MASHALAH HAKIKA WEWE NI BINGWA WA SIRA MASHALAH ALLAH ATUWEKEE SHEKH WETU OSMAN MAALIM AMIN
@eliasmajambomwinyihaji13354 жыл бұрын
shukran kwa kunipa moyo kuusu subra,nmefuraia kwa hutuba au mawaidha aya
@NuruSwaleh-g5n Жыл бұрын
Mashallah sheikh umeutuliza moyo wangu na darsa hii ya subra Allah barik...Alhamdililah
@sheilalolila22334 жыл бұрын
Allah tujalie mwisho mwema yarabi tuepushe na kila baya tupe subira yarabi
@ibrogiro33348 жыл бұрын
subra ni zawadi kutoka kwa ALLAH...mawaidha nzuri kutoka kwa ustadhy Othman maalim,ALLAH amjazie zaidi
@drahmadsara32646 жыл бұрын
Ma sha Allah sheikh othman bin maalim. ALLAH akulipe kheri nyingi na akupe uwezo zaidi wa kufikisha alama za kuwepo kwa Alalh. Amin yaa raab.. kheri kubwa ina kungoja in sha Allah.
@saleheomary23426 жыл бұрын
Mashallah
@lemugamba70216 жыл бұрын
Mapenzi ninayo kwako mungu ndie anajua nimepata faida nyingi sanaa kupitia kwako kuna mambo mengi nilikua siyajua lakini alhamdoulillah nimeyajua mungu akupe maisha marefu akupe mwisho mwema
@ramadhansaidi55634 жыл бұрын
Q
@mimasuleiman1007 жыл бұрын
Allah akueke ukiwa na kheri zake katika hii dunia proud to be muslim wallah kwa hali hii Allah azidi kukupa umri mrefu weny heri utupe chakula cha nafc
@marijanimohamed76196 жыл бұрын
Mungu akuzidishie elimu uzidi kutu fahamisha na kutukumbusha siku yakiama ambao ni gumu ni nzito kwetu
@msfatma9466 жыл бұрын
Shukran mungu atupe mwisho mwema na pia akuzidishie barka in shaallah
@leodavid57146 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Allah akujalie heri umri mlefu wenye afya njema na mwisho mwema tunakupenda kwa sababu ya Allah
@latif63514 жыл бұрын
Rusaka david I lovely asmani
@saidiomary88867 жыл бұрын
Shukrani sheikh othuman maalim kwa kutukumbusha na kutufundisha Allah akuongezee in shallah
@fatimasaid41938 жыл бұрын
mola akujazi Kheri mngu atupe subra zaidi natusiwe wenye kuhuzunika
@faulatafahmi77338 жыл бұрын
JaazakaAllahu Khayran, Allah akujaalie umri mrefu wenye afya na imani, Ameen
@maryamoman59265 жыл бұрын
Aallah atupe mwisho mwema yarab amen
@issangullo8048 жыл бұрын
Shekh namuumba Allah akuzidishie umri ili uzidi kutupa faida na kesho qiyaama Mwenyezi Mungu akupe Pepo ya juu sana pamoja na mimi.Amina
@omarmbaga34968 жыл бұрын
Ameen
@saidikobossa74897 жыл бұрын
na mimi pia na ummati l ismal wote
@zawadisalim36407 жыл бұрын
Issa Ngullo
@mariamissa22247 жыл бұрын
AMIIIIIN YA RABIII ALLAH amuweke INNSHAALLAH. ......
