Well done Fredrick, I think SNS should be recognized world wide for the fantastic job that you are guys are doing,from politics,technology,health care and humanity. You guys you deserve BiG.❤
@jamilaathumani5481Ай бұрын
Teknolojia ipo juu mashalah...ndomana mungu alitaka tusome
@RichWise67125 күн бұрын
They Test what they made,,So it will work according to the prepared programs and it won't occupy whole worldly Spheres or environments although they their modification speaks their experiences and excellences 🙌🙌
@itNezaАй бұрын
Jamani Tunapo Elekea Patakuja Kuwa Pagum. Watu tutajifungia ndani na kuongea na Hivi viumbe ( Mitaa itakuwa Haina watu kabisa ). 😎
@wartv730Ай бұрын
Majini tumeanza kuongea nayo live sasa
@Juma-du5mwАй бұрын
Wow, hawa jamaa wanaturahisishia maisha
@SixtusMassaweАй бұрын
Everything comes with their prons and cons I think we should take these things in a both ways possible I think we should formulate and ammend our laws and policies so that these technologies bring no harm in a everyway possible
@MAHAN-099Ай бұрын
Binadaam bhana kila siku mpya na vitu vipya hongeren sns kwa kuedelea kutupa taarifa nzuri kila mda
@michelinemapendo6652Ай бұрын
Duniakwishaa wanatumiya majini na mapepo 😢😢😢
@Oldskulgemini9991Ай бұрын
Shule muhimu sana, hakikisha watoto wako hawakimbii shule wasije nao wakawa na Imani za kijinga kama zako@@michelinemapendo6652
@AmaniPerezАй бұрын
Amazing is an understatement
@Mwamba67Ай бұрын
Great,
@user-cb7jq9ti7pАй бұрын
Kazi ya wakalimani ishapolwa iyo
@lodricophd728Ай бұрын
Wow 😮 amazing ✋🏼🤚🏼
@mkemiabenzn7811Ай бұрын
Noma sana👍👍
@Relis_talkswisdom.Ай бұрын
Kila mapindunzi ya teknolojia yana side effects zake,cha msingi nikudevelop skill na kuwa na maarifa ili kuendana na mapinduzi.
@josepheriah5977Ай бұрын
Apo saw
@WhitegsmАй бұрын
Kiswahili kipo❤
@mohdmohd8428Ай бұрын
Usiamini digirii saiv
@gasparmpoma3860Ай бұрын
Kwa ulimweng tunaoenda inabd uwe na skills nyingi la sivyo kusurvive itakuwa kaz ngumu, hapo naona kabsa Baadhi ya Course Vyuon kama TRANSLATION AND INTERPRETATION ZITAKUA HAZINA MAANA TENA NA UDAHILI UTAKUWA MDOGO SANA. KILA SIKU JITAHIDÍ UJIFUNZE SKILL MPYA
@user-sk9qr8jk7bАй бұрын
Kweli tena kaka 😂😂😂😂
@dunstunnchimbi7994Ай бұрын
Translation
@dullahabdallah-nu1pyАй бұрын
Wasani sasa wanakazi,tulip katashule tumempata mkombozi
@dullahabdallah-nu1pyАй бұрын
Inauma ila itabidi tuzoe
@mohamedrashid6578Ай бұрын
Naweza kuamini AI ndio allies tunawasoma kwenye vitabu na kuwaona kwenye movies
@zclassicfashionz157329 күн бұрын
Kazi ya uwalimu mbioni kuisha... Na shule zitaisha
@vibetz9991Ай бұрын
Wafanyakazi wa huduma kwa wateja mitandao ya simu, Tafuteni kazi za kufanya mapemaaaa,,,,2030 hamna ajira
@kassimrajabu780529 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@dunstunnchimbi7994Ай бұрын
Open AI. The King of AIs
