Рет қаралды 120
Kujenga utajiri kuna misingi yake ambayo inapaswa kuzingatiwa. Kuanzia kwenye kuwa na kipato, kudhibiti matumizi, kuweka akiba na kuwekeza.
Karibu kwenye somo hili ujifunze sheria za fedha kwenye kujenga utajiri ili uweze kuzifanyia kazi na kunufaika.