TUPIA COMMENT YAKO UNIAMBIE NANI KALIFUNIKA HILI BEAT
@theartainment10 ай бұрын
Najua Khaligraph ashainyonga hili beat! Much love from KE.
@jacksonmwangi530510 ай бұрын
KHalifunika it's!!! 😅 #RespectheOGs 🇰🇪
@Nomaboytz10 ай бұрын
Staminaaa
@officialbrownsteve10 ай бұрын
My lovely sister nandy ❤️🔥😍🥰🦋
@prof.picuchkin277410 ай бұрын
Khaligraph
@RICHYHANIELTV10 ай бұрын
KHALIGRAPH JONES HAS THE BEST VERSE HANDS DOWN🔥🔥🔥🔥🔥
@felixsaruni30410 ай бұрын
Huko Dah wanamuogopa Omollo🔥
@siraji2310 ай бұрын
OG ni OG na OG ni mmoja 😂
@frankiemclean10 ай бұрын
And Stamina comes 2nd
@nicolewilliam10 ай бұрын
Manze🔥
@steve0kenya2410 ай бұрын
But amekimbia kuliko beat
@samueldzombo962610 ай бұрын
Wapi maua ya Khaligraph Jones,wakenya wenzangu.Bonyeza like hapo.
@JanetKimenye10 ай бұрын
Khali hapendi utoto
@Rahmamusic-pw6ek10 ай бұрын
Ausio 💪🇰🇪🇸🇦
@breymbasa345110 ай бұрын
Mi mbongo ila khali, na moni& stamina wameua
@cmp72110 ай бұрын
Kaligraph killed it🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@cmp72110 ай бұрын
Mbogi ya kaligraph 🎉nomaaa sanaa254
@kiprotichkelvin114710 ай бұрын
Wapi likes ya OG. yeye akishika mic awezi disappoint.. Kenya hoyee🇰🇪🇰🇪
@princeAtiavira10 ай бұрын
Oyeeeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bryannyams6 ай бұрын
Khaligraph Jones is something we MUST protect Kenyans!
@CateGk-wv5dp5 ай бұрын
Hii collabo ingefaa kuwa watu wawili tu...Jones na one of the ladies kama unakubali gotha apa
@E-wabwireАй бұрын
OG killed it
@anithamsaki204010 ай бұрын
Jamniii wale wa rosaree na stamina mko wapiii full respect kwao😊
@Elisha_dee10 ай бұрын
Hvi mmemskia g,nako alivofungua hlo beat kama og appreciate G.nako umetisha gonga like kama tupo pamoja...
@brunorichardphocus13679 ай бұрын
G ameua sana
@feristerkyando18279 ай бұрын
G ni hatar kanogeshaaa ❤🎉
@josephmcha69789 ай бұрын
Kaua kamaliza
@moya_moya19 ай бұрын
I wish ingeishia Kwa g nako tu ingetosha
@jonnesmutua25459 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Mkadinally0410 ай бұрын
I viewed this again sababu ya Khaligraph jones❤🎉wapi likes za OG
@BayanoRas5 ай бұрын
One of my favorite song 🎶🎶 kwanza hio rap ya Rose Ree na KHALIGRAPH JONE🔥🔥🔥 Gothaa Tena👊👊👊😍
@Barohkenyah10 ай бұрын
Napenda part ya Rosa Ree na Khali naiweka on repeat always.. Rosa Ree ameweza sana, Khaligraph OG carried the day his verse gives an international vibe🎉
@chrispinusyengo465310 ай бұрын
Ya Kizazi sana
@sebastianmmasa516310 ай бұрын
Stamina ndiyo best kwenye hii lakini best line ni ya John Makini. Khali okay na Rosa okay lakini stamina kaua
@brigidjerop4110 ай бұрын
Same ❤
@msafirisanga736110 ай бұрын
Anaesema GNako kaua like ziwe nyingi
@jaekygraphy10 ай бұрын
Khaligraph Na Stamina, Moni Wapi Likes Zao 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mkenya mgani anaskiza during this madaraka,piga hiyo like
@wilbansalu57609 ай бұрын
Khali🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@lochaboy10 ай бұрын
OG baba Laoooo❤❤kutoka Kenya naomba likes za king OG
@selemanimfinanga127110 ай бұрын
G nako katisha kinoma
@SportfixafricaTv9 ай бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪 naomba like zangu Tanzania 🇹🇿 kwa OG
@sarahomary-u3s9 ай бұрын
@RAMSEYDJJJ10 ай бұрын
Oya wanangu sama unamkumbali stamina tia like yako 🇨🇩
@TIGERSHIROVERTHIAGOMUKAHERSNIP10 ай бұрын
🇨🇩 kivu beni tuko , yani stamina hajawaii tuangushaka kila akiimba lazima tuu ashinde ule ni mkali sana .
