Tazama kinachoendelea kwa sasa Kanisa la TAG Sumbawanga
Пікірлер: 10
@dicksonkahesya44429 ай бұрын
MUNGU awabariki sana watumishi wa Mungu, haya majengo tunayaona tu Kwa wenzetu, kumbe inawezekana daa hongereni sana
@lauthandondile9 ай бұрын
Mungu awabariki sana Kwa kazi nzuri, ni wakati sahihi mataifa yaelewe yupo Yesu anaefanya hata yasiyowezekana
@lawrencekamete24049 ай бұрын
Hakika Mungu ainuliwe kwa Yale anayotenda kwa kazi yake akiwatumia watumishi wake.
@anociatafungameza9 ай бұрын
Askofu Bryson Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri. Eneo hilo lilikuwa halifai kabisa kujemgwa kwa aliji ya maji yaliyokuwa yanatuama hapo, wenzangu mnaotoka Sumbawanga mtuakumbuka. Kweli kwa Yesu inawezekana. Ni kanisa zuri sana. Nikiwa Sumbawanga Huwa ni kanisa langu hili.❤❤
@PaulMwanisawa-bk6pq9 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwA hekalu zuri la BWANA
@angumbwikeanangisye66558 ай бұрын
God bless you bishop and your church
@ShanMapunda-sz7kb3 ай бұрын
Uzia
@JacklineDaudi-tf2du9 ай бұрын
Bwana Yeah APEWE SIFA man of God"Benedict hapa tulkuwa wote bonde la baraka Tanga chumbagen,kwel utukufu hadi utukufu kaka