King mwenyewe mazinge wewe unanifurahisha sana Allah akupe mwisho mwema kwakazi unayo yifanya
@mjitahidiomary87334 жыл бұрын
shekh mazinge piapia nakupenda sana
@mgeniali17685 жыл бұрын
Mungu awape umri na afya mashekh wetu yarrab
@najmaheart9525 жыл бұрын
Kazi ngumu kweli Allah awajalie afya njema wazidi kuitangaza dini
@khalfanhamisi42186 жыл бұрын
AslmAlkm salama Ndgu? Sheikh Mazinge InshaAllah Mngu hakupe umri uzidi kuhtetea Uislam,hunaphaa tena sana!!!......
@rashidkalimbo24515 жыл бұрын
MashaAllah... Shekh Mazinge wewe kibogo yao haki tunakuombea kwa Allah...
@benjaminsigei57373 жыл бұрын
Mazinge kiboko yao🥰🥰 Allah akulipe kheir mazinge
@talalsaid63224 жыл бұрын
Ustazi mazinge Allah akujaalie umri mrefu sana
@halimamwachilimwachili50995 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Allah awabarik Masheikh kwa kazi nzuri.
@omarbakran83378 жыл бұрын
Masha Allah wahadhiri wetu mungu awahifadhi awape firdaus
@fgjjgbnko43836 жыл бұрын
Ibrahim mashallah unajua tena unajua Allah akuzidishie hekma na maneno yako yawe yanaingia katika moyo ya wapotevu
@doublesofficial55858 жыл бұрын
Allah akzdishie inshaallah uzid kuwaongoza ndg zetu wakristo waache ukafir...
@munirayusra918 жыл бұрын
Masha Allah Watanyooka tu kwa Sheikh Mazinge Allah Awabariki waadhiri wote..Ameen
@selemaninamtinga17568 жыл бұрын
mungu akudhidishie kila la hero sheikh mazinge
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Mi Naitwa DD Mi Ni Doctor Wa Makafiri Wote. Mazinge Ubarikiwe Sana Doctor.
@issaabdallah76607 ай бұрын
Usthadhi mazinge Allah akupe umri mrefu wenye manufaa uzidi kuitangaza neema ya Allah
@majidammanga86597 жыл бұрын
M/Mungu akulipeni kwa kheri na akupeni subra
@OmarOmar-ew9zs3 жыл бұрын
NAWAPENDA BUREE NYIE MASHEIKH KIUKWELI MUNAPATA TABU KMA HAMUKO KATIKA ZAMA ZA MTUME SAW ILA MUSIKHOFU ALLAH YUKO NANYI NA HATOWAACHA MKONO DAIMA INSHALLAH.
@OmarOmar-ew9zs3 жыл бұрын
Sichoki kumskliza SHEIKH MAZINGE haata ikiwa saa7 za usiku mana najihis sijawa muislamu SAHIHI bila kujifunza nahichi kichwa nikinginge kabbisa Allah akulinde akuhifadhi naakustir daima inshallah.
@hamza899456 жыл бұрын
Mungu awazidishie kher na kudumu katika hii kazi
@fatmamombasa34308 жыл бұрын
MashaaAlla Allah awahifadhi kila lenye ubaya
@peterchuchu53958 жыл бұрын
Asemacho mazinge ndo ukweli nimeamin kwanzia sasa nami nimekua mwislaam
@zainabzanzibar15188 жыл бұрын
PETTER CHUCHU.Takibiri
@thechairmanbarrybenson63127 жыл бұрын
may Allah give u guidance and give u janatul firdosa
@thechairmanbarrybenson63127 жыл бұрын
pokea kwa Ethiopia
@shortcut38167 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuongoze akuingize peponi ..... amin
@othmanabdallah19487 жыл бұрын
PETER CHUCHU m.mungu akuongoze Insha Allah
@kibibimwanamvuamohammadmoh98238 жыл бұрын
Wallah uislam uislam rahaa asikundanye mtu, Allah akulipeni khery nyingi hapa dunian na kesho akhera nasi atujaze imaani tutoe kle ameturuzuku kwa ajili ya dini. Aamiyn.
