Nyumba ya mtoto wa Mbowe yakamatwa ili kupigwa mnada, Mwanasheria aeleza kinachoweza kutokea

  Рет қаралды 20,601

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

5 ай бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de...

Пікірлер: 47
@makibadatela7865
@makibadatela7865 5 ай бұрын
Semeni Kampuni ya Tanzania Daima inadaiwa kiasi cha fedha na Sio mtu anadaiwa, hapo ni kutafuta kumchafua Mbowe, Nachokiona kwangu Mbowe na Familia yake ni Watafutaji na sio watu wanaishi kwa kusubiri mali za Sirikali au kula mali za umma, Wanautajiri kabla ya kupata Uongozi wa nchi.
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 4 ай бұрын
Haya Sasa mtoto wa mkt anakuwa hivi je baba yake ndo awe raisi do ndo tutauzwa na watoto wetu watanzania tuwe makini mie najua mtanisema lakini tahadhali
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 5 ай бұрын
60ml hela gani hiyo ... mbona hata kiwanja hupati.. hilo eneo....
@queenmollel6739
@queenmollel6739 5 ай бұрын
Si rahisi hivyo wenye hela watamsaidia
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
Hawa ni life shakers.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 5 ай бұрын
Nawapenda hawa watu. Wakipata fulsa wanazitumia
@officiatuga
@officiatuga 5 ай бұрын
Duh!!!
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 5 ай бұрын
Nimemsikiliza mwanasheria lakini kuna sehemu ameniacha... Baada ya kufanya due diligence na kujiridhisha kabisa kwamba mali za kampuni haziwezi kufidia deni mdai amerudi mahakamani kufile lift corporate vail request, hapa ameinyima nyama, kapita ju kwa juu akasepa...
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 5 ай бұрын
Sahihiiiii
@talents7934
@talents7934 5 ай бұрын
Nyumba inakamatwaje Waandishi kuweni makini na lugha yetu 😢😢😢
@abdallahlugongo4738
@abdallahlugongo4738 4 ай бұрын
Wewe mwanashelia mimi sijaelewa maana yako
@shabanmputa1817
@shabanmputa1817 5 ай бұрын
Mmmh
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 ай бұрын
Hapo mmechemka maana hiyo nyumba ni mali ya mtu binafsi (aliyekuwa Mkurugenzi) nasio mali ya kampuni ya Tanzania Daima.
@chire4574
@chire4574 5 ай бұрын
Wamefanya hivyo walipwe kirahisi..
@Hamy1109
@Hamy1109 5 ай бұрын
Mil 60 mbona ni pesa ndogo sana 😳
@alexyohana4708
@alexyohana4708 5 ай бұрын
Afu hi pia ulisha ongelea mwanza
@treyvissy9854
@treyvissy9854 5 ай бұрын
Nyumba inakamatwaje Sky 😂?
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 5 ай бұрын
Imekamatwa kwani inatembea?
@salitosofo5561
@salitosofo5561 5 ай бұрын
Nyumba inakamatwaje na haina miguu yani kiswahili chenu😅😅
@Zuu673
@Zuu673 5 ай бұрын
Imekamatwa 😂😂😂😂
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 4 ай бұрын
pesa ya madafu kwa familia ya mbowe tuta endelea kuwa penda chadema
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 5 ай бұрын
Kwani hapa shida nini?
@msabahaali758
@msabahaali758 4 ай бұрын
mbona yule musiba hajapigiwa mnada mali yake yy
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
KAMA NI HIVI MBONA SISI BOT 1993 HATUTENDEWI HAKI?
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 5 ай бұрын
SI mkastaki
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 5 ай бұрын
iko lokap ipi
@florencemeza6540
@florencemeza6540 5 ай бұрын
Saaafi wezi wakubwa wamepatikana haaaaaaa
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 5 ай бұрын
Utasubiri sana . Umaskin unatafuna sana AKILI.
@florencemeza6540
@florencemeza6540 4 ай бұрын
@@stephanomoses7694 limekuingia jambazi
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 5 ай бұрын
hawa watu wanavoandama watoto wa viongozi hujama ila hawatawezaaa
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
FANYE YOTE ILA NA ZENU TUTZIKAMATA SIKU MOJA
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 5 ай бұрын
Huko kwenye majukwaa ya kisiasa Baba yake anapambana akijinadi ni mtu wa haki kumbe ndani kwake hakuna haki mpaka watu wanaenda mahakamani why msiwalipe
@florencemeza6540
@florencemeza6540 5 ай бұрын
Ni hovyooooo hafai hàa kwa kulumangia
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 5 ай бұрын
Sisiemu is rotten I'm getting out of it.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 5 ай бұрын
Serikali yetu huwa inadaiwa mabillioni ya pesa mishahara baada ya watu kustaafu. Sijawahi kuona majengo ya serikali kupigwa minada.
@Commentsplus
@Commentsplus 5 ай бұрын
Serikali ni Tasisi sio Kampuni
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 5 ай бұрын
MAHAKAMA iliwahi ku kuamuru MALI za Shirika la umma ziuzwe MBONA hawatendi haki
@user-fr7jj1bo7y
@user-fr7jj1bo7y 5 ай бұрын
@@Commentsplus kwahiyo majengo yao hayauziki au ? wao wenyewe viongozi walizipiga nyumba za serikali bei na nyingine wakajiuzia wenyewe
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo 5 ай бұрын
Ko taasisi haiwez kushakiwa na mali zake kuuzwa sio?​@@Commentsplus
@user-bj6bs9do2f
@user-bj6bs9do2f 5 ай бұрын
Himekamatwa Boda Ya Namanga hikielekea Kenya 🤣🤣🤣
@iamthefarmerceo2316
@iamthefarmerceo2316 5 ай бұрын
Kaka naomba namba ya huyu mwanasheri ASAP
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 5 ай бұрын
Tunaomba haki itendeke.
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 5 ай бұрын
serikali ya ccm hujuma haimalizi
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 5 ай бұрын
Watu wadaiane mishahara. Tayari ccm.mbona hamuishiwi maneno kenge nyie
@user-ur7pw9ek6s
@user-ur7pw9ek6s 5 ай бұрын
​@@MaryMwamwezi-xm3iz😂😂😂🎉🎉🎉
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 5 ай бұрын
@@MaryMwamwezi-xm3iz huna akili unagongwa pUmb kenge wa bluu namanisha kwakua mtt wa mbowe nyumba inakamatwa ushawah sikia nyumba inakamatwa nguruwe mavi mbona sio mtt wa makamba kua na akili hizo fina mbwa koko
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 17 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 106 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
0:40
MrBeast
Рет қаралды 165 МЛН
ToRung short film: i sell watermelon🍉
0:38
ToRung
Рет қаралды 12 МЛН
Как мама ухаживает за мной VS гостями
0:50
Время горячей озвучки
Рет қаралды 3,2 МЛН