Mashallah Sheikh Othman Jazakallah kheri ❤❤❤ Frm Kenya
@hailatomantatusefu343311 ай бұрын
Masha Allah shekhe wetu
@qwryqawe1829 Жыл бұрын
Mashaallah tabaraka allah ❤❤
@amiyoung58769 ай бұрын
Mashallah Sheikh, mawaidha mazuri sana haya.
@Sayd-pi5lq10 ай бұрын
Allah a2ruzuku wake wema InshaAllah
@MtumwaRamadhani Жыл бұрын
MashaAllah tabarakAllah
@HajraBilali-r5e6 ай бұрын
Masha Allah 😊❤
@ummumsellem43659 ай бұрын
Mashallah ni kweli kabisa haifai kusema urongo
@miishhassn Жыл бұрын
Mashallah mama wa waislam❤
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@MyasaAbdullah Жыл бұрын
❤Mashallah bikhadija❤
@mubirirashidi11 ай бұрын
Mashaaallah ❤️❤️❤️
@HamidaAlBattawi Жыл бұрын
Mashallah bikhadija yy ndio kuduwa kigizo chema kwaumini ❤
@sharifdini7055 Жыл бұрын
Masha allah
@MamanSamira10 ай бұрын
Masha adhahu
@MariamHassan-b5d10 ай бұрын
mashallah tabaraka llah
@khadejakhadeja9713 Жыл бұрын
Mashaallah BI KHADIJA.❤❤❤❤
@sofiaswedi7284 Жыл бұрын
Mashallah Bi Khadija 🙏🙏🙏
@Aishamrembo-pk7tl Жыл бұрын
Tabaraka Allah ❤
@asmahamadi-d5z Жыл бұрын
Mashallah
@omarmwabege Жыл бұрын
Sheikh anaeleza kisa cha mke wa Mtume Swalla llahu alayhi wasalam..na mwaeka picha ya mwanamke .hii mwaonesha taswira mbaya. Muogopeni Allah.
@shakirashakira-gc2yw Жыл бұрын
Ma shaallah
@Hashim-p4d3 ай бұрын
S❤A❤W❤ R❤A❤
@asmahamadi-d5z Жыл бұрын
Assalam aleykum warahma tullahi wabarakatu ostadhi maalim samahani nina swahili nahitaji kujua , je ni haramu kumuita mtume Muhammad s.a.w baba yake fatma?
@azizayassin3623 Жыл бұрын
ASSALAMU ALYKUM WARHATUALLAH WABARAKATUH
@OmanOma-xi3hm Жыл бұрын
Waleykum salaam🥰
@amanisaidi8757 Жыл бұрын
Kwann mnaweka picha ya mwanamke hapo nyuma una maana ndio bi khadija uyo au una maana gani wewe uliyepost coverpost ya hii clip 😮, shame on you
@SaidJuma-ru7vm Жыл бұрын
Inakuwaje leo Mawahabi wanasema Abu Talib amekufa kafiri.....? Hakika hawa ni kizazi cha shaytwan 😢
@sautikuu212 Жыл бұрын
Sasa hii ni historia ya bibi Khadija au historia ya mtume?
@miishhassn Жыл бұрын
😂wat mnajua kukaza fuvu unataka kusema hujaelewa kbsa kuwa ni story ya nan sasa si kasema mke wa mtume ataachaje kumtaja mtume😂
@raniahAbdul Жыл бұрын
@@miishhassnchuki zinamsumbua
@LeilahRashid-fg3pt9 ай бұрын
Kwan ww umeelewa nn kwa masaa yote ulio tumia kusikiliza ama ulikua umeeka macho tu n huelew kitu duuh dunia hii ina viumbe vingine vya ajab snaa