NYUMBA ZINAUZWA KIGAMBONI KISOTA BEI BILIONI 1 ENEO SQM 4200 KIWANJA KIMEPIMWA KINA APROVED

  Рет қаралды 12,352

DALALI MAIKO KIGAMBONI

DALALI MAIKO KIGAMBONI

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 2 ай бұрын
Mbona nyumba ya kawaida sana. Apartment au vyumba vya kupanga.
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@rkcomercialenterprises3209 nyumba ipo maeneo YA kisota kiwanja kisota square ni tsh 100,000 nahili ene lina square 4200 pamoja na nyumba 5 wapo watu wanamiliki kiwanja mwasonga anafananisha na kisota nivitu viwili tofauti boss karibu sana kisota kigamboni km 5 toka fell km 5 toka daraja la nyerere
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Hapo bei ni ghali mno
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 Ай бұрын
Maongezi yapo
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Hakuna uhalisia hapo.. sijaona mali ya 1b.. kuna jamaa yangu yuko Austria,nilimpa hii link.. tatizo letu hatusemi bei halisi..inawezekana hapo katikati ya biashara kuna vishoka kama 3 then imfikie mwenye mali + kodi za serikali
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@josephlorri431 apana kishoka wala kipanga samani ya kisota square mita moja ni laki 1 kwaiyo ENEO hili ni square 4200 pamoja na nyumba 5 ambapo nyumba kubwa ina vyumba v4 vitatu master sitting room dining room kitchen public toilet stor jiko lina makabati na APARTMENT zipo 4 ) tatu zina vyumba viwili viwili sitting room dining room kitchen public toilet moja ina chumba SEBULE NA JIKO
@RevocatusSebastian-c8o
@RevocatusSebastian-c8o 2 ай бұрын
Wauzie mafisadi
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@RevocatusSebastian-c8o nipe namba zao mafisadi
@straitnews3441
@straitnews3441 3 ай бұрын
Mhh
@NgasaLuhamba
@NgasaLuhamba 3 ай бұрын
Naomba hati nipo TAYARI kununua
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 3 ай бұрын
@@NgasaLuhamba 067428 5326
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 3 ай бұрын
@@NgasaLuhamba IPO
@eliudicharles4936
@eliudicharles4936 2 ай бұрын
Bro nipunguzie mi nichukue mjengo huoo nifugimo kk
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@eliudicharles4936 piga sm 067428 5326
@morjanoman5181
@morjanoman5181 2 ай бұрын
Kaka. Sahani wengine kuelewa kugumu iyo bei Sawa na milioni ngapi Mie sijasoma
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@morjanoman5181 nisawa na milioni elf 1000
@morjanoman5181
@morjanoman5181 2 ай бұрын
@@dalalimaikokigamboni4984 asante kwa kunielimisha tukiwapata wateja tutakuambia
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 2 ай бұрын
Ni milioni 1000
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@morjanoman5181 hii ni bilioni moja boss za kitanzania
@NgasaLuhamba
@NgasaLuhamba 3 ай бұрын
Weka namba
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 3 ай бұрын
067428 5326
@ephrahimmasiko9873
@ephrahimmasiko9873 2 ай бұрын
B unajenga kama hizo 4
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 Ай бұрын
Inategemea Kiwanja chako kipo wapi maeneo ya kisota kigamboni sqm 1 bei yake laki moja fikiri kabla ujatenda
@seneu.2128
@seneu.2128 2 ай бұрын
Bro nyumba na kiwanja havina uhalisia wa bei, overpricing kwenye real estate TZ ni tatizo kubwa sana hasa DSM
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@seneu.2128 hii ndio dar es salaam
@dalalimaikokigamboni4984
@dalalimaikokigamboni4984 2 ай бұрын
@@seneu.2128 tupe uwalisiya wewe
Balaa! Mvua kubwa Dar, tazama Jamaa alivyoitafuta Pikipiki yake kwenye maji
6:08
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 24 М.
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 81 МЛН
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIGAMBONI 0762505211
4:49
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 2,6 М.
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 25 М.
VIWANJA VILIVYOPIMWA DAR ES SALAAM NA PWANI
2:59
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 7 М.
KUMENOGA: MUONEKANO MPYA, BARABARA YA DAR - KIBAHA "MOROGORO ROAD"
7:21
Global TV Online
Рет қаралды 68 М.
21 October 2024
3:29
DALALI MAIKO KIGAMBONI
Рет қаралды 183
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34