@mwanahamisrashid7787Ай бұрын
Tunapoelekea sasa hivi binadamu pabaya tunaona ni maendeleo lkn baadae kilio watu watauwana km kuku watu watafumaniwa na ndoa nyingi zitavunjika
@AKH_TZАй бұрын
Ila hata hii ya mwanzo iko vizur sn jmn mm inanisaidia sn
@smartjayrockcity4344Ай бұрын
Hii itakuwa noma sana
@sebalucas4356Ай бұрын
Hapa naona kabisa ajira zinaenda kufaa
@ninjaisma7983Ай бұрын
Hii nkama ile #Alexer
@ninjaisma7983Ай бұрын
Kali kinomaa
@francomwacha2262Ай бұрын
Na hadi inacheka😮
@shabansuedАй бұрын
Kwa kiswhili chetu cha kibongo itadund😊😊😊
@mpjozzegalvanize4926Ай бұрын
Maneno mapya kila siku
@kwisa4899Ай бұрын
Tayari inafanya kazi AI nikama mtoto kila siku anajifunza na asahau akijua
@user-ny2cd9dt1dАй бұрын
Kazi hatuna tena
@mithlaabdulrahim8566Ай бұрын
Ije ipigwe kinyakyusa io ndo itajua haijui😅😅😅😅
@mndambokilavo2502Ай бұрын
Kama hatutawafundisha watoto na vijana kusoma na kujaribu kutengeneza vitu kama hivi lakini badala yake ikiwa ni kuwapa mtihani ya kukariri na maprofesa wetu kujiganya miungu watu kwa kufanya vyuo viwe vya supplementary na disco then kizazi kinachokuja kitakuwa na hali moja mbaya sana
@leonidasbzzojoyhatung3118Ай бұрын
Technology ya kisasa = uchawi wa kisasa. Mbona watu kwa miaka 10 mbele watapoteza ajila ana wengine makazi yao.mi sikimbilie kutumia hizi ila naangalia kwamakini tunapoelekea.Mungu atufungue macho tusifuate mkumbi
@zayumar2955Ай бұрын
Kabisa yajayo yanasikitisha na kufurahisha kdg ila tumtehemee Allah
@yaduniapeterАй бұрын
Mzee wa AI 🎉🎉🎉
@pyzzocatto1829Ай бұрын
Tatizo la ajira ndiolitazid kuashida to the future
@pillyhussein9356Ай бұрын
Mm nitaitumia ATA kazizangu za online jamani Sijui Nokiasigani I cant wait
@holykim2713Ай бұрын
Tunafurahi lakini walimu wanaenda kupoteza umuhimu wao.
@giftchristianmeela140926 күн бұрын
Nimejaribu juzi inaongea kiswahili kama mzaramo 🤣🙌 inshort kuna kazi nj=yingi zita potezwa na huyu AI mfano tour guides, Customer cares, nk
@mainaimma1114Ай бұрын
kwakweli sns imekua chachu ya kujua mengi
@godfreyalphonce5646Ай бұрын
Dah hii teknolojia inapoelekea sijui itakuaje but I promise nitakuwepo pale👉
@manyamalima1916Ай бұрын
Tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia… its hidden codes but thus Angelic intelligence(AI) fallen Angels from kingdom of darkness they are among us…Jesus is the answer
@brown24photography28 күн бұрын
Alafu leo hii mnatuletea roboti unisi kweli 😅 ulimwengu uko mbali sana
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Technology ime advance sana kuliko ilivyo kawaida
@abdimustafa220Ай бұрын
Logic error still occur on IT'S
@kwisa4899Ай бұрын
Unataka kusema AI kazidiwa uwezo na Binadamu ?Binafsi nakataa na pia inategemea na maswali yako
@ms_teeonlyАй бұрын
Nimejaribu kui download kwa app...lkn sijui km ndio hiyo
@King_Of_EverythingАй бұрын
👊👍✌️.
