MashaaAllah tunao yasikiliza mawaidha haya mpk leo 2023 Allah azidi kuwajaza imani tuwe tukiwa waislamu ambao tutakoipata pepo ya juu pmj na mtume muhammad s a w na waliokuwa wametangulia Allah awasamehe makosa yao 👏
@bakarimwakabebe96493 жыл бұрын
Wallah naskia furaha Sana kuzaliwa ndani ya uislam..naishi na furaha Kwa ajili ya Hofu ya Allah.. mawaidha mazuri ndio chakula cha roho yangu..Allah atulinde soteni peponi ummat Muhammad tuingie..
Mawaidha mazuri sana sana sanaaa,JazakaAllah kheir
@africapersonperson98045 жыл бұрын
Mashaallah
@suleimanali45872 жыл бұрын
Amin
@fatmamohammed68563 жыл бұрын
Allah atujalie tusiwe na husda tutosheke na chetu japo kidogo
@jamilanassoro84084 жыл бұрын
MashaAllah mawaidha mazuri sana Allah akujaze kheri Sheikh wetu.🤲
@mohamednoornoor9444 жыл бұрын
Mungu akupe uhai n uzma n akupe moyo wa kuendeleza dini ytu y kiislamu
@mariamaaa49495 жыл бұрын
Manshaallah sheh wetu Allah akufanyiye wepesi katika mabo yako
@maimunabakari16544 жыл бұрын
Yaarabby tuwekee sheikh wetu azid kutuelimisha cc pamoja na vizazi vyetu, Wallah kla ninaposkiza mawaidha ya sheikh wetu moyo na Iman hubadilika, hakika cjaona bingwa wa sira Africa mashariki yote kama sheikh wetu hyu, hakika Allah ametujaalia ne'ema kubwa ktk nchi yetu, Allah akujaalie kla la kher hapa Dunia na akhera
@omartamim47125 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh wetu kipenzi
@ummiaziza77424 жыл бұрын
Allah akuzidishie umri mrefu uendelee kutuongoza
@nakiamjuma87255 жыл бұрын
Mashaa allah mungu akuzidishie elmu upate kutupa na sisi nakupenda sana sheikh othman
@hildababyabdullah56275 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu Allah akupe umri mrfu wenye afya tele
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
Allah akupe afya njema in shaa Allah, akuzidishie kheri akubashilie pepo ukakae na mtume wetu.. 🙏🏻🙏🏻❤️❤️🙏🏻❤️🙏🏻❤️❤️
@zulekhanassor99774 жыл бұрын
Nicely
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Amin yarabi
@mwanamisinyuchi30955 жыл бұрын
Mashallah mawaidha mazurii
@iddishekomba8067 Жыл бұрын
Shekhe mwenyezi mungu akujaaze kheri
@aishashaffi53824 жыл бұрын
Masha allah, Mungu akupe umri mrefu shekhe Othman uzidi kutupa ilimu ya walimwengu.
@dibaringo10475 жыл бұрын
mawaidha mazuri sana,MashAllah
@ukhtyhumairah733 жыл бұрын
Nakupenda kwajili ya Allah sheikh Othman maalim Napenda darsa zako Allah akulipe khier dunia na akhera Allah zito alufamyie wepesi sheikh 😘
@khadijakhan77015 жыл бұрын
Mashaallah mawaidha mazuri
@mursilmursal5 жыл бұрын
Jazakalahukheir tupe mingi mada zake in sha Allah
@fatmaaamussa64283 жыл бұрын
I love you're videos
@gulshamshad49024 жыл бұрын
Allah akuhifadhi akupe umri mrefu mashaAllah
@gulshamshad49024 жыл бұрын
jazakAllah kheir kwa mudhui yako kweli kabisa Allah atuongoze njia ya hakki Ameen