@gracekennyy30788 ай бұрын
Stamina killed it
@adecasramadhani63478 ай бұрын
na mkubali sana MR stagna 💯
@bettymyles398910 ай бұрын
Rosaree,Khaligraph na Stamina wapi likes zao🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elfacenyarandi10 ай бұрын
Nikama beef iliisha😂
@bettymyles398910 ай бұрын
@@elfacenyarandi ndio naona ni kama iliisha
@johnnchora321510 ай бұрын
Kama Mimi umejuaje
@jamalmullerjordan10 ай бұрын
@@elfacenyarandiKwani walikua n beef?
@nassercurtis957910 ай бұрын
Hapakuwahi kuwa na beef mbona acheni ushamba basi, hii ni biashara mjue hata ukiteleza mdomo unatererekea hapo hapo. Na mchizi G aliweka wazi swma tu visokonoko wakapitia upepo wao haya sasa wako wapi huh! Watoe na wao nyimbo zao woote ma under dog tuwaone tena. Maana tutaendelea kumuona khal G, Rozaree, stamina wakiendelea na safari yao, haya waliodandia train warudi kivyao sasa.
@johnbarasa740010 ай бұрын
Sjatoa dar but natambua vichochoro na nikikuja dar sinikufikishe moro mi najua uko dar wanaogopa omolo but nkikupata dar girl you know whats gonna follow…🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪wapi likes za papa jones…. OG
@Director_Xylem10 ай бұрын
Mzitoo 🔥🔥
@bachrimaseven504910 ай бұрын
Nmeichukua
@CatherineNzeki10 ай бұрын
OG ameua
@jayclassic_ke10 ай бұрын
Kijana mubayaaa huyo
@chelahkenyah359610 ай бұрын
Og
@DjkrafaKrafa6 ай бұрын
Og fr 2:17 om Kenya andy Africa rapper anguka nayo ni like hapa ni djkrafa from Nairobi Kenya ❤
@Hamisi846510 ай бұрын
Here for OG🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Ebu tuonyeshe watanzania uwe wa kuchana na kuimba kwa likes za OG hapo chini
@arnodcalist61610 ай бұрын
Ss Og anatoka wapi huku nyie muziki yenyu imewashinda mmebaki tu kucompare na za tz hebu wacheni upuzi
@rajbrown2510 ай бұрын
OG
@lameckmangwenje266410 ай бұрын
@@arnodcalist616chuki yko itakumaliza mwenyewe OG aliweza
@ONETIMEHAPPENINGS10 ай бұрын
@@arnodcalist616Black men dont cheat .Aint a lie kenyans ndo tunawalisha kiyoutube if we stop ur artist gonna starve
@wilsonpeter-ri9ep10 ай бұрын
OG
@erickakhenda152810 ай бұрын
Hii hapa kenya tumefunika 😅😅 big up OG nipe like za papa Jones kama unamkubali🔥🔥
@lakasid386010 ай бұрын
Kwan mlikuwa mnashindana na nan? Nahakuna mlichofunika 🚮
@GALADIYETA8 ай бұрын
Watoto wa Rwanda muko wapi?? Nataka tuonyeshe wasani wetu from Kenya na Tanzania so much love for this excellent product. 🔥🔥... My dream is to see Khaligraph jones and King Kimozera in one track. EAST AFRICA REGION MUSIC TO THE WORLD. 🌎🤜🤛
