KAKORE MCHAKACHUA GESI ARUSHA AKAMATWA NA MITUNGI MIA TATU, DC ALIMUWEKEA MTEGO

  Рет қаралды 75,906

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 255
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Kwa kweli hata hapa Dar tunapigwa vibaya mno. Mkuu wa Wilaya ya Arusha Hongera sana.
@upendosalimu2050
@upendosalimu2050 Ай бұрын
Yaan tunapigwa had bhas mm najaza gesi mara 2 Kwa mwezi jaman😢
@godfreypaul251
@godfreypaul251 Ай бұрын
Mwanzoni ilikua ukinunua unakaa mpka unasahau​@@upendosalimu2050
@FortunataNguma
@FortunataNguma Ай бұрын
Makampuni yote madukani hakuna Mizani kweli mnatuumiza sana watu wa chini
@heavenmramu7076
@heavenmramu7076 Ай бұрын
Tunakupongeza sana Mkuu kwa kazi nzuri.Tunaomba engine waited mgano hours.
@neemarimoy-bj9rd
@neemarimoy-bj9rd Ай бұрын
Mmmh hakuna mtej alielalamik Sasa mnamfunga ili
@gracekitila8776
@gracekitila8776 Ай бұрын
Asante mungu kutuonyesha mwizi wetu watoto wangu kila siku ni kugombezwa na baba yao wanatumia gesi vibaya kumbe tunaibiwa nimewatetea vibaya mnokuwa gesi inaisha yenyewe hawatumii vibaya kikoree popote ulipo uje uwaombe wanangu msamaha wametukanwa sana kumbe wewe ndiye chanzo za mwizi 40
@Amospius-r3y
@Amospius-r3y 18 күн бұрын
mungu ni mwema nani wa haki siku zote!
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Ай бұрын
The big thinker.....
@isayaamulike
@isayaamulike Ай бұрын
Jamaaa ana kitu huyo aendelezwe kamaa shujaa majaliwa😂😂
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi Ай бұрын
This is chagga og ogopa sna hi asili
@cbegram6161
@cbegram6161 Ай бұрын
@@MandoliiMoshini mpare
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi Ай бұрын
@@cbegram6161 we me enyewe n mshana tena wa marangu mton ko usinidanganye
@benjaminzakaria3356
@benjaminzakaria3356 Ай бұрын
Kwelii
@casiannyaki664
@casiannyaki664 Ай бұрын
True mkuu
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 Ай бұрын
Safi sana afungwe maisha. Mm nilishanunuaga gas kuiwasha wiki moja imeisha ..nikaanza kugombana na jirani kua kanibadilishia mtungi ndani akaniwekea wakwake ambao alishatumia mda😢
@shaniAlly-o1j
@shaniAlly-o1j Ай бұрын
Mh Asante sana Arusha hapafai ukinunua gesi haikai yaani na vijijini pia mpite kote ni shida
@mifxx88
@mifxx88 Ай бұрын
Unashindwa kukamata majiz makubwa yanayoibia mabilion serikalin unakuja kujitapa umefichua uovu… kwa kijana mdgo anaejitafuta… unazingua kiongoz tuambie umekamata mafisad tutakuelewa 😢😢😢
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 Ай бұрын
Inaonekana na 😢😢😢😅
@dorislema2465
@dorislema2465 21 күн бұрын
Majambazi ao wawekwe ndani kabisa wapigwe na fain ya kutosha,,anamuibiaje mwananchi anaeteseka na aya maisha yalivo magumu
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 29 күн бұрын
Wabongo bana mpaka gas inapgwa nyoka ni hatar sana
@mam_salum
@mam_salum Ай бұрын
Nikweli kabisa mkuu
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja Ай бұрын
Tulipo lidharau na kulikataa Azimio la Arusha kila mtu anataka kuwa tajiri kwa vile hataulizwa na mtu,hasa vijana wetu ndiyo wamekuwa matajiri.
