanyie wepec ufanikiwe zaid bro Millard ❤
@mohamedbakari64746 жыл бұрын
mwerevu ni yule ambae asahau shida zilizompata, akaona umuhimu wa kusaidia wenzake,brother millard god bless u🙌🙌
@theoriginals32406 жыл бұрын
Millard nakubal love yako kwa vijana wa nyumbani ase! May god bless u bro
@ilovejesus93036 жыл бұрын
Duh nyumbani kwetu Ngarenaro, napamiss Sanaa. Hongera Sana Millard Ayo kurudisha fadhila kwa jamii, watanzania wengi hatugive back to the society ila leo umenifundisha mengi. May God bless you more and more Millard na kituo chako coz kinaleta matunda makubwa kea jamii
@khalifarich3776 жыл бұрын
Amen brother millardayo vijana wengi atujali tuliko tokea Mungu akubariki sana brother millardayo asante
@eliasray15006 жыл бұрын
Proud for you milad ayo kiukweli nimekubali kwa kile unachokifanya kwa kuinua vijana wenzetu wenye shida na matatizo kama hawa umekua mfano wa kuigwa na mungu akubless.
@tulivu63776 жыл бұрын
Mirrard ayo mungu akubariki abariki nakazi zako kwa msaada uwo
@festondile20396 жыл бұрын
Amani ni kitu cha muhimu sana,Hassan pamoja na changamoto zote hizo lakini yupo poa na marafiki zake.Nimependa Imani ya Hassani kua ipo siku atatoboa tu.May God bless you Millard hii kitu umefanya hapa ina thamani sana mbele za Mungu yaani kugusa maisha ya watu wahitaji,Umefanya jambo la maana sana sana keep it up.
@saidsongoro90976 жыл бұрын
Aise ndugu yangu iwe project endelevu tunaweza kuchangia kidogo kuinua vijana wezetu big up kwako. All they kutoka Finland.
@samwelmurro34986 жыл бұрын
Umenena kweli
@joh255tv46 жыл бұрын
Said Songoro kweli Mimi naishi kwa shida ila huyu hapana acha nimshukuru Mungu
@melkiorymarandu18506 жыл бұрын
Millard Ayo, asee brother msaidie huyo dogo, walau kila aliyecomment hapa amchangie hata elfu tano tano tu walau apate mtaji aisee. Hadi chozi limenitoka. Dah
@rajabmartojr33026 жыл бұрын
Said Songoro kweli mwana
@georgekagwebe2461 Жыл бұрын
Wazee msije mkakiuza noma sN
@ericklenjima4556 жыл бұрын
Hiii ni zaidi ya upendo brother Millard ... Napajua hapo vizuri nawajua na baadhi ya washkaji hapo life la sokoni nalijua jamaa kutokua anja (kibaka) ni jambo la kumshukuru Mungu maana wengi wao huwa ni maanja . Its my dream to bless more guys wa Ngarenaro as you did to my brother hood.
@madengekimario70346 жыл бұрын
Mungu akubariki na kukuzidishia ma lovely bro Millard...umekua wa kipekee sana Milliard...
@animalswildlife74906 жыл бұрын
Y
@agnesjohson93286 жыл бұрын
Kaka unaroho nzur kama ulivyo
@sampart26696 жыл бұрын
Ipo njema sana ,kwako millard ayo, god bless you brother uzidi kuwakomboa vijana wengine katka maisha kma ayo na sisi kwa pamoja tunasema mungu akufungulie zaidi ya hapo ulipo fika....amiin,,kwa pamoja sisi sote tunakuunga mkono
@nadinemasengo56886 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana kaka yangu millard Ayo
@evakiyenze76196 жыл бұрын
Anapata Elfu 15 kwa mwezi na bado anaishi Dah! Ni Mungu tu anatutunza. Millard Mungu Abariki kazi yako.
