Kikubwa hapo mim naona achangiwe tu ili aondokane na maden na changamoto za maisha
@juliusdonard9338 ай бұрын
Kulia huyu n ishara tosha maisha n magum kwa sasa jaman daaaa mungu atulinde kipindi hikii kigumu
@MerryRenatus-ck4lz8 ай бұрын
Amina😢
@lameckaloyce16158 ай бұрын
Pole sana bwana makulusa Mungu akutie nguvu uanze upya
@saididodi39888 ай бұрын
Usikate tamaa mungu yupo pamoja nawew utafanikisha malengo yko Ila usiuze figo hatar sana
@siriyangu47248 ай бұрын
Subhana Allah chozi hilo uyo mwanamke ajirundi tu coz dunia duwara
@charlesobinya8 ай бұрын
Jikaze mwanaume hakuna kisichokuwa na mwisho. Kuuza Figo Ni ufinyu wa kufikiria, mlilie mungu, fanya kazi Kwa bidii Amini kabla ya mwaka huu kuisha Utayashinda.
@joycemkeka37698 ай бұрын
🙏🙏
@deogratiusyudatadei56588 ай бұрын
Hakijakukuta ww shida isikie kwa mwenzio asilimia 90 sisi binadamu tunaingia kwenye viapo na kila kiumbe Kama uchawi au kuuza madawa nikwa sababu ya maisha magumu
@DavalsonMarlony8 ай бұрын
acha kbonga ovyo Mt kapta na mlion kazaa syo kt cha kawaida kwanza pongez kwake ad Sasa yupo hai
@LucyCornery8 ай бұрын
Kabisaaa@@deogratiusyudatadei5658
@jamilajamila45728 ай бұрын
Aisee wanawake wengine mtian pole sana
@daudimwidimakihanda53868 ай бұрын
Huyu jamaa namjua nilikua namuona, napishana nae kama anapitia haya kweli mungu amsaidie.
@marrykanyipa96998 ай бұрын
mm pia cjui nilimwona wap sura si ngen
@HalimaSalehIssa8 ай бұрын
@@marrykanyipa9699huyu ni msanii wa komedi
@EddahBure-te7ft8 ай бұрын
Msanii uyo @@marrykanyipa9699
@hadijauledi69958 ай бұрын
Haya maisha ni bora uliye njaa kuliko madeni kakaangu pole sana mwenyezi mungu atakufanyia wepesi ila maisha magumu sana sana huku uswahilini tupo ishi watu kibao wanalia njaa maisha magumu sana sana 😭😭😭😭
@beratsanoo57786 ай бұрын
Mungu atakutia nguvu ndugu yangu,Kuwa na Imani,Na pole sana.
@arafakiloli7498 ай бұрын
Subhanallah pole sana ALLAH akufanyie wepesi.
@saimonwantango95698 ай бұрын
Mzee makulusa pole sana,na wanawake wa kuokota okota wa mjini ni shida hawataki kuona hela ndo maana baadh yao hawafai hata kuomba ushauli,
@JonathanNelson-l8h8 ай бұрын
Chifu mi nadaiwa balaaa na sijakata tamaa na naamini Mungu anatupenda na atatusaidia kuvuka.....mawazo uliyofikia ni umeruhusu akili yako kufika mwisho... Jikaze hakuna gumu linalodumu( ALAFU BORA WEWE UNADAIWA HUKU UMENENEPA MI MWENZIO NADAIWA NA NIMEKONDA😢😢)
@DativaMbowe5 ай бұрын
😢😢😢😢 pole
@marychuwa81598 ай бұрын
Nakuelewa Kaka😭😭😭natamani sana Walichofanya kwa ajili ya fomu ya Urais basi tusaidiane kwa watu kama hivi
@allybinnseif18168 ай бұрын
Mwanamke kumbe hakuwa wa ndoa mmeokotana tuu mitaani mkawa mnazini mbaya zaidi unamuachia pesa zoote hizo utadhani kwao wanakutambua Poleee Sanaa rejea kijijini ukaanze kulima utapata pesa za kulipa madeni na mambo mengine
@hanifa91538 ай бұрын
Ni tabia mbovu sana kwa watu weusi kuishi bila ndoa imekua kitu cha kawaida innalillah wainna ilayh rajioun😢😢😢
@mellahbrain2958 ай бұрын
Uyu doctor sijamuelw hajaelezea efect
@HamisMghuna-fj3vz8 ай бұрын
Allah akusitiri hilo ulokaa nalo n jizi Pole,jipange, Mzee baba cm haipatikani, jipange,
@hajially45278 ай бұрын
Heheheee fingo elfu 7 watu wadharau
@samwelnaal79528 ай бұрын
Napata huruma ila nimegundua mshikaji hana plan za maisha....mil 20 ndo pesa pekee uliyonayo lakini unataka kununua gari....hauko serious kwa kweli Then una 37 bado unalalamika huna wazazi! Hata wangekuwepo ungewategemea? Hii siyo sawa kwake Anahitaji kubadili mtazamo wake kuhusu maisha