@CharleskazimilyMajahasy
@CharleskazimilyMajahasy Ай бұрын
Kwan hiyo nyumba ikiripuka ni yako, serikali kukosa mapato si hayo mapato mnaiba tu, yaani serikali ya hovyo ndio maana sisi tunaona ni Sawa tu acha ajitaftie
@AminaMollel-cd9mb
@AminaMollel-cd9mb Ай бұрын
Kumbe unaweza kufanya kazi ya Ukuu wa Wilaya na Ukaiweza Ewura.....Yaan Una kofia mbili na wakubwa hawajui......Hongera Sana Mkuu wetu wa Wilaya
@cleophaceruta4961
@cleophaceruta4961 Ай бұрын
Elewa mkuu wa wilaya ndo kiongozi mkuu katika wilaya husika na anamwakilisha rais katika wilaya yake. Ewura ni shirika la umma tu kama TANESCO, kwahiyo mkuu wa wilaya ndo bosi wa wilaya hakuna mwingine wa kupinga maagizo au maelekezo yake!
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 29 күн бұрын
Watakuwepo weng Sana yaan hii Tanzania kwa shotkati ya maisha tunatsha
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 Ай бұрын
Hapa tutasikia wauza ges wote wawe na mizani na eura wataweka kamati ya maintenance ya mizani kila miezi kadhaa na tutalipa hela ya maintenance ila kama wanataka kusolve hakuna haja kwenda madukani wawachunguze wanao sambaza kabla ya watu wa maduka
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 10 күн бұрын
Kukomesha uo wizi lazima wafanye ivo mbona zamani kila muuzaji alikua na mzani,,, kama uyo muuzaji akishushiwa na msambazaji anachakachua ?! Kuwepo kwa mzani ni lazima
@dorislema2465
@dorislema2465 Ай бұрын
Kuna rafiki angu alichukua mtungi mkubwa week tuu ushaisha na alikua mzazi jmn,,akafungwe uyo jambaz maisha yenyewe magumu bado anatuibia
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 24 күн бұрын
Kama anapikia mitoei na mifupa ulitaka isiishe
@dorislema2465
@dorislema2465 21 күн бұрын
​@@shadrackkassale2968alipikia mapumbu yako yalikua ayaivi ndiyo maana iliwai kuisha
@HappinessPhilemon-c6d
@HappinessPhilemon-c6d 27 күн бұрын
Duuh yan mtoto wangu ndo umefanya ujinga huu,,,😢😢😢 so sad
@theamvungi1435
@theamvungi1435 20 күн бұрын
Daaah jamanih kama mimi natumia manjis yaani unaweza pika mboga, ugali siku kumi imeisha
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b Ай бұрын
Bora kabisa tunanunua ges elf 52 haidumu jmn haifik 👍
@shaniAlly-o1j
@shaniAlly-o1j Ай бұрын
Hongera Mh wananchi wanatedeka hali ni ngumu huyu ndio anafanya watu washindwe kutumia gas
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Ай бұрын
Kama kuna mtu kamwonea wivu kila atakachofanya kisifanikiwe. Lkn km kweli amefanya hujuma basi ahukumiwe kwa sheria na taratibu
@happymollel4690
@happymollel4690 8 күн бұрын
😢yaani jamn mnachotufanyia😢😢😢
@ShukurkollAngel
@ShukurkollAngel Ай бұрын
Ushauri mzuri sana huo. Ingefaa Serikali sasa isimamie kikamilifu tatizo hili.
@azariamarembo3653
@azariamarembo3653 Ай бұрын
Yani huyo jamaa mbunifu anajua kutafuta pesa sasa kama anajua kucheza na gesi nimekubali . Hajaiba cha mtu
@dyno4tz
@dyno4tz Ай бұрын
Misingi imeharibika mwenye HAKI atafanya nini???
