NYUNDO YA BARUAN MUHUZA: Kaduguda aeleza siasa ilivyoharibu soka la Afrika Mashariki

  Рет қаралды 5,202

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Ni kiongozi wa zamani wa soka, aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Simba, pia akawa Katibu Mkuu wa FAT (sasa TFF) na kwa sasa ni mwalimu katika shule ya Sekondari, Jitegemee, ya Jijini dar es Salaam.
Anaitwa Mwina Kaduguda, mzaliwa wa mkoa wa Kigoma, ndiye aliyekuwa mgeni kwenye kipindi cha Alhamisi hii ya Septemba 6, 2018.
Afunguka kuhusu kilichompa jina la Simba wa Yuda huku akisisitiza kuwa hajutii licha ya kuwa kilileta tasiwra mbaya kwenye soka la Tanzania.
Asema yeye hawezi kuacha mke, huku akifafanua sababu “Mke wangu akitaka kuniacha kwenda kwa mwanaume mwingine, namruhusu”.
Akumbushia siasa za soka la Tanzania enzi za FAT wakati yeye akiwa kiongozi.
Afunguka kuhusu umahiri wake kweny ufundishaji wa somo la Kiingereza.
Aeleza jinsi alivyoichumba historia ya klabu ya Simba ikimchukua miaka saba kuandika kitabu maalum cha historia ya klabu hiyo.
Asema yeye ndiye aliyekifanya Chama cha Waandishi wa habari za Michezo (TASWA) kitambulike kimataifa licha ya kupigwa zengwe.
Kipindi cha Nyundo ya Baruan Muhuza ni kila Alhamisi saa 1:00 usiku, Azam Sports 2.

Пікірлер: 7
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 46 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 909 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
Afrika Magharibi kuwazidi Afrika Mashariki kwenye soka Ulaya, nini chanzo?
5:06
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 46 МЛН