@israelkisaila84018 ай бұрын
Hakika kuna shida kwenye mtazamo wake miaka 37 unatakiwa uwe full independent aise
@damariszuckschwert94898 ай бұрын
Umeongea kama watu mia
@MaryJasely2 ай бұрын
Kweli kabisa
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd8 ай бұрын
Hama huko na ukatafute maisha sehemu nyingine. Kuuza figo sio suluhisho la kutatua hizo changamoto, hata ukiuza bado unaweza kujisababishia kifo na hizo pesa zisikusaidie chochote
@HajiOmary-jz7ce8 ай бұрын
Allah atakujalia kila la kheri kk
@annaezra23448 ай бұрын
Jamani mungu akusaidie kaka, lakini pia wanaomdai huyu tumsamehe tu hatutapungukiwa
@EvanceMalley8 ай бұрын
Nkwely
@HanifaOman-oo4pl8 ай бұрын
Sana na Mungu atawaxidishia
@RabiaIddi-ci2uz8 ай бұрын
We kuweza?
@daudimwidimakihanda53868 ай бұрын
Comment Ina nguvu sana hii
@sadikiissa77568 ай бұрын
Sahihi.
@omanoman20448 ай бұрын
Wanawake wallah machozi yamtuy ambae ka dhulumiw unaweza pata mtihan san unaweza kupata shida san
@MarcelinoKione8 ай бұрын
Mdaiwa hafungwi kaka maisha hayaitaji unyonge jua tu mjini hapa anaekudai nae anadaiwa
@beratsanoo57786 ай бұрын
Huyo mwanamke alaaniwe na mwenyezi mungu,
@linnusaloyce65598 ай бұрын
Haya maisha magumu sn ndg zangu ukicheki heka heka za kifamilia bora mtu kujitoa muhanga ili kupushi familia mimi mwenyewe nikipata mteja wa figo nauza nibadili upepo wa maisha ya familia yngu
@aminakipande56458 ай бұрын
Hata mm jman nimechoka nam haya maisha
@SalumuRamadhani-ct2iv8 ай бұрын
Pole Sana kaka mkubwa
@halimasawa6118 ай бұрын
Wekeni numbr tuchangia 😢😢Allah akutaksdiaa kakngu
@Boniphaceshayo58 ай бұрын
Kweli 😢
@juliusdonard9338 ай бұрын
Wanawakee tuish nao kwa akil sanaa
@UPAKOMINISTRYTV8 ай бұрын
Ee mwenyezi Mungu mruhumie mja wako uyu hakika ukiona mwanaume analia ujue ana wakati mgumu sana uyo mwanamke machozi hayo hayatamuacha salama
@fadhilmandaliabdalla67368 ай бұрын
Pole saana, Allah akuruzuku kikubwa zaidi ya ukichokipoteza inshaallah, ila pesa milion 20 kweli unashindwaje kuweka Bank, hata iwe mnamipango ya biashara! Huo ni uzembe tosha bro. 😢
@DavalsonMarlony8 ай бұрын
usiongee ivyo man unaweza ukamuamn mkeo ndyo akakzr
@tinnahagustinolyelu42478 ай бұрын
Jamani mnaomdai msameheni lakini unauza figo unajua afya yako inaruhusu kutoa figo jamani mwee hapana kaka omba msaada mwingine sio kuuza viongo vyako uwiii naogopa mweee
@hajially45278 ай бұрын
Huyu nimsanii sasa hata wanii wetu hawana ushirikiano ila wangemchangia tu
@maimunaulotu20758 ай бұрын
😒😒😭😭mpka Mwanaume analia hivi dah😪😪😪😪so sad
@RickshabyVlogs8 ай бұрын
Mlaini huyo si aje migodini kwenye kazi za kiume hata aibu hana alitumwa ampe huyo dem wake
@MwinyiSalim-d4j8 ай бұрын
Nyinyi wanawake ndio chanzo
@ommimg24678 ай бұрын
Ni darasa unapita ili uache kuwa kilaza bank zote zimejaa, vyanzo vyote hivyo unaenda kumpa mwanamke hela yote! ila kwasasa huwez kushaurika tukio ushapigwa tyr, ila inshu ya wazazi achana nayo kbs we umeshazeeka
@Taslihissa8 ай бұрын
Kabisa mzee
@cosmaslunyembeleka2518 ай бұрын
Inavoonesha uyu jamaa anashida kubwa sana Naweza kushilikiana naye kubadilisha mtazamo. Naomba tushilikiane jamani kumnusuru uyu jamaa hata kwa miatano miatano tu atapona. Aweke namba yake tumchangie chap. #Tanzania is for real Love.
