Ata sisi chvs mombasa twapewa kazi za mitaani na count pesa yetu wakula wao aki mombasa ufisandi umezindi this is serious hospital Coast haina madawa kabisa twauliza Nhlf ni zakazi gani twalipia nini aibu sana
@dominicenonda76082 жыл бұрын
Kweli kabisa tumewazoa ni watu wa mawe
@oscaresther21282 жыл бұрын
Wapashe kabisa. Ninapenda vile huwa unachambua mambo.
@salimkarama93542 жыл бұрын
budaa wewe ni kiboko yao wallh unimaliza well said 👍🤣🤣🤣🤣🤣
@kadoditsa38052 жыл бұрын
Safii Sanaa... hii ndio nilikuwaa nacubiriii
@isaackimani38112 жыл бұрын
Wabie kabisa
@osamamustafa16972 жыл бұрын
Swadakta !Mwenye umesema kweli
@debabaz81372 жыл бұрын
😁😁 Uko Juu Dkt Amkeni
@danielarapmoi30412 жыл бұрын
kweli governor umeongea watu hawaongei ya maana issue hii ya abduswamad imekua ndio gumzo kila mmoja. dr amkeni kuja msa hii ndio wakati sahihi my governor
@abdulhakimhasan76732 жыл бұрын
Msimamo wa Pwani imara .
@Busia2542 жыл бұрын
Anafaa kuchapwa. Tulimkataza kuwa kibaraka wa joho lakini hakuskia
@fatmamohamed2732 жыл бұрын
Wallahi abdusamad hafai kabisa nijama zao tu.
@b.truthful2 жыл бұрын
Wapigane ila UDA hamna tumeerevuka
@ruwaidahadi71982 жыл бұрын
Well said he was not the voice for the people
@wakeshoemma43792 жыл бұрын
Watapigana sana, Kwa mambo Yao mabaya yanayo wafanyia watu wa Mombasa
@omarnzaro312 жыл бұрын
Tunahuzunika kwa bei za vyakula hatuhuzuniki na kukejeliwa Abdhulswamad mbele za watu na bado.
@bakarinyamawi5612 жыл бұрын
Nimekusubiri sana upost hii video coz tulijionea
@abubakarhassan21702 жыл бұрын
Huo ni unafik na raila atakua rais wa kenya, wacha uchochezi. amkeni.
@Busia2542 жыл бұрын
Alikuwa wapi wakati watu wa Mombasa wakidhulumiwa
@hayfa7232 жыл бұрын
Wote waizi hawa vitu vimepanda wanachi wanaumia lakini watu ea kenya wanapenda kuonewa wanpebda unyayasi
@ibarhimsalmin56112 жыл бұрын
A.a.ni kijina kutoka palepale tononoka.yeye kazi yake anafanya kazi ya kuosha magari pale tononoka.maskini Allah amuweke mahali pema peponi
@mohamednasir10812 жыл бұрын
Ameen, Mungu atawatosha
@bahrujbaura80422 жыл бұрын
Lakini Sisi wpwani sijui tuna laana gani mwenzetu kauwawa na bodyguard wa Raila alafu tukaenda tononoka kumsherehekea!
@mbarakjabry76342 жыл бұрын
Yaskitisha sana wallahy
@sarahbaby92612 жыл бұрын
hamna mtu alokwenda wa coast... waliletwa kutoka bara
@Sai.Mo692 жыл бұрын
Wa Coasti wana laana kwa sababu wamemshau Allahswt. Kila moja ana kimbilia cheo, na hajali kama atam kanyaga mwenzake kicha, kufikilia hilo cheo! GREED thupu! Na hii example ya kuwa Greedy at all cost, hii ime setiwa na kina Joho, ASamad, Shabaan, etc, mpaka Miraa inaletwa kuwa drug watoto, ili mchana Vijana wawe wame lala, halafu Maovu zatendwa na kinaJoho! Laana! All this chaos has been brought about by Raila, when he introduced the SPLITTING of Kenya into 42 GOVERNATES, to be ruled by 42 Gangsters known as 'Governors'! This is what the issue is. When Wazungus convinced the 'Yes Man' Raila to agree to divide Kenya into 42 PIECES. Further to this splitting, NOW everyone is fighting for their own piece of the BIGGER Piece knwon as the COUNTY! SIMPLE CHAOS! The only way to stop all this GREEDY infighting, isforthe people of KENYA to come together and CAMPAIGN for the ABOLISHMENT of these GOVERNATES and their Governor thieves! Otherwise Kenya will IMPLODE when these Gangsters have milked KENYA dry! I warn you, we will end up like Zimbabwe, where the Shilling will be worthless! Already the Shilling is creeping UPWARDS, towards Oblivian! ABOLISH the Governate NOW! These 42+42 Governors will ALL runaway abroad, when theshit hits the fan, and will leave the ordinary Kenyans to kill each other for Food, once Kenya turns intoZimbabwe!