@chabycarpoza29986 жыл бұрын
Mashallah Hassan na millad ayo Hongera Sana
@juliusuronu88126 жыл бұрын
Asante Mungu kwa maisha uliyonipa sintanun'gunika tena...Mpaka machozi yamenitoka...Millady Mungu akubariki sana. Kijana Hassani Mungu yupo pamoja nawe...yataisha
@15mviews756 жыл бұрын
Safi sanaaa bro umetugusa snaaa ila namini atapata hio TOYO na ww mungu atakubariki watu wataona ni kidogo snaaa ila kwake yeye nikama umeminunulia gorofa kariyako
@joelyzonyamwaga87926 жыл бұрын
Mtu anaye dis like this video hakili zake hazipo sawa mungu akubaliki millard Ayo
@jsmtupoa6 жыл бұрын
Ongera sana bro.. kukumbuka na kurudisha fadhira mtaa.. ongera sana ayo
@rayanallmwana35826 жыл бұрын
Kweri kutoa ni Moyo sy Millad ayo Mungu akubariki sana🙇♀️🙇♀️🙇♀️
@abuumsofe36916 жыл бұрын
Nimejikuta tu machozi ynanitoka. ...maisha kama haya alafu wanasiasa wananunuana na kuhamishana vyama😭😭😭😭😭
@yasiraraphat69896 жыл бұрын
Kaka Millard Ayo... ALLAH akuzidishie kwa wema uloufanya... INSHAALLAH
@allyhafidh42836 жыл бұрын
Milard asee mungu akubariki neema zake kwa wingi sna hakika umefany jambo kubwa sna la kuthamini maisha ya mtu anayestahili
@shakiraponela3646 жыл бұрын
Milard yani mama yako atakuwa anajivunia sana kukupata mtoto kama wewe!'mungu akubariki sna kakangu yani natamani mpka nikuone! Mungu akupe maisha marefu my brother
@omarnadi94376 жыл бұрын
Dha kwa kweli ni imani kubwa bro big up mola akuzidishie zaidi ,kwani ni mfano mwema sana mbele ya ulimwengu na ni mfano wa kuigwa,mola yuko nawe kuokoa maisha ya vijana hawa pongezi subiri malipo kwa mola ,ikiwa wewe umepata kumbuka mwezio hajapata tungane tuangamizi ufukara ,maradhi na na kuwapa vijana motisha maisha mangumu haya ndugu
@lianjoho4706 жыл бұрын
Brother Millard... MUNGU akuongezeee zaid ...Nimejifunza sana kwa ulicho kifanya kwa Kaka Hassan.
@kitonekantasha16876 жыл бұрын
God bless u Millard asante sana kwaniaba ya wana huruma 😭😭😭😭😭
@korogwetanga8106 жыл бұрын
Allah akulipe kila la KHERI Millard hakika umejiwekea akiba Kwa mungu InshaAllah utakuja uikute
@cristianamos87906 жыл бұрын
Eemwenyezi mungu msaidie kijana mwenzangu muongonze mwepushe na vishawishi vibaya mpe moyo mwepesi na wakustamili shida na raha.
@swahiliuniverse93286 жыл бұрын
i am touched thank you millard
@yostanicebusime73206 жыл бұрын
Bro mungu akubariki sana akuogezee maisha marefu 🇹🇿🇹🇿
@khadijajuma71426 жыл бұрын
Daaaahh!!!! M/Mungu atakusaidia Hassan,pambana.Allah akuongoze kwa kidogo unachojaaliwa utatoboa tu,ipo siku hayo maisha yatabaki story.
@subiramussa14286 жыл бұрын
God bless you MillardAyo
@tumabhay59416 жыл бұрын
Alhamdulilahy .mungu akulipe kheri kwa ulichotoa mungu akupe zaidi yake..HASSAN Inshaallah mungu atakuongeza uwe na maisha mazuri .ww na rafiki zako
@habbymsauzy57566 жыл бұрын
dah kuna watu wanamaish ya shid Ila kwa hili nimelia dah
@atheistblood85686 жыл бұрын
Yolanda Kimaro lia nikione sio ulie kwa maandishi.
