R.I.P Said Mabera,Jose Maina,Suleiman Mbwembwe,Othman Momba,Moshi William &Muhidin Gurumo.
@zaharambwambo90194 жыл бұрын
Anaetizama hii ngoma 2021 gonga like twende, RIP wazee wetu
@babamarc43253 жыл бұрын
Hakika mpaka hivi mimi nahitazama kwa week mara 7 hakika R.I.P
@egnokinunda45393 жыл бұрын
👍👍
@latadotto89233 жыл бұрын
@zahara mbwambo 🖐️
@fransisshirima4987 Жыл бұрын
2023
@DottokassimKitine Жыл бұрын
Mziki.huu.ni.kweri.tupu
@mathayothomas37445 жыл бұрын
Msondo ndio band yenye nyimbo zilizo na adabu , ujumbe wa kufundisha na kueleweka wapumzike kwa amani waliotangulia mbele ya haki
@johnasngairo35733 жыл бұрын
Ni kweli
@johnasngairo35733 жыл бұрын
Ni kweli
@khadijanyoni24575 жыл бұрын
Hii inanikumbusha wakati nipo nyumbani kwa mzee nyoni. Nilikuwa na hii kanda nilikuwa nafungulia kwa sauti .nilikuwa napenda sana kusikiliza na kucheza. Moshi mimi siwezi kuacha kukulilia. Ngurumo. Maina. Momba. Mungu awalize mahali pema. Naumia natokwa na machozi mimi
@kaulemambo46158 ай бұрын
Nyimbo zenye ujumbe na mafunzo tofauti na sasa
@adamali4383 жыл бұрын
Wanasema tenda wema nenda zako ndivyo tulivyo wanadamu wengi husahau fadhila lovely song old is gold
@raymondmgeni99533 жыл бұрын
Nyimbo zenye mafunzo na hekima ya hali ya juu. Hakika tulipewa zawadi ya wanamuziki
@peterdanniel61087 жыл бұрын
Data bandugu Leo nimekumbuka mbaaali kwa kusikiza Jiwe tatu toka bb ya muziki Tz msomdo ngoma, Asha mwanasefu,Mtanikumbuka nk hadi machozi yamenitoka.mungu uwalaze mahala pema wakongwe was sauti.
@silaslubisu69212 жыл бұрын
Momba tx Moshi ngurumo na said mabela tutawakumbuka
@martinodondi43782 жыл бұрын
That accident robbed the music world of great talents, RIP Tx William Moshi...
@fatmachambotanzania93795 жыл бұрын
Daah msond ndio hilikua band bora nyimbo mzr ujumbe mzr sio nyimbo za sasa hivi pumziken kwa aman wote mliotangulia
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
Kabisa
@magrethngoloko8 ай бұрын
Aha maneno ayo yanagusa familia
@josemnganya64754 жыл бұрын
Wazee walikuwa na vipaji bwana
@danielnjoroge53836 ай бұрын
Wapi likes za Mzee Gurumo aka Kamanda
@akidaboma61647 жыл бұрын
Wenye mzk wao.
@Manassehpm10 жыл бұрын
RIP MZEE GULUMO, TUNAKUKUMBUKA UMETUTOKA LEO 13 APRIL 2014, BAND YAKO IKITIMIZA MIAKA 50 UMRI WA MUUNGANO WA TZ
@selemanihamza29596 жыл бұрын
Manasseh Mwalukisa too sad
@alexvalerianmassao48606 жыл бұрын
Manasseh Mwalukisa h
@abuumlisho13376 жыл бұрын
Fiesta tangs
@josephmagiko79256 жыл бұрын
how you fill about the song
@BarakaWaya4 жыл бұрын
Aliyepiga solo humu alikua mzuri sanaaaa
@denisshow5224 жыл бұрын
Msondo Ghana raha sana sio diamond inama inama
@benlidigu51613 жыл бұрын
Powerful vocalists, powerful instrumentation and powerful Saxophonist and trumpets.
Msondo weee dah! Mungu awalaze maala pema waliotangulia mbele ya haki.