@Zillionking627Ай бұрын
Sasa hivi tuna fulahia AI ila badae tutajuta sana 😢 😢😢
@HarexoАй бұрын
Aje ss
@Zillionking627Ай бұрын
@@Harexo 🙂
@kwisa4899Ай бұрын
kuna umuhimu wa Wabunge wetu kupewa training ya Dunia inapokwenda vinginevyo watazidi kutojua tunapo kwenda
@user-gp1hi7sw5kАй бұрын
SawasawA
@Bless215Ай бұрын
Ma diaspora tutawapata Kwa wingi maana lugha ilikua unazingua kinoma noma
@titus_maridhiaАй бұрын
Siku za mwisho "Maarifa yataongezeka"
@bigjizee4130Ай бұрын
Naam naaaaam
@bigjizee4130Ай бұрын
Naam naaaaam
@shebbylove3140Ай бұрын
Tunapoelekea mambo watakuwa mengi mepesi
@swahilibrotherhoodАй бұрын
Oops
@user-jb7of2oq7kАй бұрын
link
@dereckdavid9609Ай бұрын
High school is no longer useful
@bonifacewanyonyi3555Ай бұрын
Ishara mwisho wa dunia unakaripia tuokokeni
@gilliardgodfriend5745Ай бұрын
AI MMOJA NI MBEA SANA ALAFU ANAONGEA SANA😂 JOKE
@deokalamlowe1916Ай бұрын
Technology inakuwa Kila siku AI inaturahisishia Maisha karibu kwenye ulimwengu wa kutengeneza pesa kwa AI na roboti wetu asiye na hasara royal Q
@kwisa4899Ай бұрын
sisi bado tunajadili mitaala Hahahahaha
@vannapple1Ай бұрын
Duuuuh
@CANAANTZ_TVАй бұрын
Shalom shalom Jipatie vitabu vya maombi ya kiroho bureee Kwa njia ya WhatsApp 1=Maombi ya kuvunja madhababu za kichawi 2=Maombi ya kuzima mashambulizi ya kuzimu 3=maombi ya vita vya kiroho Bonyeza picha kushoto mwa comment hii
@leonidasbzzojoyhatung3118Ай бұрын
Vitabu hivyo navihitaji ila kubipata ndi tatizo.
@PAULNYANDILEАй бұрын
biashara
@CANAANTZ_TVАй бұрын
@@leonidasbzzojoyhatung3118 Kuna namba ya simu ipo kwny picha kushoto mwa comment hii, itumie namba hio kutuandikia meseji ili tupate namba Yako tukutumie, kwasababu kwny comment ukiweka namba robot la KZbin huwa linafuta
@CANAANTZ_TVАй бұрын
@@PAULNYANDILE sio biashara ni buree kabisa, tuma neno KITABU kwenda WhatsApp hio kwny picha kushoto mwa comment hii tutakutumia bureee kabisa
@STEVENOBEDIАй бұрын
Siku za mwisho maarifa yataongezeka..hope we are going end of the world..
@KasimilRoshanАй бұрын
Hii hatari sana dah dunia ipo kasi
@julianmsele3880Ай бұрын
app store haipoo
@josepheriah5977Ай бұрын
Watuletee
@user-cu3dg8xd7qАй бұрын
Huu ndio ule mwanzo wa Mwisho wa Dunia ,,,,Bado tutayaona Mengi yakuzidi AI hii
@dunstunnchimbi7994Ай бұрын
Ndo kwaaaanza 2024. Vipi ikifika 2070?
@julianmsele3880Ай бұрын
KILICHOBAKI NI KUFANYA PRANK TUU,
@MapundaJackson007Ай бұрын
Sasa Kwa NAMNA AI INAVOFANYA KAZI SI UNAWEZA UKAIULIZA ATA MKEO YUPO WAPI NA ANAFANYA NINI NA IKAKUJIBU VIZURI TU😂😂😂😂
@uwimana6533Ай бұрын
😂😂😂😂
@shyfettymtunda4619Ай бұрын
Wangoni bhana,unawaza mke tu.😂😂🤣🤣 Hakuna maswali mengine ya kuiuliza AI
@MapundaJackson007Ай бұрын
@@shyfettymtunda4619 why wangoni lakni??😂😂 am just kidding tu
@shyfettymtunda4619Ай бұрын
@@MapundaJackson007 Wangoni na wadala na ugimbi,yoyooo!!🙌😆🤣🤣
@MapundaJackson007Ай бұрын
Hahahaha nimecheka sana
@MapundaJackson007Ай бұрын
Sasa Kwa NAMNA AI INAVOFANYA KAZI SI UNAWEZA UKAIULIZA ATA MKEO YUPO WAPI NA ANAFANYA NINI NA IKAKUJIBU VIZURI TU😂😂😂😂