@mohdkams558210 ай бұрын
Kutoka DRC congo naomba like za Rosa ree na Stamina
@userwarawara11210 ай бұрын
Mimi ni mtanzania 🇹🇿 ila humu ndani wote wamefanya kaz nzuri yan wameikalisha biti poa sana ....kwa yeyote anaye jua mziki mzuri hapo lazima ashindwe kuchanganua nani ni the best kwenye hii biti.....tuacheni utaifa ....ndugu zangu wakenya 🇰🇪 Utaifa utawaumbua....sometimes utaifa na ushabiki wekeni pembeni kwenye uchambuzi wa kazi nzuri kama hiii.......Big up East African musicians
@bestwriter-km6oz10 ай бұрын
tueleze kwa kingereza sasa
@kendabwoy199710 ай бұрын
Bro ukweli tu kaligraph Jones ameua hamna Cha ubinafsi ukweli usemwe bwana
@Kilifikeed10 ай бұрын
@@bestwriter-km6ozmkuu cheza chini
@userwarawara11210 ай бұрын
Kingereza siy lugha yangu brah...japo hapa nilipo ninaishui poa sana na ninategea watalii...bud @@bestwriter-km6oz
@userwarawara11210 ай бұрын
@bestwriter-km6oz we are not in debate bruz.....siishi Tz na nina ishi ndani ya iyo English ambayo unahisi kwamba unaijua sana......bt Am proudly to speak my Swahili language boss
@fasterwalker146410 ай бұрын
Gnako Kama kawaida yake kwenye kolabo hua anatisha kama Jini 👇
@martingitahi651010 ай бұрын
For sure
@miliahwanyonyi213110 ай бұрын
Khaligraph Jones all the way
@clintonnasib707910 ай бұрын
Og❤@@miliahwanyonyi2131
@kikilucy458410 ай бұрын
G nako🔥🔥
@Mta_b_whizy10 ай бұрын
Walaaaaaa
@WilfredKakabroАй бұрын
Ata huko Dar wana mwogopa Omolo🎉🎉🎉🎉
@Godfry-du1wq10 ай бұрын
Khaligraph akona bonge la Verse,wapi likes wakenya 🎉✅
@dennoh_phennal575410 ай бұрын
This is a banger,,Kenyans let's gather here for our own Khaligraph Jones🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Ruthkaloki49910 ай бұрын
Khaligraph Jones all the way ❤❤❤❤❤🇰🇪
@elfacenyarandi10 ай бұрын
The OG
@lameckkamugisha888710 ай бұрын
Ila Khaligraph anajua kwenda na bit Yuko vzr japo Bongo ni mwisho wa matatizo
@termoshmediahouse10 ай бұрын
Og
@ogslyly618110 ай бұрын
Tuko hapa papa Jones oiyeee
@Crazysugark.e10 ай бұрын
Khaligraph Jones representing Kenya world wide 😊 proud to be a Kenyan
@raysinyati73882 ай бұрын
Nandy needs a crown..this song hits differenttly alongside kiba,Rosa..khaki and stamina finishing the missiles rap....waooh
@DanifordShedrackAmosi9 ай бұрын
Rosa ree kauwaaa ❤❤❤
@carloswekesa25410 ай бұрын
Kaligraph and Stamina......Kenya to the world.