@maimapeter64902 жыл бұрын
Oh my Goodness! I've been yarning for this music. Asaaante ssana.
@MesunaciprianosumailCiprianosu Жыл бұрын
Usikonde mwana
@maxlupapa4554 Жыл бұрын
Kila ninasikiliza wimbo huu machozi yananitoka unanidusa kila pande rest in peace moshi na wengine
@najmasaleh92315 жыл бұрын
Duu sax la marehem mzee Ally Rashid watu wengi hapa udongo umemeza wao
@banisaid9 ай бұрын
Hii ngoma napenda kusikiliza sanaa ina funzo kubwa
@shaabankuhanda2679 Жыл бұрын
Nyimbo zenye ujumbe mzuri usiochuja sio nyimbo Ina hit siku 14
@egnokinunda69595 жыл бұрын
Duu huu ndio music,hauchuji kuusikiliza/kuutazama...
@richardrichard11125 жыл бұрын
Nasikiliza 2019 mwez 7 ila ova imetoka Jana mziki ulikuwa zaman bhana
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
Niko hapa Mimi leo tarehe25 /9/2019
@kennethochieng8396 жыл бұрын
Great music that freshens the brain at all times.Thanks for the good work and keep it up.
@samsonmathayo619110 жыл бұрын
NADHANI HAKUNA BAND AMBAYO WANAIMBA NYIMBO NZURI KAMA HAWA JAMAA NAPENDA NYIMBO ZAO
@exaviakawile25325 жыл бұрын
Hawa jamaaa ni hatari Sana nyimbo zao Zina mafunzo
@musa28435 жыл бұрын
Hamna kabisa ! Hata hapa kwetu Kenya tunakubali, hamna. Nakumbukuka masaa za jioni nikiwa mtoto wa miaka kumi hivi ilikuwa ni lazima Radio Dar au Zanzibar niburudishwe na Matimila, Maquis du Zaire, Milimani Park, NK.
@yusufukazamba23914 жыл бұрын
Msondo ni mwisho nyimbo zao ni darasa
@mikemunda8 жыл бұрын
yes I used to help them when I was working especially brothers they forget easily....
@makamevuai61325 жыл бұрын
HIZI ZINAKUMBUSHA ENZI ZILEEE
@sospeternzuga74595 жыл бұрын
Hakika Maisha haya jamani tumtangulize mungu R.I.P wote mliotutangulia
@mossessaanane7709 Жыл бұрын
Nyimbo za huyu mnyatuzu Zina mafundisho
@FuhuzaMaganga-lu3cl Жыл бұрын
Nawakubali sana msondo ngoma
@dogosele64705 жыл бұрын
Ukweli ni ukwelii two jamn munguu akawalipee amali njmaa hukoo akheraa
@robertshemaonge60005 жыл бұрын
saut yenye kutetema yenye ujumbe tutawakumbuka daima
@darweshk73427 жыл бұрын
Mzeee nguruuumo na TX daah we acha
@ismaelmanhica7906 жыл бұрын
Ni kweli. Ndo ok jazz ama Zaiko ya tanzania .
@EmmanuelStepho10 ай бұрын
Nakweri tuta kuku mbuka
@Bashwabe16 жыл бұрын
msondo ngoma ni hot kabisa
@martiniwiliamu90644 жыл бұрын
Mungu awenanimyi mlipo2021/njia yawote mmeenda na mziki wenu
@jjbigpappa379112 жыл бұрын
mambo yote yoko hapo. Saga rumba.Msondo ngoma ya kale.
@jacksonchristopher63102 жыл бұрын
Wakati tunakua bhana ulikua noma sana
@hatibukishimba84237 жыл бұрын
hatari jozee maina nakukumbuka sana lakini nimetafuta nyimbo ya shangazi nimeikosa wakati wa uwahi wake shangazi alinunuliwa vitu vingi na kila mmoja wetu lakini cha kushangaza nipale alipo fariki shangazi yetu
@majogoomajogoo63344 жыл бұрын
Jamani hakuna Chenye mwanzo kikakosa mwisho wallahi kila mmoja ataondoka siku moja
@sangomamourice3539 Жыл бұрын
Asante kwa wakat mzurii
@sharifmbulumulu30045 жыл бұрын
mbele yenu nyuma yetu sisi ,,nyote mliotangulia mbele ya haki
@solomongimbagu Жыл бұрын
Ubinadamu kazi
@MrSammyeddy13 жыл бұрын
This is brilliant,Tx Moshi,Comander Gurumo,mzee Mabera,Momba and all,congratulation.