@AbdallahArizona
@AbdallahArizona 28 күн бұрын
Nilijua mapema sana Kwenye gesi tunapigwa sana "Duka gani mtaani wana mizani?Hata akitumia kidogo akabakisha nani atamuuliza
@GraceMayo-wc8rt
@GraceMayo-wc8rt Ай бұрын
Dah rafik yangu kipenzi ndiyo umekuwa muhalifu 😢😢 mungu atusaidie
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t Ай бұрын
Maisha yanambadilisha mtu
@anethadam-p5u
@anethadam-p5u Ай бұрын
Yaan hat me bad siamini
@RosemaryLema-qp2df
@RosemaryLema-qp2df Ай бұрын
Sahv n bora kununua kampuni moja kwa moja tunaibiwa sana😭
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 10 күн бұрын
Makampuni inatakiwa waweke vigezo vya kua wakala wa kuuza gas lazima awepo na mzani wa kupimia lakini sikuizi watu wanauza tu ata bila mzani ndio mana tunaibiwa 😢😢😢
@Tg.7_7
@Tg.7_7 Ай бұрын
Dah! Kumbe tunagombana na wahudumu wetu wa majumbani kumbe kuna hii michezo dah😢
@joycemetili3876
@joycemetili3876 6 күн бұрын
Kakoreee!!!! Jamani mbona ungeweza tu kufanya biashara kwa uaminifu na ukafanikiwa?!
@anethadam-p5u
@anethadam-p5u Ай бұрын
Jaman kikoree wetu jaman😢😢😢😢waaah uwiii kwisha habar yako jaman ilikuwa ikifika jion duka lake linajaa
@davidlinus6940
@davidlinus6940 Ай бұрын
Mpaka DC nyie ewura wakala wa vipimo vp usingizi au
@EliaKotoroi-rv2uf
@EliaKotoroi-rv2uf Ай бұрын
Mh mkuu wa wilaya wako mapapa wakubwa wataalam wa kazi iyo Nikupongeze kwa kazi nzuri ila bado wako wengi sana
@sarahweston2708
@sarahweston2708 Ай бұрын
Hawa lazima wana connection mikoa yote watajane wote naamini Dar watakuwa 200 kati yao...tunaumia sana😢😢😢
@jenipharobert9694
@jenipharobert9694 Ай бұрын
Maskini mdogo wang kikoree ndo umekuwa hivi jaman😢😢😢😢
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 Ай бұрын
Kwa hali hii hata hapa Dar tunapigwa sana mm gas matumizi yangu hua ni siku 30 kabla sijahama kutoka nilikokuepo asaivi ni almost ni siku 20.Naomba hili zoezi lifanyike sehemu zote kwamba kila muuzaji awe na mizani
@calvin6445
@calvin6445 Ай бұрын
Hata mimi nimemuacha mke wangu kwa sababu ya gesi ..popote ulipo unisamehe rudi nyumbani mama
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Ай бұрын
Dah naona unaanza ku2fungua macho mkuu!! Mpuuz huyo ananeemeka na maisha akiumiza wananch
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 Ай бұрын
Ndo maana gas hazikai😢😢
@claragodwin-qv7id
@claragodwin-qv7id Ай бұрын
Maskn ndo ananiletega ges nyumbn kwangu, kama ni kwel alikosea na kama kuna wivu Mungu amsamehe
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Ай бұрын
Wivuuu, nyumba zinzlipuka kutwa na kuua unasema wivu, Hatari sana.
@eliaswegero2199
@eliaswegero2199 Ай бұрын
Siku hiz Madogo wanatak kuwa matajiri aya ndio wanasema legal issue huwez nunua Range rover aya endeleen kupiga illegal
@adveramwijage1229
@adveramwijage1229 Ай бұрын
Hongera aana mkuu wa wilaya.
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Ewura wanafuga vitambi tu ofisini mngepita kupima mitaani mngemkamata na sio mmoja
@merryMnken
@merryMnken Ай бұрын
unavofany sio vizur kikoree kumbuk na sis tunatafut hella kwajasho sasa 😂😂😂😂😂
@erickkamala
@erickkamala 29 күн бұрын
taarifa hii ni nzuri tunaomba mkamate na wale jamaa wanofanya biashara ya kuuza pesa bila vibali na kw riba kubwa wanauza lakimoja kwa therthini wengine mpaka hamsin kiukweli wanawaumiza watu wa chin mh raisi tunaomba hata Hilo uliangalie hawa watu wanawahujum wananchi wako
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 24 күн бұрын
Hata akitoa laki Kwa riba ya laki kwani kakuita??