@chozilasamaki54732 жыл бұрын
MCHANA KWEUPEE kijana wa watu anapigwa mpaka kufa! 😭😭😭😭 na watu na wafuwasi wa odm kimyaa? Inaliza inasikitisha kwa kuwa ni mtoto wa masikini. Ndio nasema hiki chama cha ONGEZEA DHIKI MPWANI O D M HAKIFAI
@kadoditsa38052 жыл бұрын
Hahahaha.... Sarai ni nani etyyyy???..Hahahaha
@adilihassan84552 жыл бұрын
Malpo ni hapa dunian,laanatullahi ,mkate xx sh60,unga 130,gas1600 ,Hali mbay wtu wanaknywa uji xx,hawafai hawa
@ruu65922 жыл бұрын
Naulimkataza asifatane na joho akusikia ulimkataza apa sija sahau
@mwanaishakhamis80692 жыл бұрын
👏👏👏
@aliyaahswaleh57052 жыл бұрын
Dr huyu kijana niwa tononoka maskini ameuliwa na azimio la ushuzi
@alyhassan64162 жыл бұрын
Sarai he's not a man Plz king wetu dnt waste time na Hao HAO NI KWELI MABWEGE
@abdulhakimmohammed45282 жыл бұрын
Really 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👊
@sammureithi30552 жыл бұрын
Watafuta kiki apate kura
@omarnzaro312 жыл бұрын
Wewe unatafuta nini? Yeye anatafuta kuongoza watu wa Mombasa kama huelewi tembeza kiatu
@hassanalhussein39822 жыл бұрын
Shughulika na ya kwenu central ya pwani hayakuhusu mkikuyu. Punda wa Bara wewe. Pwani si Kenya tokeni murudi kwenu.
@viva00152 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 that is bad. Mimi ni mpwani but i don't agree with you. We are all humans in front of Allah
@hassanalhussein39822 жыл бұрын
@@viva0015 Kila MTU ana Kwao. Pwani ni ya wapwani. Pwani si Kenya.
@viva00152 жыл бұрын
@@hassanalhussein3982 ndio tunaelewa vizuri lakini usiite binadamu wenzako punda. You cannot change anything
@tonygee56802 жыл бұрын
Doctor Amkeni nilisema hivyo hivyo sooo wot?
@nyapetegath4092 жыл бұрын
YAANI, UNAKAMPENIA AISHA JUMWA? BWEGE KWELI
@munibrishad72372 жыл бұрын
Sarai tumbo karaiii
@baddsmadafakaah42452 жыл бұрын
Bwege tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ruwaidahadi71982 жыл бұрын
So what
@Sai.Mo692 жыл бұрын
Dr Amkeni, please note: " amani ya Bwana iwejuu yenu" is NOT in the bible! This is the greeting that is in the Bible: "amani ya Mungu iwe juu yenu", or Asalaamu Alaikum! So, please Stop saying the wrong greeting. Wewe pia ni 'Bwana'.
@artisthusnatalal30992 жыл бұрын
I think he means Amani ya bwana mtume
@omarshariff44172 жыл бұрын
Ww una chuki zako usitusumbue hon abduswamad kuh madaktari yeye ndo alizungumza nao wasigome kuhusu Barabara yy pia alizungumza na tawfik balala wacha chuki zako wala huna Imani na watu wa msa
@cabbeyaden51632 жыл бұрын
Raila odinga president 2022 inshallah
@sarawaweru76642 жыл бұрын
Ruuuuuuto tosha
@teddyoscar68762 жыл бұрын
Huyu nae mxiiiiiiiiuu kwenda huko
@swabrisoud73072 жыл бұрын
Wacha fitna zile nyumba za bakstan walikua wamerithishwa. Uliambiwa na nani umuonae imani. Wacha kutukana watu