@petersonmwangi6474 жыл бұрын
I love the harmony... #climax very smart.
@hemedmtunguja97884 жыл бұрын
Mzee gurumo alikua ananikosha R.I.P
@salummwiijuma10825 жыл бұрын
Msondo ngoma music band is best
@Manassehpm14 жыл бұрын
kweli mzeeunaysema nadhani hao vijaana wamekuelewa sasa ulichokuwa unasema ktika uhai wako. Haya ni simulizi halisi katika jamii zetu. Watu wanakosa shukurani na penginehudhani wao ndio wanostahili kutendewa na wao kutenda kwa wengine si halali. Umetuacha kimwili lakini wosia wako unadumu masikioni mwa watu.
@salumidege32366 жыл бұрын
Duh hapa pamepotea vchwa,
@husnajohn74666 жыл бұрын
Manasseh Mwalukisa Leo nimekumbuka haya maneno kulingana na hali tulionayo baada ya wazazi wetu kufa
@shijammashinga58253 жыл бұрын
Kazi hizi zitaishi sana.
@muhidinimdanku12085 жыл бұрын
27/10/2019...why hizi nyimbo huwa haziishi utamm? Pure great melody..sauti kuntu na ujumbe ulioshiba...ujumbe ndani ya utam'
@shijammashinga58253 жыл бұрын
Kazi nzuri sana.
@MesunaciprianosumailCiprianosu Жыл бұрын
Umeipenda hiyo
@AllyKanyaki8 ай бұрын
Hizi ndio ngoma
@mwanawetumwagora62836 жыл бұрын
Yarab wasamehe madhambi yao na uwaweke pema paliponawema peponi
@samsonbinkulwa3785 жыл бұрын
Zamani walikuwa wanaimba sana
@eugenjohn94367 жыл бұрын
hawa wasanii waliumbwa nao wakakubali kuumbika
@abdallahliumba2468 Жыл бұрын
Rip wazee wengu mungu awape kauli thabiti makaburi yao yawe viwa ja vya pepeoni inshalaah
@mohamedbusanduka89565 жыл бұрын
Me naona kama vle hawa wazee bado wapo jaman.
@kadutimmy48719 жыл бұрын
Great music ....Ageless!
@fakiihamis36919 жыл бұрын
Nawatakia msamaa kwa raised
@fakiihamis36919 жыл бұрын
Nimeamua Kuwa mwenyew bila mke kwasababu keshanitesa sn
@fakiihamis36919 жыл бұрын
Crazima kumpenda yeye sawa
@josephatmakuka48602 жыл бұрын
Hakika Tx mosh William mwana kishiwa.
@yusuphabdallah28902 жыл бұрын
Nakumbuka nyumban
@kassimlugome7041 Жыл бұрын
Hapo mtoto atumwidukani,
@alinanuswekabungo86282 жыл бұрын
Mambo ya Msondo Ngoma
@magrethngoloko8 ай бұрын
Yaani kitu kimetulia ni mziki wa maana
@FadhiliMiraji Жыл бұрын
Nazipenda san
@helsloot16 жыл бұрын
Thanks for posting. Great music.
@dittodaffa84175 жыл бұрын
Wapi Kitendawili wa Mk group
@karimumtalubukwapolenamsib13932 жыл бұрын
Izi ndo nyimbo za zaman
@morimax0716 жыл бұрын
MIGHTYLUMBER69, kwani uliaga dunia, nini? Ukowapi? leta msondo ngoma kwa wingi bwana!! jameni, ujumbe unao faa.