@AziziMapunda-vt4nv8 ай бұрын
Ameona kujihuwa kwajili yadeni bolaaseme kijacho musibu serikali itazameili watuwengi wanamambo mengi nawanakufa kwakutunza sili yeye kasema ukweli naona asaidiwe kabula ajajiuwa
@asiahamis78938 ай бұрын
Kaka ang naomba usifanye kitu km hicho fanya kaz kwa nguvu zako zote achana na hilo ndugu yang
@omanoman20448 ай бұрын
Pesa.hiz zina mashaka san utampaje mtuy pesa naumri huu
@saidjelani15668 ай бұрын
Akili kama sima unachukua pesa unampa hela zote halafu baya zaidi unakopa ili umtafute sasa waoza figo mungu ataku saidia
@merckmdamu29428 ай бұрын
Jamani tukiwa mjini maisha yakatushinda njooni mashambanihuku kujitafuta tena😢😢
@kingmsanya35248 ай бұрын
Uko sahihi
@OmanOman-dn6dj8 ай бұрын
Kudaiwa hakujufanyi upate shida hivo😅😅😅tunadaiwa na tunainjoi tu😅😅
@DelightfulMacawBird-tl5hf8 ай бұрын
Pole sana mzee makulusa
@MwinyiSalim-d4j8 ай бұрын
Ukiuza figo kweli bado uko hai
@judithminja63868 ай бұрын
Me nadaiwa hela kibao lakin hapana jaman ntalipa ivo ivo kidogo dogo ila syo kuuza kiungooo😊😊
@lyrics_forum8 ай бұрын
Huyu Jamaa kama niliwahi kumuona Akiigiza na Timamu Comedy.
@marrykanyipa96998 ай бұрын
ni kwel
@rehemaomary34938 ай бұрын
Pole sana jamani
@stellamsokwa67858 ай бұрын
Dunia inamapito sana😭 acheni tu jamani,ee Mungu naomba mwisho mwema🙏🤲
@vagashappnecy48508 ай бұрын
Pole sana makulusa
@thescop10038 ай бұрын
Pesa zangu nitaweka mwenyewe
@onanarosse96578 ай бұрын
Pole kaka
@AziziMapunda-vt4nv8 ай бұрын
Kaka pole Sana apokinacho mutesa nideni analodaiwa 😢😢😢😢😢
@SarahElias-kv2fu8 ай бұрын
Madeni madeni madeni😭
@RickshabyVlogs8 ай бұрын
Uliwekewa dawa hadi ukampatia mwanamke pesa duuh pole sana
@ziggertv31858 ай бұрын
Hapo sasa yani angenunua kiwanja saiv asinge waza sana
@Ambeniwatano8 ай бұрын
Bandugu acha hakili nyepesi kudaiwa ni jambo la kawaida kwa kuwa wanao kudai ni binadamu si unawambia tu una muona mungu mjinga kuweka Figo 2 mdaiwa afungwi
@salekhvidal83468 ай бұрын
Ungekuwa ww ungeweza kumvumilia na jua ili
@azuma71668 ай бұрын
Na wenye matatizo ya Figo na wenyew pia wanahitaji
@Ambeniwatano8 ай бұрын
@@azuma7166 kiungo alichokujalia mwenyez mungu ni halamu kuudha ni Halali kusadia Bure kwa binadamu mwenzako rejea watu waliuza Figo Leo wana Nini?
