Haya jmn nipen like zng kila anaempenda shekh othman maalim kwa ajil ya allah na kwadhat ya moyo wke bc agonge like twende sw
@keycetv73904 жыл бұрын
😍😍😍
@richie6724 жыл бұрын
Allah nijalie neema hii lnshaa Allah.
@khadijajumahamisi17213 жыл бұрын
MashaAllah 💗💗💗💗
@apexmombasa6809 Жыл бұрын
Jaza Allahu Kheir ya Sheik Othman Maalim
@tumajunior60804 жыл бұрын
Utujaze imaan hapa duniani na kesho aakhera ameen yarabby
@samiraelkhatiry83035 жыл бұрын
Mashaallah allah ampe umri mref tupate meng kutoka kwa sheikh Othman
@edysimba52203 жыл бұрын
Insh allh pmj nasi
@swabraty17605 жыл бұрын
Mola akuingize peponi kwa rahma zake...ilmu yako yatunufaisha
@godfreykasheka91274 жыл бұрын
Allaah atufanyie wepes
@cityhabibu22405 жыл бұрын
Nakupenda xna sheikh Othman Maalim kwa Ajili ya Allah...Allah akupe umri mrefu uzidi kutufunza yalio mema.
@زينبمحمد-ث9ق4 жыл бұрын
Mashallah shekhe Allah Atujalie wote tuwe wenye kumshukuru mungu nayapenda.sana mawaidha .yk shukuran
@halimaramadhani40405 жыл бұрын
Namshukuru Allah kwa kunipa neema ya kusikiliz maneno matam na mazur kutoka kwa shekhe wetu othman maalim❤️Allah akutunze kwa ajili ya uislam...
@shabanimarijani6625 жыл бұрын
Othman maalim upo daraja ya juu sana na mwenyezi mungu akuzidishie zaidi na zaidi
@aminasalim37925 жыл бұрын
MashaAllah Allah akupe umri mrefu wenye siha Sheikh Othman Maalim tuzidi kunufaika na nasaha zako
@makavelithedon8295 жыл бұрын
Amen Ya Raab
@saidaabdallaali55875 жыл бұрын
Kheri iwe juu yako na shari zikuepuke inshallah
@hassanmwaringa43285 жыл бұрын
Shukran xna shehk Othman kwa darsa zako nzuri,,,,nakupenda kwa ajili ya ALLAH.ni saidaa
@saidimiraji19035 жыл бұрын
shukran sheikh othman maalim hakika wewe pia ni neema ya allah kwetu yatakiwa tukutumie vzr الحمدلله على هذ نعم
@zulfahhussein5055 жыл бұрын
Swadaktaa Allaahummaaa Aaaaamin ya Raab
@loolaa17835 жыл бұрын
Kwakweli ni neema maana wengi umejua mengi kupitia yeye
@saadiashariff9204 жыл бұрын
Alhmdullahi
@lamonamona11195 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah akulipe kwa rehema zake Shekh Othuman Maalim
@bititisudy73555 жыл бұрын
Alhamdulillah! Allah akuifadhi sheikh OTHMAN MAALIM.
@kenazkenaa52225 жыл бұрын
Allah akujalie umri mrefu sheikh wetu asante kwa mawaidha.
@sadanahimana71935 жыл бұрын
Allah na wwe kakupa neema yakutujuza ma shaa allah maalim
@ramadhanikimolo6875 жыл бұрын
Allah akulipe na tunamuomba Atukutanishe jannah pamoja nawe shekh wetu"
@tundampalanzi51485 жыл бұрын
Shukran Shekhe huwa sichoki kusikiliza mawaidha Yako kwani najikuta yanaimarisha imaan yangu hata kwa kiasi flani Allah akujaalie jannah tena ya firdaus.
@samamussakibwana57035 жыл бұрын
Alhamdulilla Allah atujalie mwisho mwema yarabii
@maimunaathman46645 жыл бұрын
Alhamdulillah, shukran sana sheikhe kwa yote, ALLAH AKUPE AFYA NA UMRI MREFU. AMIIN.
