VIWANJA VILIVYOPIMWA DAR ES SALAAM NA PWANI

  Рет қаралды 6,689

Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town

Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Dalali nimekupenda mcheshi sana inakuwa biashara ongera
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
Aminia
@halimakhamis2725
@halimakhamis2725 3 жыл бұрын
Kuzuli. Mwajasi. Dah. Nimepatamani
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Karibu njoo ntakupunguzia bei au nitakupa bonus ya kukuwekea bomba la maji
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 3 жыл бұрын
viwanja vya ukubwa gani
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
ft 40× 50
@ally2nyiii318
@ally2nyiii318 3 жыл бұрын
Dalali wew ktk mbilion 2 unakula bei gani ili nijipange mapemaaaaa
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Hakuna udalali ni mradi wetu boss labda omba kupunguziwa
@babasabangachanel7819
@babasabangachanel7819 3 жыл бұрын
vya milioni vipo
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
ndio vipo mkuu njoo ujipatie weekend hii kuna kiwanja kimoja cha laki saba wahi fursa
@halimakhamis2725
@halimakhamis2725 3 жыл бұрын
@@aisambestlandviwanjanyumba pow. Nntakutafuta. Kiludi. Nipo. Mbari. Naludi. MWEZI. Watano.
@faridamohamed4677
@faridamohamed4677 3 жыл бұрын
Namba ya sim
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
@@aisambestlandviwanjanyumba jamani viwanja vipo bado
@rahmamohammed7676
@rahmamohammed7676 2 жыл бұрын
nahitaji kiwanja cha milioni 1 je napata,na kinakua ukubwa kiasi gani
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Mi nahtaj jaman mawasiliano naomba
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Sawa karibu gusa hii link boss wa.me/message/YQV3GODTP2FKE1 Au nipigie simu 0747141871
@VbbsAaa
@VbbsAaa 5 ай бұрын
Vina patikana kisenvule tuu
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 3 жыл бұрын
Sura yako mbona huonyeshi??
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Wanaokuja viwanjani wananiona sana tena sana
@roseeliasi4339
@roseeliasi4339 3 жыл бұрын
Jamani anauza viwanja hauzi sura
@tumainimwanyonge1098
@tumainimwanyonge1098 3 жыл бұрын
Ukubwa gani m2
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
ni ft 40 kwa 50 boss
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
Awamu ngapi mnalipia
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Awam mbili hadi tatu
@jokahali9040
@jokahali9040 3 жыл бұрын
Mm siish huko naish nje ya nchi nawatakia karibu na mji kutoka hapo mpaka kariakoo ni masala mangapi
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Km 23
@happywillim579
@happywillim579 3 жыл бұрын
Unatoa maelez had raha sas unakwama wap mbon hujibu maswali yawatu🤔🤔
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Swali gani halijajibiwa??
@happymsaki1720
@happymsaki1720 3 жыл бұрын
Size ya viwanja dalali
@aisambestlandviwanjanyumba
@aisambestlandviwanjanyumba 3 жыл бұрын
Viwanja vinaanzia Sqm 200 na kuenedelea
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 жыл бұрын
Vipo sehemu gani hivi viwanja na naweza mtuma mtu kuja kuangalia ila nataka mbaka vielelezo vya serikali ya mtaa kma ni vya halali
Viwanja Vinavyouzwa Pembezoni mwa Mji wa Dar es Salaam - Fursa za Uwekezaji 2024
4:08
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 1,3 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Balaa! Mvua kubwa Dar, tazama Jamaa alivyoitafuta Pikipiki yake kwenye maji
6:08
Why living in Canada has become Impossible
17:01
Hindsight
Рет қаралды 6 МЛН
2 ème offre 20/20 n'a 22000$ okakoli
3:30
Mantumbu Tv
Рет қаралды 630
JIONEE VIWANJA VIZURI BEI NI ZAIDI YA KITONGA TSH. 750,000/= UJENGE NYUMBA YAKO!
3:44
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 1 М.
KIBAHA KWAMFIPA
1:55
REAL ESTATE TNZ
Рет қаралды 1,1 М.
Viwanja Vikindu: Nafuu na Malipo ya Awamu!
3:16
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Рет қаралды 861
MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA DART AWAMU YA TATU
5:49
DART TV
Рет қаралды 8 М.