@ElinahStephano
@ElinahStephano Ай бұрын
Wapo wengi sana tunananunua mtungi ujazj syo sawa
@RomanusBussa-g7q
@RomanusBussa-g7q Ай бұрын
Morogoro nayo muje wanaokubaliana mawazo langu ebu like hapa ❤
@geraldadolf4928
@geraldadolf4928 Ай бұрын
Wakala wa vipimo hawana inteligencia ya kuwashtukiza wauzaji wa gesi hili ndilo eneo linaloumiza watanzania
@Safariking2010
@Safariking2010 11 күн бұрын
Huyu ametufedhehesha muda mrefu naomba achukuliwe hatua kali sana!
@mbaruksaid5775
@mbaruksaid5775 Ай бұрын
Kweli kabisaaa👏👏👏
@BARAKA-ns3jv
@BARAKA-ns3jv Ай бұрын
Mlivyoandika kakobe nilidhani mzee wetu wa hapa mjini Dar ,miladii kuwa makini na kichwa Cha habari
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu Ай бұрын
Kwa iyo mnatuambia sis wananchi tufanye nin kama nyiny wenyew mmeshindwa kusimamia, mnanikera kwel
@HappynessLukumay
@HappynessLukumay 24 күн бұрын
Jamani sikia yaani nimekua hata naogopa kusema gas imeisha. Maana swali linalofuata baadae ya kusema ni kwamba, gas imenunuliwa lini? Naomba ikiwezekana Kila wakala wa gas awe na mizani tuhakiki tunachonunua. Watanzania wanaweka jitihada sana kwenye wizi.
@joycekweka5416
@joycekweka5416 Ай бұрын
Ahsante mungu umesikia kilio changu
@KoleYasini
@KoleYasini Ай бұрын
Wanatupiga sana ata Dar..
@ShedrackmartinBalama
@ShedrackmartinBalama 21 күн бұрын
Ndio maana gesi huwa inawahi kuisha😢😢😢😢😮
@DominicaDamianTuseko
@DominicaDamianTuseko Ай бұрын
Anapunguza ujazo bei ileile 58,000. Jamani dhambi kubwa sana.
@erickkamala
@erickkamala 29 күн бұрын
kwanza huyo meneja akamatwe kabla ya mtuhumiwa hao ewura ndo wanahusika unakuta hiyo mitungi ni yakwake huyo meneja
@willyjulius7740
@willyjulius7740 Ай бұрын
Katoa wapi sili, na umenunua mtungi mkubwa kugawanya ndo maisha
@Selestinabenedict
@Selestinabenedict 25 күн бұрын
Huyu ashugulikiwe kikamilifu ametunyonya sana iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari Ай бұрын
Aiseee kumbe. Ndio maana unajujua gas siku 25 tu gas kwisha
@irhamseif
@irhamseif Ай бұрын
Kabisa tena unakuta up iki mara kwa mara
@JoyceLuhasha
@JoyceLuhasha Ай бұрын
Mimi nina mtungi wa ges kilo 30.9 lakini wiki moja gesi imeisha😭😭Hapa nimeelewa mchezo🙏🙏🙏
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo Ай бұрын
Hata Mimi nilisha uziwa gesi nusu nikashituka nikamwambia muuzaj bila kupima kwa mzani sichukui tulipo pma kilo 15 tulikuta 13.8 Hawa wauzaji anapikia gesi wiki 1 hadi2 alafu anabandika kifuniko ana funika kama mpya vile sasa hvi Niko majini sana nanunua sehem yenye mizani selikari itusaidie wauzaji wages wengi wezi na mizani hawana
@willyjulius7740
@willyjulius7740 Ай бұрын
Unadhani tutaishije Acha zako
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Ай бұрын
​@@willyjulius7740 Ndo uibe ?. Acha tamaa za kijinga
@rashidjumanne5798
@rashidjumanne5798 Ай бұрын
​@willyjulius7740👊👊👊😡😡😡
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Arusha mkoa wenye viongozi wanaowajali wananchi...ni mfano wa kuigwa
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Ай бұрын
Hiki kitu hata mimi nilishawaza muda. Gas haimalizi hata mwezi. Eee Mwenyezi Mungu hatimae leo zimetimia
@JaneWalter-m7l
@JaneWalter-m7l Ай бұрын
Ilishanitokea nimenunua gesi kubwa siku nne imeisha niligombana sana na muuzagi bila mafanikio ni dhambi kubwa sana hela yenyewe nimecheka kibati mwezi mzima wako wengi viongozi tusaidieni
@anne7093
@anne7093 Ай бұрын
Kwa kweli wananchi tunaibiwa unanunua kesi ahimalizi at wiki mbili, tuzaidieni kwa wauzaji sasa ili Kila muuzaji awe na mizani
@saddiqsaddiq6880
@saddiqsaddiq6880 Ай бұрын
Muhishimiwa hongera mizani ni kitu chema
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Hii kitu hata hapa dsm wasambazaji wa gace wawe wanakaguliwa , siyo baadae mnaanza kukagua madukani hiyo itakuwa si sawa. Kagueni ktk vigari vinavyosambaza mnaweza kukuta madudu.