@2116-n10 ай бұрын
G-nako G-nako, G-nako G-nako, G-nako G-nako🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@AyubuJames-yl3wl10 ай бұрын
Gnako kaua
@2116-n10 ай бұрын
@@AyubuJames-yl3wl saaaaaana
@AzizaJeje-jd1go9 ай бұрын
😮😅 0:00 @@2116-n
@samcosimiyu52127 ай бұрын
Nyama yangu shida nini kui marinate ❤❤❤❤❤ Joh Makini ~~~~
@neemamarco-kk7ey10 ай бұрын
Rosa Ree katisha jamani❤❤
@Danielokode10 ай бұрын
Kenya our guy the OG Ako let's load🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 respect the OG khaligraph Jones🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sikiliza mpaka penye utamsikia chito❤🇰🇪to the world OG wapi likes
@lilianMurugi-el9ts4 ай бұрын
Rosa Ree all the way. Love your rhymes mah.....mlete tumle wote Tu!
@JeffLuchivyiah10 ай бұрын
Kila Mtu kaitendea haki Ngoma, Nandy huu ni mwaka wake jameni!! Much love from Kenya.
@adilihamisi764010 ай бұрын
RESPECT THE OG, ameua sna wpi likes za wenzang wa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@djsilverkenya10 ай бұрын
Og alisema lazima bongo rap ifufuke 💯👍💯💯☑️
@cbegram616110 ай бұрын
Nani anamvalisha kali cartel kiukweli, maana da😢😢 machalii hapo wote wamekula code kinyama. Si angemuomba hata vunjabei au sodox 69 amuazime hata idea ya kuvaa/ amvalishe. Sijaongea ki team Tz au Ke ila ni frankly. Sasa na hapo kwenye verse ya dah, basi tu machalii hawajaamua kumuambia yani wakamkaushia, na nandy sijui aliogopa akimuambia ukweli baada ya yeye kuandika labda angedhira na tukisema tusiweke verse yake pia atachonga. alienda O.P. {out of topic} maana ye alivyopigiwa simu akaambiwa njoo tupige collabo ya dah ye akadhani dar😂😂😂😂 so akaandika dar, or sijui najua vichochoro😅😅😅 My opinion, mawazo yangu tu
@johnsonpotua303510 ай бұрын
Na itafufuka kilazima
@Street-hermit10 ай бұрын
Nikajua itafufuka ya kenya 😂😂 kumbe anaipenda tz hv.
@yassirswaleh712710 ай бұрын
Najua huko dah wanamuogopa omollo , na wasanii tz hawaezi kataa hiyo verse😂😂
@lakasid386010 ай бұрын
Ifufuke kivipi anategemea collabo za bongo kwenda mjini 🚮
@rewardmrema1273Ай бұрын
Rossaaa amelit kamaliza, goddess anabalaa 🙌🙌
@adamyusuph63010 ай бұрын
Gnako Much Appreciation to you on this. We ni msanii wa pekee sana coz hauzoeleki kila siku unakuja na kitu tofauti. " OUT STANDING TALENT Brother"
@justinejoseph170110 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@KassimYusuf-n5k10 ай бұрын
True
@BraniceOloo10 ай бұрын
Ukitambua Jones finya like
@DeborahAbeli10 ай бұрын
Kipenz changu Rosa reee umenikosha nasklz wimbo masaaa yotee 💌❤❤❤❤❤❤ daaaa umeua swetieeee team Rosa reee gonga like apo🎉
@SajdaShaibu-ok9wl3 ай бұрын
Rosa ree🎉🎉🎉🎉
@BadoMartense10 ай бұрын
Acha tu nichanganyikiwe mpaka nashindwa kugundua nani kachana vizuri zaidi ya mwingine❤, East Africa 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇨🇩🇧🇮🇸🇸🇸🇴 to the World. Nipeni likes 10 pls
Khaligraph anaOrganizia African Princess ID Kenya. Respect.🔥 Karibu Kenya @OfficialNandy
@Tetelive10 ай бұрын
Huu ndio wangu sasa love from kenya Mwenye amependa verse ya KALIGRAPH JONES na ROSA REE pia chorus ya NANDY asipite bila kunipatia like pia nimerudia ku play hii wimbi mara 10 sijatosheka kama unakubali nihonge like plz 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KingMsami7 ай бұрын
Dadayetu asante umetubeba daah!