@mjubaog82584 жыл бұрын
2mejifunza mengi kupitia Ww shekh we2
@saidymandova56783 жыл бұрын
Bismillah rrwahman rrwahiim ivi mashekhe sharri ya nabii anaejiita elia mnachukua maamuz gan mbon anavuka mipaka wabillah taufik
@husnatawete70715 жыл бұрын
Alhamdulilah Allah akulipe inshaallah kwa ukumbushooooo usemayo Ni sahihiii kabisaaaa
@omartamim2785 жыл бұрын
Allah akupe kheri nyingi duniani na akhera sheikh wetu
@alinassir64465 жыл бұрын
Inshallah
@mohamedhamadi2275 жыл бұрын
Alhamdulinlahi Allah akujaze sheikh
@hawaa22275 жыл бұрын
Ma sha Allah Rahman shekh othuman nakuombea umri mrefu yarabbiy wenye afya na siha njm uwe nimwenye kutuhusia na jannaty Fridaus akatukutanishe pamoja na rasuli wa Allah swala na salam zimuendeee kwa wing yarabbiy
Jazakallah khair Allah akupe umri mrefu tuzidi kupata faida
@hamzahabubakar96745 жыл бұрын
Baraka Allah fik hayaka alha
@jumasheshe78365 жыл бұрын
We ni neema kwetu twapaswa Tushkur Allah Kwa ailm yenye Manufaa kwetu kupitia ww...Allah atkutanishe Cku Ya Malpo na Nyuso Zilzoneemeka Inshaallah Sheikh Best 4Islam Umma Bora!!!!
@sadanahimana71935 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda na akupe umri mrefu maalim
@mutaladjasmini48155 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah akuzidishie ilmu na umri murefu ili tuzidi faidika kwa mawaidha
@omaryahmed79145 жыл бұрын
Mwenyezimungu akujaalie akuzidishie uzidi kutoa mawaidha yenye mafunzo
@indamajid74393 жыл бұрын
Beloved sheikh mashaallah, we love u lillaahi
@ashurakigoma26285 жыл бұрын
subuhna allah subuhna allah Allah afidh shehe wangu😢
@rinaalotaibi23093 жыл бұрын
Shukurani sheikh othman kwa mawaidha yako
@shakilamasoud89795 жыл бұрын
Shekhe wangu,,, mwenyezi Mungu akupe kheri siku zote
@ramadhanmlekangombe92995 жыл бұрын
Mashallah. Allah akupe. Hakika. Shekh. Othmaan mm. Napenda. Kusikia. Maneno. Yako. Muda. Allah. Akujaliee. Malipo. Mema. Hapa. Dunian. Na kesho. Akhera. Hakika. Inshallah. Biiz. LLah. Nitakuja. Kukuona
Shukran sana shekh wetu ..Allah akupe mwisho mwema in shaa Allah.
@abdulazizabdallah62975 жыл бұрын
nakupenda sanaa shekh natoka kenya river tana.
@alishariffshariff90835 жыл бұрын
mashaallah salaam for you sheikh Othman Maalim lam from Kenya
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
ماشاء الله Allah akujalie umri wenye afya njema sheikh othuman
@mohammedsaleh22025 жыл бұрын
asante zayati allah atakulipa kila la kher kwa kufuatia vipindi vya dini
@sabraabdilnasir88265 жыл бұрын
Inaumiza na inaliza allah atujaliye tuwe wenye kutoa kodogo kikubwa na atujaliye tuwe wenye kukumbuka wazee wetu ndugu zetu waislam wenzetu wote waliofika mbele ya haki kwa duwa kwa sadaka
Jazzaki Allahu khayran hakika neema za Allah ni nyingi mno
@ashamwandu65724 жыл бұрын
Aaaamina
@alismaily29033 жыл бұрын
Sheikh usife ila uwe na wanafunzi waliokhitimu elmu iyendelee wewe ni kanz katika kunuz za elm. Tabarak Rahman. Allah akupe afya wa aliyah
@guyokosicha10194 жыл бұрын
Masha allah 👐👐💖💖
@seifkhamis42985 жыл бұрын
Mashaallah allah akuzidishie ktk kuuweneza uislam
@shuhaidaomar33475 жыл бұрын
wallhiy umenicho machozi sheikh langu mola akujaaze kheri uso itarajiya kwa maneno yako matamu hayamalizi hamu atujalie waja wakushukuru nema za Allah
@abdulazizbunu84005 жыл бұрын
Allah akupe afya na umri
@yanikdabo21375 жыл бұрын
Subhanallah allah atulipe pepo za darja za juu inshallah
@athumanisogora31755 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu shekh othman
@missdorice62085 жыл бұрын
Mashaallah nimejifunza kitu kwa kweli
@allynyandwidju1135 жыл бұрын
Alhamdulillah ya Rabb🙏🙏🙏
@zayanaduduna14054 жыл бұрын
Maa shaa ALLAH alhamdulillah ALLAH akupe Jana
@vibestudio47075 жыл бұрын
jazzaka llhahu shekh otman maalim allha akupe umri akuondishee maradhi akupe nguvu uzidi kutulingania,ALHAMDULILAH!!