@kibibimwanamvuamohammadmoh98238 жыл бұрын
Tunawaona wengi wanasilimu na wengine tunaambia basi yatupasa tufikirie wanahitaji kuisoma dini ili wazidi kuielewa, so umoja wetu tusaidiane kwa kazi hii kabla ya kufika cku ya majuto, kwani Akasha anajitahid kutufishia yaliomema nasi tusaidiane kwa wema. Nawapenda sana Akasha grp , Allah azidi kuwafanyia wepesi palipo mazito na kuwafungulia palipo fungika kwa uwezo wake Rahman. Aamiyn
@alimaalima60167 жыл бұрын
Aamin ya Rabb
@alsaarh2396 жыл бұрын
Box kubwa sana mazinge mungu akubariki
@hadijambaruku50616 жыл бұрын
Mwenyezi Akuzidishie yalio mema sheikh mazinge ubalikiwe saaaaaaana,in shaa Allah
@hadijambaruku50616 жыл бұрын
Hawana mapya hooooooo,watabakia kubabaika tu bila kuujua ukweli,
@OmarOmar-ew9zs3 жыл бұрын
Nikweli sheikh mazinge watu wanawaona kama munafanya shoo vile Ila ALLAH ANAJUA kazi nzito munayoifanya MUSIKHOFU ALLAH YUKO NANYI NA HATOWAACHA MKONO DAIMA INSHALLAH. NAWAPENDA SANAAAA TENA MNOO.
@rukiyarukiya80052 жыл бұрын
Allah Akbar ♥️🤲🏽
@thechairmanbarrybenson63127 жыл бұрын
MashaAllah may Allah give u janatul ferdosa
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Amin yarab
@abdulkareemally83717 жыл бұрын
naam mwalim Allah akufishe kweny kaz hii
@OmarOmar-ew9zs3 жыл бұрын
Ewe Allah (SW).wape amani faraja na rehma zako hawa waja zako wanaoitangaza dini YAKO yahaki.AAMIN.
@mwanamisipofu32128 жыл бұрын
Hongera usitadhi Mazinge
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan86538 жыл бұрын
ma shaa ALLAH jazakumullahul kheyr
@malymboshaban74656 жыл бұрын
maashallah
@fatmayahya61008 жыл бұрын
Masha Allah. nakupenda mazinge Kwa ajiil ya Allah
@fatmazullu49334 жыл бұрын
My wajina Fatma Yahya hunishindi mie wallah
@mariamhamisi5982 жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu mazinge allah akuzidishie Umr mrefu na mwisho mwema tunakupenda kwa ajili ya mungu uko vzur
@nordenconrad3 жыл бұрын
Bakozi nakukubali brother... Allah awalinde
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Mazinge Anatamba Kenya Yote. Yesu Hakufa, Yesu Hakuzaliwa Tarehe 25 December, Yesu Hakubatizwa. Kama Kidume Anasema Yesu Kafa Msalabani, Kabatizwa, Kazaliwa December 25 Meza Ile Pale. Wakristo Wote Kimyaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Wasema wote kimya chezea mazinge ww watasilimu Tu😁😁😁😁😁😁
@dzamecbc28598 жыл бұрын
Alhamdulillah I'm Muslim
@nasraalobaidani31946 жыл бұрын
uislam raha alhamduliLLAH ukristo niukafir tu ALLAH hanamsirika yyt na na hkuna wakuabudiw zaid yake ALLAHUAKBAR
@ahmedinho_0053 жыл бұрын
Mungu Awaongoze wasiokuwa waislamu
@thethreekingstheawadh79797 жыл бұрын
Alhamdilillah we are Muslims
@asmaabdallah40555 жыл бұрын
Nyinyi makafiri kama si rehema ya mtume mung alikuwa musha angamia kama walivyo angamia watu wa firaun mungu hawakuwaangamisa kwa sababu ya mtume kuwa nirhma kwenu mshukuruni tena sana
@jumakalukule53124 жыл бұрын
Mazinge na wenzako m/mungu awape mwisho mwama
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Hapana chezea mazinge 💞💞💞💞
@samanthaali8737 жыл бұрын
Ameen ya Rabby
@halimamajid52525 жыл бұрын
Ni nikuulize suali unijibu kirahisi rahisi mm babu yako.... Duh mashaallah d d.