@OsborneJordan10 ай бұрын
kama ingekuwa hivi tokea kitambo,tungekuwa tumesongea sana kimziki kiEastafrica🥳😘😘bigups kwa hawa wasanii wote.
@omigabriel261010 ай бұрын
Nani alifuatisha Godess na Papa.. Best flows Daaaah...
@richardjackson177310 ай бұрын
Staminaaa. Wap likeee from Tanzania 🇹🇿🇹🇿
@ndyanabondyanabomkar87035 ай бұрын
rosa ree. stamina .na Mon centeozone. wameuaaaaaasanaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@tsoritune55510 ай бұрын
Gnako na Joh makini nawa tambua sana # Team weusi
@adiminmbughi619310 ай бұрын
Ooooh my gooood Nimeshindwa ata kusema nan kafunika Kiukweli wote wakali wametisha sanaaa 🇹🇿🇰🇪🇺🇬
@globaltv_online10 ай бұрын
Aseee🎉 hii ngoma Kali Sana.. Vichwa vyote ni motooooooooo❤
OG must be respected 👊🏿 hit the the thumb sign if u agree on this 🇰🇪
@jacobodongo391710 ай бұрын
Khali : Sijatoka dar but natambua vichochoro , na nikikuja dar si nikufishe moro , mi najua huko dar wanaogopa omolo , but nikupata dar girl you know what gonna follow , omoloooo 🔥🔥🔥🔥
@marvo6710 ай бұрын
The word play was crazy🙌🔥😂
@cbegram616110 ай бұрын
Nani anamvalisha kali cartel kiukweli, maana da😢😢 machalii hapo wote wamekula code kinyama. Si angemuomba hata vunjabei au sodox 69 amuazime hata idea ya kuvaa/ amvalishe. Sijaongea ki team Tz au Ke ila ni frankly. Sasa na hapo kwenye verse ya dah, basi tu machalii hawajaamua kumuambia yani wakamkaushia, na nandy sijui aliogopa akimuambia ukweli baada ya yeye kuandika labda angedhira na tukisema tusiweke verse yake pia atachonga. alienda O.P. {out of topic} maana ye alivyopigiwa simu akaambiwa njoo tupige collabo ya dah ye akadhani dar😂😂😂😂 so akaandika dar, or sijui najua vichochoro😅😅😅 My opinion, mawazo yangu tu
@ImanuelSanga10 ай бұрын
Stamina katisha zaid
@yuzlee10 ай бұрын
Kaka hili lijamaa nlibayaa mnoo
@Danny25410 ай бұрын
Kakangu Jones.Kawafunika sana.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephmwangi139810 ай бұрын
Penye 254 Iko ni kuchafua tu
@collinsmacraejnr71082 ай бұрын
PAPA JONES ROSAREE NANDI 🔥🔥🔥🔥🔥
@alexelieza880210 ай бұрын
Narudia tena g nako katulia Sana kweny hii beat🔥🔥
@josephkimodoi100510 ай бұрын
Kaka We mziki unaujua Aiseee ,hii beat ngumu kuifungua kwa Rap ila GNako kaifungua na wimbo ukamkubali kila alierap
@alexelieza880210 ай бұрын
@@josephkimodoi1005 ahahh kbs hakuna kitu kigumu kama kufungua beat
@innoddavid97210 ай бұрын
Rosa re ni mnoma kaupiga mwingi big up Rosa re up in air mtu asinipinge 😷
@kingkibo166810 ай бұрын
Wale Wa Rosa ree na stamina tujuane kwa ku like Hapa
@RizikiAdventine10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@evancefrank820010 ай бұрын
Huyo shorwe🔥🔥🔥
@WilliamSumuni10 ай бұрын
❤❤❤❤
@thadeusetyang2399Ай бұрын
