Suti Kali uko smart ata unayoyaeleza unaeleza sahihi brooo binafsi Huwa nakukubali nawengine wakuige
@Izzoh2021Ай бұрын
Jpili itajulikana huwezi kupak alafu uje useme kesho utafanya vizur,shida sio kupak shida ni maarifa baada ya kupaki kama huna d hata moja huwez nielewa
@naukichiwinga2374Ай бұрын
Wew ni mbeya af una tabia za kinyonga au ki kike Uliongea nin wakat Simba bado hajacheza na saiv unaongea nin Kanzu kubwa umbea pwaaaa
@anithawidambe7543Ай бұрын
UPO SAHIHI SANA
@EphraimRuvuzaАй бұрын
Teacher unaujua mpira mimi binafisi nakukubali tangu kitambo unajua kuelezea mataukio na kuchambua Kwa ufasaha
@israelmunuo7938Ай бұрын
Tigana Lukinja! 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@msamijoel6916Ай бұрын
Mnyama anatisha
@jamesjames2368Ай бұрын
Utopolo wanaweweseka 😂 matusi mengi ya nini!
@jamesjames2368Ай бұрын
Huyo mtangazaji anahoji kwa lugha inaonyesha anachuki na hasira ndani yake. Hebu msikilize maswali yake!
@jonathansirkintungi7434Ай бұрын
Wachambuzi wa Tanzania wamezoea kukariri mani kasema lipi. Timuinashindana na inashinda kwa majini kubwa unaambiwa bado inajitafuta. Na anaejitafuta anaesbinda au anaeshindwa? Hawa ndio watanzania wa madarasa ya kuunga unga.
@mbwanaoch9886Ай бұрын
Oruma hamna mchambuzi ni hovyo kabisa
@JohnKyand0-y8eАй бұрын
Kenge ww
@fredgonga9470Ай бұрын
😂😂 semeni ukweli Acheni kuwatia moyo mahututi, kifo kipo pale pale, timu hata shoot on target Haina.
@MusaMkembela-ex6evАй бұрын
Mtale hapo alipiga kwenye pumbu zako?
@ramadhanimohamed2272Ай бұрын
Acha ushoga wewe ulitakaje?
@Shemahonge-ku7xxАй бұрын
Naona unaumia sana kwakituambacho hakikuhusu we mchawi kwani Nini maana ya mashindano mmoja ashinde mwingine akose so unavyochukia nikama unatumbo lauzazi linakukata
@nathanjulius5312Ай бұрын
Ikiwa kusoma huwez hata picha pia😂😂
@JoseHaule-tx7luАй бұрын
😂😂😂
@jamesjames2368Ай бұрын
Huyo mtangazaji anahoji kwa lugha inaonyesha anachuki na hasira ndani yake. Hebu msikilize maswali yake!