Рет қаралды 58,441
Kaswida Nyoyo zimefurahika ni moja ya Kaswida Mashuhuri Afrika ambayo imetungwa na kutiwa sauti na Marhum Habib Asayyid Sharif Hussein Badawiy kisha ikachanganywa na Kaswida Mashuhuri pia Afrika "Swalieni" ambayo imetungwa na kutiwa sauti na Marhum Sheikh Ali Mzee Komorian.
M/Mungu awarehemu Wazee wetu hawa na awasamehe makosa yao.