@magrethngoloko8 ай бұрын
Na nikifa watanikumbuka kupitiliza
@morimax0716 жыл бұрын
bring some more of msondo ngoma. wanao ujumbe upasavyo
@antonykomba46055 жыл бұрын
Ni wazuri sana
@lucasjacob62455 жыл бұрын
wapi kisuma sabasaba huwaa naenda kuzisikiliza na kucheza kila jumamosi
@ahamadially83515 жыл бұрын
Huu ndio mziki unamaana n hauishi ujumbe mpaka dunia ifike mwisho
@saidially16435 жыл бұрын
Wapo vzr
@Kapunyu16 жыл бұрын
Woote kama Waafrika tunajivunia kwa miziki yote ya Afrika na hasa miziki ya Afrika Mashariki na ya kati,tunafurahia miziki yote ya bara la Afrika,lakini kwavile sisi watu wa Afrika mashariki tunaunganishwa na lugha moja ya Kiswahili ndio tunajivunia na miziki yote ya Afrika Mashariki na ya kati,tusisahau kutoa shukurani kwa wana muziki wa Zaire kwa michangio yao katika SANAA ya miziki Afrika Mashariki na ya kati.Asanteni sana.
@daudimwanyonga6385 жыл бұрын
Huu ndio mziki bwanaa,
@prospersalvatory6745 жыл бұрын
Tutawakumbuka Daima
@allykilimo84405 жыл бұрын
ukwel nakubal sana
@salmasalim18464 жыл бұрын
Yani hatari Sana, sikiliza ujumbe, Mungu awapuzishe kwa amani aami
@brycesonkawiche75254 жыл бұрын
Babu alikuwa poa sana
@FestoJackobo-gm4ut Жыл бұрын
Ulale salama baba
@daudkalulu18195 жыл бұрын
Nyimbo za.injili
@dorismayemba74572 жыл бұрын
Wimbo huu hauchuji.
@mantz37635 жыл бұрын
WALA WALA Hii 22. 58. 16. 4. 2019
@dohabisophicateqatar17427 жыл бұрын
ngoma saafi
@mohdhamad2866 жыл бұрын
Doha bisophicate Qatar vp
@mohdhamad2866 жыл бұрын
Doha bisophicate Qatar umependa nyimbo gani
@gregorypungwe68382 жыл бұрын
Nyimbo nzuri naitazama 23.9.2022
@emmanueljuma6866 жыл бұрын
Haa nzuri
@mbiyugobo10319 жыл бұрын
musondo na sikinde wanapiga ngoma nzuri sana maana nyimbo zaa nepo ya Tanzania au jamani mnaonaje nyie
@swalehkoja78688 жыл бұрын
kweli kaka.
@graitamakore36635 жыл бұрын
Haswaaa
@egnokinunda69595 жыл бұрын
Kabisa
@josephatamos37162 жыл бұрын
Nakubali sana
@nyangehassan9025 жыл бұрын
Haya yapo sana kwenye jamii zetu za Kiafrika
@husseinkatunduchamavamba28807 жыл бұрын
Big
@MultiMarato8 жыл бұрын
TX mosha aridhi inameza jamani
@martinodondi43782 жыл бұрын
I love this band so much, are some old band members still there? and are they still performing.
@Chiombola8512 жыл бұрын
Lov it!
@iddiwambuzi55686 жыл бұрын
Noma
@hamisinjikale49455 жыл бұрын
Mungu awalaze pema wale mliotangulia.mbele ya haki.
@abdalahasssni47595 жыл бұрын
Kitambo hicho
@thimothy2010 жыл бұрын
This is Rumba mus? its sound like Venda music in South Africa
@jothamkibona29192 жыл бұрын
2022 naitazama hii gonga like
@makameamer8687 жыл бұрын
makame
@makameamer8687 жыл бұрын
Makameamer234@gma
@sharifmbulumulu30046 жыл бұрын
rest in peace,,ngurumo and tx moshi
@MrSammyeddy13 жыл бұрын
This is brilliant,Tx Moshi,Comander Gurumo,mzee Mabera,Momba and all,congratulation. MightyLumber69,will you please upload KILIO CHA MTU MZIMA,TUMA,ARABIA,NDOA NDOANA,ETC.