Pole.sana kaka Allah akufanyiewepesi apatikane wakukusaidia au wakusamee. tu Omba Mungu sana imeniuma sana😢
@labunaabouna61228 ай бұрын
Dagh mtihani Allah akusimamie
@EsteR-dt9iw8 ай бұрын
Daaa nilikuwa nakupita tu ila jamani wa Tanzania hatushindwi tumchangie naamini tunaweza
@JoyceNjombi-il7de2 ай бұрын
Na mimi nauza Figo jamanii kwa yeyote mwenye million 10 tu
@noelphilipmollel63558 ай бұрын
Tuache maigizo.....lengo la hiyu jamaa lilikuwa lipi kuchukua hela kwa watu tofauti tofauti kwa kiwango cha laki mbili hadi tatu mpaka kufikia milioni 12? Inamaanisha hakuwa na mpango au mkakati nazo. Hapo anatafuta huruma kwa watu....aseme tu alikuwa na matumizi makubwa kumuhudumia mwanamie na ndio sababu iliyomfanya akope kwa hao watu.. pengine alitaka kumuaminisha mwanamke anauwezo wa ki super star ukizingatia yeye ni muigizaji...haya sasa mfano angenunua gari ikapata majanga au angefungua biashara ikafa je, asingelipa hela za watu? Asikwepe wajibu wake.
@AzzatyAbdallah8 ай бұрын
Acha kujifanya unajua hata wewe unahitaj watu ili kuishi... Litakurudia kwa nduguzo
@noelphilipmollel63558 ай бұрын
@@AzzatyAbdallah hongera na wewe kwa kujua maisha ya pande zote
@ayubleo8 ай бұрын
Mdaiwa afungwi mzee tafut kazi acha mambo ya ajabu
Ndo maana mnambiwa muoe kuna busara maana baraka kwa Allaah na kingine familia itakujua.
@mwarabuofficial52418 ай бұрын
Makulusa miaka 37 unasema huna baba wala mama huko ni kutia huruma sasa mtandaoni maana hata wangekuwepo wewe bado ungekuwa ndio msaada wao mkubwa maana wangekuwa tayar age agooo! All in all huyu mwamba asaidiwe jmn pia Tz ni nchi ya watu wenye huruma sana ukiachana na watu kila jambo kuchukulia utani ila hii talent tusiipoteze asaidiwe kwa namna yoyote ile iwe kwa kupewa misaada au kupewa kazi mean aajiliwe.
@LeilaWilfred-zc7gn8 ай бұрын
Hakikaaa
@Sisopotashiumz8 ай бұрын
Anzaa ww!
@neemakiria44168 ай бұрын
Duh... Mungu wangu
@josekinyamagoa-sv4jh25 күн бұрын
Mimi nauza nyeti. Maana nashida afu selikali yangu inaniacha naangaika
@Kuminamoja19958 ай бұрын
Tumchangie jamaa buku buku inawez3kana
@jrsaid42708 ай бұрын
Huyu si yule yupo kwenye comedy
@abdibilali41868 ай бұрын
Ni yeye
@ireneshao79508 ай бұрын
Ndio ni yeye
@Jacklinejohn78 ай бұрын
Daah aisee kweli maish haya
@magdalenajoel44098 ай бұрын
MUNGU mfanyie wepesi huyu baba jamani daah😢😢😢
@saidthuwein79508 ай бұрын
Dah! Eti figo yako inakaa na chaji mda gani😂😂😂😂
@GoodluckAmos8 ай бұрын
😂😂😂😂 dah Weee jamaa wewe mm nimecheka bila kutaka banaaa😂😂
@Liyale_Kid_Gold8 ай бұрын
Uyy jamaa sijui niseme nini ila mm naona upumbavu tuu kama shida na matatzo watu wanapia magumu zaidi yakee .. kwaiyoo maisha ayanaga balance ⚖️ tokea hapo kikubwa uhai tuu na kuomba mungu lia na mungu wako pambana una viungo kamili alfu unalia na maisha mungu amekupa akili telee unashindwa itumia .why . Je unge kuwa mlemavu . Daaah . Mm sina uruma na mtu mvivu wa maharifa.