@bnassorokiyamile8858 жыл бұрын
ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH MMMMM DOKTAAAA MAZINGE GAWA DOZIII KWAMAKAFIRI MPAKA WAKOME KIZIWI KIWAISHIE HAAA HAA HAA HA H AA HA HAAAAAAAAA MBONA BADO YAO HAAAA HAA U A
@yusrakhamis4496 жыл бұрын
b nassoro kiyamile
@khalfanhamisi42186 жыл бұрын
AslmAlkm salama Ndgu? (S.A.W.) Most welcome our Brother, InshaAllah Mungu Hakubark uendelehe kuhukbali Uislam!!!....
@NimoJama-iw6tg11 ай бұрын
My brothers your heroes of Muslims
@salimmohamed6946 жыл бұрын
Akasha aya maandishi yanayopita humu yanakera
@kimoyochemokos69084 жыл бұрын
Hakika mumetutoa taka lililobakia na kutujenga kiimani, kuwa dini ilyosalia pekee duniani ni uisilamu tu, na wale hawakuweza kubadili nia ni khasara kwao
@AskariKidume7 жыл бұрын
Masha'Allah sheikh Mazinge
@omarymasoudykisondo3897 жыл бұрын
mwenyezi mungu awabari inshallah
@aishamuhidin4157 жыл бұрын
Omary Masoudy Kisondo nice
@bockaselemani5634 жыл бұрын
Mazinge pamoja sana insha allah
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Yarab...mpe umri habby mazinge ... awaongoze walio potea...Yani anaelimisha adi raa
@adiltamim22764 жыл бұрын
Akasha, hebu punguza haya matangazo yako. Unaharibu video. Angalau uweke tangazo baada ya dakika 10. SS ww kila muda matangazo. Nimeangalia video zako nyingi sana karibu zote unaharibu
@hassanhassan-ey9xb8 жыл бұрын
hao wote ninushindani wabure tu bora wa slimu
@samanthaali8737 жыл бұрын
Mashaa Allah
@hassanhassan-ey9xb8 жыл бұрын
Ustadhi Mazinge hao hawakuezi hata robo
@abu_AZOZ8 жыл бұрын
mwenyezimungu akulinde na kula baya duniani
@samiamtanga13118 жыл бұрын
hassan hassan
@zulficarbacarsuale68774 жыл бұрын
Allah akueke semu njema peponi.
@mira-gq3qg6 жыл бұрын
Mashallah
@chimpatamshike12393 жыл бұрын
Amekosa Swali anasingiziya Miraa🤣🤣🤣🤣🤣
@khuwailatnassor85217 жыл бұрын
wakristo wakimuona tu al habiib mazinge basi wana te te tetemeka
@salehaboud63187 жыл бұрын
kweli kabica mazinge ndio mbabe wao
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Sana tu...wanamjua ana majibu ya kijinga .watasilimu tu
@mohamedlijaa12715 жыл бұрын
Allaahu Akbar
@chichiabdallah89116 жыл бұрын
Wallah kiboko cha makafiri
@hamadkhamiv67664 жыл бұрын
Chichi Abdallah ustadh mazinge ni kiboko ya makafiri
@abokrarshamsan79633 жыл бұрын
Karibu mwenzangu
@rbagha52802 жыл бұрын
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Waislam Takbiiiiir Allah Akbar Allah Akbar
@adalabri27917 жыл бұрын
wanafahamu ila hawataki waona uislmu mgumu
@yesusimungu90848 жыл бұрын
Tupe vitu Sheikh Othman Mazinge
@omarchedi8 жыл бұрын
wakristo wabishi sana hivi hawaelewi kinachosemwa hapa
@samanthaali8736 жыл бұрын
Subhana Allah
@mwanaimaabdallah78256 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله
@rashidkalimbo24515 жыл бұрын
Takbiiiir....
@samanthaali8736 жыл бұрын
Allahu Akbr
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Wakristo WA Kenya Wanakiri Hadharani Yakuwa Qur'an Ni Kitabu Cha Bwana. We Fanya Mchezo!!!!!!!