@ashabuashabu23256 жыл бұрын
Issa Ngullo asalamu aleykum
@ahmadmambwe5376 жыл бұрын
Jazzakha Allah khaeir Sheikh..M/mungu Akupe umri mrefu na Akufufua pamoja na Mtume wa Allah Muhammad Rasulullah
@farhatsaid79726 жыл бұрын
mashallah mwenyenzi mungu akujali pepo
@aligedi28695 жыл бұрын
MashaAllah mungu atutole 10 kama wewe, Allah amekupa hikma, nakupenda kwa jili ya Allah
@ahmedhamisi3285 жыл бұрын
In shaallah mwenyezi mungu amjalie umri shekh othuman maalim kwa kutpa faida
@neemapaschal13727 жыл бұрын
mashaallah jazaka Allah kheir, Allah akupe maisha marefu sheikh Othman maalim uzidi kutupa faida
@nadiakhamiss57975 жыл бұрын
ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA SHEIKH WETU 🤲🏽🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@abdulhamidabdigee56067 жыл бұрын
MashaAllah mola akupee maisha marefu ili tupate kufaidaka kwa mawaidha yako
@zaitunnyachote70134 жыл бұрын
Ameen
@mahamedibrahim9376 жыл бұрын
Assalam Aleykum Sheikh Osman , Kwanza natoa Shukraani isiokuwa na hesabu wala mfano kwako na Ulamaa Wa Kiislamu popote walipo , kwa kazi mmejaaliwa kufanya. Kufunza na kuongoza ni ilmu Isiokua ndogo. Naishi na kufanya kazi mbali na nyumbani na Darsa Zenu na sana zako hunipa njia za kutoa na kutibu matatizo zangu huku niliko. Namuomba Allah awalipe na Jannatul Firdawsa pamoja na Waislaamu wengine wote. Ameen Ameen Wasalaam Aleykum
@aishamkadara99723 жыл бұрын
ماشاءالله جزكلله حير
@inspioneers95272 ай бұрын
Ameen na kwako pia
@mahsnirmohammed24938 жыл бұрын
Masha Allah Uthman Maalim napenda darsa yako ya uhakika
@rkiakiguta51706 жыл бұрын
Mwenyezimungu akuzidishie Leo na kesho akhera
@rashidaerial25378 жыл бұрын
sheikh Allah akupe jannah
@sadiamuqtar255 жыл бұрын
Ameeen
@hawata76145 жыл бұрын
ya Allah Allah akuhifadhi ya shekhe
@fatmamiraji43668 жыл бұрын
JaazakaAllahu Khayran, Allah akujaalie umri mrefu wenye afya na imani, Ameen...mawaidha mazuri sana
@asiaasia82535 жыл бұрын
Shekh Allah akuzidishie killa liaya liyo yakher
@AhmedSaid-xz3kj4 жыл бұрын
Jazakallah kheir ya sheikh uthman
@hanga26647 жыл бұрын
mungu akupandishe daraja ya juu kabisa
@allyfaki98837 жыл бұрын
nakupenda kwa ajili ya allah namuomba allah akupe maisha mrefu na sio maisha mrefu tu akupe kalima ya lailaha ila wallah musho wa mauti yako na akuongize peponi allah wew pamoja na sis waislam wenzio
@hakimumussa68335 жыл бұрын
Hanga 26 Amiin
@samamussakibwana57035 жыл бұрын
Hakika subra ni heri kubwa mbele ya Allah. Yaallah atupe subra yarabii
@birdofpry38976 жыл бұрын
Mashaallah yaa sheikh shukran jazakum khayran
@hfghmayallahblessushekhwet37998 жыл бұрын
SHUKRAN JAZAKAH ALLAH KHEIR SHEKH OTHMAN MALIM
@ikhlassabud4377 жыл бұрын
MashaAllah wabarakallahu fiik
@indamajid74393 жыл бұрын
Mambo mataamu Ustaz wetu, twashukuru
@halimamsafiri96943 жыл бұрын
Ma shaa Allah Tabaraka llahu maidha yako mazur sana
@yassinyassa8056 жыл бұрын
Allah akujaze kheri
@sumiymuhammad3865 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@shahidaabdul53207 жыл бұрын
Allah akubariik sana sheikh
@ganettsofa70155 жыл бұрын
MashaALLAH tabarakaAllahu ukweli.mtupu,mwezi mungu atupe subra ya nafsi zetu inshaAllah
@saumuhassan13657 жыл бұрын
Jazzakallahu khery shekhe othman Maalim, ALLAH akupe umri mrefu na akupe mwisho mwema
@AASeif6 жыл бұрын
Masha aallah
@didasalehe92766 жыл бұрын
mwenyezi akuzidishie kila rakher
@jumaandrew69926 жыл бұрын
Jazakhallah
@asha1.3093 жыл бұрын
MashaAlla tunashukuru kwa mawaidha mazuri
@hawayusuph20795 жыл бұрын
Mashaallaah mnguakuzidishia
@omarmbaga34968 жыл бұрын
Hakika ya wenye subra wapo karibu na Mwenyezimungu
@ayushaisha59898 жыл бұрын
kabisaaaa mungu uko pamoja wenye kusubiri
@ashurayusuf99946 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kwa huyu shekh.Allah amzidishie amjalie kila la kheri
@halimasaid49776 жыл бұрын
Sahihi
@حسنيهاحمد-ل5ه4 жыл бұрын
Shukran Sheikh wetu Othman Maalim
@muhitiraissa30488 ай бұрын
Allah akulipe sisiote kwa jumla
@hawampili89238 жыл бұрын
mashaallah m/mungu akupe umri mrefu
@nukhamuhammad462010 жыл бұрын
sheikh ALLAH akuingize aljannat
@abdullatifnassor633410 жыл бұрын
Lbhbbn
@faizanassor27207 жыл бұрын
Mashaallah mawaidha
@bilalmusaab11 жыл бұрын
shukran ALLAH akujaze kheir na sote waislam
@nafsahamoud33598 жыл бұрын
Allah,akuzidishie kila la kheri..
