No video

MCHUNGAJI ALIVYOJIPANGA KUNUNUA KIWANJA CHA MIL.200 WAKATI HANA HATA SHS.1 BANK

  Рет қаралды 69,186

NY TV

NY TV

Күн бұрын

Imani yake ya kununua kiwanja cha mil.200 yatenda kazi wakati hakuwa hata na shs kumi bank.

Пікірлер: 75
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m 4 ай бұрын
Nimekuelewa sana mchungaji,kuchukua baraka zangu,nikuamua,lakini Si rahisi,,nimekuelewa sana,barikiwa
@paulinajohn5911
@paulinajohn5911 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Bwana,nimejifunza siri ya kuishi na Bwana. Mungu akubariki,karibu T.A.G Karatu Mang'ola hakika tutapona baba
@Linalinalish
@Linalinalish Жыл бұрын
Amen pastor umenitia nguvu kwa Maisha yangu pamoja na Jamii yangu mungu akubariki akuongeze kipawa cha huduma yako akuzingire na damu yake ya kalivari abariki tumbo lililokuzaa pamoja na Jamie yako in jesus name
@StephanoKitwaen
@StephanoKitwaen Жыл бұрын
0
@geresoniaroni3243
@geresoniaroni3243 Жыл бұрын
Amen pasta naamin na Mimi na ndugu zangu tutapendana
@user-mg6sb3ld4c
@user-mg6sb3ld4c 10 ай бұрын
Napenda nitumiye numba ya Mchungaji ipo vizuri napenda sana
@TabitaKibona-hq6cx
@TabitaKibona-hq6cx 2 ай бұрын
aminaa sanaa 🙏🙏
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 2 жыл бұрын
Mtumishi be blessed nimeipenda mafundisho yako na shuhuda zako .
@joycelaura4611
@joycelaura4611 Жыл бұрын
65 ikalipwa nyingine zibaki ziite nyingine😇😇😇😇 Mtumishi huyu Mungu alimuandaa toka akiwa tumboni mwa mama yake ila shetani alijaribu kuvuruga akashindwa. jua Mungu akisema ndio hakuna wakusema hapana acha Mungu aitwe kuwa Mungu
@user-kf6ox4pe5b
@user-kf6ox4pe5b 4 ай бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen
@dativaclipa3476
@dativaclipa3476 2 жыл бұрын
Mtumishi Pascal you are amazing. Unanibariki sana kwa mafundisho yako. Natamani sana ukutane na watoto wangu Uwalete kwa Yesu
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 2 жыл бұрын
simply amazing
@kissagabriel5825
@kissagabriel5825 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@joycesanga6951
@joycesanga6951 2 жыл бұрын
Amina
@marywaithera5102
@marywaithera5102 2 жыл бұрын
Yes ni Bwana... Amen Mungu akuinue pastor
@emmanuelozil9996
@emmanuelozil9996 2 жыл бұрын
Amen, bwana akubariki sana mtumishi wa bwana karibu kenya
@perpetuampita5018
@perpetuampita5018 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi Paschal Mande!
@annadamiani6039
@annadamiani6039 2 жыл бұрын
Nimemtafakari Musa,Daudi,Mtume Paulo.nimesikiliza shuhuda zako. Nanimesikiliza mahubili yako.oooh,nimegundua ndio maana hetani,alikutafuta ukiwa mdogo..alijua hii nimashine atakuja kunisumbua baadae.ubarikiwe sana mtumishi.endelea kumsumbua shetani sana.wewe ni mashine.shetani akae mbali.
@beatauwimana3681
@beatauwimana3681 Жыл бұрын
Amen amen Asante 🙏
@user-hs9lp4pe7w
@user-hs9lp4pe7w Жыл бұрын
Ameen
@user-id5qt9hp6x
@user-id5qt9hp6x Ай бұрын
Amen
@sarahyego3762
@sarahyego3762 Жыл бұрын
Aminaaaaa
@teddyhhindo1677
@teddyhhindo1677 Жыл бұрын
Ameenn
@mamakevinny3431
@mamakevinny3431 2 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa habari njema
@joycelaura4611
@joycelaura4611 Жыл бұрын
Mungu alikuandaa baba
@juliosarahkingunza3731
@juliosarahkingunza3731 2 жыл бұрын
Ubarikiwa umenitia nguvu mno mtumishi
@clever668
@clever668 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi
@christinekathure2572
@christinekathure2572 2 жыл бұрын
Mungu akunariki pastor nimekusikisa ukanikoboa sana
@janeombati2290
@janeombati2290 2 жыл бұрын
Mtukumbuke kwa maombi huku Kenya tuko na uchaguzi Mungu atuchangulie kiongozi mwema
@thegreaterlightofglory190
@thegreaterlightofglory190 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu..nimejifunza kitu
@janeombati2290
@janeombati2290 2 жыл бұрын
AMINA KUMBWA mtumishi wa Mungu uinuliwe
@adamslyo3089
@adamslyo3089 2 жыл бұрын
Hakika baba nifamilia yetu umeongelea kuna kitu nimejifunza nachakushangaxa hiyo siku ndo baba yetu alirudi nyumbani kusalimu familia hayo hayo ni mapito yetu pia tupo wengi hivyo hivyo mama anapitia hayo hayo tuombee baba arudi nyumbani aachane na wanawake na mengineyo mengi naitwa neema nipo rombo nimekupenda sana mtumishi wa mungu umeitwa kwetu na mungu kwa ushuhuda