@paskaliaweda46456 жыл бұрын
Yolanda Kimaro kwa kwel
@shotbyregaaTV6 жыл бұрын
Dah jamani nimelia sana
@rehma0maly9926 жыл бұрын
Yolanda Kimaro hataukiwa na roho ngum vip apalazma machoz ya toke
@salamihorance5286 жыл бұрын
Asee Mimi ni wakiume lakini wallah nimelia kuona maisha ya huyu ndugu. Insshaallah kwa uweza Allah atafaidika. Allah ndie mjuzi
@marymayeye79476 жыл бұрын
Wafrica wengi tunaishi maisha haya, hata Mimi nilipitia maisha, mangum,Vijana msikate tama mtavika tu.
@tonnyshoo53696 жыл бұрын
Lovely
@aswilahjumanne1666 жыл бұрын
Inauma sana kwa sisi tuliopitia hivyo asikate tamaa Ya Allah uwii mpk chozi nahisi ni mm😢😭😭😭
@emmanuelbwiro98246 жыл бұрын
kwel mary!, muhim kukaza..
@mtadejuniorbaiano85995 жыл бұрын
kila mtu atasema kapitia maisha magumu ila yanapishana
@fallymetoo1916 жыл бұрын
Yaani milad Ayo we ni muungwana sana M.mungu akufungulie na wewe maishani mwako.
@khadijahbanana56026 жыл бұрын
Millard i realy respect you Big up n Allah bless you
@Dorcas4456 жыл бұрын
This world needs people like you MILLARD ❤ Hassan keep hustling Mungu atabariki kazi ya Mikono yako.
@cosolemollel48916 жыл бұрын
Millard siku nyingine ukitaka kufanya mahojiano ya namna hii jitahidi kufanya uchunguzi kidogo juu ya muhusika. Hii itakusaidia kuwa na uhakika kwenye kile muhusika atakachokuwa anakizungumza. Kuna mambo kazungumza huyo bwana mdogo ukifikiria kwa makini yana walakini: 1. Kafanya struggle hiyo kwa miaka zaidi ya nane 8 (hakuwa wazi kama aliwahi kupanda ama kushuka) - leo anaishi kwenye kibanda cha kodi TZS10,000.00. 2. Kipato chake kwa mwezi ni TZS15,000.00. Hii maana yake ni kuwa anapata TZS500.00 kwa siku kwa kazi ya aidha kuuza samaki au kuparua samaki. Hivi kwa akili ya kawaida unashindwa vipi kujiongeza kufanya vibarua vyenye kipato kikubwa zaidi mfano kuosha magari, kufanya vibarua kwenye ujenzi (hapa unapata na ujuzi pia), nk. Huyu bwana mdogo msaada mkubwa anaotakiwa kupewa ni wa kisaikolojia. Kuna uwezekano mkubwa anatumia mihadarati especially bangi na mirungi. Labda pia ameshawahi kuwa kibaka ndio maana anaridhika na maisha ya kulala chini kwa miaka 8. Maisha ya kibongo usipokaza na kujiongeza utaishi kwenye handaki.
@leonardjohn44726 жыл бұрын
man huamini kwamba kuna watu wanakosa alternative? inawezekana hiyo elfu 15 ni baada ya matumizi ya kila siku..ukiskia wanasema % kubwa ya raia wanaishi chin ya dola 1 sio utani man
Cosmas mollel upo sawa na me nilicho changia vijana wa arusha awataki badilika mtu kama uyu sio mlemavu wa kushindwa kufanya shughuli za angalau kipato kikubwa tatizo ni madawa ata ukiangalia ghetto watu watatu kweli akuna ata godoro duh
@cleverwillson53416 жыл бұрын
Joel Samson.... una uhakika gan kama anatumia madawa? inamana kuwa na maisha magumu n ku2mia madawa kuwen na akili kama ww umepata usimdharau ambae hana
@joelsamson34836 жыл бұрын
@@cleverwillson5341 usiangalie uruma yako kwa hasan angalia maisha anayoishi pasipo mapungufu yeyote mwilini bila familia inayo mtegemea yupo singo kwa miaka 8 siwezi acha kusema anatumia madawa. Uruma yenu ndy itamponza mpeni future ya kubadili kaz kwan zipo nying ndogondogo ambazo zinaweza mkomboa na kuacha kusubili misaada
Leo nimeliwa elfu kumi na kweny kubet dah kumbe kuna wenzngu wanakul mlo mara moja ...kubet sitoacha ila nawaahidi haitozid 2000 na mpk ntaach nachezea pesa wenzngu awazipati 😭
@babeshjunior83096 жыл бұрын
Mungu akujalie broo kwa wema wako ALLAH akufanyie wepesi kwa kila hali milad ayo
@princemallya40856 жыл бұрын
Kubet hutoachaa 😅😅😂😂🙌🏾
@zakiajuma5026 жыл бұрын
😭😭Alhamdulillah Sitokufuru tena asante milad ayo miskin vijana wawatu munguawajalie mema mchume kwa mikono mema INSHAALLAH
@beautifulfarysultan66646 жыл бұрын
mungu akuzidishie ya ulicho kitoa kaka🤲👏👏👏👏👏😞
@latifahussein95366 жыл бұрын
Dahh nakupend sanaaa mildy ayoo yani unawapa waanyonge moyo dah hassan nimemuonea sanaa iman Mungu atamsamia 2 in shaa Allah na ww pia ayoo mungu akuongoze katika job yako kila la khery
@josephjulius30906 жыл бұрын
Millady mfano mzuri sana ketu hili ni darasa kwetu sote
@rozinahamisi846 жыл бұрын
Hadi nimelia jamani millard ayo mungu akubariki sana na akuongeze baraka nyingi kwa kazi yako
@abuumahemba30376 жыл бұрын
Brother mirad mungu akuzidishie zaidi ya ulicho kitoa
@dorcasdavid30046 жыл бұрын
Jmn be blessed mirrad
@petermwantole94336 жыл бұрын
Nimekukubali sana , Milard kwa documentary nzuri ya kujenga na moyo ulionao wa kusaidia.. all the best
@abuumahemba30376 жыл бұрын
Kweli brother mirad wew ni kijana mwenzetu wa kuigwa
@sharifajanqabari47316 жыл бұрын
Asee ayo nakupenda uko vizury my mungu akuongeezee aise baba sio m baguz adi rahh😍😍😍
@AngelAfrica-w5x6 жыл бұрын
machalii ya R yako peace kinoma noma pamoja na ugum Wa maisha
@deusyebayeba64306 жыл бұрын
Kwa comments hizi inaonyesha watu mnatu actia yan mnasema etih mpaka mmetokwa machozi acheni kabsa kujifanya hamuyajui maisha ya watanzania ambao sio chini ya 60% wanaish katika povert cycle ya namna hio hata sio swala la kushangaza lakn big up kwa millard kwa kua chachu ya kuwabadilisha mitizamo watu juu ya kusaidiana katika maswala ya maendeleo na sio starehe na sherehe but lots of tanzanians lives even more than that,najua mnajua
@shadrackrabison80326 жыл бұрын
HONGERA SANA MILLARD KWA KUMSAIDIA HASSAN,MUNGU AKUBARIKI SANA.
@ayshunamir27986 жыл бұрын
wow milard Mungu akujalie na moyo wko uo uo na azidi kukubrki xo that uzdi kusaidia wtu bro ur da best😘😚😚😚😚
@honestyerasto6 жыл бұрын
aiseee bonge moja la documentary
@zuwenaabdallah70676 жыл бұрын
Dah! Mungu akubariki Millard! Mungu akubariki Hassan na wenzako!
@franciscomasungulwa38206 жыл бұрын
Umesaidia kumleta kwetu, nina wasiwasi na hiyo hela tutakayomtumia kama ataweza kui-manage....Jaribu kuratibu namna hiyo hela itakavyoweza kumsaidia kutimiza malelngo yake...Kumbuka kazungukwa na watu .