Here bcs of OG again.😅😅😅, clean vybes❤
@robertservas195310 ай бұрын
Gnako gwaragwara amemaliza
@jumaraha10 ай бұрын
G Nako -KIRAKA wee bana wajua sana big up bro..love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍 Salute
@irenemrema-ft7vf10 ай бұрын
Bhana wote wameitendea hakiii me nkashindwa kujua Nani mkali big up EA music ❤🇹🇿🇰🇪
@frankmathety86822 ай бұрын
Kaligraph Jones the great... Much love from DRCongo
@martinwambua475810 ай бұрын
Rosa ree sai amejua n nani king in Africa ..wapi likes za OG
@rechalmoremi221310 ай бұрын
Kama unampenda Rosa ree gonga like hapa ❤❤❤ ameua kwa hii mix…hichi ndo kipaji
@Kalabaijeshiwamchongo10 ай бұрын
❤❤❤Rosa the queen
@amadkelly808710 ай бұрын
Hatari
@TracyMuga-c3j4 ай бұрын
She's 🔥
@ezekiagazulo10 ай бұрын
Kutoka Kenya naomba like za g nako apa
@MilkaAmina-w4o10 ай бұрын
Amewazaaa mbayaaa
@bigc572910 ай бұрын
G nako ni dunia nyingine 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡🫡
@dje-sir25410 ай бұрын
OG ON 🔥🔥 🔥🔥 DJ e-sir
@userwarawara11210 ай бұрын
Respect bud....mm nmewakubali wote wameuwa mbaya....ila wakenya wengi nimeona kwenye comment zao wanaleta utaif....ila wewe muziki unaujua....wote wameuwa...saloot Easter african music 🎶
@CatherineNzeki4 ай бұрын
@@userwarawara112Umesema vzuri
@Skoki_dramaqueen8 ай бұрын
Khali Jones ndo aliimba vizuri na nisijaribu kuambiwa kitu😅❤ Kenya 💪🇰🇪
@aishaalisoni488610 ай бұрын
Kalighraph nimekubali ❤❤❤❤ dah dah umenimaliza
@maua-nx2ls10 ай бұрын
Kenya tuko juu obviously....wapi likes za OG🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gongotv813210 ай бұрын
Juu kwenye nini you fool?
@maua-nx2ls10 ай бұрын
@@gongotv8132 point of correction man .... are you a Kenyan😂???.....
@lakasid386010 ай бұрын
@@maua-nx2lsjibu juu kwa nini mana tumewapa collabo halafu mnataka mtupande kichwa 🤔
@RamaNgari-b1d10 ай бұрын
@@lakasid3860ok mumetupa collabo na tumeitendea haki vile inafaa na tumewaburuza hao artist wote kwenye hii track ukubali ukatae...!!!
@maua-nx2ls10 ай бұрын
@@lakasid3860 kama wataka la ziada....uliza nandy....🤬
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd10 ай бұрын
Wale wanaopenda kuona wasanii wa Tanzania na Kenya wakiwa pamoja naomba like zenu
@EmmanuelKeiya10 ай бұрын
OG ametisha sana🔥
@samwelimwaim713610 ай бұрын
Safiii
@anajescaludani238410 ай бұрын
❤❤❤
@WADILIHYENE10 ай бұрын
wotetu wanajitaidi
@eliapendaizack236210 ай бұрын
TUTAKI
@tendaiboti3157Ай бұрын
The last guy killed it mmmmmmmm ❤❤❤❤❤❤❤
@stashakavuka10 ай бұрын
Khaligraph jones doing his thing ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nipeeni likes za OG
@jeshi-ew8oe10 ай бұрын
Mafans wa stamina gonga like hapa tujuane.