@zeitunswaleh54705 жыл бұрын
Masha'Allah...Alhamdulillah
@bakarshaban7035 жыл бұрын
Mashllah mungu akutangulie maalm weru
@hamzandalamila85294 жыл бұрын
Mashaallah allah azidi kutujalia nasi tuwe miongoni mwa waja wema.
@mwanakomboomar56245 жыл бұрын
MashaAllah Allah akujaze kher za dunia na akhera InshaAllah
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
JazakumAllahu kheir sheikh wetu Allah akupe umri na afya y kudumu
@stamelistameli84612 жыл бұрын
Alihamdulilah atujalie mwisho mwema
@rahmaalfan17763 жыл бұрын
Rabbi akupe umri twawillah wenye mafanikio ya leo na kesho akhera insha allah
@sumaiyalukuman36525 жыл бұрын
natamn kupata no za ustadhi Othuman maalim tumuulize maswali yetu jmn apate kutujibu wengine tunashida tunatamn awezeshwe na Allah aweze kutusaidia
@najimshaib93065 жыл бұрын
Kbx yan
@aliyomar91405 жыл бұрын
0773509289......ntafute ila mm co shekh oth man....bali ntafte nkupatie namba zak
@allyissa58015 жыл бұрын
mashaa allah jazakum kheri shekh
@habibahmatano18155 жыл бұрын
Shukran jazaka llah
@shabanmohamed66414 жыл бұрын
ما شآء الله
@salmaalshemali93385 жыл бұрын
chukran chehe wetu Allah akurip kir laher
@tunukirija96755 жыл бұрын
Allah akujazi kheir sheikh othman maalim. Allah amekupa ufasaha. BarakallaAllahu fik
@mwantumjuma90254 жыл бұрын
Jazzakallahu. Fiiika shekh wangu
@nooraallahuakibarumwenyeez30795 жыл бұрын
mashaa Alla shekhe Othumaani maalim nakukubali sana mawaidha yako ni mazury sana Alla Akuafu na Akupe Taufiki
@abullahkabaka87745 жыл бұрын
ALLAH IZID IBARIK FIK SHEKH ATHMAN. SAUTI TU INATUFIKIA IKIWA DHAIFU SANA. BARAKA ALLAH FIKUM
@salmasuleiman28325 жыл бұрын
Shukran sheikh
@feswalsalim79093 жыл бұрын
Alhamdulilah Rabil alamin ya Rabil
@mams18925 жыл бұрын
Jazzakallahu kheir
@ridhiwankimaro30545 жыл бұрын
Mashallah
@motivatorfaiz_ali88613 жыл бұрын
Allah akuhifadhi,shekhe wangu huyu..
@miminaah39115 жыл бұрын
Allah Alhamdullilah ala kul khali😢
@hajikipanga56795 жыл бұрын
Jazakallah khayr
@a.rahmanahmed15085 жыл бұрын
Jazaka Allah kheir sheikh nafana Allah b elmek insha Allah 👍
@osmanodowa72414 жыл бұрын
ماشاء الله جزاك الله خير شيخ معلم عثمان
@fatmakombo75845 жыл бұрын
Mashallah Shukran
@a.8565 жыл бұрын
Jazakallah khayran
@inabikorwaneema88155 жыл бұрын
Barak'Allahu fiiQ
@amirybeka96025 жыл бұрын
shukran sheikh napenda darsa zako
@rahmahussein40195 жыл бұрын
Powerful speech mashallah .
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mashallah shukuran
@mohammedsaleh22025 жыл бұрын
faiza nakuona allah atakulipa
@zeinabdoti10264 жыл бұрын
mungu akujalie janatul firthouse
@shinayzashiraaz45883 жыл бұрын
Jazakumullah kheir
@alihabshi82105 жыл бұрын
Allah zidna illma wa taqwa.
@aminanyaonge30235 жыл бұрын
Alhamdullah Allah akujalie kila lenye kher kwakutoa mafunzo mazur mashaallah
@muathumani35835 жыл бұрын
Allha atufanyie wepesi shekhe Atuweke tuzidi kusikia daawazako nauzidi kutupa dawa katika nyoyo zetu ziwe turivu kwa kusikia maneno ya allha mmoja wapekee