@Mangitv99896 жыл бұрын
perfect
@zeunakashinde73216 жыл бұрын
Mpk nimelia yaani... Daaah asante mwenyezi mungu kwa hapa nilipo na ninachopata pia hongera my bro kwakumsaidia kijana mwenzetu..
@lucytarimo16886 жыл бұрын
Millard ayo mungu akubariki ulipo toa
@furahinipallangyo12396 жыл бұрын
Me ni kijana pia nipo arusha pia huwa nasema Nina maisha magumu lakini nimeona maisha magumu Leo kusema kweli nimelia #Millard mungu akubariki
@charlessambai87586 жыл бұрын
Hongera sana,kW ulichofanyaMungu akubariki,wengine nivzr,kufanya hivyo,siyo kutembeza kamera tu kW maslahi yao tu,
@mumspencernleah80376 жыл бұрын
May God bless you Millard ayo....hii story imenikumbusha mbali sana vile tulikuwa tunalalia manguo zetu...coz mamangu hakua nauwezo hata kula ilikuwa shida but na shukuruh mwenyezi mungu tulipambana...na mungu akatubariki sahizi untleast tuna kwetu wala hatulipi rent wala kulalia manguo zetu... shukuran nyingi kwa mwenyezi mungu 🙏🙏🙏🙏
@mumspencernleah80376 жыл бұрын
Anaitwa mungu
@patrickkajala76146 жыл бұрын
Hasani mrudie mungu wako unajua hayo yote yanatokea kwakua wanadamu tumemsahau mungu wako wengi watachanga lakini jaribu kumrudia mungu kampani mbaya,nazo zinachelewesha,kimaisha,nakushauri,mdogo wangu rudi kwa mungu,mm mchango wangu ndio huo badirika tu wengi wameguswa kukusaidia usipobadirika,msaada huo utakuwa bure mirlad mungu akubariki sana na umushauri aache kampani mbaya amina
@frankvahaye57196 жыл бұрын
heshima kwako bro kwa kuwashika mkono wanyonge
@jumaaramadhani78196 жыл бұрын
kuna muda unasema una maisha magum lkn unaweza kumilik hata kitanda ila kumbe kuna mtu ana maisha magum na bado hajakata tamaa mungu tusaidie sana na utupe moyo wa uvumiliv km HASSAN asant mungu asante MILARD AYO mungu akuongoze kaka🙏
@africanoqueen93406 жыл бұрын
Julia from Canada naomba mamba za Hassan jamani nimelia
@benedictruthi21136 жыл бұрын
Angalia video mpk mwisho utaon namba zake
@francomwacha22626 жыл бұрын
Julita Bonganda zimewekwa apo kwenye video kwa chini ukiangalia mpaka mwisho utaziona.. ni 0744589910
@africanoqueen93406 жыл бұрын
@@francomwacha2262 asante
@ifgodsayyes.nobodycansayno17966 жыл бұрын
WAANZA NA CODE YA TANZANIA KWANZA
@tonnyshoo53696 жыл бұрын
Awasome
@nafisamohamad31826 жыл бұрын
Millard mungu azidi kukubariki, kwa moyo huo ulionao wakumsaidia mwenzako kwa hio hali alionayo kidogo ulichompa ameshukuru na atakuombea ubarikiwe daima na utapata zaidi ya ivo ulivyotoa.
@adamgeorge82566 жыл бұрын
big up sana brow umefanya kitu cha maana na pia hasani na wenzie wasikate tamaa maana dunia haijaisha leo na wala haiishi leo
@ibrahimnoordin34206 жыл бұрын
Alhamdulillah 3ala hadhihi ne3ma. Namshkuru Mungu kwa neema niliyo nayo.