@adalabri27917 жыл бұрын
washazowea kwenda uchu waona watakosa
@bashitemakondagwajima54827 жыл бұрын
Wataelewa2
@saidahmed9688 Жыл бұрын
muhadhara mzuri
@ابوابرهيم-ر5خ5 жыл бұрын
makafiri/wakristo wamenunaaa na bado🏃🏃🏃🏃🏃😎
@hamza899457 жыл бұрын
Mijikafiri haielewi. Wanasaidiwa waokolewe na moto lakini hawataki. Masikini sana
@tawhidislam44184 жыл бұрын
asalam aleikum warahmatulahi wabarakatu haya mafuta ntaya pata aje? mimi niko oman nataka ma chupa kama 10 hivi
@halimasssomar87935 жыл бұрын
Chezea mazinge ww 😁😁😁😁😁😁😁😁takbri.... Allah akbar
@كلثوميوسف-ث2ل5 жыл бұрын
Mbavu zangu mie😁😁😁😁😁😁
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Silimisheni huyo Mtu...hajui hata anakoelekea
@pekomisegese77245 жыл бұрын
Mazinge Anawaambia Wakristo Mi Nikuulize Swali We Ujibu Thubutu!!!!! Mi Nakuuliza Swali Unaenda Kujibu Akhera.
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Unashindwa na hoja unasingizia miraa
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Yani mazinge mkali kweli unaulizwa swali unajibu na maandiko hawa wanajibu kiujanja ujanja...
@abdulimamo65916 жыл бұрын
Grande mazinge
@shamsiyasalim6866 Жыл бұрын
Ustadhi huyo ujini na mwenzake hawa maswali Bali wanapoteza muda Tu !kwa hivyo waondoke kwani hao ni viziwi hawasiki
@israelmjema11674 жыл бұрын
Mimi nashangaa xana nyie mnao jiita wakiristo. Laiti nanjie mngeujua wokovu msingeshindana nawaislamu.. Ndomana mnasilimishwa. Islamiki nidini za majini sasa weunaejiita mkirsto ukifika hapo nikusilimiswatu kwakua hamjui lolole kuhusu ukiristo. Lakini hao mashehe wote iko siku watatangazia waislamu ukiristo ulio kamili
@mxy76994 жыл бұрын
Wee nawe nahisi umesha zidiwa na najisi ya kula nguruwe na maji yenu hayo ya pombe. Unaongea pumba upuuzi
@mxy76994 жыл бұрын
Unasema kama yule mzee aliye kuja kujadili mambo yadini akiwa tayari amelewa. Acheni kufuata wazingu kwa ya kipumbavu watawapelekeni motoni tumia akili wewe.
@mxy76994 жыл бұрын
Majini ni viumbe na sisi binadamu ni viumbe. Kama tulivyoamrishwa sisi kumuabudu Mole wetu na wao pia wameamrishwa kumuabudu mola wa walimwengu woooote ukiwemo wewe kafiri unayemuasi. Ukisikia jini ujue ni kiumbe wapo ambao ni waumini na ambao ni mashetwani kama tulivyo sisi wanadamu.
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Endelea kuota...
@farajiissa5603 жыл бұрын
QURAN NI ZAID YA GOOGLE ULIZA CHOCHOTE DUNIAN IMEFUNDISHA HAD MAISHA YA WADUDU MUNGU TUJALIE TUFE TUKIWA WAISLAMU
@nasmamponde1985 жыл бұрын
Sinagogi ni kanisa jamani
@hemedisaid38394 жыл бұрын
Kakwmbia nani
@muhammadmuhaznun3803 жыл бұрын
Ni msikiti
@bultuabasalam59978 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kalumapapaakalumapapaa89896 жыл бұрын
Mungu akubariki ostadh mazinge or d d
@ramdhanirashidi54846 жыл бұрын
mazinge unatisha Kama njaa maana kuna maswali mazito kafiri hawezi kujibu
@samuelmuiruri44056 жыл бұрын
Akaoa kasichana ka miaka sita..siwezi mufuata huyo
@rajabukassim51385 жыл бұрын
Achawivu Kwan Yule nidaako wakezake mtume wote yule ndo.alikua. Anaongoza kwa.wivu asa.mdogouyo kwanini usimshanga Adam alopewa mke ambae kaumbwa sikumoja
@halimasssomar87935 жыл бұрын
We kafiri Tu ..si ishapotea... subiri moto Tu...kama ukubali uisilam ni dini ya mungu
@ibraimoissiaca60585 жыл бұрын
Alikua Dada yako ndugu
@salmaomary67924 жыл бұрын
😂😂kumbe mmaona donge mtume kuoa.....
@MWALIMUMBUNIFU894 жыл бұрын
Mungu hana haja na wewe, wewe ndiye unaye mhitaji Mungu
@halimamwachilimwachili50995 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Allah awabarik Masheikh kwa kazi nzuri.