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 Ай бұрын
Na dukani wakiwa wanachakachuwa je?? WAPITE PK MADUKANI
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
@@ramadhaniabdulkadry288 Nimesema hivyo kwa sababu mtu wa dukani anauza rejareja na watu wa magari ndiyo wanaosambaza humo. Wakibanwa wao madukani wataleta kipimo sahihi.
@graceaugustino3289
@graceaugustino3289 Ай бұрын
Dah dogo hapa kaniletea gas week iliyopita na anapambana na maendelea chap kwy kuosha magari tu hapo alipo....maendeleo ya chap chap yamemgharimu
@glorykulley4338
@glorykulley4338 Ай бұрын
Niko kisongo nishanunua sana hizo feki kwanza sildi zake ni feki hata hazibani.
@exodusmgohachi1733
@exodusmgohachi1733 Ай бұрын
Hebu watembee hata dar waone mitungi midogo inavyoisha Kwa siku 3 ambapo mwanzo ulikuwa unaweza kutumia mwezi mzima
@AvitusAvitusAlphonce
@AvitusAvitusAlphonce Ай бұрын
Wakara wavipimo awakagui Kira wakati, sio genius tu, vyuma, bati , Avifiki mirimita, mawqkara walifanyie kazi viwanda vyanfani vitaharibika
@elevenmeela8713
@elevenmeela8713 Ай бұрын
Mbona Moshi wakuu wa mikoa hawafutiliaji kwenye gesi Moshi tunapigwa sana
@ricksonrickson2676
@ricksonrickson2676 Ай бұрын
Kuanzia leo natafuta mzani wangu private nikienda kununua Gas. Wezi wakubwa hawa, nilishapikwa mara moja mm.
@azizaj776
@azizaj776 Ай бұрын
Menega Eura unafanya kazı gani ??????? Mpaka mkuu wa wilaya ndiyo akamate wewe kazi yako nini ?????? Kula Bata tu kusubiri mwisho wa mwezi ⁉️⁉️⁉️⁉️
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Ай бұрын
Congratulations hon,Dc clever man.
@josephkatucha8739
@josephkatucha8739 Ай бұрын
Wanachakachua mpaka hiyo mizani/ huku tanga kuna sehemu ukibadilisha mtungi wa gesi ndogo ni wiki4 Wakati maeneo mengine unatumia wiki 10 Hadi 12,Ubane matumiz usibane
@HamisiHemediWaguga
@HamisiHemediWaguga Ай бұрын
Kweli wafanyabiashara matapeli wanarudisha mandeleo nyuma mno inafaaa waadhibiwe mara wapi bainika
@nkenemalulu1330
@nkenemalulu1330 Ай бұрын
Shida hii ya uchakachuaji ipo Dodoma ni kubwa mno, gesi mtungi mdogo unatumia wiki moja na nusu.