@mwakilulelefrancis280
@mwakilulelefrancis280 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@zakayoghuliku3706
@zakayoghuliku3706 2 жыл бұрын
Ubalikiwe baba kazi yako ninjema sana
@arkmaeda1444
@arkmaeda1444 2 жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 жыл бұрын
Yes thank you Jesus aaaa hakuna mafuta Wala chumvi lazima tuelewane kuwa YESU NDO UZIMA WA YOTE YY HANA KIAMBATA
@HamuPhiriii
@HamuPhiriii 11 ай бұрын
Mungu awe nawe
@neemamarko176
@neemamarko176 2 жыл бұрын
Barikiwa
@agnesmbesse1391
@agnesmbesse1391 2 жыл бұрын
Amina sana Mtumishi
@faithnzembi5547
@faithnzembi5547 2 жыл бұрын
Be blessed mtumishi
@anetayuma3213
@anetayuma3213 2 жыл бұрын
Ameeen
@christinemusinga1629
@christinemusinga1629 Жыл бұрын
Naweza penda kufikia mchungaji pascal maana ananigusa saaana nko Nairobi
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Amen blessed pastor. Pamoja na Nytv kwa kutuletea mafundisho haya mazuri.barikiwen nyote
@esthernyaga1766
@esthernyaga1766 2 жыл бұрын
Pastor ubarikiwe kwa ushuhuda wako
@desmaalembi2417
@desmaalembi2417 2 жыл бұрын
Jina la Bwana lipewe sifa
@mariamhamisi7402
@mariamhamisi7402 2 жыл бұрын
Habar samahani naitaji namba yahuyu mutumishi yeyote anae ijua ananisaidie
@juster5478
@juster5478 Жыл бұрын
Akika kunakitu nimejifunza juu ya maombi ninayoyafanya akika wew ni bwana
@jannethjohn5879
@jannethjohn5879 2 жыл бұрын
👏👏👏👏
@mcback4384
@mcback4384 2 жыл бұрын
Huyu Dada mweusi mnene hapa 10:27 alievaa t-shirt ya pink hiyo ni nembo ya kipepo kutoka kuzimu, kwenye maandishi ya hiyo t-shirt kuna msalaba uliopinduliwa kichwa chini miguu juu hiyo ni alama ya shetani na ni machukizo kudharau kazi ya msalaba, Mungu atupe hekima
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 жыл бұрын
Yamkini hajui maana yake so tunaweza kumlaumu kumbe hana ufahamu
@ukombozitv
@ukombozitv 2 жыл бұрын
SOMA, KWANZA ( MARKO 8:22)
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 2 жыл бұрын
Nani asome?, na akisoma afanyaje?
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
😂😂😂Amen🤗🤗
@simonsukwa9979
@simonsukwa9979 2 жыл бұрын
Ameni shuhuda za kujenga
@pollineh225
@pollineh225 2 жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@berthapeter6746
@berthapeter6746 2 жыл бұрын
Naomba mwenye namba za mchu pascal wapendwa
@nicotv4162
@nicotv4162 2 жыл бұрын
Mim naomba namba ya mchungu paschal mande, natamani kuongea naye maisha yangu yaokolewe na yeye tafadhal msaada wa namba zake
@harunigaitani338
@harunigaitani338 2 жыл бұрын
Namuitaji uyu mtumishi
@catherinemaganga4273
@catherinemaganga4273 2 жыл бұрын
Mtumishi Bwana azidi kukutumia, ubarikiwe
@estermgata9617
@estermgata9617 2 жыл бұрын
MUNGU WANGU HIZI NI SIKU ZA MWISHO!!!! DALILI NI HIZO!! MUNGU ATUSAIDIE NA ATUPE MAARIFA YA KUPAMBANUA UKWELINA USANII!!!
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate 2 жыл бұрын
Jamani kanisa liko wapi
@fgvh2151
@fgvh2151 2 жыл бұрын
Pst pascco haitaji namba yako
@teddyhhindo1677
@teddyhhindo1677 Жыл бұрын
Ameenn
@FfFf-wz2oi
@FfFf-wz2oi Жыл бұрын
Amen
@carolinemutanu5174
@carolinemutanu5174 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@joannemarine7587
@joannemarine7587 2 жыл бұрын
Nashukuru Mungu kwa jina la Yesu kristo, siku ya kwanza nilisikia ushuhunda wako, kuhusu vile uliangaika na kukatiliwa hata na wazazi, but Mungu akanijia akasema nikuambie bado maadui wako wanakuwinda, hio ni sauti ya Mungu.
@lonassmbilinyi9472
@lonassmbilinyi9472 2 жыл бұрын
Amina
@jannethjohn5879
@jannethjohn5879 2 жыл бұрын
Ameeen
@sarahyego3762
@sarahyego3762 Жыл бұрын
Amen
@rithersospeterkati7957
@rithersospeterkati7957 2 жыл бұрын
Amen.
@Chekakidogo2
@Chekakidogo2 2 жыл бұрын
Amen
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Amina
@aisaakamnde
@aisaakamnde Жыл бұрын
Mtumishi bwana yesu akutunze akulinde
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 47 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 24 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 11 МЛН
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
CHEKESHA TV
Рет қаралды 12 М.
MKE WA ASKOFU VALENTINE MBUKE ATOBOA SIRI
31:02
NY TV
Рет қаралды 850
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН