Ni kweli Jemedari yuko vizuri sana na amenyoka ila wanaomchukia hawapendi ukweli
@jamesmhando82462 жыл бұрын
I like it and agree with you to your terms of service, thanks
@panchovalentino35762 жыл бұрын
Ally Kamwe mzeee babaaa Naqubar saaana 💯🔥
@samsung-zb3xi8 ай бұрын
Baba wawa Baba nakukubali Mutoto mudogo lakini maongeziyako yakikubwa Ongela Mutoto 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉✍️
@alhimnamussasaid36192 жыл бұрын
Jamaa ni mtulivu anaongea points tupu hapa kuna somo kwa vijana wajifunze kupitia huyu mtu
@mucksinbambali4924 ай бұрын
Labda vijana wajinga
@AmmyBaby18 күн бұрын
Ila suti la malue khaa😂😂😂😂
@immanuelwilson59772 жыл бұрын
Unajua sana dogo
@godwinsamki91922 жыл бұрын
Ali jamaa yuko very humble and talented
@matolasalimo66302 жыл бұрын
Nakubali sana brother, Matola hapa nangade mozambique
@hamzaselemani91712 жыл бұрын
Nakubali Sana brother Ali kamwe
@nasrakibonye21782 жыл бұрын
Huyu kijana nampenda Sana ,amenifanya niujue Mpira zaid
@mwana45992 жыл бұрын
Very intelligent guy.
@NR-ll4sr2 жыл бұрын
Depression ni ugonjwa mkubwa sana, ni km chizi, wenzetu wanatibiwa na wanapona
@mjumbemwanda96662 жыл бұрын
Interview Kali sana
@zuwenakallanga26092 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma akuzidishie hekima na busara
@saidmwamba11472 жыл бұрын
Ali kamwe na Privadinho nawakubali sana hawa wachambuzi mko vizuri sana.
@omarhussein75712 жыл бұрын
Tatzo la privadinho ameingia biashara ya uchawa ambapo sahv inamvurugia Karia yake
@jacquilinetenth34472 жыл бұрын
Priva gani huyo
@allykarupa14118 ай бұрын
Somo nakukubalisana Mungu hakulinde na mitiani ya dunia
@hamadlacha2 жыл бұрын
Very good!
@emmayusuph72042 жыл бұрын
Pole
@gwamakamwaipopo37562 жыл бұрын
Pole Sana kk
@mgallason...56862 жыл бұрын
Nakukubali sana na mfuate huyo jemedari lakini usijethubutu kukurupuka kama yeye kutoa habari.
@mussakingay47612 жыл бұрын
MAY ALLAH BLESS YOU ABUNDANTLY. MTU AMBAE HA HA GA YI INTEREST KWENYE COMMENTS ZAKE TUMHESHIMU SANA. HONESTY IS THE WAY OF LIVING.
@MichaeliSimwinga-d7d5 ай бұрын
Respect kaka
@jameskorogo1182 жыл бұрын
Kaka ally kamwe uko good xana endelea na kuwa na juhudi
@SadockChessa6 ай бұрын
Uongozi wa yanga Haji naAllykamwe ni wasemaji wazuri ,wa kilabu yetu yanga wape utaratibu wa kazi
@pascalcostantine44782 жыл бұрын
Intelligent sana Alikamwe
@iddmsingapore53192 жыл бұрын
Km syo rahisi kuingia azam tv imekuaje @Dominick salamba yuko pale!??!
@mjumbemwanda96662 жыл бұрын
11:17🔥🔥🔥🔥🔥
@Emedroadtocanada2 жыл бұрын
Jemedari said bin KAZUMARY 👍👍👍👍
@asiarashidi15208 ай бұрын
Nakumiss kwenye mambo kumi ya ally kamwe tu baada ya mechi
@marthageorge50438 ай бұрын
🔥🔥
@mtaanionlinetv92002 жыл бұрын
HONGERA SANA JUMA HII NI MOJA KATI YA MAHOJIANO YAKO BORA
@nuzuratimteleke87462 жыл бұрын
One on one part one siioni
@josephnchunga42292 жыл бұрын
Nikimuona Ally kamwe namkumbuka Sana polepole Sana alikuwa anaongea Mambo mazuri Sana kwa hili taifa letu.
@Rehemaponera8 ай бұрын
Kwani ayupo yule baba??
@kingsulyemani25592 жыл бұрын
mfalme wangu wa kuchambua mechi huna baya
@NR-ll4sr2 жыл бұрын
Kumbe Bumbuli mmbea 😂😂😂Wanaume wengine bhana
@georgeburchard48722 жыл бұрын
Ulipata sec chance katika maisha na hakika ukaitendea haki! Mungu ashukuriwe!
@wilsonmathayo41432 жыл бұрын
Nilikuwa naangalia interview alivyosema anamkubali jemedar nimeacha kuangalia tena
@jamesmhando82462 жыл бұрын
Thanks,I ll do as you told me
@agliventures2 жыл бұрын
We jamaa ulitaka kujiua wakati una kipaji kikubwa hivyo!mimi ulinivutia sana hasa ulipokuwa unachambua simba vs as vita na ukaongelea 1 de agosto dah kumbe ulikuwa kwenye kipindi kigumu.
@sashahauke20322 жыл бұрын
Wapenzi tena weee mpare huyo jamani 🤣🤣
@pachaimani41092 жыл бұрын
Namuelewa Sana aisee
@johannmaloda60272 жыл бұрын
navyoona Alikamwe bado hajapona vizuri...
@ahz69072 жыл бұрын
Y?😁
@kastomwaipopo17632 жыл бұрын
Life 🥺
@maicovrukubilanya20692 жыл бұрын
Kweli uyu kijana yuko vzuli sana
@hassanatjumanne25932 жыл бұрын
Sasa mbna mnaekaa interview nusu nusu
@sullehtz93272 жыл бұрын
Alikamwe ✊
@itumbistudio2 жыл бұрын
Dogo typo vzur san
@shukurungogo47152 жыл бұрын
Kuma tamu
@manisuley92402 жыл бұрын
unajifanya unajua sana
@mankambise20002 жыл бұрын
Yaani Alikamwe ni una akili sana Mungu akutunze
@kassidpandu8662 жыл бұрын
Punguza sifa onngea fact
@anithawidambe75432 жыл бұрын
WE ALLI KWANINI UJIUE? KWA VITU VYA KIJINGA KM HIVYO? ACHANA NA HAYO MAMBO. WE MCHAPA KAZI MZURI ENDELEA NA KAZI BABA.
@SadockChessa6 ай бұрын
Acheni kuwasha moto mmehirafiana kwanini msikae pamoja mkayamariza ninyi wawili kuliko kuyaanika katika vyombo vya habari !!!.kunanini katika yanga? Hajimanara na Ali kalimwe msiwe magoma mwaipopo kujivua nguo kwa kutafuta umaarufu wale wanao wapongeza kusudi lao nikuona amani yetu ndani Yanga inatoweka wachukue ubingwa wetu.
@salehyussuf8772 жыл бұрын
Umenichosha apo kwa jemedari
@adammack91082 жыл бұрын
Saf allikamwe
@agnesmpiluka79292 жыл бұрын
Duh? Unaongea vizur sana nimekuelewa Mno
@rashidkhamisjuma37142 жыл бұрын
huyu kijana ana akili sana
@Ochoabuilderslimited2 жыл бұрын
Hapo kwenye jemedar umepuyanga
@rabsontryphon92542 жыл бұрын
Kuyanga (Yanga) 😁😁
@rabsontryphon92542 жыл бұрын
Kupuyanga (Yanga)
@emmayusuph72042 жыл бұрын
Kubwe uliachwa
@gerfasiamwingira48272 жыл бұрын
Naliitaga Bichwa
@jamesmhando82462 жыл бұрын
Thanks I will do so
@fidescosta89822 жыл бұрын
Kea jemedari hapo mda sio mrefu utapotea haugai huyo
@casfetaisaya34622 жыл бұрын
NAKUBALI SANA ALLY UNAONGEA VIZURI SANA ASEE
@G.r.e.a.t.I.Q2 жыл бұрын
Kujiua maana yake una kiburi kilicho pitiliza hadi mbele ya Muumba! Huanza na kutoa taka kurekebishwa ukikosea. Kikaishia na kutoa kubali kuwa muondoshaji wa mtihani/ shida yoyote ni Muumba. Allah anapo sema "Inna Laha maa swaabirin(Hakika ya Allah yu pamoja na wenye kusubiri)." Maana yake shida au mtihani utakuondokea Wakati autakao yeye. Si utakao wewe.
@immah_deo192 жыл бұрын
Huna Akili
@G.r.e.a.t.I.Q2 жыл бұрын
@Immah_ deo umenifananisha na yule mbwa aliye kuzaa
@mohdswahili72192 жыл бұрын
Huyu anaongeleya uongo unamuhisi hasaa kwa mtu myenye akili