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Ай бұрын
yupo sawa mwezesheni tu mpe.elimu mchukue nyupo vizuli huyo ninjinia shida badae msaidie
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi Ай бұрын
wachaga oyeeee
@tivahtheboss8634
@tivahtheboss8634 Ай бұрын
Oyeeee😂😂😂😂
@peterpaschal4522
@peterpaschal4522 Ай бұрын
Jamaa wamemfanya maskini😢
@ericosambi2736
@ericosambi2736 Ай бұрын
Ni wa kuflisii huyoo niliwahii nunua wa 14kg walaii hataa mwezii haiku malizaa tokeaa sikuu hiyoo bilaa mizani nomaa
@exprodigitaltechtv5571
@exprodigitaltechtv5571 10 күн бұрын
Mnatumia nguvu nyingi kukamata dagaaa ila mapapa wanapiga kodi zenu kimya tu
@edwardkagombora3782
@edwardkagombora3782 Ай бұрын
Hata mimi imeishanikuta mama watoto aka anza kumgombeza mfanyakazi kwamba ameuza gesi au amekuwa akitumia hovyo
@AvitusAvitusAlphonce
@AvitusAvitusAlphonce Ай бұрын
Sio ges Oili za magali watu wanajitengenezea hinjini zimesha kufa
@JackobKyaro-zi7uj
@JackobKyaro-zi7uj Ай бұрын
Wauza gas wapitiwe wote hadi vijijin maana ni shida Sana kumbe ndo maana nyumbani inaisha haraka gas ,na Kuna wachakachuaj nao watapatikana kuiharibu mizani tunaomba wasimamiaji wakague Mara kwa Mara na bei elekezi iwepo Asante Sana ubarikiwe Sana kwa kuliona hili
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
TATIZO HAO WAPI MAJINI WETU NAO WAKISHAPEWA MADARAKA, KAZI YAO NI KUVAA MAKOTI YA MITUMBA , NA KUNINGIA TUU KWENYE VITI MAOFISINI. SASA WE FIKILIA MPAKA MKUU WA WILAYA ANAKAMATA HUYO MTU, LAKINI HAO WATU WA VIPIMO VYA GASI HAWANA HABARI. NA UMEMSIKIA HAPO ETI ATATUMA TIM YAKE.😂😂😂😂😂😂😂
@EinothMotika
@EinothMotika Ай бұрын
Yaani tapeli sana huyu tumeshalalamika sana juu ya gasi kuwa siku hizi hutumii hata wiki mbili
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 Ай бұрын
Ndio maana Kuna. Siku unanunua. Gesi inashaapema sana
@AngeGemima-k2j
@AngeGemima-k2j Ай бұрын
Des Alouettes de personnes 😅😅😢
@samiraabdimahamed4449
@samiraabdimahamed4449 Ай бұрын
Nao waizi wenzenu serikalini mnawatekaje ???? Msojifanye nyie ndio waizi maarufu tena wa mamilion kama SiO mabilion
@mukolwenyinankoko5837
@mukolwenyinankoko5837 Ай бұрын
Mkuu nakupa hongera sana. Hakika unatutetea wanyonge. HONGERA.
@AnnaUrio-x1b
@AnnaUrio-x1b Ай бұрын
Mimi mtungi elf 52000 miez 2 tu tena natumia kuni lkn w
@JamesNgala-g3c
@JamesNgala-g3c Ай бұрын
Kilicho na mwanzo kakikosi mwisho.
@MwajabuShabani-p2f
@MwajabuShabani-p2f Ай бұрын
Huku mitaani tunabadilishiwa tu hatupimiwi isitoshe hata wakiweka hiyo mizani wanaweza wakatuongopea sababu hatuna uelewa wa mizani
@sunaybrajabu238
@sunaybrajabu238 Ай бұрын
Mpuuzi huyu ndo mana watu analalamika gas hazikai, Tia ndani chenjeu huyo
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 115 МЛН
風船をキャッチしろ!🎈 Balloon catch Challenges
00:57
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 99 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 6 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 79 МЛН
Новости дня | 26 ноября - дневной выпуск
11:50
Euronews по-русски
Рет қаралды 23 М.
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45