@hallin95618 ай бұрын
Ukiona adi mwanaume analia ujue kuna jambo zito mno ndani ya moyp wake
@laylayl51668 ай бұрын
Jamani viongozi WA serikali msaidieni huyu kijana kulipa deni mama Samia msaidie huyu kijana mungu atakuwrka katika pepo ya jannat firdaus mama
@FatmaHamad-g6s8 ай бұрын
Hali ni ngumu jmn mpk mwanaume analia hivi
@twahahamidu62468 ай бұрын
Usiamin mwanamke wadau
@joycemkeka37698 ай бұрын
Sio mwanamke tu ndugu yangu usiamini mtu
@MwljofreyChitta2 ай бұрын
Hapana ..acha usiuze..kaka..
@khadijahamisi55618 ай бұрын
Maisha magumu Tanzania akuna ata viwanda vyakutosha hatar san kwahaya maisha😢😢
@abdulymaeda26978 ай бұрын
We ndo unsmaisha magumu
@stevenjoshua58668 ай бұрын
Pole sana
@GodfreyHamadi2 ай бұрын
mimi ndomahana awa viumbe kuamini nivigum kwasababu wanaweza kukusabashia ukajiuwa mwenyew bila yeye kukuwekea sum
@feyxalbarry45958 ай бұрын
Lakin Analia mm wakat mtu anaviungo vyote vizima anaweza hta kubeba zege asa Analia nn na istoshe kipaji anacho aendeleze kaz zake na pia Kwa nn uishi na mwanamke AmBAR hujamuoa na hata kwao hukujui Wacha yakukute wabongo mmezoea sana mtelezo Yan mtu uwezo wa kuoa unao ww unafuga demu tu alafu kwao hukujui
@ernestmhina73998 ай бұрын
pole xana jamaa yangu
@soundmale8 ай бұрын
Unadaiwaje hela yote hiyo mmi kudaiwa hata mia2 sitaki😢
@fatimajuma33303 ай бұрын
Huyu si mzee ni kijana mdongo
@leperelepere24438 ай бұрын
Wa tz tukimchangia bukubuku jaman , alipe
@edwinalexander11708 ай бұрын
Dokta mbona hajasema madhara ya kutoa figo moja?
@meshackthomas13418 ай бұрын
Huyu jamaa anahitaji kusaidiwa kwanza huyo mwanamke atafutwe pia Asaidiwe. Kimahitaj nk
@johnmalembo64648 ай бұрын
Linda sana moyo na akili yako kuliko vyote uvilindavyo..... Shida akili na moyo vinachanganywa na vitu vingi
@enoskilongo76858 ай бұрын
Miaka 37 kumbe ushakua mzee dah😂😂nmeshazeeka kumbe😢😢😢😢
@JulesWilondja8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@BonifaceJoseph8 ай бұрын
Watanzania wengi bado wanadhani unaweza kuuza kiungo chako kama Karanga, Elimu inahitajika sana aisee
@Xuxu-f7j8 ай бұрын
Wangapi unaowajua wewe wamejitangaza kama hivi ! Oya kama halijakukuta usimlaumu mwenzako mzee mshukuru Mungu kwa kila aliliokujaalia
@BonifaceJoseph8 ай бұрын
@@Xuxu-f7j Halijanikuta?? How can you be so sure lil bro? Kuna binadamu asiye na changamoto dunia hii?
@rizikisam64818 ай бұрын
Makulusa masikini kafikia hapa 😢😢
@PaulinaSemindu-ob3de8 ай бұрын
Ni bora ungefungua acaunt uweke hy pesa yote ss kina mama hatutabirik
@bahatielias64438 ай бұрын
Kuna kiumbe naishigi nacho Kila pesa nayo ingiza kinataka kijue na kitunze pesa chenyewe
@bahatielias64438 ай бұрын
Sijawahi mwamini hata
@officialtino58tino8 ай бұрын
Wachekeshaji hawa...labda anaigiza?
@aishakambenga61918 ай бұрын
Ukiona mwanaume analia ujue kuna jambo 😢😢
@bensonwissa57778 ай бұрын
Muacheni auze mali yake maisha niyake
@MariamseremaniKuzuro-yj4vk8 ай бұрын
Ulishindwa kutunza mwenyewe
@allyboka42648 ай бұрын
Uyu alishawai kuigiza na mkali wenu
@salumjumaruhaga25138 ай бұрын
Iyo ndio faida ya kushobokea wanawake
@MwinyiSalim-d4j8 ай бұрын
Kwani apenda wanawake
@msafirimaulidi50548 ай бұрын
Unawezaje kumuamini mwanamke kwenye swala la pesa tena pesa za ngama? Ivi ameshindwa kufungua A/c benk aweke ,dah inasikitisha pole sana kk