@ashabuashabu23256 жыл бұрын
nafsa hamoud asalamu aleykum nafsa
@ashabuashabu23256 жыл бұрын
nafsa hamoud unaweza kunisaidia ni kusumbuwe kidogo
@laylahramadhani83236 жыл бұрын
mungu akujaze herh nying
@nusralilobwa47526 жыл бұрын
Inna llah mas'wabiriina
@ladysagaffatma43658 жыл бұрын
Mashallah .Allah Akulinde na hasad .Amin
@abubakaromari15677 жыл бұрын
Mashaallah Allah umri mrefu
@hajigahimbare5795 жыл бұрын
ALLAH Akuzidishie ELmu. nasi Tuwezi Kufaidi 👏
@mulombamustapha5566 жыл бұрын
Jazzaka Allahu khayran
@sirlanka44556 жыл бұрын
Alhamdulillaah,Jazaakallaahu khayra
@marhaally44443 жыл бұрын
MASHAALLAH 🤲♥️
@sabrinayounisaden64138 жыл бұрын
JazakaAllah sheikh Othman maalim
@abdullahikaj32478 жыл бұрын
Allah akupe jannatul firdows
@ahmedyzo6 жыл бұрын
Ameen
@abdullaabdullahmpakanjia23365 жыл бұрын
Kuanzia leo itabidi nizidishe subrah
@lonamoon23596 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@ayushaisha59898 жыл бұрын
mungu tazidi kukupa nuru kuwakumbusha umaa
@safinasurait87055 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekhe wetu
@ashasalum35288 жыл бұрын
Mashaallah mungu akubarik
@bimumaulid11714 жыл бұрын
bismillah mashallah 👍
@sabrakhamis45853 жыл бұрын
Maashaa allah tabaraak rahman
@shaabans.marijani96596 жыл бұрын
Mashaallaah!!
@alirashid429111 жыл бұрын
mashallaaaaaaah
@mohamedsaidi50927 жыл бұрын
mashaalla
@mariammbega95926 жыл бұрын
masharrah asante kwa mawaidh nmezd kuw nasubra nimejifunza kusubir
@saleheomary36406 жыл бұрын
Ishallah mngu akulipe ishallah
@wardalward36937 жыл бұрын
MashaAllah
@khamisisuleiman43157 жыл бұрын
masahaallah
@khalidmuhsin17586 жыл бұрын
Jazaak Allah kheir
@zay2nally7087 жыл бұрын
MashaAllah,,jazakallah
@kadijabakari71195 жыл бұрын
MASHAALLAH ALLAH AKUZISHIYE UMRI
@madamziada80546 жыл бұрын
allah atujaalie subra
@IYANIZZO5 жыл бұрын
Mashallah ❤️🙏
@khamisjuma14858 жыл бұрын
Mashaallah
@mohammadathman61008 жыл бұрын
mashallah jazakallahu kher
@FauzianaipendaHassan7 жыл бұрын
Maashaallah
@aminajuma7866 жыл бұрын
👏👏👋
@abdallabafagih3 жыл бұрын
Allah Akbar. Masha'Allah
@ftimaramadan47484 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
@saidiali83246 жыл бұрын
Assalam alaykm, Mashllh shekh Othmn,Allah akuzdishie na cc atupe elim km yko, akulnd n maby, barka za Allah zijae kwk, unatutoa huzni kw darsa zk, asslm alykm