@azizibrand10 ай бұрын
nouma sana
@BarackPhares10 ай бұрын
Jamani sina usemi make sielewi wote wa mekalisha duuh ❤ ila rose ree na khaligraph wapew 🌹🌹 ata ivo tumerudi tena trend 1 Naomba ni ulize tunakha wiki au mwezi naombeni majibu nipeni like zangu
@BrightBright-mh4er10 ай бұрын
Ebu tuache Khaligraph alifunik navl Stamina
@ShameNeshi-b6l2 ай бұрын
Team rosa reeeeeee🔥🔥🔥
@aishaelias907110 ай бұрын
Wakenya Kujeni OG amefanya ile kitu 🇰🇪 ❤❤❤khaligrahs jone ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@chrispinjuma376910 ай бұрын
Wote wakali tuache umbea,,, Joh Makini...kazii nzuriiiiii sana OG ameitendea haki shukraan.
@jamalmagak1910 ай бұрын
Khaligraph Jones is a force that should be included in all science books 🔥
@tumainiamani1118 күн бұрын
Hey Khaligraph jones " kuna wakati ulituchokoza lakini hapa kwenye hiii ngoma umefunikwa kinoma noma hii inamaanisha kuwa KENYA BADO SANA KWENYE RAPP alakini jua hapa bongo kunamashabi wa ngoma za kenya ( Halafu kuna hawo machipukizi tukikuweka nao unapotezwa kabisa)
@anajohn813210 ай бұрын
Wapi like za Rosaree the goddess na Joh makini
@Gaudencedagama10 ай бұрын
Woteeee wa kalii hilaaa g nakoo ajawai kuarbuu anajua sn uyuu jamaaa Rosa ree
@gastonpalange487410 ай бұрын
G-nako na khaligraph wameua zaidi.
@AgathaSeraphine-hg9nj10 ай бұрын
🫶
@justinejoseph170110 ай бұрын
One love
@RamaNgari-b1d10 ай бұрын
Johns more fire
@nassbnassoro16444 ай бұрын
Gnako, OG, Rosa, stamina, Jo, Moni. Namba zipo hivyo!❤
@pauldanielytc10 ай бұрын
Rosa ree 🎉❤
@magambochaz60910 ай бұрын
G Nako noma gonga like twende sawa na G nako
@ChristinaSuteMathias10 ай бұрын
Hv G nako mnamsikia kama nnavyomsikia mm au nachanganyikiwa 😂❤️❤️❤️❤️❤️
@salumumawaya9 ай бұрын
g wala wala ameua
@mishimwangaza77549 ай бұрын
G nako mkali wao ❤
@jenipherpeter23569 ай бұрын
asee mm naona g warara ndio mbad hapo
@Kasunje9 ай бұрын
G amemaliza hii walaiiii 💥💥🔥
@Kasunje8 ай бұрын
Hakuna mtu angeanzisha this remix that good kushinda vile GNako alifanya.. G Nako 🫵🏾🚀🌍
@geemajor19157 ай бұрын
One of the finest hip-hop collabo from East Africa...big nandy for that nice melody...shout to khaligraf Jones,he did that rap well,,,hata Rosa Ree 🔥🔥🔥show love straight outta Kenya🇰🇪🇰🇪
@cedricsmth631510 ай бұрын
Kama umesikia G nako wara wara nipe like
@Voiceofkenya110 ай бұрын
The OGs Khaligraph Jones 🇰🇪🇰🇪🦾🦾
@paulomoses347710 ай бұрын
Naomba like moni centrozone 10000
@RAZAKIMMALINDA10 ай бұрын
Malume 🔥🌴
@daudimaniseli7599 ай бұрын
NAKULA PAZURI NAPO PALISHA DAAA HUO MSTARI WA MONIZCENTROZON HATALI SANA
@MchumbilaMbaya9 ай бұрын
Kapita moni
@MchumbilaMbaya9 ай бұрын
Kapita moni
@FainaJaffari6 ай бұрын
Stamina na rose ❤wameua Ila nandy umenogesha zaidi