@esharamadhani34386 жыл бұрын
Inaliza jamani pole sana Hassan Allah atakufanyia wepesi. Maisha ni magumu sana lkn yamezidi kwa wenzetu jamani
@harunayussuf6866 Жыл бұрын
Nimejikuta ingiwa na hisia za uchungu ndani ya nafsi yangu nami nikikumbuka yakwangu daaah sina cha kulaum kama kijana nikukaza tu one day yes. Big hasana don't give up man✊🏿✊🏿
@kingkasuku97036 жыл бұрын
Daaaah ubalikiwe kaka millad mungu atalipa pia Hassan asikati tamaa ya maisha mungu you pamoja NAE 🙏🙏🙏🙏
@EbenezerAM6 жыл бұрын
Broo safi sana Mungu akubariki,. Master wotee bongo embu tuige mfano!
@godfreyeliabu25826 жыл бұрын
Dah Millard ayo kweli dunia ina mengi kweli siko sure kama mtu huyu akikutana na dau linalomtupa kwenye uhalifu aka kataa mmmh
@godfreyeliabu25826 жыл бұрын
pia nimeipenda makala hii ya nyota tatu iwe endelevu maeneo mbalimbali kwani inagusa maisha ya wa tu wasio tazamika na wanao onekana hawastahiili kwani kwamtazamo tu bwana hasani huenda hata jamii yake inamchukulia kama mhalifu huenda kwasababu ya mazingira anayoishi yane fanya aonekane hivyo makara ni nzuri kiukweri MAPENDEKEZO ANZISHA PLATFORM NA UIITE "ANGAZA GIZANI " ambayo maripota wako watakuwa waki zitafuta wariko niki maanisha wewe huwezi kuwafikia haraka ukizingatia shughuri nyingi unafanya dar imani yangu watanzania wanaweza kuwa msaada kwakire waricho jaliwa na watavyo sukumwa na hari ya muhusika na mapendekezo @Millard Ayo
@cattnemrod6516 жыл бұрын
Wow!! millard so insparing kwel hii inafundisha this is how we supose 2 live with others be blessed!!
@atanasifrancis33086 жыл бұрын
duh ,ndio maisha halisi ya ngarenaro na matejoo
@kasimuallyakome18646 жыл бұрын
Da saf
@alexbaynet34266 жыл бұрын
Millard Ayo hapa umefanya kitu kizuri sana. Mungu akubariki sana bro. Ulichokifanya hadi chozi la furaha limenitoka kama vile nimepewa mm yaan.
@witnessmollel21696 жыл бұрын
Kama kuna ambaye anamjua anipe mawasiliano yake nimsaidie au anielekeze anapokaa
@saitotisaitoti67346 жыл бұрын
Namba zimewekwa hapo juu chukua
@MtuSafi6 жыл бұрын
jaman angalien video mpka mwisho jamani mwishowe mtapewa namba za matapeli za chungen sana hilo
@fx-farm68886 жыл бұрын
hongera sana kaka kwa kazi hii aisee umefanya jambo kubwa sana na Mungu akubariki sana
@kiki-ko8vi6 жыл бұрын
Things like this make me 😭😭
@methodmateo81846 жыл бұрын
Yap bless nyingi kwa mzee wa amplifier Millard ayo kwa kazi yake kwa kila mambo anayofanya amen
Millard ur soooo sweet aki, be blessed always kwa huo moyo. Allah atakuzidishia zaidi ya hapo.
@chidybwax80806 жыл бұрын
Eti leo unadai daimond katok maisha magum
@zaially16776 жыл бұрын
Umetisha mkali
@chidybwax80806 жыл бұрын
Au nioongo
@neemalkiswaga61266 жыл бұрын
Mungu yupo atatenda siku moja atabadili maisha asikate tamaa kwenye maisha kuna mambo mengi ya kukatisha Sana lakini ukijituma na kujiamini thanks bro Kwa kazi nzuri
@omarinjoka20046 жыл бұрын
Millard Ayo ww ni mfano wa kuigwa kwa wale waliojaliwa kuwa nacho kuwakumbuka wasionacho! Mungu anisaidie kufuata nyayo zako